Unabaii huu ndio umenifungulia milango ya safari za kimataifa. Safari za nje ya nchi. Jitahidi kusikiliza Kila neno ambalo Mungu amelileta madhabahuni kupitia mtumishi wake. Unajua unapokuwa kanisani SIKILIZA Kila neno kwa mtazamo wa kuwa ni Mungu anaongea nawewe . Na nimemuona Mungu . Kwa mwaka huu 2022 nimekuwa na safari mbili za nje ya nchi katika kipindi Cha MIEZI SITA ya Mwanzo ya mwaka huu 2022.Na nyingine nyingi zinakuja. Mimi ni Mwanamke wa kimataifa 🙏kwa sababu Mungu yuko pamoja nami.
Rev. Kabigumila nimekufatilia siku nyingi humo facebook. Happy to see you physically. Wasiokujua waende FB wakachote mavitu ya mbinguni huko. Ubarikiwe sana.
Mtumishi, naomba uwakumbushe wanawake hapo kanisani waachane na marasta, mawigi na marembo yote ili wasiikose Mbingu, maana unafundisha mafundisho yenye uzima ila wanawake wengi wataikosa kwaajili ya bidhaa za Jezebel.
@@kabigumila Sawa, labda mimi sina upeo wa kuyajua maandiko, ila je, hata shuhuda za watumishi wa Mungu wanaotueleza yale Mungu amewatuma kwetu wanawake tuachane na mapambo yote, tubaki natural, ina maana Mungu hakuwatuma?!
@@kabigumila shuhuda zao wanasimamia maandiko, na baadhi ya maandiko ni hayo nikiyoandika, pia maandiko yapo mengi tu. Natumai hata wewe sio vibaya kufuatilia shuhuda za watu coz wapo hasa ambao Mungu anawatumia.
@@kabigumila Kwa hiyo knsn kwako ruksa rasta, wigi, makeup, suruari na @ kitu ambacho wanawake ambao hawajaokoka wanajiremba navyo na hapo ruksa! Ktk hali ya kawaida tu, sisi ni nuru ya ulimwengu, tunataliwa tuwe tofauti na wasomjua Mungu. Ni heri niwe natural kuliko kung'ang'ana na makorokoro ya duniani humu! Ndo maana wanawake wengi wana mapepo coz hawataki kuacha vitu vyao, watumishi mnakemea mapepo yanatoka, wakitoka ibadani, yanawavaa tena maana yamewekeza kwao!!
@@kabigumila Pia nashauri, watumishi wa Mungu msidharauliane, kuona kua wewe ni bora kuliko mwingine. Mwingine akipewa ujumbe na Mungu baadhi wanaukataa wanataka wao ndo wapewe huo ujumbe! Mungu hana upendeleo, anamtumia mtu yeyote amtakaye, hana mtu special eti huyo ndiye anatumiwa pekee, akisema jambo, basi eti watu wote wakubali! Haiko hivyo. So, wanaopewa jumbe mblmbl na Mungu wapo wengi, hata hao wanaotushuhudia kua wanawake wataikosa Mbingu 7bu ya kupenda kuenenda km dunia. Mi binafsi nilikua nayapenda hayo yoote ila namshukuru Mungu nimeachana nayo, shuhuda zimenijenga sana. Wachungaji wengi hamtaki kuusema ukweli ili watu waingie Mbinguni.
Asante BABA kwa kunipa hatua mpia ya jinsi ya kutembea na Mungu.Ubarikiwe
Waoooh ujumbe mzuri sana Bishop ubarikiwe na Bwana naendelea kunolea na mafundisho haya
Ubarikiwe sana Baba yangu Pastor D.C.K kutuamsha nia zetu kwa habari ya sisi kutembea na Mungu tena🙏
Ameen
Kwa kweli mungu anakutumia kuongoza watu katika kweli pamoja na watumishi wengine katika kristo GOD bless u from MOMBASA KENYA
Unabaii huu ndio umenifungulia milango ya safari za kimataifa.
Safari za nje ya nchi.
Jitahidi kusikiliza Kila neno ambalo Mungu amelileta madhabahuni kupitia mtumishi wake.
Unajua unapokuwa kanisani SIKILIZA Kila neno kwa mtazamo wa kuwa ni Mungu anaongea nawewe .
Na nimemuona Mungu .
Kwa mwaka huu 2022 nimekuwa na safari mbili za nje ya nchi katika kipindi Cha MIEZI SITA ya Mwanzo ya mwaka huu 2022.Na nyingine nyingi zinakuja.
Mimi ni Mwanamke wa kimataifa 🙏kwa sababu Mungu yuko pamoja nami.
Nimefuatilia neno hili zuri tangia mwanzo aisee. Asante Yesu.
Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu kwa mafundisho mazuri.
Mungu Akubariki Mchungaji, Akuinue Viwango Vya Juu
Rev. Kabigumila nimekufatilia siku nyingi humo facebook. Happy to see you physically. Wasiokujua waende FB wakachote mavitu ya mbinguni huko. Ubarikiwe sana.
Amen be blessed man of God I'm really blessed
@@liliannekesa7053 Thank you
Somo nimelielewa Mungu akubariki.
Amen Amen Amen ubarikiwe sana pastor
Amen mtumishi wa Mungu,kwa hakika neno la Mungu linabadilisha,Asante kwa kupitia kwako twabarikiwa.
Najifunza
Huu ndo muda wa miujiza isiyo ya kawaida.
Mungu akubariki Sana mch.
🔥🔥🇹🇿🇹🇿🔥🔥
27th July 2024
Kanisa liwe tayari, na likae kikomandoo na siyo kiulegevu.
Kutembea na MUNGU kibinafsi
Danieli anasema, asomaye na afahamu. Chanjo inabeba maudhui ya mnyama kwa kiwango kikubwa. Ni trella la uhakika kabla ya movie tarajiwa.
Siombi msamaha. Nishakuwa kama wewe. Yaaniiiiii hadi raha.
Yeye aliye na akili na aihesabu hesabu ya mnyama huyu, maana ni hesabu ya kibinadamu.
Mtumishi, naomba uwakumbushe wanawake hapo kanisani waachane na marasta, mawigi na marembo yote ili wasiikose Mbingu, maana unafundisha mafundisho yenye uzima ila wanawake wengi wataikosa kwaajili ya bidhaa za Jezebel.
@@kabigumila 1Yoh 2:15-17, 1Pet 3:3-5 nk.