UTABIRI MZITO! NABII MWASUMBI Ataja MSHINDI wa URAIS Mwaka Huu, "NILIKUWA Kwenye MAOMBI ya SIKU 30"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 15 сер 2020
  • UTABIRI MZITO! NABII MWASUMBI Ataja MSHINDI wa URAIS Mwaka Huu, "NILIKUWA Kwenye MAOMBI ya SIKU 30"
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
    ⚫️ VISIT AMAZON: www.amazon.com/shop/globaltvo...
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506)
    ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
    ⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltvonline

КОМЕНТАРІ • 73

  • @presseg.6362
    @presseg.6362 3 роки тому +8

    Nabii mungu aendelee kukutumia, mi nampenda Sana Magufuli

  • @kenethfanuel4015
    @kenethfanuel4015 3 роки тому +3

    Kiukweli unabii huu ni timilifu. Mungu awabariki watanzania.

  • @petroshungwa4348
    @petroshungwa4348 3 роки тому +1

    Mungu akubariki na kongamano lote pia

  • @oscarkinyunyu1434
    @oscarkinyunyu1434 3 роки тому

    Mungu nimtakatifu sana wewe nikada wachama ccm nimawazo yako watu wanalia amebaka serikar zamita mungu gan watu wametekwa anatumia nguv kupola baazi yamajimbo mungu hanadhuruma mungu hapendi unyanyasaji ninamashaka naunabiwako

  • @fatumachagudadui3138
    @fatumachagudadui3138 3 роки тому +2

    Amina

  • @Traditionallife-b3t
    @Traditionallife-b3t 3 роки тому +2

    Nabii Wa ccm mi Wa chadema nimeoteshwa NA mungu

  • @joshuaeliya8559
    @joshuaeliya8559 3 роки тому +1

    Hakuna wanyonge Tanzania maana tumeambiwa kinyonge hakitaingia. Ufunuo umeandika wazi

  • @fatumachagudadui3138
    @fatumachagudadui3138 3 роки тому +3

    Na iwe hivyo

  • @peterezrom5194
    @peterezrom5194 3 роки тому

    Watu wa Mungu mnakwama wapi? Kwa nini msihubiri neno la Mungu. Hivi huko kanisani siku hizi hakuna waumini?

  • @orgeneslema9464
    @orgeneslema9464 3 роки тому

    Naona siku sio nyingi zijazo sadaka zitatozwa kodi kusudi manabii wajikite kwenye neno sahihi la Mungu. Maana imeandikwa ya Kaisari mpe Kaisari

    • @belinabaya6977
      @belinabaya6977 3 роки тому

      Nimecheka unashauri kodi iwe asilimia ngapi?

  • @isaackalenge8194
    @isaackalenge8194 3 роки тому +3

    Sasa Mbona Nabii anaegamia upande mmoja?

  • @saidimasudi5595
    @saidimasudi5595 3 роки тому

    Mko wngi kama nyiny mngekuwa mnajishuulisah na biashala mngejuwa ali ilivyokuwa ngumu lia nyie sababu mnategemea sadaka endeleen ila siku ynu moja tu

  • @mariamfaicalhassan2890
    @mariamfaicalhassan2890 3 роки тому

    Kweli Magufuli ni chaguo la Mungu

  • @rodestamsanga4315
    @rodestamsanga4315 3 роки тому

    Yesu ndiye mungu Wa kuabudiwa 1timotheo3:16,warumi 9:5,Isaya 9:6,Yohana 14:7___,Yohana 5:45-47,aminini yesu ndiye mungu Wa kuabudiwa ,Amen.

