PATANISHO : SIKUJUA BABBY DADDY WANGU AKO NA FAMILIA...ALITAKA NIAVIE MIMBA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 кві 2024
  • Radio Jambo Kenya | Ongea Usikike | Ni kituo nambari moja Kenya kwa matangazo ya kiswahili. Vipindi vyake vina jumuisha Spoti,Mijadala moto moto na muziki wa Kiafrika
    #RadioJamboKenya #patanisho #gidinaghostasubuhi
    Subscribe to RadioJambo UA-cam - bit.ly/39wwc6u
    Mitandao ya Kijamii
    Instagram - rb.gy/e154d1
    Facebook - rb.gy/09d1b9
    Twitter - rb.gy/e23220
  • Розваги

КОМЕНТАРІ • 99

  • @MaryMatereadvicer011
    @MaryMatereadvicer011 2 місяці тому +21

    Waaah hii ni uchungu jamani njia haiyambii mtu utakanyaga mafi dah,radio jambo please muwe mnaweka namba ya mtu asaidike kuna watu bado tunajali wengine 😢😢so painful 💔

    • @user-kk4ig9mm8n
      @user-kk4ig9mm8n Місяць тому

      😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊

  • @lukasobiria7912
    @lukasobiria7912 2 місяці тому +9

    Ghost umefikiria vizuri kabisa. The lady felt so secure after being taken home, jamaa amekosea binti wa wenyewe

  • @MargaretAwinja-ls7hx
    @MargaretAwinja-ls7hx 2 місяці тому +6

    Wah this is emotional ,i feel her pains,,bt its time afunguke macho ,hope she learns a lesson and be brave

  • @tumisiokonyo1028
    @tumisiokonyo1028 2 місяці тому +4

    Wasichana tujifunze kufunga miguu ama weka Condom mpangoni. Be careful Men are fond of taking advantage of desperate ladies. Pole Dada

  • @margaretmuranga6862
    @margaretmuranga6862 2 місяці тому +5

    Connect her with one you tube interview kama wambui wa mwangi tusaidie

  • @eunicemuthoni3148
    @eunicemuthoni3148 Місяць тому +4

    I would not want to throw stones at Zawadi,...Gidi Naomba number yake tafadhali,I would love to help her out.

    • @kennykids804
      @kennykids804 Місяць тому

      May God Bless you. Help her pls.

  • @billymankenya
    @billymankenya 2 місяці тому +4

    Baby number 1 is 1 year and 2 months. Baby number 2 is 3 months pregnant. Where are the elderly women who used to teach young girls. They have failed

    • @annyleycoyney7622
      @annyleycoyney7622 Місяць тому

      Siku hizi wanawake walierevu how would she jump into pregnancy while the other kid is a toddler and she have no place to stay ako kwa mtu anaye msaidia!!!family planning zimejaa kwa city council health centre's

  • @Hapaamericana
    @Hapaamericana Місяць тому +2

    Is there a way i can get to this girl.I can take her plus the kids.

  • @zuenanafula4944
    @zuenanafula4944 Місяць тому +1

    Leta number tumsaidie

  • @gracewangari8121
    @gracewangari8121 2 місяці тому +1

    Angejifunga na family planning km alikua aingie kwa relationship Mungu amfyngulie njia some men though😢

  • @halimashaban7637
    @halimashaban7637 Місяць тому +1

    Sometimes mnafaa kusikiza mtu akirequest muweke number public. Wacha kusema hamruhusu

  • @godsfavour5665
    @godsfavour5665 Місяць тому +1

    Waaaah yani mwanaume anaamua kuzika bibi yake akiwa angali hai😢😢😢

  • @marynjeri777
    @marynjeri777 2 місяці тому +3

    Asaidiwe akhi arudi kwao... Woooi

    • @moreh462
      @moreh462 2 місяці тому

      Heri akae huku. Rwanda kuna shida mingi

  • @sylvia3999
    @sylvia3999 Місяць тому

    😢😢😢😢wapi wanaume ,tunza mimba watoto ni baraka ufunge miguu

  • @annyleycoyney7622
    @annyleycoyney7622 Місяць тому

    If the first kid she's rising alone and she has no home with second pregnancy she's not thinking right,,huwezi kuwa unasaidiwa en taking advantage of the support and seems hiyo mambo ya kuomba msaada dio kazi yake,she's on air requesting to give her number watu wamsaidie haraka tu ivo,,,wanyarwanda nawajua sana hupendelea vya bure sana

  • @user-kp9ll1qu5n
    @user-kp9ll1qu5n 2 місяці тому +2

    Hapa mungu tu atende maumivu pole dada

  • @annitabobo5438
    @annitabobo5438 2 місяці тому +1

    Gidi pls nipatie number ya huyo msichana she is going through alot kukuwa na mtoto mdogo na uko na mimba ingine umeficha ndio usaidike that’s too much for that young lady and to make the matter worse si mkenya mimi understand her. Pls Gidi number!

