Irene Robert Ft Fiston Mbuyi - Nahesabu (Official Music Video)
Вставка
- Опубліковано 2 лис 2022
- #irenerobert Deuteronomy 28: 2-6 NIV
All these blessings will come on you and accompany you if you obey the Lord your God:
You will be blessed in the city and blessed in the country.
The fruit of your womb will be blessed, and the crops of your land and the young of your livestock-the calves of your herds and the lambs of your flocks.
Your basket and your kneading trough will be blessed.
You will be blessed when you come in and blessed when you go out.
Kumbukumbu la Torati 28:2-6
Na baraka hizi zote zitakujilia na kukupata usikiapo sauti ya Bwana, Mungu wako.
Utabarikiwa mjini, utabarikiwa na mashambani.
Utabarikiwa uzao wa tumbo lako, na uzao wa nchi yako, na uzao wa wanyama wako wa mifugo, maongeo ya ng'ombe wako, na wadogo wa kondoo zako.
Litabarikiwa kapu lako, na chombo chako cha kukandia unga.
Utabarikiwa uingiapo, utabarikiwa na utokapo.
Producer by Yusuph Manamba
Directed by Joowzey
Nimebarikiwa nyimbo nzuri sana MUNGU aendelee kukuinua zaid na zaid
Napenda vibeeeeeee ulilonalooooo🙌🙌🙌🙌🙌 Ukitoa Sauti unaweza hisi sio video ya Gospel😁, Maana Kama ulayaaaaa, All in all hongeraaa Saana mtumishi kazi yako ni njema sana
kazi nzuri
nyimbo imekonga moyo wangu
kideo🔥
mkongo🙌
we mwenye ndo usipime
Ubarikiwe Mnoo dada wimbo mzuri yesu azidi kupeleka mbele 🔥🔥🔥🔥
Ubarikiwe sana dada, Kristu akujaze nguvu za R/M ili uendeleye kuitangaza injli.
Congratulations, kazi nzuri sana more love from Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Hongera sana madam mungu azidi kukupa kibali wewe uzidi kuwa wa juu baraka za mungu zikawe nawe kila wakati hakuna mahali unapotukosea mashabiki zako unatupa vitu tunavyovitaka kwa hakika wewe niwapekee mungu azidi kusimama nawe kila wakati #IRENE ROBERT
hakika dada ni moja ya msanii unayenifanya niwe na furaha nataman nije kuwa mchezaj mzur kama. wewe ili nimwimbie mungu wangu napenda Sana uimbaji wako mungu. zaid kuinua kipaji chako
Wow..! #Nahesabu 🙏🏻Preview ya video yako ilinivutia sana na nilipo kuja kuangalia sijajutia bali nimefurahi kwa kazi nzuri asante #IreneRobert
Daah santee sana hakika kazi yako tumeifanya kwa kiwango ulicho taka aijawah tokea
Nzembo kitoko makasi, kende liboso yaya 🇨🇩🎤
Waoooo💃💃💃💃🤗💕wimbo wangu pendwaaa 🔥🔥🔥🔥
Kazi nzur mtumish 🔥🔥🔥 haujawai kutuangusha shabik zako
Mungu akubariki Irene mtumishi. Unajua kucheza kwa sababu hutumii kiuno bali miguu na mikono.
Hongera sana hakika wimbo mzuri, nahesabu baraka zangu.
Every day unazidi kumprove kwenye tasnia ya huu mziki mzuri, nyimbo nzuri yenye maudhui mazuri pia video kali sana, you are the best 👏👏👏
Hakika na Hesabu baraka zangu, hongera sana dada. More Grace
Am ur Fan But thiiiiìiìiiiiiiiiiiiiis Video is My Favourites Video Ever♥️♥️🙌🙌🙌🙌
Irene welcome back missed you 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Mungu azidii kukubariki listening from+254
Nilikuwa kwenye wakati mgumu ila baada ya kusikia hii nyimbo nimepata faraja kubwa, Naamini mungu bado anakusudi na maisha yangu
Fiston Mbuyi homme de Dieu depuis le République Démocratique de Congo 🇨🇩
Video kiwango sanaa
Hongera Sana mtoto wa Mungu umevaa vizuri wimbo mzuri hata wewe ni dada mzuri mnyenyekevu hongera kwaa vyote
Mungu azid kukuinua.. kaz nzur
Hongera kwakuwa umeamua kumtumikia Mungu ukiwa kijana
Kumbe ulikua kazini kunitengeneza.....nikapita kwa mengi yakaniimarisha.....NAHESABU BARAKA ZANGU.UBARIKIWE DADA MZURI KWA UTUKUFU WA MUNGU.🥰🥰
Keep Going,
Keep Going,
Tanzania Gospel industry 🙌🙌🙌
Nyimbo kubwaaaaaaa
Dancers wakubwaaaaa
Msanii Mkubwaaaaaa
Director Mkubwaaaaaa.....
