@@Azizimusicaki this song bro🔥🔥🔥very powerful.... I'm upcoming Gospel artist so far I've recorded two songs... Naomba nifike kiwango chako pia.... Kama utanipa collabo nitashukuru sana kakake🔥🔥🔥🔥keep ministering us
🙏🏻🙏🏻🙏🏻very powerful song..brother Cyrus I have a daughter who is 7 yrs old Aki kila anapoona nikiwatch yours songs Aki ananiambianga mum ,natamani kupatana na huyu kijana anaimba smart
Kama si mkono wake bwana uliokuwa kwenye upande wetu maadui wangetumaliza hasira zao zilipo. Waka juu yetu mkono wake wenye nguvu, mkono wake hondari ulitupigania siku sote tukawa washindi, tungeangamia milele pasipo wewe ni kwa neema yake bwana tumaishi ❤❤❤❤
Hebu tafakari kisa ya mwanadamu angepwa nguvu na mamulaka hasimamie hewa tunayo ipumua je ww ungeishi Leo ama ungekatishiwa kitambo usimutegemee mwanadamu atakutendaa ni kwa neema yake bwana ww upo Hai Sifa na utukufu tumurudishie mungu, mwenye rehema, mwenye nguvu hata sisi hatupo wema kuliko walio lala❤❤❤
Hongereni sana.Neema itufanyayo hadi sisi kwa sasa kuwepo Hai.Neema anazotupa nazo pia kwetu Kidunia zisizofanana.Usipanie uwapo hapa mpendwa wangu Duniani kushindana.Kushindana kupitia mengi kwako milele kabisa hakutokufanya.Maombi na Shukrani ndizo vigezo ili kwenye yale papa kuzidi kupambana.❤❤❤❤❤
Mungu akubaliki brother Nikizikisa nyimbo zako Ata kama mimi sio mwesidie lakini sinanibaliki sana Yahani ninajihizi niko mbinguni Balikiwa sana mungu wambingu akuongese
The grace of God is sufficient to all of Us , Through his grace we can do things which by our hands won't do....Grace galore to u Azizi , Your songs are inspiration to me....Blessings galore❤❤❤
Hallelujah hallelujah Amina 🙏 barikiwa Sana ndugu hakika wimbo huu umenikumbusha mbali sana hakika kama sio mko wake mungu tungeangamia tunaishi kwa neema ya yesu kristo Asante sana mungu wangu hallelujah Amina 🙏
I am a Herero speaking person in southern part of Africa, Namibia to be specific. watching this video music is like I am understanding everything dear keep it up. your voice good bro...
Aki kuna kitu ndani yako mungu ameeka,azidi kukuongoza na uzidi kumtumikia kwa haki na kwel...kweli wengine wetu tunaishi kwa neema ya mungu kwani hatukustahili...ubarikiwe sana kakangu
emen that nice song azizi God 🙏🙏🙏🙏🙏 please you azizi umeni guza sana i so nice nice nice nice song ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ mungu akutangulie🎉kweli nikwA neema yake mungu sifa na utukufu ni zake bwana 🎉❤❤❤❤
God bless your mission , God bless your marriage . The moment you said we have a UA-cam channel I went straight to your Your family yt channel and here I am as well. I am blessed by your marriage story and music although I'm Nigerian and don't understand the language I still see you both ministering through this music.
Ohh yeah. It's by grace 🙏🙏🙏🙏🙏🙏. Thank you Jesus for this grace that is ever sufficient in our lives. Thank you kid Bro for this wonderful piece.
Thanks siz💕
Barikiwa
HI SONG KILA SAA NAWATCH NAIPENDA SANA MUNGU AKUBARIKI SANA BRO🎉🎉
Amen 🙏
This song has touched my soul😢baraka tele Azizi
Tunaishi leo hii Sababu ya neema na upendo wa Mungu, Ni mkono wake tu , Nani kama Wewe Mungu🙏🙏
Very keep going brother
Hakika Ni kwa Rehema zake Bwana
I have been blessed by this song.