  • @africandeliciousfoods28
    @africandeliciousfoods28 2 місяці тому

    Woooi 😢

  • @esterjailas7374
    @esterjailas7374 2 місяці тому

    Efm
    Tanzania
    Kaliyok

  • @margaretmuranga6862
    @margaretmuranga6862 2 місяці тому +3

    Gidi tupe number ya huyo dada tumsaidie

  • @KarombaraAbdou
    @KarombaraAbdou Місяць тому

    Mean wiwacu niharari hano

  • @jacklineodundo9092
    @jacklineodundo9092 Місяць тому

    Gedy nataka namba yenu please Niko na shida.

  • @flower._kemi
    @flower._kemi 2 дні тому

    @radiojambo weka number ya uyu mama we help her please 😢😢

  • @diackomwansu660
    @diackomwansu660 2 місяці тому

    Nowadays a lot of women have kids from different fathers.

  • @atotibumala7739
    @atotibumala7739 2 місяці тому

    Allingia kenya na Fujo, bila kujua BABA ndiye no.2 Kila tym.... Apanue tu mipaka... Aombe Mungu wake.

  • @adammjomba5814
    @adammjomba5814 2 місяці тому

    Gidi na gosti hiliswala la huyu dada mnyarwanda mngeweka numba yake apatiwe usaidizi hiyo ndio njia mzuri wa msaada hakunanjia nyingine zaidi ya kupatiwa usaidizi aweze kurudi kwao sioni vile anaweza .kutoboa akiwa hapo kenya maisha itakua ngumu zaidi ,LAKINI ukirudi kwao atapata usaidizi na watu wa kwao .( wakenya acheni kudanganya watoto wa wenyewe.

  • @dafgwg4653
    @dafgwg4653 2 місяці тому

    Waah but nyumba iko na bibi unaeza kosa kujua 🤔🤔🤔but wee pole tupee no tumusaidie tu

  • @marrieann5278
    @marrieann5278 2 місяці тому

    Haki Gidi shit happens you can't blame someone zingine ni misukumo watu wameharibu watoto wa wengine wawe tu useless kwa maisha,life is spiritual

  • @moreh462
    @moreh462 2 місяці тому +1

    With that being said. Women should embrace family planning, kama mwanaume hajakuoa rasmi usikubali unprotected sex. Talking as a man..

  • @jemimahnafula9457
    @jemimahnafula9457 2 місяці тому +1

    Thank you ghost kwa akili unakuwanga nayo.Uko chapchap in reasoning mzee kongole.Mtu hajuangi kama anadanganywa and that's it.Pole dada mungu akuonekanie😢

  • @mercyrerimoi7220
    @mercyrerimoi7220 Місяць тому

    😢wanaume . Hadi mipaka mumevuka. Hamna huruma jamani, mnagonga TU mkienda 😂.

  • @AlfredKipzz
    @AlfredKipzz 2 місяці тому

    Zawadi arudi tu kwake no otherwise because ataishi benye ako hadi lini 😢

  • @Oscarmarwa-fitnesstrainer
    @Oscarmarwa-fitnesstrainer 2 місяці тому

    Ni utamu gidi😂😂😂😂😂

  • @mumbisandtmann8931
    @mumbisandtmann8931 2 місяці тому

    Gidi ata hao warwanda nikama wakenya tu i had a a Rwanda man for 6 yrs kunipola tu na hali anapanga harusi kwao kama bado tuko naye ananua manguo ya arusi anandanganya ni za kuuzisha

  • @janemumbikimani
    @janemumbikimani 2 місяці тому +3

    Women Women ,,, ,,,please women....lets stop been taken for granted. I will say Once beaten twice shy...
    Never trust anyone until been introduced to the whole family and get married officially. Lets not emotional and love lead us but 5common senses.
    Zawadi just take care of your pregnancy and move on.wewe umeachwa kama mchwaaaa

    • @kefamwachala2703
      @kefamwachala2703 2 місяці тому +1

      What do you mean? You can be introduced to the family and later get dumped 😊😊

    • @janemumbikimani
      @janemumbikimani 2 місяці тому +1

      I mean in the sense of knowing if the guy is married or not

    • @kefamwachala2703
      @kefamwachala2703 2 місяці тому

      @@janemumbikimani ooh

  • @mariamfritsi4943
    @mariamfritsi4943 2 місяці тому +5

    From Switzerland, hello everyone there.11.04.24.

