Nimekaa JELA nchini PAKISTAN, Nimeuza Madawa, WAMEKUFA, Mguu ulivunjika, Sikutembea miezi 11

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 16 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 419

  • @kessynurutajiri4940
    @kessynurutajiri4940 4 роки тому +21

    Baharia Ngurumo yuko vizuri, ana kumbukumbu alizohifadhi kitambo. Big up.

  • @ibykazu3561
    @ibykazu3561 4 роки тому +11

    Tukutuku vichaa 1992-2020 bado tupo viwanjani respect mazee homy ILALA fresh represent B-Town USA.

  • @eliphazyslyvester9574
    @eliphazyslyvester9574 4 роки тому +5

    ....awa ndo wapolo walio msumbua nyereree na ujanja wake 1975-1986 respect uncle

  • @sarahomarijuma9651
    @sarahomarijuma9651 4 роки тому +32

    Old man I like u wanaume wanao jiamini like u walishapoteaga I love u no more like you

  • @kisusudaniel6583
    @kisusudaniel6583 4 роки тому +3

    Jamaa kweli baharia, hizi meli alikuwa anapanda Kama zake, Yani akijisikia kusafiri kwenda mahali anapanda bila nauli, big up mzee wakati Leo mtu akikosa mia nne ya daladala anawaza

  • @wahidashabaz5982
    @wahidashabaz5982 4 роки тому +63

    Bora mkihoji watu kama hawa tunajifunza mambo mengi na kuheshimu wakubwa waliotutangulia katik kutafut maisha sio kuhoji vilaza kila siku km wakina amba ruti

    • @bindawood978
      @bindawood978 4 роки тому +1

      Wahida Shabaz, mara nyingi sana nakukubali coments zako, uko vizuri Maashaallah

    • @allahisone6386
      @allahisone6386 4 роки тому

      @Waida shaban😆salut sn kk😆

    • @kagarukifred7372
      @kagarukifred7372 4 роки тому

      Aiseee huko Poua watu wanao kopi maisha na kupest kama Akina jackline wolper Irene woya na Wema sepetu na vingereza vyao

    • @wahidashabaz5982
      @wahidashabaz5982 4 роки тому +1

      @@bindawood978 😍

    • @wahidashabaz5982
      @wahidashabaz5982 4 роки тому

      @@allahisone6386 mimi ni dada😁

  • @latenitepiano
    @latenitepiano 4 роки тому +78

    “🤩 Hawa Ndiyo Mabaharia Wale Wenyewe Original”

  • @mussakiziyzi408
    @mussakiziyzi408 4 роки тому +20

    Esco mtafute baharia mmoja anapatikana lonq room apo Dar es salaam port,jina lake Ganarey. Mtapiqa kipindi kimoja matata sn

  • @ukhutfatumah1154
    @ukhutfatumah1154 Рік тому

    Vitu vingine nimejifunza vitu shukran sana baba yangu mzee ngurumo

  • @bas2823
    @bas2823 2 роки тому

    Very great very strong man! Proud of U! Tough n strong gentle man👌 keep it up👌👏👍🏽

  • @milanomilanogi
    @milanomilanogi 4 роки тому +11

    Noma jera ya bongo gonga like

  • @alhabibsudi7997
    @alhabibsudi7997 4 роки тому +5

    Ha ha ha Baharia Ngurumo nimependa hapo mwishoni ulipomuonesha mtangazi kuhusu mguu ulioumia kisha ulimpiga jicho moja matata Sana kuwa kipindi kinaisha mtangazaji huyu atatoa pesa ya vocha kwelii😆

  • @saidsuleiman1753
    @saidsuleiman1753 4 роки тому +11

    Namfahamu huyu jamaa alindoka zamani sana, aliondoka mwaka mmoja na kina Sobby Duu, Mjomba Dige, Mazigo na jamaa wengine mpaka leo hawajarudi.