    • @safiyasafiya5014
      @safiyasafiya5014 3 роки тому

      Yesu kaumbwa ni nabii vipi atakuumba wewe mungu ndio muumba pekee kuitwa mungu

  • @sylviamombo815
    @sylviamombo815 3 роки тому

    Mwakasege ametufundisha kuiombea nchi nyakati zote ndivyo navyofanya namwamini Mungu

  • @ayubumzaire4853
    @ayubumzaire4853 3 роки тому

    Utapata aibu mambo yatakapoenda tofauti, Yaani inaonyesha wazi we Chama cha kijani, Msingizie Roho wa MUNGU kumbe unatimiza ukada wa Chama, Hakuna MUNGU hapo, ni mtazamo wako tu

  • @aminially4456
    @aminially4456 3 роки тому

    Ww kama nan mpaka uwoteshwa na mungu kama c mashaitani

  • @yahyambega2937
    @yahyambega2937 3 роки тому +1

    WASHA KUPOTOSHA WATU KAKOBE KATABILI MLEMA GWAJIMA KATABILI RUWASA WACHA HAYO UNATAFUTA KK HAKUNA MUTU WA MUNGU WOTE WAJA WA MUNGU

  • @emanuelmwanga4
    @emanuelmwanga4 3 роки тому +1

    Hhhhhhhhhhhh yani sahivi manabii kama waganga ni kama vile unaenda kwa mganga anakisia anakuambia mkeo ndo anakuroga alafu ukicheki ujaow wala hun mchumba akuna lolote ushaona upepo magu lazima apite at a Mimi nawza kutabiri acha unafk mmekuwa wanafk sanah

  • @greysondavid3417
    @greysondavid3417 3 роки тому

    Magufuli ni Raid WA maino makuu ya Mungu.

  • @pastorwimile3388
    @pastorwimile3388 3 роки тому

    WATUMISHI WA MUNGU HAWARUHUSIWI KUHUBIRI SIASA
    INAKUWAJE UNAKIUKA MAADILI YA NCHI YETU???????

  • @hemedmohamed426
    @hemedmohamed426 3 роки тому

    Tp

  • @tsitingilembombo9995
    @tsitingilembombo9995 4 роки тому +1

    Watu watawadharau.

  • @greysondavid3417
    @greysondavid3417 3 роки тому

    Wahubiri wrote mliopewa maono aemeni bila kuchoka kwakumseneavhuyu Raid magufuli..Nchi itqfanyika maajabu makuu yakiuxhumi.

  • @oscargeorge2802
    @oscargeorge2802 3 роки тому

    Wew mtumishi kweli au .mnajiraulisha nyie .mnafanya jina la yesu kristo litukanywe

  • @Traditionallife-b3t
    @Traditionallife-b3t 3 роки тому

    Unamaliza bando acha siasa

  • @deomallya9565
    @deomallya9565 3 роки тому

    Pumbavu mkubwa wewe mungu na wewe mwizi wapi

  • @joshuasamson4174
    @joshuasamson4174 3 роки тому

    Agalia watu watakubatua

  • @edwardaugustine6683
    @edwardaugustine6683 4 роки тому

    Michembe hiyo

  • @josephjkimaro4109
    @josephjkimaro4109 3 роки тому

    Wewe ni haujitambui unasaka kula

  • @hoseachahola8270
    @hoseachahola8270 3 роки тому

    Usituletee upuuzi wako nenda kahubiri kanisani waombaji ni wengi

  • @morefireministrychurch177
    @morefireministrychurch177 3 роки тому

    Acha unafiki kwani atujui tunajua akuna mwingine

  • @tetiteti7127
    @tetiteti7127 3 роки тому

    Manabii wa africa asilimia 99 hawawezi kutabiri upinzani kwa sababu huwa picha zina ungua. Ni mmoja alie mtabiria upinzani mwaka huu. Na alimtabiria huyo mpinzani hana wazo hata kidogo alisema huyu akikubari kugombea huyo ndo raisi

  • @saidimasudi5595
    @saidimasudi5595 3 роки тому

    Mtakuja kupata aibu na utabir wenu uwo

  • @hermanricci
    @hermanricci 3 роки тому

    Unabii umetimia

  • @edwardaugustine6683
    @edwardaugustine6683 4 роки тому

    Mda wa michembe

  • @eliyamhecha6565
    @eliyamhecha6565 3 роки тому

    Njaa shida sana ,Mungu atusaidie na Tulehemu.

  • @davidnicholaus5304
    @davidnicholaus5304 4 роки тому +1

    Mmesha anza why?

  • @raphaelsamwel2640
    @raphaelsamwel2640 3 роки тому

    Mnatumia Mungu vibaya!!!m
    Mbona majanga mengine hamsemiiii!!!????

