Acheni njaa hizo wazee wazima hamna ishuu wakati katubiyeni tena bado mnashuulika na mambo ya dunia mmeboa kweli nyinyi mnatia aibu Zanzibar na wazanzibar hawako hv mnachefua kweli
Wivu huo hamtaki kuona watoto wa watu wakifanikiwa hivi hiyo nyimbo utazikwa nayo kwani?ati hutaki ipigwe pahala popote haya basi mi nasikiza kwangu vizuri sana njoo unishtaki pia mimi nyokoo
Ni kweli mkuu wasanii watanganyika wanaziharubu nyimbo za wasanii wa zanzibar, sasa kama wao ni wasanii kweli kwa nn hawabuni za kwao. Wapigwe faini kubwa hao machogo.
Mnaowatukana Hawa wazee Kua wamrudie mungu washakua watu wazima. Basi mjue kumrudia mungungu vizuri ukiwa na nguvu zako Kama nyie mnaoropokwa mungu yupo kila siku tumia nguvu zako kumuabudu mungu sio uzeeni
umeonaeee Ally Rashid watu sio waelewa,ona hata Diamond alivyo imba nyimbo ya saida karoli alienda kwanza kukubaliana nae kilakitu kinasheria zake bwana sio mnachonga tu
Mi naona watu hawajawaelewa hao wazee. Wakulaumiwa ni Hao walioiga. Ilitakiwa wakawaombe kisha wapate ridhaa ya wamiliki wa wimbo huo kabla ya kuuimba. Yani Kisheria. Na huo ndio UADILIFU, Sio kutoka ukacopy kitu cha mwenzio then ukarudi kwake baadae. SIO KATIKA MUZIKI TU, NI KILA NYANJA KATIKA MAISHA. UADILIFU NI MUHIMU.
tatizo wanaambiwa sera zibadilishwe kwa maana ya kushirikishw zaidi wadau wote na hapa mashabiki wafahamishwe au bhasi kuzijua angalau kwa kiasi ili vitu kama hivi watu wavione kabla ya kutamkwa kwa hoja na sio kishabiki na kimapenzi na wasanii.,vitu vingi bongo ni watu wa afisi tu wanvyo peke yao na hata wanaofahamu ni % ndogo ambao nao labd ni wale wa karibu na hizo afisi na kuwafikia ila kwa sekta hii wawe makini zaidi
Nawala sio njaa iyo ndoilivo kwamana sidii CD ya kasida tuu ukitolesha nilazima ulipe fidia je leo ilo tena mkome sana kusema ninjaa iyo sio njaa kwani walijua kua km sio sheria nandio wakenda kumfata muhusika wakike
Lakini kwakweli ni lini watu watakomaa watu wazima mwajua hakuna kazi mbona msiwaache vijana watafute riziki ni bora waimbe kuliko wajiusishe na vitu ambavyo havivai hata ulipwe hela kapi haitakurithisha,ww mzee acha mambo ya kitoto style up. FROM KENYA.
Mtawapelekaje nandy na aslay kituoni nyie Hiyo n wivu tu kwanza Hao wazee sio wamiliki wa iyo nyimbo mmiliki ni uyo Bibi chakushangaza yy hajaongea kinachowauma hao wazee ni aslay na nandy kupata pesa kuliko wao mwanzoni yaan watanzania bhna Ivi mbona wenzetu wanaimba nyimbo za wenzao na hautoskia ayo majungu ndio maana hatuwez endelea kwa sababu ya ubinafsi wiiiiiii
Jasho la mtu haliliwi salbalkher hakuletwa kwenu nyie kwa kila mja aliyeletwa duniani wivu wann sote tunapita jaman kila kukicha maovu hamuendelei hata niufukara tu umewajaa.
kama mnasema nyimbo zenu zimeharibiwa mbona watu hawatafuti zenu wakaskiliza??? mujue zenu zishapitwa na wakati (mbaya) hapo mnapaswa kuwapongezwa sio kuleta lawama.
