This song is my daily inspiration,,,even when things tend to be thick ,, jesus is in throne and very much in control..❤❤ powerful so g and beautiful one....
Daah, i can't stop hearing this anthem, i hope it is my 40th time clicking on it repetitively, real i can't wait to attend palm sunday mass, hakika mmeimba
Wimbo mtam umetulia Sana hongera Sana
Hongereni Sanaa
Mungu aendeleee kuwatia nguvu kwa utume
Hosana mwana wa daudi❤🎉
Hongera sana Wanakwaya Wenzangu🎉
Utunzi wa kasindi (joka) hauna baya💯💯💯💯🇹🇿
Ubarikiwe Dada
Nyimbo nzuri sana hongereni sana. Organist umeua kabisa
Asante sana
Mungu awatunze nyote muendelee na utume.
Nimeipend iyo jaman hongeren
Une chanson très douce et agréable !
Que toute gloire revienne au tout puissant !
This song is my daily inspiration,,,even when things tend to be thick ,, jesus is in throne and very much in control..❤❤ powerful so g and beautiful one....
Superb🎵🎶🛐☦
Yaaani inatia moyo sana,Raha kuona na kusikiliza ,Mbarikiwe sana
Hosana, hosana🎉
Hongera kwako,Mungu aendelee kukutunza na kukuimarisha zaidi.,,kazi safi
Hongera kwa sauti nzuri na wimbo wa kutia moyo
Kazi nzuri sana Hongereni sana 💪
Asante sana
Huu wimbo unanipa Neema sana mbele zake Bwana 🙏🙏🙏
Sauti tamu hongereni sana pro studios choir....long live kaka Agrey kakangu mkubwa ishi sana.....
Shukrani saaana. Na karibu sana ndugu
Daah, i can't stop hearing this anthem, i hope it is my 40th time clicking on it repetitively, real i can't wait to attend palm sunday mass, hakika mmeimba
Usiache kwenda kusali. Ubarikiwe saaana
Mbarikiwe saaanaa
Mnanibariki sana
Nyimbo Tamu sana
Hongereni kwa Utume huu uliotukuka!! Hakika Mungu wetu aliye asili ya kila lililojema azidi kuwamiminia Baraka tele!🙏
Shukrani sana
Amazing song❤❤❤❤
Marvellously sweet
Sauti nzuri, waimbaji wazuri, kila kitu kizuri. Baraka tele kwa wahusika wote!
What a combination ❤
Wimbo mtamu sana mbarikiwe sana waimbaji wote
Shukrani sana
Hongereni sana,Kwanza Mmeimba vizuri pia mmetoa wimbo huu mapema na ndio vizuri
Uliwahi kuimbwa na cesilia tabora , waliuimba vzr sn
Kazi njema iliyotukuka sana. Hongereni sana
Hongera kwako dada merry na rele MUNGU awatunze
Kazi nzuri Sana🙏🙏
Nimeupenda sana huu wimbo. Hongera kwa mtunzi, waimbaji na washiriki wote. So sweet and soul soothing. ♥🥰
Thanks soo much. Ur welcome
congratulations! good work
Many many thanks
Nzuri❤❤
Du kitu kitamu sana🎉🎉🎉🎉🎉
Sauti nzuriiii,Hosana Mwana Wa Daudi
🎉🎉🎉🎉❤
Naomba kujua studio yako ilipo
Studio ipo Dar. Segerea kwa bibi. Mawasiliano zaidi 0783481918
Hongereni sana,kazi nzuri
Pro studio mko sawa ❤
Shukrani sana. Karibuu
Kaz nzur 🥰🥰🥰🥰
Wow wow hongereni waimbaji may God continue raising this ministry
Catholic church is the only true church of Christ and I will forever be Catholic.
Kaka mwita napenda sana kazi zako
Asante na karibu
hongeren sana pro studio kwa voice nzuti
Shukrani sana
Vijana zingatieni mapigo japo mmeupiga mwingi
@@edwardedwardbuberwa3701 shukrani sana
Hongereni sana kazi nzuri, Mungu aendelee kuwapa kibali cha kumtumikia🎉🎉
Asante saaana Da. Veronica
Mubarikiwa
Nice song & nice Art
Hongereni Kazi nzuriii
Yaani mnaimba vizur mnastahili pongezi . mimi nawapenda sana ,mtunzi , waimbaji na Mpiga kinanda
Ubarikiwe saaaana
Hongera sauti zenye utukufu.
Mtunzi J. Kasindi ulipita Sengerema boys.( A-level) kama ni wewe tuwasiliane kaka.
Kaz njema sana , hongeraa nyoteee
Shukrani saaana
Wow!
Sauti nzuri na ya kupendeza❤
Sauti nzuri sana, welldone, well composed. Glory to the Almighty God through our Lord Jesus Christ our personal Lord and Saviour.
Nyimbo ya bwino. Good song
Love you all ❤❤❤❤kazi zenu hunibariki mm sanaaa
Shukrani sana
Karibu
❤❤❤
Hongereni sana Relenzina na wengine mlioshiriki
Splendid! Very beautiful voices! Keep going.
Thank u so much
Napenda
Hakika nimebarikiwa na uimbaji wenu...Hossana kwa mwana wa Daudi.
Mmeutendea haki wimbo huu. Hongereni
Karibu sana.
Mtunzi mwenyewe kasema ameridhishwa jinsi mlivyoimba
🙏🙏
Hongereni sana nyimbo nzuri sana
Hosana kwa mwana wa Daudi
Nimeipenda bila kulazimishwa nyimbo tamu sana
Nice song of palm Sunday 🎉🎉
This is music I hv watched 30times🎉❤
Awww. Plz keep watching.. And pls share
My Dady song❤️❤️
naomba namba ya mwl mwita tafadhali
🎉🎉🎉
❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Very nice song. God bless you all.
Thanks soo much
Naeza pata muziki ya hii wimbo
Text me +255744558606
Whatsapp
My people have done it again amazing ❤❤❤. GOD be with you always.
Thanks soo much. Ur welcome
HOSANA MWANA WA DAUD🌿
Hosana hosana mwana wa Daudi
Hi
❤
❤❤❤❤❤❤❤❤
❤❤❤❤❤❤❤
❤❤❤❤❤❤❤❤