  • @milliondollarbabe5175
    @milliondollarbabe5175 4 роки тому +2

    Mm natamani nimnunulie ticket aende popote anapotaka atafute maisha.......kanichekesha pale aliposema ndo kama ivyo kazi ya ndungu lawama😂😂😂

  • @vero57
    @vero57 4 роки тому +4

    Kweli BABA kazi umefanya ina bidi upewe kiinua mgogo, maisha yana mtiani kwakweli

  • @othmanshahib1115
    @othmanshahib1115 4 роки тому +2

    Hizi story tuzihifazi sana old is gold

  • @mohamedbajun2546
    @mohamedbajun2546 3 роки тому

    Baria safi sana kutoka jaman

  • @tunuhassan7174
    @tunuhassan7174 4 роки тому

    Baharia jina lako zuri ubarikiwe Sana mtumishi yesu anakupenda mpe maisha nauamini awe mwokozi wamaisha yko

  • @kibasamohamedi8029
    @kibasamohamedi8029 4 роки тому +1

    Ipooo vizuriii stories. Safii

  • @MrSokwe
    @MrSokwe 4 роки тому +3

    Mm msafiri bado nipo njiani, sijui lini nitafika, nawaulizia watu kule ninapokwenda naambiwa bado ni mbali 🎤🎷🎺🎸🎧

  • @shamimhayat7637
    @shamimhayat7637 4 роки тому +2

    Mwenyezi Mungu azidi kukusaidia

  • @Nickslarry254
    @Nickslarry254 4 роки тому +4

    Magufuli Ampe huyu kazi ya ubalozi ni mzalendo kamili .he deserves to be recognised I'm a kenyan

    • @eliassospeter
      @eliassospeter 4 роки тому +1

      Hawezi kuwa Barozi labda atafutiwe kazi MV VICTORIA.
      sababu ziko nyingi

  • @abdulkareemchacha2625
    @abdulkareemchacha2625 2 роки тому

    Aisee Big up broo

  • @fadhiliswalehe9286
    @fadhiliswalehe9286 4 роки тому +5

    Weye wanifurahisha mie yuwasimulia stor kama movie vile vijana wa kisasa majasiri kama weye kuwapata sisi ni kazi ati mtaani wamejaa mabishoo tu wana degree zao wanazurura mitaani tu hawana job kazi kuchomekea na kutapeli watu wanatukana serikali kisa no employment ama kweli 50 zmeungua 50 zmepauka

  • @patricialuande9540
    @patricialuande9540 2 роки тому +1

    Yaani huyu kaka ana roho ngumu sana halafu ni shijaa and not scared kabisa!amenisisimua kweli..🥰

  • @danrevelian
    @danrevelian 4 роки тому +2

    Nadhani ungekuwa unamhoji akueleze kwa kila nchi harakati alizozipitia interview ingekuwa bora sana...!!

  • @jaklinifaustini4259
    @jaklinifaustini4259 4 роки тому +1

    Pole, na honger

  • @faridsalim9082
    @faridsalim9082 4 роки тому +2

    Duh Ise 😳 very suspicious! Ukiskia kumaliza bundles ndio huku.Yani baharia huyu hizo ndege alipanda bure kisha nnchi zote kaingia bila kizuizi. 🤓

    • @NR-ll4sr
      @NR-ll4sr 3 роки тому +1

      Hahahahaha Hahahahaha Hahahahaha

  • @hassanimapanga7024
    @hassanimapanga7024 4 роки тому

    We mjuba hii chaneli umetukamata wahuni tunapendaga sana historia za mabaharia walopitaga

  • @sarahomarijuma9651
    @sarahomarijuma9651 4 роки тому +7

    Hy ndio mwanaume sasa big up old man 👴 😘👏🏻

    • @mariumpeter6147
      @mariumpeter6147 4 роки тому

      Huyu ndo baharia kweli sio wale wanaojiita mabaharia wakati hata upepo tu waogopa🤣🤣🤣

    • @sarahomarijuma9651
      @sarahomarijuma9651 4 роки тому

      Marium Peter kabisa ukisikia ngombe azeeki maini ndio hy yn hy km mumeo unajivunia kuwa naye nimempenda bure yn anajiamini kuliko maelezo

  • @mkonosimion1157
    @mkonosimion1157 4 роки тому +1

    Kwa moyo wa utafutaji aliokuanao kwa kipindi icho angebakia bongo angefika mbali sana ki maendeleo, ulaya ameenda sana lakini amna alichovuna hapa somo ni kwetu vijana amna mafanikio ya faster, pia elimu ni muhimi sana.

