Mbunge wa Mbogwe amwaga machozi bungeni

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 вер 2024
  • Mbunge was Mbogwe Nicodemus Maganga amemwaga machozi bungeni akisema wananchi wake wanauawa bila sababu za Msingi tangu ilipotokea kifo cha John Magufuli.
    "Wananiita kichaa, kila nikitaka kusema naambiwa Sina akili, Mheshimiwa Spika nimezaliwa mwaka 1980, nina akili timamu na sijawahi kufeli, lakini mnaweza kukuta tumeuana huko msishangae," Maganga.

КОМЕНТАРІ • 157

  • @petermboje5839
    @petermboje5839 9 днів тому

    Nakukubali sana maganga mungu akulinde kuna wabunge wamesomea kupiga makofi tu

  • @emmanuelmayunga1518
    @emmanuelmayunga1518 2 роки тому +15

    Mbunge nmependa confidence yako,msg imefika na umetetea watu wako..wapo wengi wanajua kusoma na wanaelimu kubwa ila kuzungumzia watu hawawezi KABISA waoga..big up kwako Maganga

  • @denyu9975
    @denyu9975 2 роки тому +3

    Lala baba jpm yanii mimi roho yangu inaumaa sana Mungu tuonee Mungu tunakutegemeaa Mungu shukaa Mungu shukaa ujiziilishee Mungu jpm katuachaaa tunaliaaa sanaaa 🥲🥲🥲

  • @josephjohn2114
    @josephjohn2114 2 роки тому +1

    Ndo shida ya kupitisha wabunge vilaza...hoja nzuri sana lakini uwasilishaji sasa.....unazungumzia watu sio afya kutaja kabila lako au kuja kusema bungeni kisa tu ndugu yako ameguswa..hongera lakini kwa kufikisha ujumbe.

  • @mwenem8130
    @mwenem8130 2 роки тому +15

    Duu wawekezaji/WEZI wanaingia kwa kasi SANA. Rest in Power JPM#hapa Kazi Tuu

  • @abdallahmuttaq7306
    @abdallahmuttaq7306 2 роки тому +7

    Wenyewe wenye nchi wamekwisha anza kuchanua makucha hakuna mwenye kukemea Kwa nguvu na kufuatilia

  • @dchacha4
    @dchacha4 2 роки тому +14

    Na mimi naomba kumuona waziri mkuu kule mkuranga wamechukua shamba la mama yangu, na polisi wanamlinda Kenya ambaye sie mzaliwa wa TZ. Mama yangu tangu 90s anasota na shamba lake la mchanga. Wizara ya madini Wala miaka 30 sahivi wanamzulumu.
    Eeh, magufuli naomba urudi utusaidie

    • @aishaaisharagp9381
      @aishaaisharagp9381 2 роки тому +2

      Mtafute waziri wa Ardhi ndio mwenye mamlaka ya Ardhi ambae no waziri lukuvi

    • @salomemchewa5187
      @salomemchewa5187 2 роки тому

      Pole dada mtu akiendaga huwa harudi, mungu atakupa njia nyingine

    • @omarykatongo4943
      @omarykatongo4943 2 роки тому

      Ruka nao hao,,, ngedere hapelekewi kesi za nyani

    • @hadijamagufuli2661
      @hadijamagufuli2661 2 роки тому +2

      My pole sana ila nasikitika kusema hivi mtetezi wetu alikuwa ni magufuli tu huku mwingne sio kwa kutegemea Sana hapa tutegemee mwenyezmungu pekee basi magufuli kashaondoka na mtu akishakufa ndio imetoka my 😭😭😭magufuli ndie aliekuwa anatupa tu maini ila huku hapana hapa bila mungu hatuwezi kupata haki zetu, hivyo basi muombe mungu mtegemee mungu atawasaidia kupata haki yenu mungu akupe njia yoyote Ile awezavyo ili mufanikishe hyo shida yenu namini mungu hashindwi kikubwa Imani tumuiamni kuwa Anaweza basi mungu asiwache pambana tu mungu yupo atakupa njia ya jinsi yakupata haki yenu

    • @ambwenedaniel358
      @ambwenedaniel358 2 роки тому

      Nitafute dadaangu hatuwezi kuruhusu huo ujinga kwamba mgeni apewe kipaumbele kuliko raia.....

