- 46
- 342 151
Hezzy Hezzy
Tanzania
Приєднався 26 чер 2018
Kusudi la channel hii ni kuandaa video zenye mtazamo chanya wa maisha pamoja na kuwapa tumaini wale waliokata tamaa.
MAWASILIANO:
1. Email: hezzron777@gmail.com
2. WhatsApp: +255 768 571 786
MAWASILIANO:
1. Email: hezzron777@gmail.com
2. WhatsApp: +255 768 571 786
Umetumika Vya Kutosha. Ni Muda Wa Kuanzisha Cha Kwako
Video hii itakupa hatua za kuacha kuwa mtumiaji na kuanzisha cha kwako.
Tupe maoni yako kuhusu unacho fikiri. Vile vile usiache kuonyesha upendo kwa kuLIKE na kuSUBSCRIBE.
Tupe maoni yako kuhusu unacho fikiri. Vile vile usiache kuonyesha upendo kwa kuLIKE na kuSUBSCRIBE.
Переглядів: 438
Відео
Jinsi Ya Kuwafanya Watu Wavutiwe Na Wewe Na Wakupende
Переглядів 5199 годин тому
Video hii itakupa mbinu za kuwafanya watu wavutiwe na wewe na wakupende. Tupe maoni yako kuhusu unacho fikiri. Vile vile usiache kuonyesha upendo kwa kuLIKE na kuSUBSCRIBE
Nipe Dakika 8, Na 2025 Utakuwa Mwaka Wako Bora Kuwahi Kutokea.
Переглядів 52116 годин тому
Video hii itakupa hatua 5 zitakazobadilisha kabisa maisha yako na kuufanya 2025 kuwa mwaka wako bora kuwahi kutokea. Tupe maoni yako kuhusu unacho fikiri. Vile vile usiache kuonyesha upendo kwa kuLIKE na kuSUBSCRIBE.
Yaondoe Haya Mambo 6 Nyumbani Kwako, Vinginevyo Hutakuwa Tajiri
Переглядів 44 тис.14 днів тому
Video hii itakuonyesha mambo 6 ya kuyaondoa nyumbani kwako upesi, vinginevyo hutakuwa tajiri. Tupe maoni yako kuhusu unacho kifikiri. Vile vile usiache kuonyesha upendo kwa kuLIKE na kuSUBSCRIBE.
KAFARA 6 Unazopaswa Kufanya Ili KUEPUKA UMASKINI
Переглядів 4,4 тис.28 днів тому
Video hii itakuonyesha KAFARA 6 unazopaswa kufanya ili kuepuka umaskini. Tupe maoni yako kuhusu unacho kifikiri. Vile vile usiache kuonyesha upendo kwa kuLIKE na kuSUBSCRIBE.
Kanuni 9 Za Kuwa Na MAISHA BORA
Переглядів 1,3 тис.Місяць тому
Video hii itakupa kanuni 9 za kuwa na maisha bora. Tupe maoni yako kuhusu unacho fikiri. Vile vile usiache kuonyesha upendo kwa kuLIKE na kuSUBSCRIBE.
Mambo 7 Ya KUYAEPUKA Ili KUTAJIRIKA Kirahisi
Переглядів 8 тис.Місяць тому
Video hii itakuonyesha mambo 7 ya kuyaepuka ili kutajirika kirahisi. Tupe maoni yako kuhusu unacho kifikiri, vile vile usiache kuonyesha upendo kwa kuLIKE na kuSUBSCRIBE.
Aina 7 Za Watu Ambao Hupaswi Kuwaamini
Переглядів 2,8 тис.2 місяці тому
Video hii itakuonyesha aina 7 za watu ambao hupaswi kuwaamini. Tupe maoni yako kuhusu unachofikiri. Vile vile usiache kuonyesha upendo kwa kuLIKE na kuSUBSCRIBE.
Mambo Wanayo Yafanya MATAJIRI Kila Siku Ambayo MASKINI Hawayafahamu
Переглядів 8 тис.2 місяці тому
Video hii itakufunulia mambo wanayo yafanya matajiri kila siku ambayo maskini hawayafahamu. Yaige mambo haya na utafanikiwa. Tupe maoni yako kuhusu unachofikiri. Vile vile usiache kuonyesha upendo kwa kuLIKE na kuSUBSCRIBE.