  • @mariamfaicalhassan2890
    @mariamfaicalhassan2890 3 роки тому

    Lissu atatuuza we

  • @thobiasjoel3924
    @thobiasjoel3924 3 роки тому

    Tulia utapewa ubunge

  • @williammwamalanga1065
    @williammwamalanga1065 3 роки тому

    muongo kabisa Nabii wa uongo MIUNGU MWENYEZI AKUKEMEE MUNGU NI MUNGU WA HAKI

  • @davidisack1643
    @davidisack1643 3 роки тому +1

    Njaa ni mbaya sana

  • @felistamaembe4895
    @felistamaembe4895 3 роки тому

    CCM haipenwi Tanzania maana imekimbilia kuwa na miradi mikubwa sana na kuwasahau walipa kodi. Watu wanalipa kodi kubwa sana lakini hakuna mrejesho kwa Wananchi. Hebu fikiria viwanda vingi sana Tanzania havifanyi kazi hawa watu wanaosindikiza misafara ya wagombea kungekuwa na ajira za viwandani misafara ingepata wapi watu. Magufuli miradi kama Ndege, reli za umeme, Fly over ingesubiri kwanza afufue viwanda vijana wapate ajira. Kule India hadi leo wabunge wao wanatumia bajaji, treni zao ni za kawaida tu lakini angalia ukiingia kwenye maduka ya dawa hapa Tanzania dawa nyingi na bidhaa nyingi zinazalishwa India. Mawazo ya Magufuli ni mazuri sana lakini anatakiwa aongoze nchi zenye vipato sio Tanzania. Unanchukulia kodi ya 100,000 kwa mwezi Mtanzania anaepata kipato cha dola moja kwa siku unategemea awe na maisha ya aina gani. Wafanya biashara wamefilisika, Wafanyakazi wamefukuzwa kazi bila kupata masilahi yao, Wana Siasa wanatekwa, Wanapigwa, Wanauwawa, Wanafunguliwa kesi zisizo za msingi jambo ambalo limekera sana Watanzania. Mbaya kabisa Serekali inalitumia jeshi la Polisi ambalo kisheria lilitakiwa lenyewe ndio linalinda Wananchi na Mali zao. Lissu anayajua haya yote na atayasema sana wakati wa Kampeni zake kwa kuwa amefanya kazi za sheria. Watu wanafunguliwa kesi mbaya zisizo na ushahidi wowote na wamejazana magerezani. Mbaya kabisa ile kodi inayokusanywa inaenda kuwalisha watu magerezani ambao mda wao mwingi wanafungiwa tu. Tanzania kipindi hiki cha Magufuli miji imeharibika sana. Hakuna biashara sehemu nyingi zimefungwa na watu hawana fedha za kujikimu kabisa. Watanzania wamekuwa waoga wa kuuliza au kutoa ushauri maana ukijifanya unajua kuhoji unatumiwa na CCM na Serekali yake watu "WASIOJULIKANA"

    • @habibabandru9174
      @habibabandru9174 3 роки тому

      Hivi kumbe humu Kuna watu matopolo, aache kunua ndege, kujenga bwawa la umeme eti atengeza ajira hivi huyu mtu us anasikiliza hutuba za jpm? Hivi utaweka viwanda kea Bei hi ya umeme ambayo walitengeza mafisadi waliopita

    • @samwelombeni6850
      @samwelombeni6850 3 роки тому

      @@habibabandru9174 nashangaa sana pia; yaani rais anafanya kazi namna hii watu hawaoni,?

    • @omarymagembe5368
      @omarymagembe5368 3 роки тому

      Hujui unalolisema,viwanda bila umeme wa kudumu haiwezekani ndio maana Jpm anakazania bwawa la mwl Nyerere liishe ndio utaona ajira zinatafuta watu sio watu kutafuta ajira.Wawekezaji wanaangalia Infrastructure wewe Chadema upepo

    • @habibabandru9174
      @habibabandru9174 3 роки тому

      Ugopeni Mungu wasiojulikana walitengeneza cdm

    • @mariamfaicalhassan2890
      @mariamfaicalhassan2890 3 роки тому

      Upo chooni unahara nini

  • @samluku4014
    @samluku4014 3 роки тому

    Hivi wewe darasa la saba ulifika kweli?

