Steve Moses Musa (anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii kama Steve Mweusi; amezaliwa Majengo, wilaya ya Mpanda, Mkoa wa Katavi, 16 Septemba 1990) ni muigizaji wa vichekesho vifupi ambavyo hutazamwa zaidi katika mtandao ya kijamii [1]. Sanaa yake ambayo alikuja kuianza rasmi jijini Dar es Salaam mnamo mwaka 2018 iliweza kufungua ndoto zake za kuwa mmoja wa wasanii maarufu wa uigizaji wa vichekesho nchini Tanzania. Steve Moses Musa Maelezo ya awali Pia anajulikana kama Steve Mweusi Amezaliwa 16 Septemba 1990 Asili yake Mkoa wa Katavi, Tanzania Kazi yake muigizaji, vichekesho
Camera man zuuuuumuuuuu comedy hadi kwenye mahojianooo ankooo nzala banaa😂😂like you nadhan hujaolewa watu wangu wa mfano
😂😂😂😂😂huu ni comedy hata kwenye interview
Steve Moses Musa (anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii kama Steve Mweusi; amezaliwa Majengo, wilaya ya Mpanda, Mkoa wa Katavi, 16 Septemba 1990) ni muigizaji wa vichekesho vifupi ambavyo hutazamwa zaidi katika mtandao ya kijamii [1]. Sanaa yake ambayo alikuja kuianza rasmi jijini Dar es Salaam mnamo mwaka 2018 iliweza kufungua ndoto zake za kuwa mmoja wa wasanii maarufu wa uigizaji wa vichekesho nchini Tanzania.
Steve Moses Musa
Maelezo ya awali
Pia anajulikana kama
Steve Mweusi
Amezaliwa
16 Septemba 1990
Asili yake
Mkoa wa Katavi, Tanzania
Kazi yake
muigizaji, vichekesho
🎉🎉
Ila Anko Zala😂😂😂😂🎉❤🎉
Kweli akili hana 😂😂😂
Muolewe azoom kwanza😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂weeeee
Nilicho kipenda yeye kushika kifuwani
Koma Yao huyo