Це відео не доступне.
Перепрошуємо.
Davido amnunulia Chioma Nyumba ya kifahari huko Marekani kama zawadi kwa kumzalia Watoto mapacha
Вставка
- Опубліковано 16 жов 2023
- Tembelea www.sns.co.tz kwa habari nyingi zaidi
Follow kurasa zetu za mitandao ya kijamii:
/ simulizinasauti
/ simulizinasauti
/ simulizinasauti
/ simulizinasauti
She deserves moreee . Congratulations 🎊 chiomaaaaa God did it 🙌 👏 💖
Pongezi chioma 👍 umeshahili hili 💜💜💜
Mashaallah mungu awatunzie furaha yenu
God is great and faithfull
God of happiness locate me
Ameeen
Hadi raha jmn
Mashaallah Kheir
Mimi nilipomzalia tu akanipa zawadi ya kumzalisha binti mwingine mtaa wa pili watoto wetu wakapishana week mbili😅😅😅
We polesana😢😂😂
😂😂😂😂😂Tuko wengi dd.
😅😅😅
😂😂😂MUNGU ajaalie salama kwakwel unakuta ndg wanasema Co mtt wao
Hii imeenda😂😂😂
❤❤❤❤ Davido Yuko vzr
anampen mnoo chiom☺
Manshaallah 🎉🫡
Noma sana
Alafu kuna wewe na mimi sasa...😂😂😂😂
🙌🙌
Hongera sana anastahili
😂😂Wadada wakibongo wakiona taarifa kama hizi wanachanganyikiwa wanaanza kutu-pressurize na sisi!
😅😅😅😅😅 ya. Nimecheka kwa sauti
😂😂
@@mariamkhamida9904 😂😂😂😂
Mtangazaji sauti yako na style ya utangazaji INABOAAAAAAAAA inakeraaa mnooo
Usiskizeeee😂😂
Freshi
This is what big artists do😂 ..take note !!!!
Hawa watu wanaela ivyo ni vitu vya kawaida kwao vijana kazaneni fanyeni kazi msikate tamaa
Nakataa kumpangia sawa lakini kumnunulia bado nyumba nje ya Nigeria bado sanaaa ila hongera kwao kupata Twins ❤
Una malaria yamekupanda sas davido ana shidwa nn
@@aminatanzanya7475 we mwehu kweli nyie ndio wanawake mnaodanganywa tuuu mnaliwa hovyo wee apoulipo ushanunuliwa ata bicycle eti anashindwa nini kaa kimya ujui kitu
@@nellymtambo8432 vipi ndugu makasiriko ya nn au umetelekezwa nn
@@nellymtambo8432 kuna kitu nataka kwambia watu hu save pesa nnje ya nnchi zao davido kwao wana pesaaaa sijui wanieoewq wanapesaaa na yy ako na pesaa that's nothing to him kama ako na pesa hashindwi amenunua hajapanga..upo wewe kama umeenda kule kama mtaftaji Huna kitu sasa lazma utaona Big dil😅😅😅..
Kuna wengine wanalipwa mauzii nyiee hata kumjali kidogo tyu kaseshe ndo kwanzaa utamjua mchepuko wake
mond anapanga kwa kuchagua nyumba anayoitaka na sehemu ya kukaa anayoitaka, kuna mwanamuziki ana nyumba nyingi hapa mjini kama diamond labda uwe mgeni hapa mjini
😂🤣😂 team Domo😅
🤣🤣🤣 Imeend mzee baba
Tukumbuke tu diamond bado anapanga huku wangine wanahonga nyumba ya $900.000
Alafu anajigamba anapesa
Apo sasa 🤣anajitekenya
Show moja diamond platnumz anaomba $100.000 kwahio akipiga 9 anaweza kununua mjengo aache kupanga.utopolo mwingi
Ulikuwepo wakati anasign hizo contracts!😂 yaani bado tu hamjamjulia msanii wenu #KIKI
😀😀
@@m___ck799 hamjui 😂😂