  • @Mamawesley
    @Mamawesley Місяць тому

    Anather Reason why stawezana na kuzaa mtoto mwingine

  • @FridahMarete-jn8dv
    @FridahMarete-jn8dv 2 місяці тому

    Ngai Gigi na gost waseni kushomea huyo dada unataka arundi Rwanda na KONDOO munyama ako hapo alikuwa anatua nini UBWA hiyo

  • @erastus4349
    @erastus4349 2 місяці тому +1

    This lady was desperate n ready to settle in marriage once given a chance......

  • @user-cg3vf2bl6b
    @user-cg3vf2bl6b 2 місяці тому +1

    Gidy na ghost,ninyi sasa penye tumefika tuanze pahali pakuwa tumasaidia watu kaa hawa Bora kesi ifayiliwe na tujue NI ukweli,MTU apate msada

  • @mercyrerimoi7220
    @mercyrerimoi7220 Місяць тому

    😅my ladies as much as you walk through this streets ensure that a man hajawacha his relatives in your stomach. I mean his or her child...

  • @kefamwachala2703
    @kefamwachala2703 2 місяці тому +2

    Angekuwa Onyango angemchukua kama mke wa pili, lakini Makau....😢

    • @rachelmuch5788
      @rachelmuch5788 2 місяці тому +1

      Hahaha tena Makau anauzanga Cabbage

    • @kefamwachala2703
      @kefamwachala2703 2 місяці тому

      @@rachelmuch5788 😄😊 imagine 🙂🤦

    • @rachelmuch5788
      @rachelmuch5788 2 місяці тому

      ​@@kefamwachala2703nguvu ya Kuzalia mtu wa kuuza Cabbage anatoa wapi

    • @mwendapoleee
      @mwendapoleee 2 місяці тому +1

      Hizo nilaana amejiletea na amezaa watoto ,watoi wanaweza pata shida ama wajukuu wanashindwa nini kumbe madhambi za mzae.

    • @annyleycoyney7622
      @annyleycoyney7622 Місяць тому

      😅😅😅😅

  • @mwendapoleee
    @mwendapoleee 2 місяці тому

    Watu kama hao hawa gumu kushika simu,ni mkora.

  • @winniejoy3858
    @winniejoy3858 2 місяці тому

    Inakuwanga ni kama kuna kitu umefungwa nayo ,,, lszima mtuazae mtoi wa pili ndo aache kutaka kuoleka

  • @jimwafula4733
    @jimwafula4733 2 місяці тому +1

    Zawadi ihangane pe! kandi ubinye ko bintu bitarisawa garuka murugu ark ntagoukuramo inda! Don't be easy to trusting people

  • @kyalomwanzia4921
    @kyalomwanzia4921 Місяць тому

    Nipee yeye cna bibi

  • @christinec740
    @christinec740 2 місяці тому

    Sasa haribia huyo bwana ndoa yake.. huyo jamaa ni mjinga sana eti anaenda kudanganya dem eti hana bibi. Wanaume wengine wanatabia mbaya sana. Mtcheeeew

  • @typohneprofiel515
    @typohneprofiel515 2 місяці тому

    Gidi easy said than Done. She was desperate n hoping to have a husband to build a family. In serch Situation mtu inakua hafikirii. Sorry girl. Tupee number tumchangie ticket arudi home kwa wazazi. She is too young kuhangaishwa na mababa sukari

  • @user-wd3bg2bn5d
    @user-wd3bg2bn5d 2 місяці тому

    Mi ndoa yangu ilivunjika kwa sababu ya murwanda bwanangu ni driver wagari za masafa marefu na wamekua kwa mahusiano kwa miaka minne na nimetoka kwa hio ndoa December akamleta huyo murwanda February nasai yeye pia hayuko ameenda so siwezi judge lakini Hawa kina dada waache kuharibu ndoa za watu

  • @dominicnjoroge8358
    @dominicnjoroge8358 2 місяці тому

    Amepewa zawadi arundi kwao tu

  • @celinejudy1496
    @celinejudy1496 2 місяці тому

    Uyu dem Wcha arudi nyumbani akna njia ingine

    • @mwendapoleee
      @mwendapoleee 2 місяці тому

      Hujui alikotoka,na watoi atawalea aje?

