Aliyegundua boncena ndio anapooza hii series agonge like ongea yake inaboa ila washiriki wengine wote mko vizuri san kasoro boncena anaongea vibaya nataman kila kipande asiwepo maan anaboa na ongea yake mbovu kila kitu boy boy sijui nani kamdanganya
Rutaman unafosi sana kuongea kibishoo halafu haufananii kabisa. Na hizo boy boy sasa.... Umejitahidi kutafuta ubunifu kutoka Man mpaka Boy lakini haijakaa sawa
Hicho kipande cha darasan wakat kobelo anazungumza imesikika sauti ya director umakini uzingatiwe team ruta man ni bland kubwa hivyo umakin uwongezeke tunawapend sana
ACHENI UWONGO BOY TAMU NALIPENDA ALAFU MASHABIKI TUACHE UJUAJI MUVIE SIYO KIPINDI NI MPANGILIEO ULIO ANDALIWA KAMA HUPENDI BOY KAMA MIMI SIPENDI MAN KWAHIYO ANGALIA STORY INA FUNDISHAA
Wakenya nipo wa pili kutokea kenya 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 na mie nawapenda nyiee wote ikiwa na mmi mnanipenda nipeni like basi❤❤❤❤
Mm kama mdau wenu naomba neno boy lifutwe linaboa sana
Ushasema km vp tugome
Apunguze anaboa
Kwel inaboa sana ...
Kabisa ruta yuwasinya sana
😂😂😂ameshatusikia shabiki zake
Noma sana kazi ipo vizur kama unamkubali mwamba weka alam ya upendo na sapoti zenu muimu sna ni noma sana 🎉🎉🎉🎉🎉
💚💛
Leta muendelezo wa plan b
Na huku upo mhhh 7:31
Hadi huku upo kp wew ni noma
Bonsina badilisha lafuzi unaboa unaboa unaboa unaboa sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Kweli hiyo boy haileti maana yoyote
😅😅😅😅
@@StellaAloyce-l3i eeeeh anaboaaaaaaaaaaaaaaa
Kwa kweli kabisa
Soo kwa ubaya ila unaboa sanaaaa Bonsina badilisha lafudhi
Namkubali mwalimu wa physics lafudhi yake anavyotembea hakika anajua tumpe 🎉🎉🎉🎉🎉
Kobelo anachangamsha sanaaa😂😂
Baisa 😂😂Leo umenifurahisha❤
Nawapenda sana Kazi nzuri ❤❤❤❤ team strong 🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇰🇪🇰🇪
Wanaomkubali mwl Baiser,, gonga like
Kazi nzuri lkin kuna maneno unafel ruta unamuitaje boy msichan,mama ako yani huangalii wakuongea nae lazim neno Boy
Hili Neno BOY Linaharibu Movie Mungebadili
@@ChrisChris-w8z na ww umeona
@hamzamihosho6480 kiukweli Linaboa Sana Movie Imekaa ki Comedi
Yan Bora angeitumia , man .
@@ChrisChris-w8z hata mi sijapenda kwakweli
Hii ni KALI sana Boy, Haitakiwi kuiacha Boy...
Kama kawaida mwendo mchubuyu kazi iendelee❤🎉🎉🎉
Am from Kenya 🇰🇪🇰🇪 following your channel you're doing the very best on the series am happy to watch it
Wakwanza 🎉 Léo🎉🎉from Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Mwanangu luta man nenda class brother 😂😂😂😂😂
Munganga bahisa muigizaji mukubwa
Upcoming UA-camrs let's gather here nipitieni guy's tugrow pamoja zote haki
Kazi njri mwajitahidi Sana hokera
Luta mda mwingine ongea tu vizuri boy boy boy inaboa bwana bora hata ile man
Jmn ilo nenoo boy boy mbayaa litowenii bhn
Anaboa sanaaa aisee
Ma boy boy yamekua mengi mpaka unaharibu move
Jaman tusikilizeni mashabiki wenu hatupendi hilo neno boy Lina bowa
Guud job family 🎉❤
Baisa shenzi sana😂😂😂 ati kidevu kimechakaa kumbe mwnzngu 😊 🙌
😂😂😂😂😂
Boy boy so nzr bola2 uwe unasema man man
Kweli ndugu yangu
Mwaka huu mwalim atapa hekaheka paka atase2
Boy boy cjazipenda
sema ruta kiziwi asikii elewa yan kila kiumbe yeye boy boy 😮
Punguza izo boy wakera yn kila movie lazm usm man ama boy s uongee km kobero😮
Hi boy,boy,boy inaboa movie sioni nikiwatch hii tena
Hongera sana kazi nzuri sema wengine hatupendi tamsilia ambazo mnarekodia mjini binafsi Mimi napendezwa na kijijini uwa naijoy sana🎉
Boncena hii boy inaharibu sana...hapa hatujakubali
