Mm wema uwe unasoma nyakati,hivyo hata kama una jambo lako kuwa na mwanao private ,mtoto kwa mm hakuwi🥰Wala huna jipya kumchafua wema wetu mbele ya alaiki,,,,,,,,,,wengine tumeshindikana na mm zetu hawawezi ongea lolote
Sisi tuna mtaka wema wama badiliko hatumtaki wema waku busi yana busi yana na wanaume kwenye mitandao wema ana jina kubwa tuna taka atumie jina lake kama fursa aachane na mambo ya kipumbafu pumbafu
WEMA WANGU TUNAKUPENDA BADILIKA SWTHEART WETU❤❤❤❤❤una nyota. Ukijtambua tu utakua THE BEST of all...
Mama Wema sikunyingine ongea kitu kulingana sehem uluyopo
Mi nakupenda tu yaaani...❤All the best!
Mm wema uwe unasoma nyakati,hivyo hata kama una jambo lako kuwa na mwanao private ,mtoto kwa mm hakuwi🥰Wala huna jipya kumchafua wema wetu mbele ya alaiki,,,,,,,,,,wengine tumeshindikana na mm zetu hawawezi ongea lolote
Hongera 🎉 dada nakiangalia ww usiniangushe❤
Sisi tuna mtaka wema wama badiliko hatumtaki wema waku busi yana busi yana na wanaume kwenye mitandao wema ana jina kubwa tuna taka atumie jina lake kama fursa aachane na mambo ya kipumbafu pumbafu
Akibadilika hakuna msanii wa kike wakumkuta
Huyo sweet ashakua shubili sasa. Au limau
Jamani tusimlaumu sana wema kuna mtu ambae anaishi bila ya kuwa na mahusiano why wema
Chimama voo😂😂😂😂😂😂
Ila uyu mchungaji bwana 😅😅😅😅
Shida unafanya machafu tu. Sijui kwanini
Na mazuri hamyaoni?vipi alitoa misaada kwa wasichana mbona humuoni?
Tatizo lako chimama hujiheshe, mu umekua acha mambo ya kitoto
Kakosea wapi tena mtoto wa watu kafulia na whozu wake mbona?
Nakupenda sana wakwetu❤❤