Yeah, reputation ni same, gang ingemblein, ningekuja na ndeng'a I can't believe this day, nilitoka jail nikakujiwa na dem Hii ni ya day ones pekee, morio anzenza Madenge madingo, plus mapinji wa Mukuru kwa Njenga Reputation ni same, gang ingemblein, ningekuja na ndeng'a I can't believe this day, nilitoka jail nikakujiwa na dem Hii ni ya day ones pekee, morio anzenza Madenge madingo, plus mapinji wa Mukuru kwa Njenga
"Obe baba hii ni real, Obe baba hii na kill Aki ya nani na kill If ulionaga kwa misitu Panda miti bila kitu eey Listen Ati ma slay ni wale wa Obe baba bado mimi ndo ule wa Shika hiyo ladha Taste fiti kama Lager, Haga seti kama ladha, fika hiyo bei" 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥💯
Domani Scar Dyana🔥🔥🔥🔥🙌🙌🙌🙌 Mi huzoza mamzinga zile kali kali kama chozi za simba mnabonga mtanishika shati kwa kenja ya mafati mmejificha wapi..? Hii shit mi ucheza daily.This beat goes hard..
Reputation ni same Gang ingemblain ningekuja na ndeng'a I can't believe this day, Nilitoka jail nikakujiwa na dem Hii ni ya day ones pekee Morio anzenza Madenge madingo, plus mapinji Wa Mukuru kwa Njenga Reputation ni same Gang ingemblain ningekuja na ndeng'a I can't believe this day, Nilitoka jail nikakujiwa na dem Hii ni ya day ones pekee, Morio anzenza Madenge madingo, plus mapinji Wa Mukuru kwa Njenga Munga Mi huzoza mamzinga, Zile kali kali kama shuzi za simba Mnabonga mtanishika shati Kwa keja ya mabati, Mmejificha wapi? Mi huwanga na dinga, Lakini bado mi huenda rotejo huko Mtindwa Huezi nitishia life, Mi nilikuwa na du street na patipati Nyi mkivishwa nappy Mi ni Rong Rende boy machachari, Say it to my face unabeef kina nani? Oh my gosh samahani, mitishamba ndio mboga plus ugali flani Hizi side miracle hazifanyikagi, Msee aliniroga aliniacha ka amenilaani Rap game haitaki chali, Na usishangae mbona, Ju ni mimi nimei-marry Lay down flat, stay on your lane Incase haujajuwa utapepetwa Serial killer hatu-fightingi terror, In short tume upgrade weapon Fake ass niggas, back biting haters, Kazi ni ku-update status Wivu juu ni si paper chasers Kwa kila bus station, BS hadi Afya Centre Mi sichezi wazeiya, Mi ukinicross utagenya Kuna dem anashinda akiteta, Akikuja asipate mbogi kwa keja Fine gyal lakini huwezi sema, Pia yeye ni jeshi ya kusumbua feds in Kenya Mayengs hunipenda, Shori denga anataka kuchukua selfie tena Sisi zetu ni hustle, Acha tukuwachie we king castle Managerr alirudishwa home Ju promoter alidai kumeet doshi in person Niko kuber na mandom, eeh Pale Instagram I wrote this caption Munga mi hutembea na machrome Ata nisipo-act Utavuliwa na kovi vihasho Scar Siendi, siendi, Waambie watafute plan B Ndio nikuje watume kwa Pay Bill, Nyi mapromoter siwapendi Shughli kubwa huku spending, Hakuna kitu fupi ka wikendi Ongea bas, what you can't be Appearance, 10Gs Nikizoza hawapendi, Hii ni ya Gikomba na ni Fendi Huku ni kubaya nimeona mengi, Mpaka manugu malaya washenzi I never knew they will play me, Namaanisha kwa radio na telly Eey Revenue looking crazy, Nitakodesha ka Benzo na Bently You talk much hautendi, Youth fund iko pending You fuck niggas just can't be Serious, bullshits trending Eey These old niggas can't bear me, These new niggas ain't family aah These old niggas can't bear me, These new niggas ain't family Nakuwanga roho, On the low but naeza burn na Boy Kidogo nikang'e banga wine, Nikiwa mtoi nilikuwa na gun za toy Dyana Cods Obe babe (yeah) Obe babe si kidogo ni (Mmh) Ka ni mbali mi nafika, sijali na hali Mi mkali niko ndani Ndani Kamali nafika bei Bila chali, nafika bei till Diani Mtoto fulani bei kali Lakini rhyme flow fiti ka Yeezy How many times imma tell you this, I need a nigga like Kanyari He making that money, He making a mummy go low Ka chasing a kulo Feeling da lingo feeling da brew (Huh), The brewery Bella Rosa Cheki manzi bila ring, Jegi fiti bila fake Wanadai kunifeel Obe baba hii ni real, Obe baba hii na kill Aki ya nani na kill If ulionaga kwa misitu Panda miti bila kitu eey Listen Ati ma slay ni wale wa Obe baba bado mimi ndo ule wa Shika hiyo ladha Taste fiti kama Lager, Haga seti kama ladha, fika hiyo bei Reputation ni same Gang ingemblain ningekuja na ndeng'a I can't believe this day, Nilitoka jail nikakujiwa na dem Hii ni ya day ones pekee, Morio anzenza Madenge madingo, plus mapinji Wa Mukuru kwa Njenga Reputation ni same Gang ingemblain ningekuja na ndeng'a I can't believe this day, Nilitoka jail nikakujiwa na dem Hii ni ya day ones pekee, Morio anzenza Madenge madingo, plus mapinji Wa Mukuru kwa Njenga
Nyi wasee ni wanoma Sana🔥🔥🔥
Pia nyinyi sisi wote
"Sisi wote"......Napenda io...kuna siku youths wataungana....