Hongereni San♥️
Kweli nen boy cijapentaaaaaa limezid Sana alitoe
Continue witching 🇰🇪✨
😊😊😊iii movie nikali sana nakuna wenye awajui 😂😂😂😂😂ongereni sana
Wakwanza leo
😁😁 et kidevu kimechakaa kumbe wew ni mwenzang
😂😂😂😂😂😂leo mzee wa maokoto umepigishwa story mpaka imekutoka ela kwel umepatkana 😂😂😂😂😂😂
Katoa bku mbil bdaye apew mjeng😂
We teacher hio mguu yako ya nichekesha Bana alf salimia bob sana
Toa hiyo boy kila kitu boy
NENO BOY LIMEKAA KISHAMBA SANAAA
Watu wamwalimu queen tujuane hapa
Director amesikika dakika ya 23 akimdirect kobelo darasani ACTION kama kuna mwingine amesikia tia kopa hapo😂😂😂
Baba Qurusum 👊
😂😂😂😂ila mwalimu Baisa😅
Movi sio mzuri kbs
Baissa khaa 😂😂😂 aty quruthum ni pafyum inanuka vby 😂😂😂
Kidevu kimechakaaaa😂😂😂😂
Punguza boy boy zinaboa Ruta
Bonge la move
Bysa unaupga mwing sana 😂😂😂
Pole gumbwaa jmniii 😢😢😢
Ila mwalimu baisa bana 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Leo WA kwanza😮❤
Afu shule kubwa wanafunzi wachache😂😂😂muna tuona matako yenu😅😅
Punguza izo boy man unaharibu sana
Baisa hatari👏👏
KUNA MEEEEEEEEEEEEEENGIIII HAPA DUNIANIIIIII KUNA MEEENGI HAAAAP DUNIANIII HAIYEEE HAIYEEE HAAAAAAAAAAAAIIIYYEEE HAIIIIIIIIIIIIIIIYEEE❤😂❤😂 tukumbuke Tarzan kidogo jamanii😂😂
Luta man asha kusema boy inaboa kinoma
Mnatisha Sana ruta man
Oya BoY, Salute Sana BoY...
Aliyegundua boncena ndio anapooza hii series agonge like ongea yake inaboa ila washiriki wengine wote mko vizuri san kasoro boncena anaongea vibaya nataman kila kipande asiwepo maan anaboa na ongea yake mbovu kila kitu boy boy sijui nani kamdanganya
❤❤❤❤❤Nawapenda
Rutaman unafosi sana kuongea kibishoo halafu haufananii kabisa. Na hizo boy boy sasa.... Umejitahidi kutafuta ubunifu kutoka Man mpaka Boy lakini haijakaa sawa
😂😂😂 hyu mwl wa physics anashid gan et hlo jina umelitoa wapi qurusu
Hicho kipande cha darasan wakat kobelo anazungumza imesikika sauti ya director umakini uzingatiwe team ruta man ni bland kubwa hivyo umakin uwongezeke tunawapend sana
Godzilla jamn 😂😂😂😂😂😂
Waburundi wakwanza nataka like zangu nawapenda sana
Kuna sehem nikajua ni behind of the scene kumbe ndo inaendelea😅😅 mara nikaskia action jamaa akaendelea gumbwa na happy ni wapenz
ila baisa unazingua😂😂😂
Jmn ruta iyo boy bhn inakela achana nayo
Mungu awabariki saaana
Mwalim baisa unanifanya niinjoy nikumbuke skonga below 40😅😅😅😅😅
Nice movie ❤❤❤❤
Jaman uku kwang kdg tuu matangazo ya mikopo na kwenu ndo hvy hvy au
Apana uku kwetu ni matangazo ya boy😅😅
😂😂😂😂😂😂
@@SharifaKaperahaaaa😅😅😅😅😅 nimechk yan
@@SharifaKapera
Duh we dada we😂😂😂😂
Kobelo jamani 😀😀😀😀😀
Kusema ukweli hilo neno Boy linaaalibu utamu bhana ebo
Unaboa sana Luta but kazi nzuri
Oy boy nakukubr boy wanao mkubr boy tujuan kwa like ap
Move zako saiv wala hata so nzur boncena unakwama wap ulianza vzr now unabolonga tu
Mhuu afu apo nmeskia director akiongea ety
Standy by action
Mnaharibu
Luta man hebu badilisha hilo neno boy man
Baba kurusumu🤣🤣🤣Sir bayisa bwana
Hili neno boi ni jau
Ruta unazingua boy boy zinakeraa ww ndio unaboa
Baba kurusumu😂😂😂😂😂
Nawakilisha Morogoro like hapa
Dada boy😊😊😊
Kazi nzuri bwoy 😅😅
GODZILLA 🐲 HAYO MAVAZI HAPO UMETISHA 😂😂
❤❤❤nawapenda wote
ACHENI UWONGO BOY TAMU NALIPENDA ALAFU MASHABIKI TUACHE UJUAJI MUVIE SIYO KIPINDI NI MPANGILIEO ULIO ANDALIWA KAMA HUPENDI BOY KAMA MIMI SIPENDI MAN KWAHIYO ANGALIA STORY INA FUNDISHAA
Ilo neno boy khaaa lina boa bhn
Kobero unachekesha san❤❤❤
sema hto stand by action😂
Wa kwanza leo naombeni likes
Kazi nzuri Sana 🎉
imekaa vzr hiyooooh
Bonge la dudu😢❤❤😅🎉❤