BILAL ONLINE TV
BILAL ONLINE TV
  • 863
  • 591 980

Відео

CONGO NA RWANDA KAMA DHAHABU NA ALMASI NI MALI BASI AMANI NI MALI ZAIDI
Переглядів 1202 години тому
CONGO NA RWANDA KAMA DHAHABU NA ALMASI NI MALI BASI AMANI NI MALI ZAIDI
FIRAUNA ALIADHIBIWA NA ALLAH NA LOS ANGELES IMEADHI BIWA NA ALLAH SHEKH KURWA SHAURI
Переглядів 24314 годин тому
FIRAUNA ALIADHIBIWA NA ALLAH NA LOS ANGELES IMEADHI BIWA NA ALLAH SHEKH KURWA SHAURI
HEKIMA UMOJA NA AMANI NDIYO NGAO YETU WA TANZANIA
Переглядів 8116 годин тому
HEKIMA UMOJA NA AMANI NDIYO NGAO YETU WA TANZANIA
CCM IMETEUWA MGOMBEA URAIS MWENYE HEKIMA NA UPENDO KWA RAIA ZAKE
Переглядів 25616 годин тому
CCM IMETEUWA MGOMBEA URAIS MWENYE HEKIMA NA UPENDO KWA RAIA ZAKE
KUSHINDA KWA PALESTINIAN NI KUANGUKA KWA MAREKANI NA NATO
Переглядів 2,6 тис.19 годин тому
KUSHINDA KWA PALESTINIAN NI KUANGUKA KWA MAREKANI NA NATO
AINA ZA KUADHIBIWA DHALIM NI MBILI ITOKAYO KWA ALLAH AU ATAKAYO JIFANYIA MWENYEWE KWA VITUKO VYAKE
Переглядів 53121 годину тому
AINA ZA KUADHIBIWA DHALIM NI MBILI ITOKAYO KWA ALLAH AU ATAKAYO JIFANYIA MWENYEWE KWA VITUKO VYAKE
UJUWE UKWELI KUHUSU LOS ANGELES KAFIRI HARIBIYU HAHIDI KWELI HATA SIKU MOJA SHEKH KURWA SHAURI
Переглядів 212День тому
UJUWE UKWELI KUHUSU LOS ANGELES KAFIRI HARIBIYU HAHIDI KWELI HATA SIKU MOJA SHEKH KURWA SHAURI
KAULI YA TRAMP YAIPONZA NA KUITEKETEZA LOS ANGELES
Переглядів 1,5 тис.14 днів тому
KAULI YA TRAMP YAIPONZA NA KUITEKETEZA LOS ANGELES
LOS ANGELES INAENDELEA KUUNGUWA WASIYO MTAMBUA ALLAH NA ALLAH HAWATAMBUI
Переглядів 27 тис.14 днів тому
LOS ANGELES INAENDELEA KUUNGUWA WASIYO MTAMBUA ALLAH NA ALLAH HAWATAMBUI
NUSRA YA LOS ANGELAS NA MAYAHUDI NI TOBA
Переглядів 9 тис.14 днів тому
NUSRA YA LOS ANGELAS NA MAYAHUDI NI TOBA
HUTBA YA IJUMAA MASJID ABDILLAH TABORA ON 2 KUFANIKIWA KWA WAISLAM KUMONDANI YA KAZI YA TABLIGH
Переглядів 852 місяці тому
HUTBA YA IJUMAA MASJID ABDILLAH TABORA ON 2 KUFANIKIWA KWA WAISLAM KUMONDANI YA KAZI YA TABLIGH
HUTBA YA IJUMAA MASJID ABDILLAH TABORA ON 1 KUFANIKIWA KWA WAISLAM KUMONDANI YA KAZI YA TABLIGH
Переглядів 1452 місяці тому
HUTBA YA IJUMAA MASJID ABDILLAH TABORA ON 1 KUFANIKIWA KWA WAISLAM KUMONDANI YA KAZI YA TABLIGH
KUPOROMOKA KWAJUMBA KARIYAKOO SISI WOTE NI WA MWENYEZIMUNGU NA KWAKE NI MAREJEO
Переглядів 1532 місяці тому
KUPOROMOKA KWAJUMBA KARIYAKOO SISI WOTE NI WA MWENYEZIMUNGU NA KWAKE NI MAREJEO
HUTBA YA IJUMAA MASJID ABDILLAH TABORA ON 2 TABLIGH NDIYO UTI WA MGONGO WA UISLAM
Переглядів 1092 місяці тому
HUTBA YA IJUMAA MASJID ABDILLAH TABORA ON 2 TABLIGH NDIYO UTI WA MGONGO WA UISLAM
HUTBA YA IJUMAA MASJID ABDILLAH TABORA ON 1 TABLIGH NDIYO UTI WA MGONGO WA UISLAM
