@brianmmary2568 bibi yako nae kaelewa au hujielewi, huo ni ujinga Kwan kingereza ukijua ndo kuelimika hao wazungu ni lini ulisikia wanatoa historia zao kwa kiswahili mm hata wewe huwez nizid kingereza nakijua kuliko unavyo fikilia but wote waliokuwa msibani na watanzania walielewa !?
The kids are trying to be very courageous. Indeed God is in control. Mungu awasaidie sana watoto wazuri.
The LORD gave again he has taken away,, may the name of the LORD be blessed.
Nasikitika marehemu kutajwa alipenda wimbo katika wasifu wake 😢😢😢 kwa sasa wimbo wa hapo vipi utamsaidia nn ktk safari yake mpya
Wow I love you guys
Mnaomba baba zenu wafe mkajionye mnaongea kimombo nusu ya watu msibani hawaelewi
mmzungumze kiswahili watu weusi tiii lugha ya watu weupe mungu dunia isimame nishuke
Watanzania tutatawaliwa milele Kuna umuhim gan kutumia kingereza tena kwenye msiba uliokusanya watu na ndg ambao hawajasoma upuuz mtupu 😂
Hawajui kiswahili hao mzee hawakai bongo
Kaka huo ni mtazamo wako wa kifikra tu kama haujaelewa muombe jirani Yako akutafsirie sio wote ambao hawajaelewa😅
@brianmmary2568 bibi yako nae kaelewa au hujielewi, huo ni ujinga Kwan kingereza ukijua ndo kuelimika hao wazungu ni lini ulisikia wanatoa historia zao kwa kiswahili mm hata wewe huwez nizid kingereza nakijua kuliko unavyo fikilia but wote waliokuwa msibani na watanzania walielewa !?
@SimonMabigi acha makasiriko kila mtu anauhuru wapenda aongee vipi au aongee kwa lugha gani, usiwe na makasiriko
Mungu Ampe Makazi Mema Daima Mbele yetu sisi Nyuma yake 😢
Kazi kweli
Kazi tena!
Maana kiswahili chenyewe kimejaa siasa bora mtoto aonge kingereza maana ndio ndoto za baba yake.
Hiii ndio shida yawabongo lugha yenu hamuitaki mnaongea lugha zawatu msiba kama tamasha isee😂
Upumbavu mtupu kilugha gan hicho tena
Hawajui kiswahili hao
😂😂😂😂