Mzee umeongea vizuri sana! Umechambua vizuri sana! Iran sasa ina nguvu kubwa kijeshi na tayari wana makombora ya nyuklia. Marekani ikijaribu tu kuishambulia jibu litakalotokea hapo ulimwengu utashangaa!
Hakuna kiongozi mwema wa malekani wote wezio ulaya hawana ujanja kwa waa frika na kwa walabu tukiacha unafiki ulaya wata tupigia magoti ipo siku vituku vyetu vitashisalama
Ukimbana sana paka na akiona hana jinsi hugeuka kua chui mwenye nguvu! Anaweza kuruka na kukurarua usoni! Ni hatari sana! Iran imebanwa sana kwa vikwazo na Sasa imekuwa na nguvu kama chui! Sasa ina nguvu kubwa kijeshi na teknolojia!
Mzee wangu hiyo kauli ya kuwaambia watu israel ndio anapigana ni propaganda anapigana hiyo vita ni marekani,uingereza na nato waambie watu wajue hao ndio wanapeleka jeshi na silaha

Shukran Sheikhe wetu nakufatilia kutoka Qatar
Allah akubarik sheikh wetu from Canada
Waleykum Salam warahmatullah wabarakatuh from 🇴🇲
Ahsantum
Kweli kabisa sheikh kurwa shauri
MaashaAllah shekh
Hakuna kiongozi mwema wa malekani wote wezio ulaya hawana ujanja kwa waa frika na kwa walabu tukiacha unafiki ulaya wata tupigia magoti ipo siku vituku vyetu vitashisalama
Sheikh naomba ikiwezekana uwe unaandaa video kama nne kwa siku kuhusu vita vinavyoendelea video Moja haitoshi na tunakupenda sana
na bado hao mayahudi wapigwe vzr kabisa juu wamezidi kuuwa wenzao
Sasa tumemjua muuaji! Muuaji ni Natanyahu!
Mzee acha unafiki Israeli taifa la ahadi ili Israel itawanyike mungu mpaka apende juwa kuwa Iran nyuma yake kuna mrusi
Ukimbana sana paka na akiona hana jinsi hugeuka kua chui mwenye nguvu! Anaweza kuruka na kukurarua usoni! Ni hatari sana! Iran imebanwa sana kwa vikwazo na Sasa imekuwa na nguvu kama chui! Sasa ina nguvu kubwa kijeshi na teknolojia!
Mzee wangu hiyo kauli ya kuwaambia watu israel ndio anapigana ni propaganda anapigana hiyo vita ni marekani,uingereza na nato waambie watu wajue hao ndio wanapeleka jeshi na silaha
Wafrika sudani wanapigana mpaka sasa je irani imewasaidia au sababu ni waafrika,
We muafrica ndio ukawasaidie wezako
Ukiandikiwa utumwa utakua mtumwa tu,wafrika tutabaki kilalamika,hao tunao watetea je wanatusamini sisi wa afrika,huyo comen anawajua shia wezake tu,.sisi tunawapenda je wao wanatupenda wafrika.,,,, unaongea ukweli kuhusu hao ,ila wafrika tunatambuliwa