I love this kind of songs that speak to my soul. Be blessed
@@esthernyariki8213 Thanks alot,tunashukuru mungu kwa kila jambo
keep going brother
am the 1st one to watch nipewe likes
Tunakupa kama kawa
❤
@@Azizimusicaki this song bro🔥🔥🔥very powerful.... I'm upcoming Gospel artist so far I've recorded two songs... Naomba nifike kiwango chako pia.... Kama utanipa collabo nitashukuru sana kakake🔥🔥🔥🔥keep ministering us
I'm here after watching afrimax interview with your wife. You are an amazing singer
Me too after watching their interview.
Me too
Me too.
Me too! I love his music for the depth of the messages, voice, and manner of delivery. This music is so soothing to my soul
Bwana asifiwe! Mungu nimwaminifu sana atafungua njia uendelee zaidi Azizi, team Azizi like zenu kwa huu wimbo👌
Nimekujulia kwa trending wedding nikaja huku Sasa nimesubscribe you are doing a good job
Same to me
Same to me
🙏🏻🙏🏻🙏🏻very powerful song..brother Cyrus I have a daughter who is 7 yrs old Aki kila anapoona nikiwatch yours songs Aki ananiambianga mum ,natamani kupatana na huyu kijana anaimba smart
Kweli tunaishi kwa neema wimbo mzuri unatouch kweli🙏
U should tell her he's a MAN and not a boy.
May God bless u
Nnaendelea kupenda wimbo zako zote Barikiwa sana Amen 🙏 🙌 👏
Kama si mkono wake bwana uliokuwa kwenye upande wetu maadui wangetumaliza hasira zao zilipo. Waka juu yetu mkono wake wenye nguvu, mkono wake hondari ulitupigania siku sote tukawa washindi, tungeangamia milele pasipo wewe ni kwa neema yake bwana tumaishi ❤❤❤❤
Your songs are really blessing my heart azizi...you made me to transfer from sunday church to SDA...Im really happy for you..may God bless you
May God hold your hand through
May GOD keep you. Azizi, evangelism reloaded ❤🙏🙏
welkam
Amen ......enyewe kama sio mkono wake bwana uliokua kwenye upande wetu maadui wangetumaliza 😪
Mkono wake wenye nguvu unatupigania siku zote 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🥰🥰🥰
Don't know the language but iam in love with yr.songs watching from. SOUTH Africa
Same here 🎉🎉🎉
Yess this song is so touching🙏🙏🙏🙏☀️
Same here from Zimbabwe
Ni kwa neema wake mungu kweli 🙏🙏🙏🙏
Kama sio mkono wa bwana wengine tukekuwa tumeangamia lkn kwa neema tunaishi thanks azizi for this wonderful song God bless you 💖 ❤️
Hakuna mwingine isipo kua MUNGU uhai wa bure ahimidhiwe na kupewa sofa milele na milele Amina
Hebu tafakari kisa ya mwanadamu angepwa nguvu na mamulaka hasimamie hewa tunayo ipumua je ww ungeishi Leo ama ungekatishiwa kitambo usimutegemee mwanadamu atakutendaa ni kwa neema yake bwana ww upo Hai Sifa na utukufu tumurudishie mungu, mwenye rehema, mwenye nguvu hata sisi hatupo wema kuliko walio lala❤❤❤
❤The spirit that is in you may the Lord God expand it for his glory in JESUS NAME and so be it
Great for young couples ni mwema hakika🙏🙏🙏
Am always blessed by this song and through this song i trust and believe that my baby will be healed in the name of Jesus amen 🙏🙏🙏
Kweli ni kwa nehema yake Bwana tunaishi. Very beautiful song! Kazi nzuri sana Ndugu Azizi
Smartness banange ooh❤❤
Your songs are my favorite l like using them on TikTok and l like your voice much love
Hongereni sana.Neema itufanyayo hadi sisi kwa sasa kuwepo Hai.Neema anazotupa nazo pia kwetu Kidunia zisizofanana.Usipanie uwapo hapa mpendwa wangu Duniani kushindana.Kushindana kupitia mengi kwako milele kabisa hakutokufanya.Maombi na Shukrani ndizo vigezo ili kwenye yale papa kuzidi kupambana.❤❤❤❤❤
Wonderful song with a strong message 👌👌👌
I listen to this song 10 times a day. It is very inspiring and uplifting. It reminds me of the life I have gone through. GOD BLESS YOU bro.