Переглядів 1982 місяці тому
HUTBA YA IJUMAA MASJID ABDILLAH TABORA ON 1 TABLIGH NDIYO UTI WA MGONGO WA UISLAM
NI WAKATI WA PALESTINA KUJITAWALA SHEKH KURWA SHAURI
Переглядів 6382 місяці тому
NI WAKATI WA PALESTINA KUJITAWALA SHEKH KURWA SHAURI
WAISLAM KUACHA KUWAOMBEA WATU WA GAZA DUA NI UNAFIKI
Переглядів 2012 місяці тому
WAISLAM KUACHA KUWAOMBEA WATU WA GAZA DUA NI UNAFIKI
MAREKANI IMESHINDWA KUWALINDA WA ISRAEL NI WAKATI WA PALESTINA KUJIKOMBOWA INSHAALLH
Переглядів 1,2 тис.2 місяці тому
MAREKANI IMESHINDWA KUWALINDA WA ISRAEL NI WAKATI WA PALESTINA KUJIKOMBOWA INSHAALLH
HUTBA YA IJUMAA MASJID ABDILLAH TABORA ON 2 KUKATAA KAZI YA TABLIGH NI KUANGAMIZA MAISHA YETU
Переглядів 862 місяці тому
HUTBA YA IJUMAA MASJID ABDILLAH TABORA ON 2 KUKATAA KAZI YA TABLIGH NI KUANGAMIZA MAISHA YETU
HUTBA YA IJUMAA MASJID ABDILLAH TABORA ON 1 KUKATAA KAZI YA TABLIGH NI KUANGAMIZA MAISHA YETU
Переглядів 2332 місяці тому
HUTBA YA IJUMAA MASJID ABDILLAH TABORA ON 1 KUKATAA KAZI YA TABLIGH NI KUANGAMIZA MAISHA YETU
HUTBA YA IJUMAA MASJID ABDILLAH ON 2 KIFO CHA S OMAR NI MAZINGATIYO KWA MASHEKHE NA UMATI MUHAMMAD
Переглядів 2812 місяці тому
HUTBA YA IJUMAA MASJID ABDILLAH ON 2 KIFO CHA S OMAR NI MAZINGATIYO KWA MASHEKHE NA UMATI MUHAMMAD
HUTBA YA IJUMAA MASJID ABDILLAH KIFO CHA S OMAR NI MAZINGATIYO KWA MASHEKHE NA UMATI MUHAMMAD
Переглядів 1972 місяці тому
HUTBA YA IJUMAA MASJID ABDILLAH KIFO CHA S OMAR NI MAZINGATIYO KWA MASHEKHE NA UMATI MUHAMMAD
ISRAEL YAPIGWA NA DUNIYA SASA SHEKH KURWA SHAURI
Переглядів 8612 місяці тому
ISRAEL YAPIGWA NA DUNIYA SASA SHEKH KURWA SHAURI
ISRAEL HAIKUFANIKIWA KUWAPIGA WAAJEMI SASA BALAA KUINGIYA UPANDE WAO
Переглядів 8 тис.3 місяці тому
ISRAEL HAIKUFANIKIWA KUWAPIGA WAAJEMI SASA BALAA KUINGIYA UPANDE WAO
HUTBA YA IJUMAA MASJID ABDILLAH TABORA ON 1 MPINGAJI WA MANENO YA ALLAH NA MTUME WAKE HANA SALAMA
Переглядів 3163 місяці тому
HUTBA YA IJUMAA MASJID ABDILLAH TABORA ON 1 MPINGAJI WA MANENO YA ALLAH NA MTUME WAKE HANA SALAMA
SHEKH KURWA SHAURI MADA ATAKAE MUASI ALLAH NA TUME ATAKUWA KAKATAA PEPO
Переглядів 4383 місяці тому
SHEKH KURWA SHAURI MADA ATAKAE MUASI ALLAH NA TUME ATAKUWA KAKATAA PEPO
HONGERA NA DUWA KWA MUHESHIMIWA TULIA
Переглядів 4623 місяці тому
HONGERA NA DUWA KWA MUHESHIMIWA TULIA
AZIMA YA PALESTINIAN NA WAPENDA HAKI INNSHAALLH ITATIMIYA
Переглядів 6643 місяці тому
AZIMA YA PALESTINIAN NA WAPENDA HAKI INNSHAALLH ITATIMIYA
HUTBA YA IJUMAA MASJID ABDILLAH TABORA MPINGAJI WA MANENO YA ALLAH NA MTUME HANA SALAMA
Переглядів 4353 місяці тому
HUTBA YA IJUMAA MASJID ABDILLAH TABORA MPINGAJI WA MANENO YA ALLAH NA MTUME HANA SALAMA

