Juma Nature - Ahaa Wapi

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 9 лют 2022
  • Juma Nature | Ugali Album
    DISCLAIMER:
    No copyright infringement intended.
    I do not own the audio in this video. They belong to their rightful owners.

КОМЕНТАРІ • 40

  • @edwinrobert3507
    @edwinrobert3507 5 місяців тому +5

    2024 bado naisikiliza hii ngoma Bonge moja la nyimbo Big Up sana Sir Nature much respect..

  • @salimkombo4004
    @salimkombo4004 10 місяців тому +9

    Anaesikiliza ngoma hii 2023 agonge like

  • @masuseleman978
    @masuseleman978 Рік тому +6

    Nimuache demu wangu eti kisa amesema musa..musa si kama "Paka" akiona kitu ananusa😅

  • @deccapolyclinic7416
    @deccapolyclinic7416 7 місяців тому +2

    Album ya ugali miaka 21 sasa.....enzi hizo..bado iko safi.

  • @simbawateranga7020
    @simbawateranga7020 Рік тому +5

    Hapa naisikiliza ni 29-6-2023

  • @Fingolee
    @Fingolee 11 місяців тому +3

    Nakumbuka mtiahani wangu wa form four nikiwa nimejiandaa vya kutosha nikaamua nipate motivation nikaweka Wimbo huu
    Trust huo ndio mtiani pekee nkapata A

  • @pauldonald5861
    @pauldonald5861 5 місяців тому +2

    Wako kama wangu kwanini umezee mate

  • @keydeemasinga6986
    @keydeemasinga6986 9 місяців тому +2

    Old tupe ngoma ya Tonya ndoa bhna,tunakutegemea sana ktk mambo hyaa,

  • @user-ih1fs3qu3u
    @user-ih1fs3qu3u 5 місяців тому +2

    14/2/2024 naisikiliza

  • @husseinmaingo5009
    @husseinmaingo5009 8 місяців тому +2

    Mwenzenu leo mim nimenunuliwa chen ya dhahab na kila j2 tunaenda kumuona Muumin. Daaa ila Nature

  • @Falcon37339
    @Falcon37339 Рік тому +3

    Enzi hizo pale Radio Free Africa

  • @user-xg3oy9uj6b
    @user-xg3oy9uj6b Рік тому +2

    Wako kama wangu kwanin umezee mate

  • @husseinmaingo5009
    @husseinmaingo5009 8 місяців тому +1

    Hii Albam ya Ugali ilisumbua sana mpk sasa ni balaa

  • @jumashabanijuma7151
    @jumashabanijuma7151 2 роки тому +3

    Nature ngoma kali sana sisiwaenzihizo

  • @saidmakusanya9852
    @saidmakusanya9852 Рік тому +2

    Wako kama wangu kwanin umeezemate

  • @SalimSalim-ls9lg
    @SalimSalim-ls9lg Рік тому +2

    Tabia hazilingani mbinguni moto wa kijani

  • @aminali2677
    @aminali2677 2 роки тому +4

    Nice 🥰🔥🔥🔥❤🇸🇦🇰🇪

  • @emmanuelbawili2264
    @emmanuelbawili2264 Рік тому +2

    Respect Juma nature

  • @MrLanga85
    @MrLanga85 2 роки тому +4

    Musa Kama paka akiona kitu ananusa

  • @benngailo6395
    @benngailo6395 2 роки тому +4

    Classic track

  • @seleshaban5562
    @seleshaban5562 2 роки тому +3

    Tutasakana na mapanga cku tukichoka 2022

  • @user-vp6rw9wz2z
    @user-vp6rw9wz2z 7 місяців тому

    Miso misond

  • @glorytoglory4503
    @glorytoglory4503 7 місяців тому

    27.12.2023

  • @patrickmbaya2747
    @patrickmbaya2747 2 роки тому +2

    2002 hiyo kwa msiojua

  • @edenhighlandshotel
    @edenhighlandshotel 3 місяці тому

    2024

  • @JennySilayo
    @JennySilayo 9 місяців тому +1

    Acha pombe

  • @CoachHafidh
    @CoachHafidh 2 роки тому +3

    Mbna Hamjiandiki nyinyi mnafata dada zetu....😂😂

  • @NEIRAGROUP
    @NEIRAGROUP 3 місяці тому

    Si migazeti mingine inalaani ukiwa mtulivu,
    Nilichogundua mimi kumbe inataka iuzeee🤔🤔🤔 Hii naitoa live na ninataka mjifunze (Sasa hivi)
    Zamani magazeti jamaniii weeeee😂😂😂😂😂😂ukikaa vibaya tu.., kesho umetokea kwenye front page ya gazeti la udaku😅😅😂😂😂😂