  • @PatrobaP
    @PatrobaP 2 місяці тому

    Kenyan men ni kugonga na kutoroka. Hehe

  • @mr.yahzadochuno7914
    @mr.yahzadochuno7914 2 місяці тому +2

    Jamn c tumchangie pesa jamn nimeumia

    • @susankomu8978
      @susankomu8978 2 місяці тому +1

      Kwani tulimtuma akatobwe?then angetumia protection until aolewe

    • @philliceatieno9165
      @philliceatieno9165 2 місяці тому

      ​@@susankomu8978True, amepata mtoto wa kwanza bahati mbaya tena wa pili, hajui family planning na ziko ata za bure

    • @dicksonkilupa2258
      @dicksonkilupa2258 2 місяці тому +3

      Dada usijali wewe hujaua yupo Mungu mbinguni atakupigania. Wanaomlaumu huyu dada ni wale wataalamu wa ngono, dada ni mwaminifu ndo maana hata mimba zinamkubali. Hongera dada endelea kumcha Mungu usiue.

    • @susankomu8978
      @susankomu8978 2 місяці тому

      @@dicksonkilupa2258 Hongera yanini while anateseka huku nnje akitafuta mwenye mimba huyu Dem hana ata makao..Then mimba yanini?????

    • @susankomu8978
      @susankomu8978 2 місяці тому

      @@philliceatieno9165 Arafu Sasa ndio huyo mwanaume hamtaki Sasa atabeba mzigo wake mwenyewe

  • @nancyoduor9291
    @nancyoduor9291 2 місяці тому

    Zawadi rudi nyumbani uolewe na mrwanda kama wewe..hapa Kenya utapewa character development..ndugu zangu hao nawajua

  • @johngachiani3739
    @johngachiani3739 2 місяці тому +2

    Gidi wakati mwingine weka No. Hewani labda kuna watu wangesaidia huyo dada.

    • @johngachiani3739
      @johngachiani3739 2 місяці тому +1

      Tunaskiza hapa USA japo time difference. Kipindi kizuri . Hongera radio jambo

  • @mwendapoleee
    @mwendapoleee 2 місяці тому

    Wanaume wanaakili za kudanganya wanadada,wengine anakupereka mpaka nyumbani ,anakwambia mpaka watoto wangapi anataka,majina na vile mtalea watoi iliuingie box alafu akuruke.

    • @MaryMatereadvicer011
      @MaryMatereadvicer011 2 місяці тому

      Kabisa saa ile anaita majina beb, sweetheart, love, fish na kadhalika unachanganyikiwa unafikiria unapendwa kumbe wapi

    • @nancyoduor9291
      @nancyoduor9291 2 місяці тому

      ​@@MaryMatereadvicer011😂😂😂 fish tena

    • @MaryMatereadvicer011
      @MaryMatereadvicer011 2 місяці тому

      @@nancyoduor9291 wako na lugha mpaka uingie box akisha kupea ball anahama 😂

    • @mwendapoleee
      @mwendapoleee Місяць тому

      @@MaryMatereadvicer011 mimi jamaa alikunja mpaka nyumbani nikafikiria anataka kupropose ,yaani alikuwa anakaa kwa sitting room yetu nakupiga story kumbe ni story za jaba ,vile aliniruka na dunia zima ilijua sababu nilikuwa siendi mahali bila yy.Wanawake lazima tujue kupinga wanaume stop ,huwezi enjoy pivileges za ndoa kama huja funga ndoa !!!

  • @africanlady9846
    @africanlady9846 Місяць тому +1

    Nampataje huyo dada akuje kwetu nko na ndugu yangu hana bibi.na huwa natamani sana kuwa na.shemeji,hata kama ni fare.nitamtumua watoto ni baraka tutalea bora wakuwe wazima

  • @philliceatieno9165
    @philliceatieno9165 2 місяці тому +1

    Msiba wa kujitakia hauna kilio, At her age hajui kama kuna protection za kuzia mimba?

    • @pauline6300
      @pauline6300 2 місяці тому

      Kuna medhali husema; Usimtukane mkunga na uzazi ungalipo. Tafakari

    • @MaryMatereadvicer011
      @MaryMatereadvicer011 2 місяці тому

      Wah wengi hawapendi kula ndizi na maganda so tusimuhukumu, leo ni yy uenda kesho ni ww hapa ni kumsaidia tu