Even though I don't understand what he's saying, but I love the beat and the inspiration...... ❤
It's by the Grace that we are alive that's the meaning, waking up is not by chance
nice one nani kama wewe...be blessed
Ni kwa neema God bless you ndugu yangu keep moving on🎉🎉🎉🎉
Ubarikiwe sanaaaaaa Azizi nyimbo zako zinaugusa moyo wangu songa mbele Mungu azidi kukuinua juu utumike hata ajapo tumlaki sote
Amen n kwa nehema ya mungu
Mungu akubaliki brother
Nikizikisa nyimbo zako
Ata kama mimi sio mwesidie lakini sinanibaliki sana
Yahani ninajihizi niko mbinguni
Balikiwa sana mungu wambingu akuongese
Me just running here after seeing a beautiful wedding,God ni kwa neema yako tupo wazima,uinuliwe siku zote🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Indeed it's by the grace of God we are living today 🙏🏾 hatujatenda lolote jema lakini mkono wake u pamoja nasi...ni kwa neema🙏🏾
Ni Kwa Nehema yake mungu tuu 🙏🙏🙏🙏🙏🙏❤❤❤❤❤❤
Nice song .mungu awe na ww
Woooow anaweza bwana❤❤🙏🙏🙏🇪🇺🇪🇺
Mko sawa na familia
Listening from Zimbabwe ,l don't understand the language but l really enjoye your music thanks brother.
I am here after watching your interview with Kawira of Tuko. That's quite blessing
God is our strength in every thing
KWA HAKIKA NI KWA MKONO WAKE BWANA TUKO HAPA MAHALI TUKO,WAJA ABUDIWÈ MILELE,MY LOVELY SONG EVER❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉😊
Huu wimbo umebeba ushuhuda wangu barikiwa sana kaka
The grace of God is sufficient to all of Us , Through his grace we can do things which by our hands won't do....Grace galore to u Azizi , Your songs are inspiration to me....Blessings galore❤❤❤
Thanks brother
🎉🎉🎉@@Azizimusic
Its by the grace of God❤
I love the song keep it up bro
God bless you, nimetamani kuimba na wewe
My God of heaven keep on blessing you and your ministry
Hallelujah hallelujah Amina 🙏 barikiwa Sana ndugu hakika wimbo huu umenikumbusha mbali sana hakika kama sio mko wake mungu tungeangamia tunaishi kwa neema ya yesu kristo Asante sana mungu wangu hallelujah Amina 🙏
Nice songs. God bless you and your family Mightly as you bless us with your songs.
GOD is everything in our life,without Him everything is impossible
Aminaa... Keep the spirit bro
Thanks dir. Mopet Media
Nikl tunaishi kwajiri ya mwenyezi Mungu ,hakuna kama yeye❤❤
Ambia watu wako wajese kidogo waache kusimama tu ni kwa neema sio Sheria ya wanadamu ni kwa neema
Kwa neema tu naishi barikiwa sana bro
Thanks adah
Team Azizi mbarikiwe n mm natamani kuwajoin
Ni kwa neema tunaishi kama si mungu wengine wetu hatungekuwa hai.