Jinsi Ya KUBADILISHA Kabisa Maisha Yako KWA HARAKA (Ndani Ya Muda Mfupi)
Переглядів 4,8 тис.2 місяці тому
Video hii itakupa kanuni zitakazo kuwezesha kubadilisha maisha yako kwa haraka. Tupe maoni yako kuhusu unacho kifikiri. Vile vile usiache kuonyesha upendo kwa kuLIKE na kuSUBSCRIBE.
Tabia 10 Zinazofanya UTENGWE Na Watu
Переглядів 6542 місяці тому
Video hii itakuonyesha tabia 10 zinazokufanya utengwe na watu. Jichunguze ni tabia zipi ulizonazo kati ya hizi na amua kuziacha na kujirekebisha. Tupe maoni yako kuhusu unacho kifikiri. Vile vile usiache kuonyesha upendo kwa kuLIKE na kuSUBSCRIBE.
Kanuni 9 Za KIFEDHA Matajiri Wanazozifahamu Ambazo Maskini Hawazifahamu
Переглядів 82 тис.3 місяці тому
Video hii itakupa kanuni 9 za kifedha matajiri wanazozifahamu ambazo maskini hawazifahamu. Tupe maoni yako kuhusu unachokifikiri. Vile vile usiache kuonyesha upendo kwa kuLIKE na kuSUBSCRIBE.
Jinsi Ya Kufungua UBONGO Wako
Переглядів 1,9 тис.4 місяці тому
Video hii itakupa mbinu za kuufungua ubongo wako ili uutumie kufanya mambo makubwa. Tupe maoni yako kuhusu unachokifikiri. Vile vile usiache kuonyesha upendo kwa kuLIKE na kuSUBSCRIBE.
KAFARA 7 Unazopaswa KUFANYA Kama Unataka KUWA TAJIRI
Переглядів 65 тис.5 місяців тому
Katika video hii utajifunza kafara 7 unazopaswa kufanya kama unataka kuwa tajiri. Tupe maoni yako kuhusu kile unachokifikiri. Vile vile usiache kuonyesha upendo kwa kuLIKE na kuSUBSCRIBE.
Jinsi Ya Kupotea Na Kutokeza Ukiwa Umefanikiwa
Переглядів 2,1 тис.6 місяців тому
Video hii itakupa ufahamu wa kina kuhusu nadharia hii ya kupotea na kutokeza ukiwa umefanikiwa. Tupe maoni yako kuhusu unacho kifikiri. Vile vile usiache kuonyesha upendo kwa kuLIKE na kuSUBSCRIBE.
Kama Wewe Ni Mtu Unayekata Tamaa, Tazama Video Hii.
Переглядів 4846 місяців тому
Kama Wewe Ni Mtu Unayekata Tamaa, Tazama Video Hii.
Tabia 7 Za Kuacha Ili KUBADILISHA Maisha Yako
Переглядів 3 тис.6 місяців тому
Tabia 7 Za Kuacha Ili KUBADILISHA Maisha Yako
Dalili 7 Zinazo Ashiria SI MARAFIKI Zako Wa Kweli
Переглядів 7867 місяців тому
Dalili 7 Zinazo Ashiria SI MARAFIKI Zako Wa Kweli
Jinsi Ya Kufanya Watu Watake Kuwa Karibu Yako
Переглядів 3,1 тис.7 місяців тому
Jinsi Ya Kufanya Watu Watake Kuwa Karibu Yako
Jinsi Ya Kufanikiwa Kuliko YEYOTE Unaye Mfahamu (Ndani Ya Muda Mfupi)
Переглядів 4,6 тис.7 місяців тому
Jinsi Ya Kufanikiwa Kuliko YEYOTE Unaye Mfahamu (Ndani Ya Muda Mfupi)
Mambo 5 Yanayo Mbadilisha MVULANA Kuwa MWANAUME
Переглядів 1,6 тис.7 місяців тому
Mambo 5 Yanayo Mbadilisha MVULANA Kuwa MWANAUME
Jinsi Ya Kubadilisha Maisha Yako Ndani Ya Mwaka Mmoja
Переглядів 1 тис.8 місяців тому
Jinsi Ya Kubadilisha Maisha Yako Ndani Ya Mwaka Mmoja
Mambo 5 Ya Kuzingatia Kama Unataka KUFANIKIWA
Переглядів 6068 місяців тому
Mambo 5 Ya Kuzingatia Kama Unataka KUFANIKIWA
Jinsi Ya Kufanya MAGEUZI Makubwa Kwenye Maisha Yako
Переглядів 1 тис.9 місяців тому
Jinsi Ya Kufanya MAGEUZI Makubwa Kwenye Maisha Yako