КОМЕНТАРІ

  • @MohamedChengula
    @MohamedChengula 6 годин тому

    Mashallah hakika sheikh

  • @mr.performance2533
    @mr.performance2533 18 годин тому

    Naam shk amani ndio raha ya dunia

  • @MilazoMilazo
    @MilazoMilazo 2 дні тому

    Sa kama wameuchoma wenyewe vipi kuangaika kuzima s wauwache tu

  • @OmariWaziri-h4t
    @OmariWaziri-h4t 5 днів тому

    Wewe unaesema godbles akilihuna

  • @mtulivu-ir1nq
    @mtulivu-ir1nq 6 днів тому

    Umetoa mfano mzuri sana hapo asiekuelewa mpako hapa huyo hajitambui

  • @MikelSitoe
    @MikelSitoe 6 днів тому

    kwangu Mimi naamini kama ni hukumu kutoka kwa Allah,

  • @rahmahabibu1432
    @rahmahabibu1432 6 днів тому

    ❤❤❤

  • @KassimKhalaid
    @KassimKhalaid 6 днів тому

    sie waja wengine tuna shida mungu ndo anaadhibu tu

  • @Ksb-yo9ej
    @Ksb-yo9ej 6 днів тому

    ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @revocatusFransis-qn9ox
    @revocatusFransis-qn9ox 6 днів тому

    Wamemchaguaaaaaaa😮😮

  • @mr.performance2533
    @mr.performance2533 6 днів тому

    Mama mitano tena

  • @TV_RAHA
    @TV_RAHA 7 днів тому

    Kwa mujinu WA vitabu vita haijaisha

  • @Daudimakaza-s1v
    @Daudimakaza-s1v 7 днів тому

    Mbn mnapend kuish kw fikra

  • @georgeurembo4553
    @georgeurembo4553 7 днів тому

    Sheikh kanye ulale, sa hapo Israel kashindwa vita kvp? Nyny c ndo mlikuwa mnalialia kuwa mnaangamia? Ujinga km huu ndo mana Israel anawapiga wapalestina, mnatakiwa mshukuru vita kusitishwa na c kujigamba eti wapalestina wameshinda vita,

  • @Abdul-latifJuma-nr6hf
    @Abdul-latifJuma-nr6hf 7 днів тому

    Wataondoka kweli kwanguvu au kwahiari

    • @georgeurembo4553
      @georgeurembo4553 7 днів тому

      Hlf mnatakiwa mshukuru vita kusitishwa na c kujigamba eti wapalestina wameshinda vita, mkiwatibua Tena waisraeli wataanz upyaaaaa, waisraeli akili zao wanajijua wenyew so mshukuru vita kusitishwa