Wivuuuuuu wacheni watoto wajiinue,,,,, inaonekana vyuma vimekaza 😏😏😏
Ahhh baada ya kutafta misala mkasali mnalilia nyimbo,,izo njaaa tuuu,,na kwa Allah ivyo ivyo mkalilie nyimbo
njaa mbaya sana
Acheni njaa hizo wazee wazima hamna ishuu wakati katubiyeni tena bado mnashuulika na mambo ya dunia mmeboa kweli nyinyi mnatia aibu Zanzibar na wazanzibar hawako hv mnachefua kweli
Hizo ndizo nyimbo halisi za kizanzibar bwana,zimejaa marashi huchoki kizisikiliza,na bado watakopi sana tu.
Jaaa t huyo mzeee
njaaaaa! jamani wazee ninyi.
Wivu huo hamtaki kuona watoto wa watu wakifanikiwa hivi hiyo nyimbo utazikwa nayo kwani?ati hutaki ipigwe pahala popote haya basi mi nasikiza kwangu vizuri sana njoo unishtaki pia mimi nyokoo
kwahiyo wasidai haki zao wasanii wa sasa watunge zao
Duh amakweli vyuma vimekaza, wazee nama barkashia wanajikongoja kumlilia #ASLAY.. hahaha
Amani na usalama, na Haki iwe...
Hamuwatendei hak hao vijana,roho za kwann hata hofu ya mungu,mmmmh
njaaaa sasa
Acheni kuzingua watu yani nyimbo zenu zisipigwe mpaka mote ruhusa haya basi we unaona inawezekana? Mrudieni Mungu acheni kuwaonea wivu madogo
Ni kweli mkuu wasanii watanganyika wanaziharubu nyimbo za wasanii wa zanzibar, sasa kama wao ni wasanii kweli kwa nn hawabuni za kwao. Wapigwe faini kubwa hao machogo.
Atariiii.jamaniii....
Lkn. Sitayariii wameshaendaaaa hukoo
Mnaowatukana Hawa wazee Kua wamrudie mungu washakua watu wazima. Basi mjue kumrudia mungungu vizuri ukiwa na nguvu zako Kama nyie mnaoropokwa mungu yupo kila siku tumia nguvu zako kumuabudu mungu sio uzeeni
Mtumeeeeee... Jamani tujifunze kuombaa
Sawa sawa kama rahisi kutunga nyimbo si mtunge zenu bana
kama nyimbo hivi zilizoigwa zina copyright then bc wafikishwe mahakamani ila kama hazina copyright no one has the right to judge o sue them...
Upuzi tu si mushukuru ata tumeisikia wachawi nyinyi hamtaki watoto wafanikiwe munataka wavute unga
Tamaaa tu. Mtachotewa amna wasiwasi tuliza boll maalim
kaswalini huko wazee wazima bado mwapenda dunia
Kweli ukifuata sheria Aslay amekosea inabidi aende tu
Aaaa wanawenu hao wainueni msiwaadhibu.
kwn c walienda ama?
Sasa kumbe angalau waliomba rithaa mi nilifikiri walianza kuimba tu!
Acha zako mze
yan hampendi mafanikio ya mtu aslay sinmtoto wenu wazee wengine mushazeeka subrin sku zenu badara utubie ww wataka kura dunia achen hizo
Walipe ndio kwani mtu yeyote yule hakubali kwailo
Sema mnataka ela njaa zimewazidia ish
njaa wasidai haki yao acha ujinga
Reina Philbert hawa wazee njaa tu
kii?!! wazee wazima badala mfanyage ibada mnakua kama watoto, mnatak hela tuu
Kama kuna watu awataki maendelewo na awo. Libaba lizima kwa mtoto daaah pesa izi nimbaya
NJAA MBAYA
sa kama kaimba tu mbona hakusema aje kwenu kwan hajui yeye acheni izo
Wapuuzi hao,walipe.