  • @robertmgore3653
    @robertmgore3653 2 роки тому +9

    Jpm milele

  • @abdulhamis9825
    @abdulhamis9825 2 роки тому

    Asante Job Ndugai

  • @peterbulugu1582
    @peterbulugu1582 2 роки тому +1

    Hatari sana. Uhujumu uchumi unafanywa na serikali yenyewe. Ila akijaribu mtu binafsi anakamatwa sana

  • @isackakyoo6446
    @isackakyoo6446 2 роки тому +3

    Pole Mbunge,hii ndiyo dunia

  • @LigillahLigillah-jo5qo
    @LigillahLigillah-jo5qo Рік тому

    Nakubal sana Mwakilishi wangu bungen

  • @marcobulili4341
    @marcobulili4341 2 роки тому +3

    Usilie, hzo ndo siasa a bongo! Ukiwa mkweli we mjinga tu. Jamaa hawez kujieleza ndo shida, lkn ana kitu cha kusema cha msingi. Asikilizwe!

  • @peterbulugu1582
    @peterbulugu1582 2 роки тому +2

    Kama ndivyo serikali mnafanya basi nchi inaenda kuwa na uvunjifu wa amani. Wanachi wanalia sana mpaka sasa. Nchi hii ni imekuwa ya viongozi2

  • @salmaathuman9156
    @salmaathuman9156 2 роки тому +2

    Hii ndo nchi yetu baba pole sana

  • @rasammudmar5455
    @rasammudmar5455 2 роки тому +4

    Wabunge nyinyi mnatakiwa mutumie mamlaka yenu ipaswavyo bila kuionea serikali aibu la si hivyo sera na sheria mtakazozipitisha zinawasubiri mtaani
    Kuna watu wanajiandaa kuwang'oa tena msizani ni upnzani.
    Wakati wa kura za maoni ujamaa unangia mitini.
    Wabunge ilazimisheni serikali kwa kuitungia sheria ya kua mikataba yote mikubwa ije bungeni ijadiliwe kwa haki na uwazi ndio isainiwe na rais.
    Baraza la mawazir halitosh Kupitisha mikataba ya nchi nzima.
    Hemu jiulize rais anateua mawazir mwenyewe anaemtaka kwa kushauriana na wazir mkuu. Wakati wari mkuu mwenyewe anateuliwa na rais. Mtu pekee uliebaki ni spika ila wakati huo huo rais ni kiongoz wako wa chama. Nakusudi kusema nn. Pindi akitokezea mtu akimteka rais kwa namna yoyote ile ameiteka nchi nzima.

  • @briankatani8765
    @briankatani8765 2 роки тому +6

    Hili bunge linasaidia nn has a!!!,lina faida gani

  • @baracksaidnkoba9108
    @baracksaidnkoba9108 2 роки тому

    Hongera

  • @halimamasai2234
    @halimamasai2234 2 роки тому +4

    Na kweli ataua mtu anaonekana amekasirika sana anauchungu

  • @alluminiumexperttz.12mview13
    @alluminiumexperttz.12mview13 2 роки тому +1

    Hakuna kitu nachukia kama kusikia wabunge wakicheka wakati mwenzao anazungumza tena ishu serious kabisa.

  • @majutokwenyemsafarawamamba8815
    @majutokwenyemsafarawamamba8815 2 роки тому

    Mungu amlaze Mahala pema peponi jpm

  • @lucasmhepile5431
    @lucasmhepile5431 2 роки тому

    Inauma sana naona Kuna wabunge wengine umo n kugonga meza tu Yan Kama fata upepo tu

  • @frbm1729
    @frbm1729 2 роки тому +3

    Ulale salamaaa, ulala salamaaaaa Jpm

  • @mwakisukuli2124
    @mwakisukuli2124 2 роки тому +3

    Mh. Jenista mhagama umeongea point sana, kwani mwenye wizara Kwanini asiseme Kwanini kutetea majipu hayo

  • @BonifaceRobathi
    @BonifaceRobathi 5 місяців тому

    Kweli jmn

  • @ndogoroedson9438
    @ndogoroedson9438 2 роки тому +2

    Hayo hata huku mbarali yapo tanapa wamekuwa Mungu watu!