  • @muhidinsaleh6832
    @muhidinsaleh6832 3 роки тому

    Tanzania ina wagonjwa wa Akili wengi sana,Hivi unapotabiri vitu jiulize na vityu vingine kama tume iko sawasawa?na je vyama vyote vina haki sawa katika nchi hii?

  • @rinovarthiliwi1314
    @rinovarthiliwi1314 3 роки тому

    Hakuna Matanzania ambaye hamkubali Tundu Antipasi Lissu tatizo watu wengi wanawaogopa watu wasiojulikana ambao wako wengi sana wamezagaa nchi nzima. Baada ya Magufuli kuingia madarakani aliwafukuza Wafanyakazi 15,008 kwa visingizio vya kuwa na vyeti feki. Badae aliwaajiri "WATU WASIOJULIKANA" takribani idadi hiyo hiyo wengi wao wakiwa vijana wa Kabila lake la KISUKUMA kutoka Kanda ya Ziwa. Hivi kati ya Magufuli na Tundu Lissu nani ni rafiki wa karibu na mnaowaita "MABEBERU". Magufuli anaechukua mikopo na misaada kutoka nje au Tundu Lissu aliepigwa risasi akapelekwa Kenya hajijui na Ubelijiji baada ya kupata nafuu. Serekali ya Magufuli ilijipambanua kuzungumzia "USHOGA" mpaka Makonda akazuiliwa kusafiri kuingia nchi kama Marekani. Walipokaribia kukosa misaada toka Marekani wakafunga midomo na kupokea fedha hizo eti za kuwajengea Wasichana shule na nyumba za kulala. Leo hii wanamgeuzia Tundu Lissu kibao wanamwambia arudi kwa MABEBERU ilihali wakijua yeye ni Mzaliwa wa SINGIDA.

  • @saulmtundu2298
    @saulmtundu2298 3 роки тому +1

    Ole wenu mabaii wa uwongo

  • @kareemmohammed2112
    @kareemmohammed2112 3 роки тому

    Manabii wa uongo wanatafuta kiki

  • @greysondavid3417
    @greysondavid3417 3 роки тому +1

    Kongole ntumishi WA Mungu. RAIA huyu siwakawaida anevuviwa Roho WA Mungu ( spiritually intelligence) Niwachache wayajuayo mambo ya Rihoni.

  • @hamishamis4439
    @hamishamis4439 4 роки тому +1

    Unatafuta rasilimali watu,huna lolote

  • @saulmtundu2298
    @saulmtundu2298 3 роки тому

    Mtachimwa moto siku ya mwisho

  • @eliankya3272
    @eliankya3272 4 роки тому

    Mtu akikwambia kwa ametabiri jpm hatashinda mwangalie mara mbilimbili

    • @festoluhwago287
      @festoluhwago287 4 роки тому +1

      Hata mngepingaje JPM hamtamweza ni kiboko ya mabeberu dunia nzima wanajua.Ngoja aje apate Nobel Prize halafu tuone mnasemaje.Mnavyozidi kumpinga ndio mnadhihirisha ujinga wenu wa kibeberu.

    • @thegreatboss2482
      @thegreatboss2482 3 роки тому

      Huyo ndo atakua nabii wa kweli maana hawa wengine wanaangalia vitu virahis tu amvavyo hata mim naweza sema, lakin yule atakae enda tofauti na hawa watafutia matumbo huyo ndio mwenyew, Prophet yoa are supposed to be unique,.sio kwa sabab fulan kasema basi na wew unasema, we ushaona Maaskof wa kikatolik wanaropoka hovyohovyo kama hao wa madhehebu

    • @habibabandru9174
      @habibabandru9174 3 роки тому

      @@festoluhwago287 Hahaaa nipe raha mie

  • @issacklyandala6669
    @issacklyandala6669 3 роки тому

    Hamna unabii, anataka lakitu kadogo

  • @yonabilshan6424
    @yonabilshan6424 3 роки тому

    Unaongea Nini wewe

  • @mwebraniaonline7001
    @mwebraniaonline7001 3 роки тому +1

    Wewe ni wale manabiii wapumbavu wanaofanya mambo wasitumwa na mungu.