mhhhhhhhhhhh wivu tu
Dhuluma sio nzuri hata km utaemdhulumu sio muislamu.Dogo alistahili kuomba ridhaa kwa wahusika kabla ya kutoa wimbo huo.
wanahak ya kulilia haki zao lakn wameniboa kusema wimbo umeharibiwa
Kumbe wamepewa hela kwa sasa asley na nandy.wameingiza hela nyingi waongee yaishe
umeonaeee Ally Rashid watu sio waelewa,ona hata Diamond alivyo imba nyimbo ya saida karoli alienda kwanza kukubaliana nae kilakitu kinasheria zake bwana sio mnachonga tu
Duuuh wasameheni jaman
mm naona watu hamjawaelewa hawa wazee hawana shidah ila kwann wasiwafuate na kuwaomba na hao akina asly kwann wasitunge kutumia vichwa vyao
Mi naona watu hawajawaelewa hao wazee. Wakulaumiwa ni Hao walioiga. Ilitakiwa wakawaombe kisha wapate ridhaa ya wamiliki wa wimbo huo kabla ya kuuimba. Yani Kisheria. Na huo ndio UADILIFU, Sio kutoka ukacopy kitu cha mwenzio then ukarudi kwake baadae. SIO KATIKA MUZIKI TU, NI KILA NYANJA KATIKA MAISHA. UADILIFU NI MUHIMU.
dah
ally rashid swadakta
tatizo wanaambiwa sera zibadilishwe kwa maana ya kushirikishw zaidi wadau wote na hapa mashabiki wafahamishwe au bhasi kuzijua angalau kwa kiasi ili vitu kama hivi watu wavione kabla ya kutamkwa kwa hoja na sio kishabiki na kimapenzi na wasanii.,vitu vingi bongo ni watu wa afisi tu wanvyo peke yao na hata wanaofahamu ni % ndogo ambao nao labd ni wale wa karibu na hizo afisi na kuwafikia ila kwa sekta hii wawe makini zaidi
Huyu mzee yuko sawa kabisa kisheria ni makosa
Wamekosea.....
wazee vyuma vimekaza mnataka pesa tu
wazee nyimbo zenu zimesaulika vijana wanarudisha nyie mnapaniniki acheni zogo.
Nawala sio njaa iyo ndoilivo kwamana sidii CD ya kasida tuu ukitolesha nilazima ulipe fidia je leo ilo tena mkome sana kusema ninjaa iyo sio njaa kwani walijua kua km sio sheria nandio wakenda kumfata muhusika wakike
badala ya wazee hawa kuwainua vijana wadogo wanataka kuwavuruka chini soo sad. Tanzania yajulikana kwa ustaarabu na ukarimi. aibu sana
Bongo bhana yaani watu wake cjui wako vip mbona nje zinapigwa nyimbo zinarudiwa kila kukicha pesa haziwezi watosha wote.
We ishia bodaa wacha watoto waimbe
llaana ww baba kipi unatafuta sura zaiislam unafuata ujinga hujui nyimbo niharamu mrudie mungu
Duuuuuh kweli hii Tanzania bahati mbaya wivu huo unawasumbua pamoja na njaa sasa si wameshaenda kwa bibi au ajawapa
tamaa 2 jaman c wameenda nn tena
Hahahha ao wazee vep tena hiyo njaa tuu
😆😆😆😆Vyuma vimekaza
Ukweli utabaki kua ukweli wimbo ni wao wala hakulazimisha wakina aslay waurudie ndiyo walipe pesa kila upande
BONGO BAHATI MBAYA
Mwachee aslay yatima anajitafutia
watunge zaoooooooo
Mmmmh husda izo.....njaa zenu semeni nazo
duuuuuh nishida
Hivi nyinyi kinachowauma nini au hiyo hela
Nyie wazee hivi mmeyamaliza majukumu ya nyumban mwenu au!? Af kma wameiharibu nyimbo wangepataje mamilion!!? Muone kwanza..miwani kama docta Wa mkojo
njaa mbaya sana c mkalime karafuu
ww huna akili unajua sheria
Acheni wivu wazee pesa walizo pata kwenye nyimbo ndio ziliwama nyoo vunjeni bata mkauze ...