  • @meshackbenedicto5741
    @meshackbenedicto5741 2 роки тому

    Tutapigwa mno na kuuwawa maana maandiko yanasema watu wangu wanaangamia Kwa kukosa maarifa maarifa ya wabunge yapo ya kutetea masilahi Yao sio uhai wa wananchi wa majimbo yao

  • @johnmpanduli5390
    @johnmpanduli5390 2 роки тому

    ha hahahahaaaa!! mimi nacheka tu, ndiyo faida ya bunge la kuteuliwa na si la kuchaguliwa

  • @radhiasalum7156
    @radhiasalum7156 2 роки тому +1

    Pole Sana kaka😭😭😭

  • @stephanlayzer7196
    @stephanlayzer7196 2 роки тому +1

    Kwa kweli Magufuli alikuwa jembe hakuna rais mwny maamuz kama Magufuli

  • @kambiyusufu7709
    @kambiyusufu7709 2 роки тому

    Nice

  • @user-po8hz7xw9j
    @user-po8hz7xw9j 2 роки тому +2

    Huyo raisi mwenyewe kutwa kusafili tuuu wananchi wanaumia

  • @denyu9975
    @denyu9975 2 роки тому

    Tunaonewaaa sana sku hizi

  • @mwalongojulius1755
    @mwalongojulius1755 2 роки тому +1

    Toeni madrama yenu mbuzi wa bwana heri na shamba la kwao endesheni nchi mnavyotaka ndiyo matokeo mliyotaka.

  • @paulzeno102
    @paulzeno102 2 роки тому +1

    Paul zeno 99

  • @mzongekibwana838
    @mzongekibwana838 2 роки тому +1

    Unyonge ukizidi unazaa uasi one day...

  • @jelemiakalidushi.mkovizuri6763
    @jelemiakalidushi.mkovizuri6763 2 роки тому +1

    Mpakali hoye

  • @habibumussa7712
    @habibumussa7712 2 роки тому

    Dah😭😭😭

  • @tumainilubua824
    @tumainilubua824 2 роки тому +1

    Alipita bila kupingwa huyooo

  • @paulinamassay5122
    @paulinamassay5122 2 роки тому +2

    Wanasiasa hawana utu jamani ndo maana watu wanafika pabaya.

  • @ukweli255
    @ukweli255 2 роки тому +2

    Watu wanaomilili Media/Vyombo vya Habari huwa wakipewa Tarifa kama aliyoitoa huyo Mbunge huwa ni ngumu sana kwenda kuzifanyia kazi

  • @e-mzambuli6647
    @e-mzambuli6647 2 роки тому +1

    Hamza

  • @abuuthauran9933
    @abuuthauran9933 2 роки тому

    Duh!!!

  • @fadhilimwasumle124
    @fadhilimwasumle124 2 роки тому +5

    Daaaaaa hata kusoma hajui jaman

    • @rehemamaduhu5642
      @rehemamaduhu5642 2 роки тому +1

      Kusoma anajua ila nahisi ni kitete maana ni mgeni

    • @radhiasalum7156
      @radhiasalum7156 2 роки тому +4

      Anajua ila anahasira Na jaziba ta watu wake

    • @emanuelshayayi54
      @emanuelshayayi54 2 роки тому +2

      Jazba waweza hata kutukana.

    • @radhiasalum7156
      @radhiasalum7156 2 роки тому

      @@emanuelshayayi54 sana.acha tu.kitu kikukuzingua daaaaa

    • @alcherausmalinzi2033
      @alcherausmalinzi2033 2 роки тому

      Kiongozi gani hana uwezo wa kuvumilia kusimamia hoja yake?

  • @akidajulius8397
    @akidajulius8397 2 роки тому

    Yani Hawa wabunge wengine sijui ndio waliopitwa bila kupigwa mbona siwaelewi elewi

  • @jamessimba749
    @jamessimba749 2 роки тому +1

    R.I.P JPM

  • @ndogoroedson9438
    @ndogoroedson9438 2 роки тому

    Hiv mtega huoni wenzio wanavofanya kwa nn ww huwapiganii wananchi namna tanapa wanavyonyanyasa wananchi wako!