TABIA 5 Zitakazo Tatua 99% Ya MATATIZO Yako
Переглядів 1,6 тис.9 місяців тому
TABIA 5 Zitakazo Tatua 99% Ya MATATIZO Yako
Jinsi Ya Kuishi MAISHA Yenye FURAHA Wakati Wote
Переглядів 1,5 тис.9 місяців тому
Jinsi Ya Kuishi MAISHA Yenye FURAHA Wakati Wote
Mambo Ya Kufanya KILA SIKU Ili UFANIKIWE (Mafanikio Makubwa)
Переглядів 14 тис.10 місяців тому
Mambo Ya Kufanya KILA SIKU Ili UFANIKIWE (Mafanikio Makubwa)
Jinsi Ya Kuvuta Mambo MAZURI Kwenye MAISHA YAKO
Переглядів 2,7 тис.11 місяців тому
Jinsi Ya Kuvuta Mambo MAZURI Kwenye MAISHA YAKO
Nashukuru sana brother mungu akupe maisha marefu hapa dunian
Ameen 🙏,nimejifunza nilichokuwa sikijui, Ahsantee
Ninzuli imejaa vizuli tupo pamoja katika safari ya mafanikio binafsi
Sawa kaka
Asante sana
🙏🙏
Ahsante❤❤
Uwe juu mwalim kwa maariga
Uwe juu mwalim
Big up King
NadhAria hizi there have no facts
Asante kwaelimu
Thank you somuch 💪
Shukulani sana kiongoz kwa elimu nzuri
Asante san Kwa ushauli
Asante kaka kwaushauri mzuri
Balikiwa
Asante sana nimepata vitu sio kitu naonfoa hata poc zamama yangu mzazi.
Ndugu umenifugua majo sana Thanks
unapatikana wap brothher?
Mawasiliano yangu yapo kwenye channel description
1. Kuutoa muda wako kwaajili ya kujinza 2. Kuuacha ukawaida na kuukumbatia ujaliamali 3. Kujibana ili kuwa na nidhamu ya fedha 4. Kukataa faida ya mudamfupi kwa faida ya muda mrefu 5. Kuacha tabia zitakazokupotezea muda pamoja na nguvu zako 6. Jitenge na watu wasiokuhamasisha kufanikiwa 7. Kuwa tayari kuacha ajira yako ya kudumu kwaajili ya kuwekeza
ASANTE MTU WA MUNGU.
Nakutakia safari njema ya mafanikio 2025.
Asante sana King na kwako pia 💪
mafunzo nimazur sana yamenifungua akili sana nawashukurun sana
Samahani kaka na je ivyo vitu vya zamani ukivichoma kuna shida
Mamlaka za usafi wa miji haziruhusu kuchoma, ukichoma utakuwa umefanya uchafuzi wa hali ya hewa. Njia iliyobaki ni wewe kuvitupa, na kama bado havijaharibika ukipenda vigawe au viuze.
Nimekuelewa sana
186 best of the best
Siolazima anaekufundisha awetajili
Sioanaekufundi lazima awetajili
Asante sana
True 🎉🙌
Ok
Alihamdulillah nashukuru sana kwa elimu yako mwalimu
Asant kwa uliyo tupatia.
Asante, pitieni kwangu msubscribe
Inkwell bwana
Nimefuraishwa dana tutakua pamoja
Ni vizuri kuchoma hizo nguo na viatu zilizoharibika
Kwa nn uchome na kuna waitaji
Kuna zingine zimeharibika kabisa ni aibu kupeana
Asant
Ahsante❤
Umeongea ukweli mtupu
Asante broo
Ni kweli asante
Binafsi nimejifunza kitu.Asante kwa elimu hiyo.
Mungu nibariki namm
1 NGUO USIZOZIVAA 2VITU VILIVYOHALIBIKA NA KUCHAKAA 3 VIATU 4 VITU VILIVYOMILIKIWA NA WATU WALIO FARIKI 5VITU KUPANGWA HOVYO HOVYO 6 vitu vinavyokupa kumbukumbu mbaya
Asante Sana kunielimisha ❤❤❤
Kama nguo nikimuuzia mtu ni mbaya ? Na bado nzima ?
Si mbaya pia, kuna mahali nimezungumzia ukipenda unaweza ukaziuza au ukazigawa ikiwa bado ni nzima na huzitumii.
Nakufol maana umeongea ukweli kabisa, mungu kakupa ujumbe mzuri, barikiwa bro
Shukrani