  • @edyhasan9071
    @edyhasan9071 4 роки тому +3

    Alishajibu yeye akisha ingia kwenye meli huwa anajisalimisha kwa captain sasa ndio hupata hiduma zoteee

  • @TALLUBOY
    @TALLUBOY 4 роки тому +3

    Kwel haw ndiyo baaria original
    Siyo jina

  • @ibrahimrukundo3064
    @ibrahimrukundo3064 4 роки тому +6

    kwakazi za dawa zakulevya hata mie ningekuacha huru ila siningekurejeshea fedha ili upate fundisho.

  • @ismailinusso7893
    @ismailinusso7893 4 роки тому +1

    pole sana mjomba

  • @muniramtika3614
    @muniramtika3614 2 роки тому

    Mbona mtangazaj haoji mfano labda apo ulikuwa na umr gn.iv ama vile mbona upo kimya tu ila stor nzur

  • @lucaskitego6311
    @lucaskitego6311 4 роки тому +6

    sawa shemeji baharia ngurumo. mtoto wa saigoni bagamoyo.. tatizo lako umekula bata sana mamtoni....!!!

  • @maxifrancis3051
    @maxifrancis3051 4 роки тому +1

    Kaka ni vizuri ukawa active kuwauliza wanaosimulia coz wanaflow sana and wanaacha maswali mengi kwetu. Mfano, kasema safari ya kwanza alizamia kwenye meli mara wapo Durban mara michanga mara holand...in short it’s too general!

  • @Daniel-ug6fi
    @Daniel-ug6fi 4 роки тому

    nice story

  • @chesterbrand6723
    @chesterbrand6723 4 роки тому +7

    Broo kazy nzuri umesahau muuliza baharia ngurumo anazungumza lugha ngapy

  • @damianjeremia3821
    @damianjeremia3821 4 роки тому +5

    mmmh Wew mzee ulikuwa unatafuta pesa upande ndege duuuh

  • @issamohammedali8086
    @issamohammedali8086 4 роки тому +1

    Wengi walikuwa kama mende wa sandukuni wameenda nje lakini akili zai hazikusoma chochote walikuwa amezungukwa na wale wale watanzania wenzao hata hizo nchi walizokwenda ni siku mbili na kutwa nzima walikuwa kazini usiku wakitoka ni mabaa kwa masaa tu na kurudi melini. Wengi waliokuwa na marafiki wakizungu ndio walioweza kugeuka kimaisha

  • @ismailyusuph740
    @ismailyusuph740 4 роки тому

    Zamani tunaita ‘ TALIANO...JERUMANI....DULUBENI...GILIKI....!
    Ila zamani hiyo madawa Sio kesi’ nyundo kadhaa unamwagika au ukilipa bondi unamwagwa kitu uraia....!
    Ila Sasa hivi madawa Sio unapotea...!...SALUTI SANA BAHARIA ‘ mabaharia bado tupo TUNABANKA pande hizi...!

  • @kulwajumanne2718
    @kulwajumanne2718 4 роки тому +3

    Baharia duuuuu 🙌 🙌🙌 🙌🙌 🙌🙌 🙌🙌 🙌

  • @daudimpulumba6742
    @daudimpulumba6742 4 роки тому +3

    Mzee salute sana we n kidume asee bongo nyoso jau

  • @modricabdis2796
    @modricabdis2796 4 роки тому

    Hongera

  • @shaabanramadhan6770
    @shaabanramadhan6770 4 роки тому +7

    Hawa ndo mabaharia waukweli big up baharia ngurumo

  • @jamalilitamba7084
    @jamalilitamba7084 4 роки тому +1

    Sasa ndugu yangu naweza kulima makamu hayaa hahahahah safi sana Bahari kwa kutokata taama

  • @jaffarumar5258
    @jaffarumar5258 4 роки тому +2

    😂😂 Stowaway legend,mzae husiende tena hio tosha.ungechanganya europe but ulipenda round tuh...sai ukatry huponi.Technology imechange mzae na pia umri wako umesonga nguvu zimekutoka.