Kazi Nzuri Our Sister 🙌🙌🙌🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Namkubari sana mrembo huyu mungu akutumie
Afya nilonayo moja ya baraka nilizonazo, NIKO HAPA NAHESABU BARAKA ZANGU🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Yawezekana matatizo ninayopitia mungu yupo kazini kunitegenezaa🔥🔥🔥,,,,,,,,,
Waaaaao naipenda hiyo sehemu tuu... Asantee kwa ujumbee Mzuriiii Dada❤️
🍟🍟🍟 Video Kama Movie yaaani nimekaaaa paleeeee naangaliaaa huku nakupa popcone😂😂
VIDEO KALIIII SANA DAAH🔥🔥🔥
Mungu azidi kuibariki kazi ya mikono yako. Thank you for the good song.
Good song minister
Nabarikiwaa Santa na nyimbo zako haswaa huu😍😍💥💥💥
Goooo Gooooo Gooooooo My Friend,
Proud of you dear, You ar doing Very Good Job 💥💥💯💯 May God help you to reach your Goals 🙏🙏
Dar es Salaam Tanzania, inazidi kuwa katika mikono salama ya huduma za Kiroho kama hii, Ameen
Wow yaya talanga 🇨🇩🇹🇿
Kazi nzuri sana ubalikiwe sana hakika hujawah nifelisha
Mungu azidi kutujalia kila ujao 🙏🙏
Waaaaaaaaoooooo Another Level 🙌🙌🙌 Mungu azidi kukuinua zaidi dada yangu, Napenda Unavyocheza Uwiiiiii Vizurii Mnoo♥️♥️
Jaman wewe mdada hadi raha MUNGU azidi kukubariki
Sinaga mashaka na wewe 💣💣
It is humbling to see that you spared time out of your busy schedule to watch our music video. Happy to learn that NAHESABU is impacting different individuals in different ways and all glory goes back to JESUS. We remain to be vessels , spreading His Love and message of salvation. Thank you for your messages of congratulations, encouragement and also pieces of advice that shall be worked on. God bless you abundantly
Hongera mama Robert mungu akutangulie keep it up.
Congratulations Madam Irene Robert 👏👏🏻🎊🎉🍾🎈
Congratulations my favorite gospel singer ever after,but I also need to be a singer like you💯; please pray for me 🙏❤️(it's Flavia Robert)thus why I call you my sis 💞.........
God bless you 🙏❤️
Your voice is very nice, awesome and so beautiful 💗
Nyimbo mzuri pamoja na video nimeipenda na hongera sana sister Irene Robert kwa kazi nzuriiiiii
Mungu atukuzwe kwa nyimbo inayonibariki kweli Mtumishi Mungu azidi kukupigania
Kali sana sana tena na sana
Tumebarikiwaa Saanaaa
Tunahesabu na tutahesabu baraka zetu milele IJN😍😍😍
Nahesabu 🔥
Much love from Kenya.
Video kaliiiii saaana madam
Mungu azidi kukufanikishaàaa....