@@ezekielk7694 alaa king umekubaliana na hii maneno??
Mpige collabo
@@Wakadinali This comment is so underrated
There is so much respect in it
Ni mimi tu ndio hurudi uku kuskiza hii song ama tuko wengi? 😊 2024 inaelekea kuisha and I am back!
Tuko wengi brathe... Bangi imenileta hapa
Hii ni anthem man
Tuko wengi 😂
For Real, tuko wengi.
Hehe,,,, ati peke yako,,,,,
Wakadinali...but verse ya Mad Munga imeua. Wapi likes bana
*mac munga
Wanamada ii kitu wakiwa na diana
domani ni beast,....
Ameua kuua!
Mad munga!!! Si man munga
Noma sana
EVEN IF WAKADINALI RELEASE 1000 SONGS, NOTHING CAN BEAT THIS MASTERPIECE. TAKE IT FROM ME
Hahahaha, this is their perfect song for sure😊😅
Facts
"Hii ni ya Gikomba na ni Fendi" 😅
Scar though!
Clever
Dammmn that line got me trippin to though
Under rated
''niko kuber na mandom''
@@michaelmachel3729 eeeeh
This track hits differently when yoh high❤️❤️❤️🔥🔥🔥🔥🔥🔥🚬
Mwahahahahaha!!! Beats taking you to another level
Word.. Kwanza ukiwa jaba morii ni wa zenza
wallai
Where’s the cap😭🙌🏽
Yes, Very...
Like ya scar please please nampenda buree. Guzisha apo tu
👇👇👇
Pia hii mahaters wanakaza matako hehehe
@@peterirungu2904 kabisssaaaa kama wewe
@@lendmeabook8216 Instagram au fb unajiita nani nikufollow
Word!
khalii
Before their commercial success ,hio ndio ngoma Yao ilitrend,before izo zingine 🎧👌🏿
wakadinali can sing for a million years but theyll never sing a better one than this likes for this song chemenii
🔥🔥🔥🔥 Tune in on #Hits984 (Mon - Thur 7-10pm) and catch Morio Anzenza on #TheNewWave #PlayKeMusic
👌
Sisi huskia Jumpoff
@@julubeats hiyo ni ya mbogi wa Gengetone
how does an artist get to be interview by capital fm
@jokajok 🤣🤣🤣
Nipeeni likes za Dyana Codz😂.. give this guys million views fam😎
dyana is lit
Likes za Dyana cods hapa... She's on fleek
woooooooo who be dis mama she shut it down fuuuuuck
salute hii imeweza
Yeah, reputation ni same, gang ingemblein, ningekuja na ndeng'a
I can't believe this day, nilitoka jail nikakujiwa na dem
Hii ni ya day ones pekee, morio anzenza
Madenge madingo, plus mapinji wa Mukuru kwa Njenga
Reputation ni same, gang ingemblein, ningekuja na ndeng'a
I can't believe this day, nilitoka jail nikakujiwa na dem
Hii ni ya day ones pekee, morio anzenza
Madenge madingo, plus mapinji wa Mukuru kwa Njenga
Y'all talking about Scar, yes he's damn amazing, but hamjaskiza huyu dem ama 🤔. She's damn lit 🔥 🔥 🔥. Nipeni likes zake
Qwinceempire Ent amespit flames 🔥 no lie
"Obe baba hii ni real, Obe baba hii na kill Aki ya nani na kill
If ulionaga kwa misitu Panda miti bila kitu eey
Listen Ati ma slay ni wale wa Obe baba bado mimi ndo ule wa Shika hiyo ladha
Taste fiti kama Lager, Haga seti kama ladha, fika hiyo bei"
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥💯
@@TheMoe2310 Mi nimekua niki dhani ni Huba bubba😂
You damn right🔥 she's spitting some real vibes
She spitting 🤟🏽💯
Alafu she so hood like WOAH‼️
Mnabonga mtanishika shati kwa keja ya mabati, mmejificha wapi 🤷🏿♂️... 🔥 🔥 🔥 #RONGHIT
Siendi siendi wambie watafute planB ama walipe kwa PayBill......pia Dyanna ameenza Sanaa rrrrrrraah
#Zozanation #RongRende Wakadinali
U sing about reality not about girls and wealthy big up tupatane 2024 its popp nas new kid
Nimesing along hii song mzae akasema Buda🔥🔥
5yrs later bro.