  • @venosacharles7995
    @venosacharles7995 3 роки тому

    Yaani mzee wewe ulikuwa unataliii sio kwamba ulikuwa unatafuta maisha tuseme umetaliii sana😂😂

  • @tozzaalexandar4905
    @tozzaalexandar4905 4 роки тому +1

    👍

  • @kisasarob751
    @kisasarob751 4 роки тому +2

    Baharia ana kumbukumbu kama zote...kazunguka dunia, hadi kaacha majembe nepal huko german hatare sana...

  • @pembemussa2804
    @pembemussa2804 4 роки тому +3

    Biashara ya madawa ni sawa na Maji kupwaa Maji Kujaa, ila yote kwa yote piga keleelee kwa Mabaharia wote from +255 kitambo kwenye game watu wapo mpk Vietnam huko miaka hiyo ya 70's

  • @andersonchibule4761
    @andersonchibule4761 4 роки тому +4

    Lov your program Esco. Keep it up broh

  • @fatmaali4282
    @fatmaali4282 3 роки тому +1

    Shem Km Shem🥰

  • @mohamedjuma1878
    @mohamedjuma1878 4 роки тому +2

    Mabaharia bana story zao zinakuwa ndefu kweli yaani lakini maisha yao mwisho ni shida tupuu

  • @shabanalphonice6571
    @shabanalphonice6571 4 роки тому +3

    Huyu baharia kweli anajieleza kwa makini hawafelishi mabaharia mana wote kwakujieleza magwiji

  • @ruthkimaro6137
    @ruthkimaro6137 3 роки тому

    Jamaa kwa idadi tu ya Nchi alizopita stori yake ingechukua hata mwezi!
    Lakini kwasababu ripota mwenyewe nayeye anamshangaa tu kama sisi imechukua dakika 37 tu

  • @aminaabdallah3644
    @aminaabdallah3644 4 роки тому +8

    Respect to you bro yani maish haya kweli watu wanatoka mbali🤗👊

  • @mustafaahmad3585
    @mustafaahmad3585 4 роки тому +4

    😂😂😂😂😂😂seamen book na nikijificha siibuliwi

  • @janenjeri3254
    @janenjeri3254 4 роки тому +6

    Huyu Mwanume yale aliapitia Alha knows ' Njameni umekua kaa huna kwenyu

  • @mkolwebrown4599
    @mkolwebrown4599 4 роки тому +1

    Ivi mtangazaji ana akili sawa sawa. Mtu anajieleza tu hakuna maswali.haijulikani alifikia italy kwanni wakati yeye mgeneni. Walikula nni kutoka tz mpaka huko norway

  • @inspirationmessages8420
    @inspirationmessages8420 4 роки тому +39

    Kwa hizi Root anazozisema baharia hata MAGUFULI
    hajawah kupiga Root hizo

  • @chezarygeorge2666
    @chezarygeorge2666 4 роки тому +2

    ooooh mimi bahari toka buza acha ungese, hawa Ndo mabaharia

  • @emmanuelchejo6438
    @emmanuelchejo6438 4 роки тому +8

    kuna vtu nilijua utamuuliza . kumbe na ww hujui kunogesha stor baharini kuna mengi nyie,,

  • @saeedmassoud256
    @saeedmassoud256 4 роки тому +4

    This dude is so hustla shout out to him

  • @paradisetv4972
    @paradisetv4972 4 роки тому +4

    Ndio kwanza namsikia mzee leo anasema alifel lakn wengine wao wanakuwa wakwanza wakifel wapil

  • @awatifalghanim1106
    @awatifalghanim1106 3 роки тому

    Bro. hebu sasa pumzika hapo nyumbani.

  • @Mpakauseme
    @Mpakauseme 4 роки тому +4

    Pole sana

  • @mrsliverpool4235
    @mrsliverpool4235 4 роки тому +5

    Huyu jamaa nimemkubali Sana
    Natamani Nipate nafasi kama hiyo nimwambie twende wote😘😍😋

    • @asmahhamis9416
      @asmahhamis9416 4 роки тому

      Mbona simple njoo nikutie kwa begi

    • @zayedalnahdi6033
      @zayedalnahdi6033 4 роки тому

      Kwa karne hizi utanyongwa na kutupwa baharini😂😂😂

    • @mayaally2512
      @mayaally2512 Рік тому +1

      Kipindi hicho ilikuwa wanaume hawapendi mikundu ya wanaume wenzao😂😂😂😂 nw utafirwa hatari