  • @simonidibili555
    @simonidibili555 2 роки тому

    Wapizanii waliwaambiaa cyoo waoo tuu wanaootesekaa hayaa sasaa Leo kwenii shangilieeni tuonee

  • @timboxlee919
    @timboxlee919 2 роки тому

    Mbunge anatoa hoja ya msingi,mabunge mazuzu yanakebehi hoja

  • @annamrsmoses7413
    @annamrsmoses7413 2 роки тому

    Yaani mkusanyiko wa watu waliopita bila kupingwa ni hasara sana kwa taifa hili

  • @chobaroko3913
    @chobaroko3913 2 роки тому

    Daaahhaa ,😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @jacksonmajuto7859
    @jacksonmajuto7859 2 роки тому

    R.I.p.magufuli

  • @bilioneamwegole5138
    @bilioneamwegole5138 2 роки тому

    Kanuni ya 54 hmmmm endeleeni kuturushia vitu vizito

  • @abdallahm86
    @abdallahm86 2 роки тому

    Nchi ya kitu kidogo nchi ya watu wanyonge.

  • @donaldtadeodontado9991
    @donaldtadeodontado9991 2 роки тому +1

    Home kama home boy.........wape vitu wataelewa TU .

  • @mkushiandikayakoachananaya7944
    @mkushiandikayakoachananaya7944 2 роки тому +1

    Tumeshafika nchi ya ahadi aliyotaka kutufikisha yule wa awamu ya 4, huu ndio muda tunaoenda kasi kufika huko!

    • @evansibujiku8249
      @evansibujiku8249 2 роки тому

      Naona baazi ya wabunge wanacheka kweli sasa najiuliza furaha yao nn katika hili? Baazi ya wabunge mizigo kweli!!

    • @hadijamagufuli2661
      @hadijamagufuli2661 2 роки тому

      @@evansibujiku8249 tutakutana nao 2025 tuseme inshalah panapomajwaliwa hao wapo kwa ajili yakutete uwovu basi, akitokea mtu akamkandamiza spika huyo atashambuliwa mpaka atajuta nahuku ukweli ukiwa wazi, sasa niambie hicho nichakucheka kweli au ndio kwavile haja wakuta

  • @mbwanarajab4756
    @mbwanarajab4756 2 роки тому +1

    Nakumbuka lile bunge la Samwel Sitta , kweli bunge limesha poteza mwelekeo na linajali makabila ..
    Yaani akaja mtu hata na jambo la ajabu akasema ni Msukuma bunge linatulia linamsikiliza hata km anaongea mambo yaliyopo nnje ya mada..

  • @rehemamwakinyaka3167
    @rehemamwakinyaka3167 2 роки тому

    Yani mibunge mingine ivyo kabisa kiboko yenu alikiwa Magufuri

  • @radhiasalum7156
    @radhiasalum7156 2 роки тому

    Daaa mtihani

  • @elispiuselias1339
    @elispiuselias1339 2 роки тому +1

    unataka tume gani tena humuamini au?

  • @mbwanarajab4756
    @mbwanarajab4756 2 роки тому +1

    Yaani hawa wabunge waliopewa nafasi za kupitia kuharibu uchaguzi ni sawa na wale wafanyakazi hewa mliowaondoa..
    Hawa ni wabunge hewa na hakuna cha maana watakachokifanya juu ya wananchi

  • @hajilolo6440
    @hajilolo6440 2 роки тому

    Bunge la wapiga makofi bunge la darasa la tatu bunge la mazuzu bunge la wasaka tonge.

  • @isayakipoi493
    @isayakipoi493 2 роки тому

    MUNGU wa mbingu na nchi akulinde na majimbo yako yote saw a sawa na Isaya 37:35
    Na wale wote wala rushwa MUNGU atume malaika wake wafyekelee mbali katika arthi hii ya Tanzania sawa sawa na neno lake Isaya 37:36
    Katika jina la Yesu kristo amen

  • @rasammudmar5455
    @rasammudmar5455 2 роки тому

    Hasira zimezid kimo mpaka unaongea hivyo.
    Spika umekua mshauri nasaha na bunge lenu la uchaguz wa 2020.