One of my best ,the message in this song🙏thanks Cyrus for this song,Nazidi kubarikiwa nikiskiza nyimbo zako.be blessed 🙏🙏🙏
Ni kwa neema... Amen
Enyewe kama Sii mkono wake bwana ,adui wangetumaliza
The song is really touching me,,may God bless u Azizi
I like the message in the song Azizi be blessed
I'm blessed with the song, hakika ni Kwa neema tu.
brother God bless you as you bless our souls with sweet songs
Amen, uamkapo ulalapo ni kwa neema
Thank you very much my children from thombi secondary school, I love you very much, please continue to serve God at the highest levels
Keep going young man..God is with u
Waow, it's by the grace of God
Nehema na Upendo wa Mungu ndio maana si wazima, thanks for the good song. 🙏🙏
neema yake tuu 😭😭😭🙏🙏
You are very talented and u have bright future ahead
Nice. Songs let God 🙏 bless abundantly with more. Ni. This year
I am a Herero speaking person in southern part of Africa, Namibia to be specific. watching this video music is like I am understanding everything dear keep it up. your voice good bro...
Your songs...used to encourage me...keep it up.
for real ni kwa neema tu imetubeba ju wuuueeeeh........,hawa maadui wamekuja sana 🤚🤚🤚shout AMEN kama umeblessiwa na hii song
Mungu akunyunyuzie baraka ,a wonderful vocal be blessed azizis
Powerful song am blessed tunaishi tu kwa neema ya bwana 🙏🙏🙏
Aki kuna kitu ndani yako mungu ameeka,azidi kukuongoza na uzidi kumtumikia kwa haki na kwel...kweli wengine wetu tunaishi kwa neema ya mungu kwani hatukustahili...ubarikiwe sana kakangu
Good one bro......show Kenyan love
I can't get bored perceiving the message of God through your voice. God bless you bro
Hi bro unanibariki sana 🎉 God bless you so much for being a blessing to us may his favour be upon you
Amazing piece indeed keep pressing on. Am seeing my supportive friends too. Pongezi Kwa video director pia.
Your songs will finish me oooh ❤
Ni kwa nehema🎉🎉🎉🎉
Mkono wa bwana na neema yake vinatosha Amina
Wow ni kweli hii Dunia tunayoishi ni kwa neema nice song 🙏🙏 Mr Azizi ❤❤❤
Kazi nzuri bro🎉🎉🎉🎉❤
Thanks Sir for the inspiring Song🙏🙏
A staunch catholic but I've been binge watching your songs, Vere nais❤
Keep up the good work Azizi🙏
Kwa kweli ni kwa Neema yako yesu Kristo ndiposa mimi na Familia yangu tuko hai,nice songs Aziz very powerful and touchable 🙏🙏
Keep it up young man,,,I really love your courage 💗💗💗💗 my lord bless you to continue praying him🙏🙏🙏🙏
❤❤❤❤❤❤❤❤ great
emen that nice song azizi God 🙏🙏🙏🙏🙏 please you azizi umeni guza sana i so nice nice nice nice song ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ mungu akutangulie🎉kweli nikwA neema yake mungu sifa na utukufu ni zake bwana 🎉❤❤❤❤
Good quality and i love the natural beauty, theres no exaggeration on editing .
Haleluyia nikwa neema yake bwana tunaishi🙏🏿🙏🏿🙏🏿
Mungu ni muweza ata kama uko kwa kipindi usikate tamaa yuko pamoja nawe 🎉🎉🎉
May God bless you n expend your territory fr your songs are blessing and encourage to many me being one of them
God bless your mission , God bless your marriage . The moment you said we have a UA-cam channel I went straight to your Your family yt channel and here I am as well. I am blessed by your marriage story and music although I'm Nigerian and don't understand the language I still see you both ministering through this music.
Ni kwa Neema ya God manze❤❤
All the best man❤❤❤❤
Nimesaka hii song finally nimeipata nice song
Be blessed n mungu awainue
Me listening to this great hit on January 1st 2024.
A day after their wedding 🎉
Amen Amen!!
Ni kwa neema.
May God bless your marriage Azizi