    • @mrsliverpool4235
      @mrsliverpool4235 Рік тому

      @@mayaally2512 Hiyo ni kweli🤣😂😄😅😅

  • @manaselukumay823
    @manaselukumay823 4 роки тому +1

    Hahahahahahahahaha.nikipata nafasi naondoka

  • @luckyfamilychannel3161
    @luckyfamilychannel3161 3 роки тому

    Mtoto wKe yuko Germany wapi na majina yake kamili na taon anayo ishi naweza kusaidia nikipata izo vitu

  • @khamisrubea5083
    @khamisrubea5083 4 роки тому +46

    Mabaharia wa zamani wanaenda ulaya bure

  • @hassanovajunior6972
    @hassanovajunior6972 4 роки тому +7

    Vuka Ferry Likoni/Mtongwe Mombasa Kenya Bro Kuna Mabaharia Pale Wana Madini Sio Kitoto Utafrahi🇰🇪🇰🇪😁😁😁😁😁😁

    • @amiriramadhan7753
      @amiriramadhan7753 4 роки тому

      Akuje hata hapa ganjoni liwatoni hapa leli way akutane na baharia abaa mtaita alieingia Europe amenipa hadi book ya French nijifunze ambayo hiyo alipewa alikwenda french na meli ili ajifunze asipate shida akifika huko

  • @mbaroukhamza5345
    @mbaroukhamza5345 4 роки тому +3

    Mzee mkweli, ila kuhadiithia jambo lililopita kuna shida,

  • @josphinedarani6203
    @josphinedarani6203 4 роки тому +7

    Huyu jamaa yuajua nchi wacha mchezo ukweli mtupu baharia

  • @kulwajumanne2718
    @kulwajumanne2718 4 роки тому +1

    Nimekubaliii hiii show

  • @hizim6699
    @hizim6699 4 роки тому +6

    Nani kaona mtangazaji kasahau kumuuliza mara ya pili alipokamatwa aliletwa kuja kufungwa bongo miaka mingapi ?

  • @davidwalalason7630
    @davidwalalason7630 4 роки тому +3

    To succeed in life one has to take risk.

  • @lameckmichael2388
    @lameckmichael2388 4 роки тому +5

    Duh?wengine kuingia nchi nyinginetu tunauoga mpaka sababu marum lakini wengine wanajitupia kutafta maisha du?

  • @blendembesimba
    @blendembesimba 3 роки тому

    Karibu tena mzee 🇮🇹italy@papasimbadécor

  • @martinmnzava9053
    @martinmnzava9053 4 роки тому +8

    Ulikuwa mzururaji, kwanini hukutulia sehemu moja ukafanya kazi.

  • @kimwelshebuge8772
    @kimwelshebuge8772 4 роки тому +1

    Sio mabaharia wa sasa umezaliwa mwanyamara umesomea makumbusho halafu miaka 21 anakaa kwa mama halafu unajiita baharia mabaharia ndo hawa

  • @msafirisehaba1423
    @msafirisehaba1423 3 роки тому

    Momesa trader manta line

  • @hassanhamiduhassanbarwan1450
    @hassanhamiduhassanbarwan1450 4 роки тому +1

    Vijana wa zamani walikuja wanajituma sana ila vijana wengi wa kile wanajiacha tu. Maneno mengi na dharau

  • @babujay8247
    @babujay8247 4 роки тому +1

    Bro ngurumo Kuna mtu mmoja umemtaja hapo challome ni bro wangu Mimi ni mdogo wake sema nadhani ufahamu vizuri chalome hayupo dunia alifariki kitambo tangu 2010 au 2011 amezikwa makaburi ya nwinyimkuu magomeni ni nakufahamisha tu bro ngurumo Kama unasoma hizi sms να είσαι καλό βράδυ αδερθε μου ενταξει

  • @husseinkonz5192
    @husseinkonz5192 4 роки тому +2

    Nyie mabaharia mnafel wap lakin matembez mengi mwisho wa siku inabaki stor tuu

  • @HemedyWaziri
    @HemedyWaziri 11 місяців тому

    R.I.P baharia ngurumo mwanangu sana bagamoyo moja nianjema mchuzi mate steert

  • @machintangachibwena5922
    @machintangachibwena5922 4 роки тому +11

    Muulize baharia mwanawe wa Germany yupo mji gani na anaitwa nani mama yake anaitwa nani

