Ni kweli ila kama hujanoti kitu,hayuko na ile frankly speaking,hajiamini,ana woga wa wazi wazi,kama angekuwa huru kusema anayotamani yeye moyoni mwake kuyasema uadilifu wake ungeuona 🤔.
Mh,mzee Warioba.Mungu yupo upande wako.Nyie wachache mliosalia,Ambao mtu anaweza kuwaita Nyerere Masalia.Lkn Kuna watu Kama akina Wasira,hiyo ni mizigo ya ccm.Hawana hata maana wao ktk Taifa hili,wametuibia Kila kitu,sasa wameparamia Bandari,hawatosheki ,malaya wakubwa.Ngoja wamuharibie mama yao,Kama walivyomharibia mwendaza kwa sifa za kijinga.Huyu naye panga pangua Bandari inaondoka naye.
Bible inasema hivi,aonywae mara nyingi akishupaza shingo yake atavunjika ghafla na asipate dawa,kwa hali ilivyo juu ya suala la bandari na serikali kuonyesha dhamiri ya dhati ya kuendelea nalo, Mimi binafsi nitoe Mawazo yangu kuwa,kama huu uwekezaji utaendelea bila kujali nani na anasema nini basi kuna Giza la usiku wa manane lililoko mbele ya Tanzania,amani ni kitu muhimu sana, bible inasema pia tafuteni kuwa na amani na watu wote na kuwa na huo utakatifu ambao HAKUNA atakaemuona MUNGU muumba wa mbingu na ardhi bahari na vyote vilivyomo viavyoonekana na visivyoonekana bila kuwa nao,Damu ya MTU ikimwagika ardhini ina tabia ya asili ya kulia,zingatia aliyosema MUNGU ktk kitabu cha mwanzo juu ya kaini kumuua habili mtu wa haki,Washauri wa rais bara na visiwani, viongozi wastaafu baadhi,viongozi wa dini,watendaji wakuu CCM,wafanye kikao cha pamoja,wajadili issue ya bandari kwa kina (🙏).
Mmm Leo mi wa kwanza,my likes please..huyo Mzee ni mwadilifu sana, serikali mtumie Kwa manufaa ya wengi kabla hajaondoka Duniani.
Ni kweli ila kama hujanoti kitu,hayuko na ile frankly speaking,hajiamini,ana woga wa wazi wazi,kama angekuwa huru kusema anayotamani yeye moyoni mwake kuyasema uadilifu wake ungeuona 🤔.
Hapendwi tokea kipindi cha katiba mpya
@@emmanuelmbwambo6571 hicho ndo umeona cha maana?
Watu wenye hekima wanaongea taifa lazima lisikilize❤❤❤❤❤❤tz
Congratulations jaji sinde warioba chakale nizaabu
Masikini mzee Warioba ni mvumilivu Sana na sijawahi kusikia hata kijana wake ktk serikali kuwa na kacheo, mpole Sana
Maneno mafupi yenye hekima sana. Tumieni hawa wazee mama yetu mpendwa, watakushauri vizuri.
huyu mzee akiwa pembeni ya samia anaongea. point akiwa mbele ya samia anaongea pumba
Huyu mzee ana hekima sana ika Wasira mh tumwombee
very cool speech, short and clear
Absolutely
Maneno yenye matumain maneno ya hekima Babu wa taifa walioba mungu akubariki na katiba tunaitaka Ile ulio itunga wewe nasikingine
Katika maongezi ya warioba wanasaikolojia mmegundua nini
Sawa mzee
Jaman mwandishi uwe unatoa maneno mwishon bana
Sikio la lkufa halisikii dawa
Ok
Sema Hawa wazeee wangejua wanajichoresha tu, wakuwasikiliza nani? Hakuna kitu kinauzi kama mtu kukuomba ushauri huku anajua anakuchora tu.
Mh,mzee Warioba.Mungu yupo upande wako.Nyie wachache mliosalia,Ambao mtu anaweza kuwaita Nyerere Masalia.Lkn Kuna watu Kama akina Wasira,hiyo ni mizigo ya ccm.Hawana hata maana wao ktk Taifa hili,wametuibia Kila kitu,sasa wameparamia Bandari,hawatosheki ,malaya wakubwa.Ngoja wamuharibie mama yao,Kama walivyomharibia mwendaza kwa sifa za kijinga.Huyu naye panga pangua Bandari inaondoka naye.
Bible inasema hivi,aonywae mara nyingi akishupaza shingo yake atavunjika ghafla na asipate dawa,kwa hali ilivyo juu ya suala la bandari na serikali kuonyesha dhamiri ya dhati ya kuendelea nalo, Mimi binafsi nitoe Mawazo yangu kuwa,kama huu uwekezaji utaendelea bila kujali nani na anasema nini basi kuna Giza la usiku wa manane lililoko mbele ya Tanzania,amani ni kitu muhimu sana, bible inasema pia tafuteni kuwa na amani na watu wote na kuwa na huo utakatifu ambao HAKUNA atakaemuona MUNGU muumba wa mbingu na ardhi bahari na vyote vilivyomo viavyoonekana na visivyoonekana bila kuwa nao,Damu ya MTU ikimwagika ardhini ina tabia ya asili ya kulia,zingatia aliyosema MUNGU ktk kitabu cha mwanzo juu ya kaini kumuua habili mtu wa haki,Washauri wa rais bara na visiwani, viongozi wastaafu baadhi,viongozi wa dini,watendaji wakuu CCM,wafanye kikao cha pamoja,wajadili issue ya bandari kwa kina (🙏).
Pumzika