  • @yudahsanja9072
    @yudahsanja9072 2 роки тому +1

    aki shetani anapotosha

  • @elispiuselias1339
    @elispiuselias1339 2 роки тому

    wameanza sasa

  • @meckymwandambo6478
    @meckymwandambo6478 2 роки тому +1

    B

  • @maelezomaelezo9057
    @maelezomaelezo9057 2 роки тому

    Dugai leo umeogea poit na umemlinda maganga

  • @negelowile441
    @negelowile441 2 роки тому

    Wawekezaji

  • @muhammadbamba9445
    @muhammadbamba9445 2 роки тому

    Sura inayojengeka ni kama vile mama Hakun kitu anafanya propaganda za kutaka kumuharibia

  • @simonisafu5404
    @simonisafu5404 2 роки тому

    Nilikua simwelewi ulimwengu, sasa nimeanza kumwelewa

  • @mashimbazephania3511
    @mashimbazephania3511 2 роки тому +1

    Jpm tutamkumbuka

  • @mwanagwakyala3213
    @mwanagwakyala3213 2 роки тому +1

    Watu wanakufa mnapiga makofi

  • @ambakisyemwanjemba5787
    @ambakisyemwanjemba5787 2 роки тому

    Biteko hii inaweza kupita na yeye

  • @jitabojilala6162
    @jitabojilala6162 2 роки тому

    Duuuu jamani

  • @mussamabuga1716
    @mussamabuga1716 2 роки тому +2

    Naapa Biteko lazima uondoke,JPM lala salama tutakumbuka hadi mbadala wako utakapopatikana

  • @user-po8hz7xw9j
    @user-po8hz7xw9j 2 роки тому

    Mtukome mnajilinda wenyewe nasisi tunajilinda wenyewe

  • @denyu9975
    @denyu9975 2 роки тому

    Jpm ndie alikuwa kamanda wa kwelii

  • @zariadunia6328
    @zariadunia6328 2 роки тому +1

    Mimi kila siku nasema mama yupo kwa ajili ya maslahi ya zbar na ya msoga tu mambo yamekuwa mengi hakuna matamko wala nini

  • @hellenpatrick3041
    @hellenpatrick3041 2 роки тому

    Acha inyeshe tuone panapo Vujaa inaumaa

  • @ambakisyemwanjemba5787
    @ambakisyemwanjemba5787 2 роки тому

    Ugomvi wa wabunge Hawa majirani Sasa nimeuelewa vizuri ,hili Jimbo la maganga ndilo Jimbo aligombea pacha wa Waziri wa madini Biteko na marehemu Magufuri akamchomoa kwa nguvu kwa Sasa pacha mwenzie anapambana kufa na kupona kumtengenezea mazingira mwenzake nadhani!

    • @Kituliko
      @Kituliko 2 роки тому

      Sio kweli

    • @shadymoses5813
      @shadymoses5813 2 роки тому

      Unavamia jambo usilolijua, Huyo unayemsema aligombea Busanda

    • @reganmartin5485
      @reganmartin5485 2 роки тому

      Kama hujui Jambo kalale chakula Cha usiku kioungue ,tambua Kuna majinbo 3 tofauti

    • @Kituliko
      @Kituliko 2 роки тому

      @@reganmartin5485 mimi nyumbani jimbo la mbogwe nafanya kazi jimbo la bukombe sasa kipi nisicho kijua, we acha kudanganya watu

    • @Kituliko
      @Kituliko 2 роки тому

      @@shadymoses5813 👍👍

  • @elispiuselias1339
    @elispiuselias1339 2 роки тому

    duuuuuh!!

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 2 роки тому

    Haya kuna nini mpaka analia

  • @lusajomwaipopo5042
    @lusajomwaipopo5042 2 роки тому +1

    Umbumbu ni mzigo

  • @alcherausmalinzi2033
    @alcherausmalinzi2033 2 роки тому

    Jambazi tu uliiba kura kuja kulia lia.

  • @fimboezekiel9654
    @fimboezekiel9654 2 роки тому

    Amelia wap

  • @humphreyvidonyi253
    @humphreyvidonyi253 2 роки тому

    Biteko na mbunge wa gongwe Nina wasi wasi

  • @Ndu-wa.uroony2
    @Ndu-wa.uroony2 2 роки тому

    Sasa hao wapumbavu wanacheka nini?

  • @ambakisyemwanjemba5787
    @ambakisyemwanjemba5787 2 роки тому

    Na bunge limempania

  • @nixonjohnson6346
    @nixonjohnson6346 2 роки тому

    Hivi hao wabunge wote ni wajinga au ni nini sasa kicheko mwenyewe anaumia

  • @japhetbarton8268
    @japhetbarton8268 2 роки тому

    BUNGE

  • @tumuhadam8963
    @tumuhadam8963 2 роки тому

    Niuwonevu2

  • @yudahsanja9072
    @yudahsanja9072 2 роки тому

    wasaliti hawataisha

  • @radhiasalum7156
    @radhiasalum7156 2 роки тому +1

    Spika uyu vip?