    • @pichunakichuna2111
      @pichunakichuna2111 4 роки тому

      MACHINTANGA CHIBWENA nice point 👏🏾👏🏾👏🏾👍🏿

    • @thomasraiton7760
      @thomasraiton7760 4 роки тому

      Hapo mtafute mtoa interview kwa simu ya mkononi maana sidhani kama baharia atakuwa na smartphone au mfuatiliaji wa mitandao

    • @munjy11tutorials
      @munjy11tutorials 4 роки тому

      Muendesha kipindi tutafutie details za mtoto wake na mwanamke alozaa nae mjerumani sisi tupo huku tunaweza kumsaidia kutafutia mawasiliano yao kirahisi kabisa

    • @amiriramadhan7753
      @amiriramadhan7753 4 роки тому

      @@munjy11tutorials nice one baharia amepitia mengi huyu yani huyuni legend

    • @niccolomachiavelli6057
      @niccolomachiavelli6057 4 роки тому

      Hakumbuki jina la mke wake aisee

  • @mengiuswege3654
    @mengiuswege3654 4 роки тому +1

    Kuna maswali mengi ya kumuuliza huyo baharia Tena ya msingi lakini umenyuuti bro

  • @masoudkipara5053
    @masoudkipara5053 4 роки тому +2

    Kaka mbn unakomea bagamoyo tu au mwajiri wako hakupi nauli???????

  • @amirimuhsin560
    @amirimuhsin560 2 роки тому

    Sio pw

  • @edwardmkwelele
    @edwardmkwelele 4 роки тому +24

    Watoto wa siku hizo hawawezi hivyo hata akimaliza chuo kikuu na degree yake utamuona anazungukazunguka tu matakoni mwa mama zao

    • @mickeytv3691
      @mickeytv3691 4 роки тому +1

      Daaah sio ivo mzee tatzo maisha yanechange skuiv

    • @nashondaniel946
      @nashondaniel946 4 роки тому

      Edward Alex Mkwelele umenichekesha kweli

    • @mbarakasaidy4885
      @mbarakasaidy4885 4 роки тому +1

      Hhhhh dah we mbuz kweli ulitaka twende ulaya kufanywaje sasa

    • @hilarymungure8590
      @hilarymungure8590 4 роки тому

      Hata matakoni kwako pia usisahau

    • @edwardmkwelele
      @edwardmkwelele 4 роки тому

      @@mbarakasaidy4885 Fight for you life not just staying home. I remember old days even a boy after ckas 7 he will take a flight out of the mama's nest.

  • @abdullaalwikabil3371
    @abdullaalwikabil3371 Рік тому

    Kaka sikiliza kama unawajua watoto wako marina yao warafute kwenye Facebook au intsa au tiktok utwapata tu kaka

  • @teddyoscar6876
    @teddyoscar6876 4 роки тому +10

    Kama unalijua jina la mwanamke uliezaa nae si uende ubalozi wa ujerumani ukajieleze watakutafutia, ulaya kuna vipindi kwenye TV vya kutafuta watu mliopoteana.😂😂😂😂😂Italy hakuna mpango wowote kuna Corona tu wala usiende na umri huo utafanya nini Italy?

    • @babujay8247
      @babujay8247 4 роки тому

      Yeap kweli kabisa ulaya yote vipo vipindi

  • @halimaaasaeed8785
    @halimaaasaeed8785 4 роки тому +7

    Yani Mashaallah mm nimesikiliza mwanzo mwish piga kelele kwangurumo yake weweee be gap

  • @abdallahally1829
    @abdallahally1829 4 роки тому

    Duh

  • @lewa9718
    @lewa9718 4 роки тому

    Kaka brother nipo Italy njoo jameni nitakupokea... Mungu mkubwa

  • @nancynziku2602
    @nancynziku2602 4 роки тому

    Huyu baba anachoongea kuhusu Pakistan na Kashmir get ni kweli kabisa wanagombea mpaka

  • @abuumaryam1628
    @abuumaryam1628 4 роки тому +4

    DAAA KUKAA JELA MIAKA 5 PAKISTAN ni BORA kuliko kukaa a kitaaa miezi 6 bongo