Dancerssss Saluteeee💥💥💥💥
Good job.....congratulations Mungu azidi kukufungulia milango ya baraka
Hongera sana mtumishi wimbo mzuri sana,Mungu azidi kukupandisha viwango vingine♥️👏👏♨️♨️♨️♨️♨️♨️♨️♨️
Kazi nzuri sana Iren Keep Going 👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻
Mungu azidi kukutumia apendavyo!! Nimebarikiwa kwa wimbo ni mzur pia magazine yako yamenibariki
Nabarikiwa Saana na nyimbo zako Dada🙌🙌♥️
Nakufuatilia Sana
Great 1 my dada, Mungu anabadili Maisha Yangu kila naposikia hii hot song 🔥🔥🔥🔥🔥, Mungu akubariki sana 💞💖
Nahesabu baraka zangu ni nyingi siwezi kueleza nimalize
Acha na mimi nihesabu
Nyimbo kubwa
Video kubwa
I wish one day
Hongera sana Mrembo
Wimbo mzur sana saut pia ni nzuri Mungu aendelee kukuzidishia zaidi na ufike mbali zaid ya Hapa ameen
Mungu atukuzwe mtumishi nyimbo inanibariki sana
🔥🔥🔥🔥🔥🔥 Nimengaliaaa Mara kumi kumi yaaani Nyimbo Nzuri sana
🙏🙏😢😢😢 Umenigusa saana huu wimbo najsikia kufarijika
Woooow!! Noma Sana!! ❤️❤️❤️❤️ Mob love from 254
Mungu akuinue zaidi ya hapo ulipo nimebarikiwa na kazi kubwa na nzuri
Nyimbo nzuri sana Mungu akuongezee uwezo maarifa
Go goo gooo me sister .. this is an international song.. na wengi wanaenda kubarikiwa kupitia this song lol🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Irene mpaka nashindwa chakuandika mungu anaweza nawewe kakuwezesha unaweza mamaa siishi kuisikiliza ujumbe mzuri sana mungu azidi kukuwezesha ufanye mazuri zaidi
Kazi Kali sana na nakupongeza sana kwa utunzi na upangiliaji wa sauti Kifupi kazi inavutia na inafariji sana katika nyakati hizi za mapito magumu
Yesu akubariki sana dada angu kazi zuli sana hongera sana mtumishi wa Mungu ❤️❤️❤️
Kazi yako imejaa neema na baraka njema Mungu awe nawe katika kazi yako
Hongera mtumishi siku zote MUNGU yu pamoja nasi never give up ni dhambii
Kumbe ulikuwa kazini
Wimboo Mzurii Sanaa Hongera Sanaa Mahesabu God Bless You 🔥🔥🔥
Big tune. Huu wimbo umenibamba sana.
keep the fire burning. Future is bright
Kumbe ulikua kazini kunitengeneza nimeielewa 🔥🔥🔥🔥💪
Hongera sana Mtumishi kwa kutuletea kazi nzuri yenye baraka Mungu akuinue zaidii.
Hongera sana wimbo mzuri na video nzuri
Hongera dada yangu. Wimbo unaviwango . Ninaimani utashinda
Barikiwa mno Dada angu kwa nyimbo nzuri hongera sana Mtumishi
Irene unajua sana kuimba kucheza vyote umebarikiwa nice
Barikiwa mtumishi wa Bwana Mungu azidi kukuinua zaidi na zaidi ,,nice song🔥
More Glory dear from Kenya we love ur music
wimbo hatari sanaaa gud song my friend keep it up🙏🏾🎸
Hongera, hujawahi niangusha kwenye video zote unazofanya
Mungu akubariki , akuzldishie na akuongozee kipawa cha kumtumikia yeye aliye juu
🔥🔥🔥Ongera love 🥰🥰🥰👌
Hongera boc
Nice song penye nia pana njia kaz nzur sana makosa nimeipenda nyimbo
Hongera sana
Kila kitu kipo perfect..umependeza sana hongera
Yeah I love the gospel in you ❤ Hatari kwenye lango 🎊 alafu huyo kaka mchungu sana
Mungu azidi kukufungulia njia katika uimbaj
Wasanii ni wakubwa na ni hatar dancers nao balaa......god bless 🙏🙏
Jamani wimbo ni mzuri sana una ujumbe mzuri unaompendeza mungu back to back soon utaona unaenda kuw top no 1 in gospel Tanzania
Mungu aendelee kukupigania kazi nzuri
Mungu akubaliki kipaji unacho tunazid kukuombeya
Waooooooooh hongera Sana Dada irene kwa jitihada mungu akupelekee viwango vingne😍😍
Mungu akuzidishie utubariki kila uchao. 💯
Umenibariki sanaaaa na huu,✴️✴️✴️ natamani uwe ringtone yanguuu
Nielekeze jinsi ya kukupiga kura👋👋👋👋