MGOMBEA UBUNGE MUSOMA VIJIJINI AJITOKEZA AELEZA ANAVYOISHI NA NDOTO KUWATUMIKIA WANANCHI!

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 лют 2025
  • MGOMBEA UBUNGE JIMBO MUSOMA VIJIJINI AJITOKEZA AELEZA ANAVYOISHI NA NDOTO YA KUWATUMIKIA WANANCHI!
    Kuelekea zoezi la uchukuaji fomu za kugombe katika nafasi za udiwani na Ubunge Joseph Nyamarege amejitokeza na kutangaza nia ya kugombe nafasi ya Ubunge katika jimbo la Musoma Vijijini kupitia chama cha mapinduzi ccm huku akieleza ndoto zake namna atakavyowatumikia wananchi wa jimbo hilo.
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
    ⚫️ VISIT AMAZON: www.amazon.com...
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506)
    ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
    ⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...

КОМЕНТАРІ • 4

  • @ezekielleonard9343
    @ezekielleonard9343 4 роки тому

    tunaiman nawew kiongozi wetu

    • @rommelmauma8081
      @rommelmauma8081 4 роки тому

      Jina la Rais wetu ni Dkt John Pombe Joseph Magufuli na sio Joseph. .... kama ulivyosema!

    • @rommelmauma8081
      @rommelmauma8081 4 роки тому

      Zaidi, huyo a ayetukimbia, ana wasiwasi; anashindwa hata kupanga hayo makaratasi yake vizuri.

  • @rommelmauma8081
    @rommelmauma8081 4 роки тому

    Jina la Rais wetu ni Dkt John Pombe Joseph Magufuli na sio Joseph John Pombe Magufuli. Jaribu tena baada ya miaka mitano; utakuwa umeiva. Mungu akujalie, yego wa Musanja! Nitakusaidia kwenye kampeni ya kutafuta kura za maoni.
    Mbona video inaonyesha ukikimbia wasikilizaji kujificha ndani ya nyumba na huku bado unaendelea kusema au kutamka dhamira yako ya kuwania Ubunge. Ni kama kuna watu wawili, yaani, wewe tunayekusikilza kwenye video, na "wewe" unayetukimbia! Siku nyingine usikimbie wapigakura wako (wasikilizaji/watazamaji wa video; kaa nao mpaka mwisho wa video, kama unavyodai kuwa wewe hujakimbia ya vijijini!