Huu ni moto mwingine kwa mara ya kwanza nausikia na kuuona live,, Duuu utadhani St. Kizito,, ila nn mnajua hadi mnakera 😂 Mungu awatunze mkaitoe album nyingine kali
This choir is no doubt the next big thing in East Africa. Keep praying together and evergilizing through such songs.Kwa Walimu, maintain the standard. And this producer....wah...anakaa wale wanafunzi darasani duh wanakaa wakupata safuri kwenye mtihani ...wacha irudi anagonga mia kwa mia....wa pili akiwa Arubani.....Very creative
Mungu azidi kuwatunza na kukuza uimbaji wenu,I saw the joy in you guys mkiwa mnafanya hii kazi,too visious and high spirited,keep up Gods work. Team Holy Trinity kazi nzuri sana,wimbo uko na rythm yani adi raha..Ps.Am blessed to know My hubby shot it(mi proud akii).Great work kwenu nyote.
Jamaa anayesoma gazeti kwenye hii kwaya amewafunika wote katisha sanaaaaaaa.........
Jamaa wa gazeti ametisha kinyama. Kama umemkubali gonga like chap
Huu ni moto mwingine kwa mara ya kwanza nausikia na kuuona live,,
Duuu utadhani St. Kizito,, ila nn mnajua hadi mnakera 😂
Mungu awatunze mkaitoe album nyingine kali
Nyie watu mmejua kuja kwa kasi saaanaa...tunawaendea kwa mzee mpili.ahahah
hahhahahhha nashindwa hata ku comment maana hawa jamaa hawawezekani duh amazing wote wakasome kwa K L C
🙏🙏🙏 karibu
jamaniiii wapendwaa kazi nzuriii sanaaa
Deo hatari sana
Hongereni sana Mungu awabariki kwa uinjilishaji
Another one! Moto sana! Nawapenda sana Mt. Karoli
Jamn mwatukosha mungu awape nguvu zaid mwaupga mwing karbuni hocas morogoro
Baraka Barakaaa Mashibe...naita mara tatu..we mtu una hatari
Kazi ni nzuri saaanaaa hongereni sana, wimbo unabariki haswaaa.
Safiiiii.................
Wakati wa MUNGU.....
Hakika nimebarikiwa sana na nyimbo zenu mbarikiwe sana
Hongereni Sana nyimbo ni mzur sana
Wa LOCATION HATARII HONGERA YAKEEEE
Kazi nzury sanaaa
Kazi nzuri
Mm nawapenda sanaaaa. Karibuni mwanza jamani
Good song congratulation st.karol
Kazi nzuuurii sana,mbarikiweni sana
This choir is no doubt the next big thing in East Africa. Keep praying together and evergilizing through such songs.Kwa Walimu, maintain the standard. And this producer....wah...anakaa wale wanafunzi darasani duh wanakaa wakupata safuri kwenye mtihani ...wacha irudi anagonga mia kwa mia....wa pili akiwa Arubani.....Very creative
Hongera sanaaa 🎊🎊🎊🎊
Mungu awabariki sana
Mbarikiwe sana! Big up kwa Mtunzi, production team na kwaya! Kazi nzuri👏👏
Nice song congratulations,
Jamani mbarikiwe wote
Wow good
My favourite song! God bless you all
Mungu azidi kuwatunza na kukuza uimbaji wenu,I saw the joy in you guys mkiwa mnafanya hii kazi,too visious and high spirited,keep up Gods work.
Team Holy Trinity kazi nzuri sana,wimbo uko na rythm yani adi raha..Ps.Am blessed to know My hubby shot it(mi proud akii).Great work kwenu nyote.
Wimbo bora kabisa wa kusherehekea ufufuko wa Bwana wetu Yesu Kristo. mbarikiwe
Good job
Brilliant
Wow. What a song, what wonderful voices what a choir. Well done
Congratulations kak kihiyoo
Pamoja sana ndugu
Hongereni sana vijana, mmeimba very na mmecheza vizuri
Kazi nzuri wapendwa mbarikiwe sana kisha naomba nota za wimbo huu
wonderful voices
Amina🙏
🙏
UnLimiTed bLeSsinGs......
🔥🔥🔥 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Nice songs for real...Feeling blessed from Kenya🙏🙏🙏
Very beautiful song. Melodious voices... God bless you.
Fantastic song.. congratulations, u always never disappoint me..keep it up guys na mungu atawabariki
Such a great song
Wanaimba vizuri lakini uchezaji wa kinanda sio kikatoriki jameni.
Muziki hubadilika wamefanya kazi nzuri na kubwa sana
Kwann wasema hivyo..?
🙄
Tukuamshe saa ngapi?
Mbona wako vizuri ndgu yetu