"Hii ni ya gikomba na ni Fendi....
...I never knew they would play me, namaanisha kwa radio na teli.." SCAR!! 🔥🔥🔥
Buda😂
Hi niya gikomba na ni FENDI.......I felt that
"Never knew that they'll PLAY me, Namaanisha kwa radio na Teli"
😂weh noma
mnabonga mtakam kunishika mashati kwa keja ya mabati,,,mmejificha wapii
Si endi siendi watafute plan B
Wakadinali....ubebab🇯🇲🇯🇲🇯🇲🇯🇲❤❤❤
Hakuna kitu fupi ka weekendi...hii line si iingie kwa national anthem tu
Wapi ma likes ya ssi wasee huskiza Rong Rende tukiwa Uganda... 🔥 🔥
Rap game haitaki chali🔥🔥🔥🔥🔥
na usishangae juu ni mimi nimeimarry🙂🙂
"Mnabonga mtanishika shati Kwa keja ya mabati!..mlijificha wapi?"
Morio anzenza all day
🚀🔥🔥🔥noma wakadinali nawatambua#morio Anzenza🔥🤑inacheza kwa kichwa ya mine kila time nko dudu
I got so much respect to this song it made me know wakadinali huwanga very bad 2023 tunazidi siaka mbaya...
Mafans bado mpoo? Who is here before 1M?...GONGA LIKE
Tupooo
Nani mwingine hurudi huku kuskiza ..ama Niko pekee yangu ♨️♨️♨️♨️
sisi zetu ni justle, acha tukuachie we king castle
so lit. uyo dem jo ako fiti kwa rap game
pita na kalike ka we ni fan wa true
"mi nauza mzinga zile kalikali kama chozi za simba" mistari kali jooh💥💥🕶️
who is here in 2024
😊
Present🔥
25/8/24
Naacha hii comment apa ndo 2040 someone will like it and nikue notified then play it to my kids💥👑 iconic ❤️✔️
5yrs later am playing this to my 5yrs old son just to let him have the same feeling i had 5yrs ago.
I know the director hapati credits but video ni class👌👌👌
This song is highly underrated, it deserves more recognition, 🙌🏼
On god💯
What would you say to a song with 20k views
issa banger .....ipewe heshima yake roho safi
Volume please, BARZZ on this mahn
@@wizmax7773 which one?
Dem ameshinda akiteta akikam asipate mbogi kwa kejaa💥
Nikiwa mtoi nilikuwa na gun zatoy 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
kuna dem anadhinda akiteta, akikuja asipate mbogi kwa keja..Mad Munga🙏🙏🙏
2:43 Nakuanga RAW, on the low naeza burn na boy ( Burna boy)🔥🔥🔥❤️🔥❤️🔥❤️🔥
WENYE BADO WANAREPEAT HII JAM KWA PLAYLIST *LIKE*
Washington Ong'ombe Siku ikiisha kama sjaskia ii ngoma naskia sjafikisha gangsta points for the day
Iendeee ikuje tena
Encore Encore!! Huyu producer pia maze apewe standing ovation! Beat imekubali. #KunaSikuYouthsWataungana
Ako sawa...but anaeza improve on mastering. Kuna vile vocals ziko suppressed sana.
Kabisa!
Alex Vice ama?
back to basics. ndo hio imerudiii
😶🌫😏😏😏
First verse ni fire bana 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥
Diana cods killed it☠️wakadinali nawatambua vibaya mad munga
Kali Sana man
zozanation!!!
hio verse na feel sana ...madenge madingo plus mapinji wa mukuru kwa njenga
Sijui nafanya nini huku,,,pu4e greatness the song is high just like me
Here for Man Munga🔥🔥
me huzoza ma mzinga zile kali kali za simba mnabonga mta nishika mashati kwa keja ya mabati mmejificha wapi?