    • @YusuphRashidi-b1j
      @YusuphRashidi-b1j 6 днів тому

      ​@@georgeurembo4553umeamini waisrael wauaji walikuwa wanaua manabii na watu mbalmbal kama desturi yao nyinyi mkafanya kifo cha yesu ni ukombozi mungu hana ujinga huo

  • @mr.performance2533
    @mr.performance2533 7 днів тому

    Mashaallah Siri kubwa umetoa shk

  • @Nshimirimanazilfa-vd5dw
    @Nshimirimanazilfa-vd5dw 7 днів тому

    Ninema Allah kuleta kheikh

  • @PlacidiaMbekenga
    @PlacidiaMbekenga 8 днів тому

    Atakayerudia kuwachokoza Israel atatafuta kifo chake, na nchi yake itakuwa kama gaza.

  • @mohamedS-yd9wh
    @mohamedS-yd9wh 8 днів тому

    Allah Akbar, Allah Akbar, Allah Akbar, Sheikh wetu ulisema kweli na siyo kutabiri bali ulisoma vitabu na maneno ya Allah na ndicho kumetokea. Tumshukuru Allah kwa kila jambo na ndiye wakutegemewa.

  • @MohamedChengula
    @MohamedChengula 8 днів тому

    Mashallah sheikh

  • @KhalidiBoaz
    @KhalidiBoaz 8 днів тому

    GOD BLESS ISRAEL 🇮🇱 🇮🇱 ISRAEL 🇮🇱 ISRAEL 🇮🇱 ISRAEL 🇮🇱

    • @SaidyMangari-j8k
      @SaidyMangari-j8k 7 днів тому

      No, God can't bless the devil, Allah bless good people, muumin, wake up mr

  • @RajabuMunyandekwe
    @RajabuMunyandekwe 8 днів тому

    Allah alimnusurumtumenamaswahabajeatashindwakuwanusuruwachamungu?

  • @willymwaipaja6783
    @willymwaipaja6783 8 днів тому

    Huku kujidaanganya tu, Marekani inapigwa na moto si kwa sababu ya uislamu, bali kwa sababu uovu umekithiri sana huko na viongozi wake wanahamasisha haki kengeufu za kibinadamu. Ndio wanaohamasisha ushoga na haki za wanawake duniani kinyume na Biblia. Pia ndio ambao wameukengeusha sana ukristo na kuambukiza nchi nyingi kwa huko ukristo feki. Kama moto huo ni kwa sababu ya Gaza, na moto wa sodoma ulikuwa ni sababu ya sodoma kuwaua waislamu??? Msifikiri kwa ushabiki, fikiri kwa ukweli. Mahujaji wanapokufa huko Makka kila mwaka ambapo mwaka jana walikufa kwa moto, je ni kwa sababu ya Gaza. Jehoza ni Mungu wa kweli anaeiadhibu Marekani wala si Allah wa waislamu maana kama angekuwa Allah mahujaji wasingekuwa wanakufa huko kila mwaka. Moto wa Marekani ni matokeo baada ya wasioamini Mungu kumkashifu Mungu na kumdharau kwenye matamsha yao ya kipagani. Na wala sio Allah aliyekuwa anadharauliwa hapo bali ni Mungu wa kweli Jehova, Mfalme wa wafalme, Bwana wa mabwana, Mungu wa Ibrahimu, Isaka na Israeli (Yakobo). Acheni kujipachika mahali pasipowahusu ili kuupamba uislamu katika ushabiki ili kupotosha ukweli. Angalia sababu hizi ua-cam.com/video/MUByJu3PsRg/v-deo.html au ua-cam.com/video/Vrvj0D_K8Cc/v-deo.html ama ua-cam.com/video/JbwVxK-neVk/v-deo.html

  • @MikelSitoe
    @MikelSitoe 9 днів тому

    kweli sheik hata mimi sikubaliani na maneno ya kuwa kama Marikani kakusudia mwenyewe kuchoma moto mji wa Los Angel