    • @mohamedijuma5845
      @mohamedijuma5845 2 роки тому +1

      Kafanya kipi kibaya? mbona kafanya vizuri kumkutanisha mlalamikaji na waziri Mkuu au we ulitaka afanyeje

    • @habibumdetele6530
      @habibumdetele6530 2 роки тому

      Nimejaribu ku bonyeza translate daa ulichoandika hahahah

  • @DrRichardMPhD
    @DrRichardMPhD 2 роки тому +3

    Haya ni makosa kutuma wawakilishi wakulia hovio,Hata kusoma anashindwa .tunataka wawakilishi wenye njia ya kuleta mabadiliko maana machozi yake hayata tusaidia

    • @King_186
      @King_186 2 роки тому

      Huyu ndio muwakilishi wa kweli anayeguswa na matatizo ya watu, kulia ni hisia tu na sio kulia tu Kiongoz awe radhi kufa Kwa ajili ya watu wake

    • @saluwatimalyeta5587
      @saluwatimalyeta5587 2 роки тому

      Nakushangaa wewe unayeangalia kusoma wasomi wangapi wamo humo wenye uwezo wakusimama kwa hisia na machungu ya wananchi wake wanayofanyiwa

    • @leonardodavinci878
      @leonardodavinci878 2 роки тому

      Wacha ujinga uo kinacho thamani zaidi kwa mbunge ni vile anavo pambana na shida za wananchi wake si ukubwa wa elimu yake,ata umalize vyuo vyote ikawa hujali shida za wananchi wako inakuwa elimuless.

  • @malmavoice8989
    @malmavoice8989 2 роки тому +2

    Hawa ubunge walipewa tu ila hawajakidhi vigezo vya ubunge.
    Bunge zima limejaa wasukuma awamu hii. Haya mambo mliyabariki mwenyewe na sasa yanawarudia mwenyewe.
    Lisu alinusurika kifo mliwahi kujadili,nduguyake heche alivyofia police wabunge mlisadia nn. Leo mtu anapanick kiasi hichi lkn nn...mazito yenu sasa ya upinzani hayakuwa sensitive eti?

    • @halimamasai2234
      @halimamasai2234 2 роки тому +2

      Kwani tanzania ni wasukuma tu mbona kuna wabunge wa mikoa mengine na ni makabila tofauti wacha uhasama wewe nadhani wewe ni wa upande wa pili

    • @msafirinyebunga4078
      @msafirinyebunga4078 2 роки тому +3

      Shida sio kujua kusoma lakini ujumbe umeshafika Kwa walengwa

    • @msafirinyebunga4078
      @msafirinyebunga4078 2 роки тому +4

      Kikubwa wamsaidie lakini sio kuanza kumdhiaki kikubwa anajaribu mahali pakutafuta msaada.

    • @denistarange5580
      @denistarange5580 2 роки тому +2

      Hujui hata ulichokiandika

    • @malmavoice8989
      @malmavoice8989 2 роки тому

      Hujui kusoma au?

  • @oyay2821
    @oyay2821 2 роки тому

    Hii ni laana ya kuwa dhulumu wapinzani. Ile chuki ya kuwaua na kuwadhulumu wapinzani sasa inawamaliza wao wenyewe ma ccm

  • @chobaroko3913
    @chobaroko3913 2 роки тому

    Hapo ndo wabunge wanaanza kuwa wanyonge Sasa ,ndio wabunge watamkumbuka kwamema sio MABAYA

  • @EK-kp2np
    @EK-kp2np 2 роки тому +2

    Migodi🤷🏼‍♀️, kuongea bila utaratibu ikulu🙆🏻‍♀️, Vifo vya watu hapo Jimboni kwako🙈, sijaelewa mbunge mgeni anataka nini😳🤔, pia amefaulu masomo yote shuleni??

  • @amrimwingwa994
    @amrimwingwa994 2 роки тому +1

    Speaker unafeli wapi... Yaaan unamwambia waziri mkuu kwa Wakati wako.... Hujui kama ushashudha thamani yako, wewe ni Mhimili ukiwa kama Speaker una haki ya Kumuagiza PM.

    • @smjunior4354
      @smjunior4354 2 роки тому

      ulisoma civics vzr kaka hakunaga scenario kama hiyooooo duniani