Nakuanga raw, On The Low but naeza Burn A Boy 😈
Moto Mwaki Fire 🔥🔥💯💯🇰🇪🇰🇪 chu chu
Najua bado munaskiza hii nyinyi magaidi. Siwezi walaumu, pia mimi ni gaidi mwenzenyu
Nakuanga raw, On The Low but naeza Burn A Boy 🔥🔥
Man, kumbe pia wewe ulisikia hiyo....
Hio line hucheza kwa kichwa bure tu haha
😂😂😂
Someone should explain its meaning please😠
Domani Scar Dyana🔥🔥🔥🔥🙌🙌🙌🙌 Mi huzoza mamzinga zile kali kali kama chozi za simba mnabonga mtanishika shati kwa kenja ya mafati mmejificha wapi..? Hii shit mi ucheza daily.This beat goes hard..
Moto 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Wow morio anzenza shaddy ako hapo
Iyo ngoma Kali collabo seizi ngoa..morio Spence.. big up Ken nakucheki
Munga Thanks Kwa Kuwachia My Son King Castle😃🔥😂
💯💯Daamn
Mi schezi wazeiyaaaa, mi ukinicross utagenya!!
Nimetoka Neti Leo,Nimewacha mapinchi wa Mukuru kwa Njenga bana... Free Ndom
🔥⚡ wakadinali 🎉
Kidogo ni nikang'e mbang'a. utapepetwa bro na AK. lakini lyrics iko on point.
This is the greatest Wakadinali song ever 💯
Domani ni 🐐..aiii apana...🙏😆😆🔥🔥
Mad Munga!!!!!! 🔥🔥🔥
Hii ngoma narudia mara kama fotefae before niskie next
Morio wanzenza itabaki kuwa noma 🔥🔥🔥🔥
Domani baba!!!!!!!🔥🔥🔥🐐
Me : Hello Fire Department?
FD : Wakadinali again??
Me : Yeah.
RongRende.
We Dont Call 911..We Respond to 911..🗡🤘🏾
Wakadinali mard joh
@@youngdopeboy1356 haha...mad tings
🔥🔥🔥💣
Fire
Wrong rende ni wrong number kwa 911😊
Guys I can barely understand this song I'm from South Africa
Lakini hawa mamorio wanapeleka hii industry na rieng safi⚡
😂😂😂😂👌🏾
ahahaha
🔥🔥🔥🔥🔥
wewe unatupima
uwe ni south Africa na hunawrite kiswahili
Best song from Wakadinali❤
Sijui Kama Ni Mimi hukam hapa kíla saa kuchéky hii ngoma
Ukidislike hii ngoma unacomment na LOCATION tuje kutembea.
Yeah tutembee tuongee mawili matatu
😂😂😂😂😂😂😂😆
Ahahahaaa... word!
Na madenga madenge madingio plus mapinji wa mukurukwa njenga🤣🤣
Hehehe
1st rapper noma sana
Munga went in too hard😩😩and the flow
haha hii verse ya munga ni hatari bana shieet
Hakuna kitu fupi kama weekendi i feel it
Nomaaa 🔥 🔥 🔥 🔥
Munga kill this track ...nko kuber na madorm ♨️♨️♨️
I never knew they would play me, namaanisha kwa redio na telly. Hey! 🙆♂️🔥 SCAR IS A WORD SMITH 🔥🔥💯💯.
Hii ngoma ni addictive kulingo bangi 🔥
Me huwa na dinga lakini bado me huenda rotejo huko mutindwa... munga killed it🔥🔥🔥
verse ya huyo dem inanimaliza mbaya sana
Mapinji wa mukuru kwa njenga🔥🔥... Serial killer munga eiish
Ukinicross unangenyaaa🔥🔥
Reputation ni same Gang ingemblain ningekuja na ndeng'a
I can't believe this day, Nilitoka jail nikakujiwa na dem
Hii ni ya day ones pekee Morio anzenza
Madenge madingo, plus mapinji Wa Mukuru kwa Njenga
Reputation ni same Gang ingemblain ningekuja na ndeng'a
I can't believe this day, Nilitoka jail nikakujiwa na dem
Hii ni ya day ones pekee, Morio anzenza
Madenge madingo, plus mapinji Wa Mukuru kwa Njenga
Munga
Mi huzoza mamzinga, Zile kali kali kama shuzi za simba
Mnabonga mtanishika shati Kwa keja ya mabati, Mmejificha wapi?
