Binadamu ni kiumbe hatari sana chenye tamaa sana unaandaa mazingira ya watu kufa tena vijana wadogo wakati uwezo wa kudumisha amani na kufanya dunia iwe sehemu salama inawezekana
Sisi waafrica tunajifunza nini!!!!? au story tu hao Jamaa ni watu hatari kwani hao vijana waingiza chambo Tu hawana uzoefu urusi ni Dangerous hata USA wanawajua ni nomaa lakini hawawaonei huruma hao watoto aibu sanaa bunadamu Sisi
Wamarekani bwana wanashaliuli wenzio wamalizwee halafu haka kazee bwana kana mwawazo ya kizee
Nchi za ulaya zinaogopa Urusi Ukraine pekeyake ataweza?
Leo mmeanza wa miaka 18, baadae mtaanza wa miaka 15 na 10, kwanza huyo zerenki anawaonaje wananchi au ni kichaa
atawamaliza wanajeshi wote😂😂😂😂😂😂
Ukraine president hafikili mara mbili hawezi mshinda mrusi hata iweje atakuja kujua wakati ameshapoteza wanajeshi wengi
Kama kweli marekani na NATO wanawapenda Ukraine si wawape wanajeshi wao waende
Et kuongeza nguvu ya damu changa kwaiyo kama ilo komaa imechemka changa itatoboa😂😂😂
Huyu zeresky ni kichaa anastahiki akapimwe akili anataka wananchi wote wafe hiyo ataishi nanani au atachukua LAIYA wamarekani wakaishi ukraine
vita ikiisha naomba visa ukraine nikasambaze udud maana wanaume wamekufa sana wanawake n wengi
Binadamu ni kiumbe hatari sana chenye tamaa sana unaandaa mazingira ya watu kufa tena vijana wadogo wakati uwezo wa kudumisha amani na kufanya dunia iwe sehemu salama inawezekana
VITA WAACHIE WAARABU MAREKANI YENYEWE ILIKIMBIA😀😀😀😀
@@ikulunimahalipatakatifu7642 hahahahahaaaaa
Wanataka kizazi cha vijana pia kiishe...
Wapo waeng