  • @MikelSitoe
    @MikelSitoe 9 днів тому

    Basi kama hao wakitaka wapunguze Vitu vi chache basi wamefeli😂😂😂

  • @MohamedChengula
    @MohamedChengula 9 днів тому

    Sahihi kabisaa sheikh

  • @twaibutwabibu8809
    @twaibutwabibu8809 9 днів тому

    Naam Mzee

  • @aliabdillahalialiabdillaha4475
    @aliabdillahalialiabdillaha4475 9 днів тому

    Sahihi kaabisa sheikh

  • @MikelSitoe
    @MikelSitoe 10 днів тому

    hao makafiri wapo hadi Leo mitabia yao ni ya Abu djahal,

  • @MohamedChengula
    @MohamedChengula 10 днів тому

    Mashallah

  • @MachageChacha-c8k
    @MachageChacha-c8k 10 днів тому

    Pole sana mungu atawasaidia

  • @aliyissa9857
    @aliyissa9857 11 днів тому

    Allah akbar

  • @FaizaAli-i6r
    @FaizaAli-i6r 11 днів тому

    Inna Lilah waina ilahi rajioun... Taqi Allah mzee

  • @FaizaAli-i6r
    @FaizaAli-i6r 11 днів тому

    Sheikh Kurwa umenasikitisha sana.. acha kupotosha watu fanya toba

  • @mrafm7285
    @mrafm7285 12 днів тому

    Ni kweli shekhe hao ni viburi waliovuka mipaka lkn Allah ni mbora wa kupanga na kutenda

  • @ArafatAbdulnasaer
    @ArafatAbdulnasaer 12 днів тому

    Subhanallah,Allahu Akbar......!

  • @MikelSitoe
    @MikelSitoe 13 днів тому

    Safi Sana sheik

  • @MohamedChengula
    @MohamedChengula 13 днів тому

    Ukweli kabisa

  • @sarahabdullatif8556
    @sarahabdullatif8556 13 днів тому

    Yaani waisilamu najazba ombeni basi moto wende izraili

  • @sarahabdullatif8556
    @sarahabdullatif8556 13 днів тому

    Kama niazabu kwanini moto usiwake kwa wayahudi hamfikiri hilo Yesu yu malangoni

  • @sarahabdullatif8556
    @sarahabdullatif8556 13 днів тому

    Gaza itaisha hakitasalia kitu mana ndio kwanza

  • @sarahabdullatif8556
    @sarahabdullatif8556 13 днів тому

    Kwakuwa uokovu watoka kwa wayahudi Yesu anarudi hakuna kuingia mbinguni bila kumkiri Yesu

  • @MohamedChengula
    @MohamedChengula 13 днів тому

    Mashallah

  • @sarahabdullatif8556
    @sarahabdullatif8556 13 днів тому

    Hata Palestrina bado kinaemdelea kuwaka tungemtambuwa awa kwanza angesimamisha mashambulizi Palestrina na kukiwasha marekani hapo tungewaona Awa wenu ananusuru napalestina kinaemdelea Hadi Yesu anarudi

  • @sarahabdullatif8556
    @sarahabdullatif8556 13 днів тому

    Waisilamu msimalimalize maneno bado mnapumuwa kwa Yote hayo tunasoma Yesu ndie njia ya kweli nauzima Sisi Awa hatumtambui tunaabudu Mungu alie hai nasio hatuna mungu marehemu

  • @jeandedieunsabimana3348
    @jeandedieunsabimana3348 13 днів тому

    Allah Akbar

  • @Muhamedibrahim-n9t
    @Muhamedibrahim-n9t 13 днів тому

    nab

  • @allyhussein9693
    @allyhussein9693 13 днів тому

    Kweli binadamu tumejisahau, Allah atatunyoosha

  • @barkanassir2528
    @barkanassir2528 13 днів тому

    Allahu Akbar. Allahu Akbar. Allahu Akbar. Eeeee jamanini tuzingatieni mwenyezimungu nimkubwa turudini kwa Allah ❤