TUNADANGANYANA |1|
Вставка
- Опубліковано 13 вер 2024
- #Bhailam#Rachel#Gumbo#Kim
⭐ Disclaimer
This Content is Totally made by us, Don't use sound or Reupload otherwise we are not Responsible for your Channel!
Subscribe hapa : / @bhailamkhan
Subscribe to Comedy Plus: www.youtube.co...
Like Ukurasa wetu wa Facebook : www.facebook.c...
Jaman jaman jaman nilikiwa nimemumiss kim jaman kim nakupenda sanaa tafadhali uzid kuonekana ivo ivo nakufatilia saaaaan kuanzia kwa CLAM VEVÓ
Lecho leo et shikamo dada afu kimu nakupenda sana bhailam 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Nakukubari endelea nahuyu mchezo tuone utavyo kuwa mbere😂😂wajanja wajanja
Lecho nakupenda haki mzuri na sauti mashallah
Weli nimeipenda kaka bhailam nakubali ukiwa na jeshi lako kim
Good job bhailam nawapnda sna uigizaji wenu mnazidi kutupa vitu vyeny fundisho
Kazi nzuri nawafuatilia nkiwa apa kenya
Hii imechezwa kikomedy sanaa😂😂😂😂
💕💕💕💕💋💋
Leo mara yang ya kwanza kukoment tunaomb mwendelezo wake isiishie hapa hii stori nzuri xana 🔥
Nice to see the lady in braids back. I had missed her.
Tulimmis Kim ❤❤❤❤❤
Ila leo nwele haziko powa😊
Lecho,kimu na bailam nawapenda ❤❤
Nawapenda sana bhailim kim and recho I love u so much
Hahahaha nimeelewa mwishoni kweli niuongo juu ya uongo
Ujanja kwa ujanja🤣🤣🤣🤣
Please 🙏🙏🙏🙏🙏,,,weka part 2 maana noma sana,
Tunapenda sana kazi zenu Pia Huyo Mdada Kama boss napenda napenda uigzaj wake talented
Aki rech wanbamb kwel nakupend san❤💥
Nako ni kudanganyana kweli 🤣🤣🤣🤣
❤❤❤ waah kali😅😂
Nakubali ❤
Umepenza sana
We need part 2 iyendeleshe 😅😅😅
Tanzania? DA? Tunandanganyana.😅😅
Mkaka handaome lakini
Lakini mbona KIM cku hizi anapotea potea jamani!? Mashabiki wengi tunampenda sana KIM asiwe akipotelea hvo ❤❤❤❤❤❤
Aaah!!? Bhailam, hio sio mwisho mzuri.. But you r 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
❤❤❤❤❤❤ uwaga nampendaga kim
Safi sn
Recho nakupenda buree❤❤
Jmn nmemuona gumbo hee nmefurah sana ushatoka ndugu nishke mkono nmi basi
Mashameji wabaya sana
Daaaah kweli hicho kizaizai hatar sijui itakuaje ngoja tusubiri mvua inyeeshee Ila
Hilo jicho la bhailam bhan😂😂😂
nachelewa iuangalia lkn najifujza ving hii inatokea sana kwa wadada wakaz weng jmn kunachakujifunza hapa
Mm nawapenda sanaaaaa ♥️♥️♥️♥️♥️
Kim nlikua nam miss kweli❤...tamaaa plus uongo😅😅😅
Love from chadia official to Burundi
Bhailam I love you ❤
Rachel unanenepa hadi raha
❤
Nice❤
Bhailam,haaaa😂😂na kijicho chakoo
🎉🎉 maua yenu
Hii inaitwa tapeli kakutana na tapeli mwenzie sijuhi Nani atakuwa nshindi😂😂😂😂😂😂😂
Sema uyo dada mweupe ana sura ya kitapel tapel flan hvi anaongea mpk anakera🙄
😂😂😂😂shikamoo dada
Nakukubali sana bahilam
😂😂😂😂 hamjawahi niangushaa
Bhailam cheza kama pasta
😮😮😮 duuuuuuuuuuuuuh kila mmoja unamtumia lecha makopakopa😂😂😂
Part 2 vp🎉🎉🎉
😂😂😂😂
Waoooh Kim uyo
Mambo 🔥🔥🔥
Mabuga Vp hek heka😢jaman
Daah hii kweli uongo juu ya uongo nmelia 😢😢😢😢
Ww unazidi kunenepa au una mimba muzungu
Nawakubali sana
❤❤❤❤❤
Jamn Kim nilikua nimems San 🥰🥰
🎉c. 🎉❤❤❤
I love you KIM
❤😂😂
Wote❤❤❤❤
🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Hahaha😅😅
Duuh
😂😂😂😂 bhailam muuni kweli
Huyù kim nember one
Part 2 please 😘😘😘❤❤❤
Good job 👍👍👍
Uongo promax
Uongo plus uongo 50000ya bailum kwisha habar yake😂😂😂😂ila nmejfunza kitu
Jmn😊
hizi ndo contents za BHAILAM kuigiza, anazijuaga sana
?😂😂😂😂 hiyo sio mitumba yako
Nimemkumbuka. Kimu
50000 imeenda
Bailam hivi Hilo jicho huwa unalitoaga wapi?
Bhailam apa ndokapigwa 50000
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Recho na Kim ❤❤
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Km unakitu
👏👏👏👏🥰🥰😂😂😂😂😂😂
Mtu mzima mimi ni mtoto?
Huyù kim nember one
❤❤
❤❤