Mi huwanga na dinga, Lakini bado mi huenda rotejo huko Mtindwa
Huezi nitishia life, Mi nilikuwa na du street na patipati
Nyi mkivishwa nappy
Mi ni Rong Rende boy machachari, Say it to my face unabeef kina nani?
Oh my gosh samahani, mitishamba ndio mboga plus ugali flani
Hizi side miracle hazifanyikagi, Msee aliniroga aliniacha ka amenilaani
Rap game haitaki chali, Na usishangae mbona, Ju ni mimi nimei-marry
Lay down flat, stay on your lane Incase haujajuwa utapepetwa
Serial killer hatu-fightingi terror, In short tume upgrade weapon
Fake ass niggas, back biting haters, Kazi ni ku-update status
Wivu juu ni si paper chasers Kwa kila bus station, BS hadi Afya Centre
Mi sichezi wazeiya, Mi ukinicross utagenya
Kuna dem anashinda akiteta, Akikuja asipate mbogi kwa keja
Fine gyal lakini huwezi sema, Pia yeye ni jeshi ya kusumbua feds in Kenya
Mayengs hunipenda, Shori denga anataka kuchukua selfie tena
Sisi zetu ni hustle, Acha tukuwachie we king castle
Managerr alirudishwa home Ju promoter alidai kumeet doshi in person
Niko kuber na mandom, eeh Pale Instagram I wrote this caption
Munga mi hutembea na machrome Ata nisipo-act Utavuliwa na kovi vihasho
Scar
Siendi, siendi, Waambie watafute plan B
Ndio nikuje watume kwa Pay Bill, Nyi mapromoter siwapendi
Shughli kubwa huku spending, Hakuna kitu fupi ka wikendi
Ongea bas, what you can't be
Appearance, 10Gs
Nikizoza hawapendi, Hii ni ya Gikomba na ni Fendi
Huku ni kubaya nimeona mengi, Mpaka manugu malaya washenzi
I never knew they will play me, Namaanisha kwa radio na telly Eey
Revenue looking crazy, Nitakodesha ka Benzo na Bently
You talk much hautendi, Youth fund iko pending
You fuck niggas just can't be Serious, bullshits trending Eey
These old niggas can't bear me, These new niggas ain't family aah
These old niggas can't bear me, These new niggas ain't family
Nakuwanga roho, On the low but naeza burn na Boy
Kidogo nikang'e banga wine, Nikiwa mtoi nilikuwa na gun za toy
Dyana Cods
Obe babe (yeah)
Obe babe si kidogo ni (Mmh)
Ka ni mbali mi nafika, sijali na hali Mi mkali niko ndani
Ndani Kamali nafika bei Bila chali, nafika bei till Diani
Mtoto fulani bei kali Lakini rhyme flow fiti ka Yeezy
How many times imma tell you this, I need a nigga like Kanyari
He making that money, He making a mummy go low Ka chasing a kulo
Feeling da lingo feeling da brew (Huh), The brewery Bella Rosa
Cheki manzi bila ring, Jegi fiti bila fake Wanadai kunifeel
Obe baba hii ni real, Obe baba hii na kill Aki ya nani na kill
If ulionaga kwa misitu Panda miti bila kitu eey
Listen Ati ma slay ni wale wa Obe baba bado mimi ndo ule wa Shika hiyo ladha
Taste fiti kama Lager, Haga seti kama ladha, fika hiyo bei
Reputation ni same Gang ingemblain ningekuja na ndeng'a
I can't believe this day, Nilitoka jail nikakujiwa na dem
Hii ni ya day ones pekee, Morio anzenza
Madenge madingo, plus mapinji Wa Mukuru kwa Njenga
Reputation ni same Gang ingemblain ningekuja na ndeng'a
I can't believe this day, Nilitoka jail nikakujiwa na dem
Hii ni ya day ones pekee, Morio anzenza
Madenge madingo, plus mapinji Wa Mukuru kwa Njenga
Shukran ndugu!
Kabisa!
🔥🔥🔥
All that for 33 likes
used this to make this man ua-cam.com/video/95sz8m_JEw8/v-deo.html
Millioni Moja..#RongRende #SlimVisuals
Hii ni ya gikomba na ni fendi🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Kama uja cheza hio ngoma Mara ×50 then ujui what you r listening to heri uende ukaskize willy Paul kwaza cods naskia akisound poa
Twitter imenileta hapa nijue ni kina nani wanaitwa wakadinali😄 and ... i love it!
Madenge Madingo plus Mapinji wa Mukuru kwa Njenga
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥nakumbuka munga akikuja ruai...dope
Mbogi genie ilijiona imekutana na wabaya