Ni kweli Mungu hana upendeleo, ndiyo maana na sisi tuache ucaguzi. Kwa kila jambo tupendane kama tulivyo pendwa na Mungu, tena watakatifu wataingiya mbinguni. Mungu atuwezeshe
Region de grand lac ikeneye kwakira Yesu kugirango ibone amahoro. Damu ya Yesu ya ondowa ukabila na cukiye, Damu ya Yesu yapatanisha wariyo karibu nao wa mbali, hakuna mututsi wala muhutu

Nyimbo nzuri sana
wimbo nzuri sana
Amen Mungu wetu ni wa ajabu sana
Ameeena , Mungu wetu si kama mwanadamu , yeye ni upendo
amen , mungu wetu SI mama mwana damu
Haleluya Mungu wetu ni mwema
Amen. tupendane kama tulivyo pendwa na Mungu wetu
Good song
Tuacheni kubagua damu ya Yesu ya ondoa ukabila Amina kubwa