mim sioni kam kuna kibaya walichokifanya katika wimbo wao ispokua wanawaenzi na wanawakumbuka sana waimbaj wa zamani
Mzeee was mavuzii wachana na aslay. Ulaaaniweee
njaaa bana mbaya Sana,vyuma vimekaza jamani
njaa ni yule aliyeiba kazi ya watu
Wakauxhe wazee hao
Kwani Huyo Nandy na aslay wana hela si wrote tu maskin kama ww unaelalamika
Nyooooo😷😷
Km anajua sheria haswa iyo sio cheria njaaa tu na yeyr
Lakini kwakweli ni lini watu watakomaa watu wazima mwajua hakuna kazi mbona msiwaache vijana watafute riziki ni bora waimbe kuliko wajiusishe na vitu ambavyo havivai hata ulipwe hela kapi haitakurithisha,ww mzee acha mambo ya kitoto style up. FROM KENYA.
kuna sheria huku sio Kenya
Ni haki hizi ni kazi za watu eti
Munajitia aibu nyinyi wew mzee katafute mswala uswali wacha ubinafs
njaaa iyooooo kudadek rudini kwa mungu nyie maku
Wazee wananjaa
Acheni njaa, pumbavu
njaaa tuuu izo wazeee wazima amuna haya
Mtawapelekaje nandy na aslay kituoni nyie
Hiyo n wivu tu kwanza
Hao wazee sio wamiliki wa iyo nyimbo mmiliki ni uyo Bibi chakushangaza yy hajaongea kinachowauma hao wazee ni aslay na nandy kupata pesa kuliko wao mwanzoni yaan watanzania bhna
Ivi mbona wenzetu wanaimba nyimbo za wenzao na hautoskia ayo majungu ndio maana hatuwez endelea kwa sababu ya ubinafsi wiiiiiii
Hovyooo njaa hiyo
Izo njaa tu na uchawi wa roho
Huyu Aslay kaanza kuharibu sasa
Duh
Wazee wananipa mawazo mjue
Wapeni adabu shenzi ao
Bana hao waigaji mpige mpunga mrefu.
Hahahaha njaa mbaya jamn wazee wazima aibu hawaoni kazi bado kufukuziana na mambo ya kidunia
hizo njaaa ty
Waelewane wawaachie vijana sasa
mbona umri umewatupa mkono
Ilo nalo neno
Izo n njaa tu
😩😩😩😩ukisikia mchawi hatoki mbali nikweli 😈😈😈😈
Mariam Hadija 😂😂😂😂umeona eeh
We mjinga unasema huku si kenya kwani Tanzania kwa mungu? msenge wewe njoo nikufunze adabu.
hahahahaaa eti wamekharibu kabisa
Zee jingine lile limejiegesha kwenye kona kma limebanwa Na haja
Wew mzeekamaumanjaa kalime mapembeee achazako
Mnanjaa tu hela nyie
hapo wazee wetu kosa lipo wapi nyie mmepumzika hao kama wajukuu zenu wakiwa enzi ni kosa maana ya kale ni dhahabu Sijaona kosa.
Jasho la mtu haliliwi salbalkher hakuletwa kwenu nyie kwa kila mja aliyeletwa duniani wivu wann sote tunapita jaman kila kukicha maovu hamuendelei hata niufukara tu umewajaa.
kama mnasema nyimbo zenu zimeharibiwa mbona watu hawatafuti zenu wakaskiliza??? mujue zenu zishapitwa na wakati (mbaya) hapo mnapaswa kuwapongezwa sio kuleta lawama.
ziwe mbaya ni zao kwanini wachukuliwe haki zao acha ujinga