HORROR IN SAUDI ARABIA |My unforgettable experience in Saudi Arabia as a house help |SEMA YOTE SHOW
Вставка
- Опубліковано 9 лют 2025
- She left Kenya for Saudi Arabia with hope and determination. She just wanted to bring her family out of poverty. She had no idea that her desire of a better future would lead her into a nightmare of abuse and torture at the hands of her employers.
.
.
.
.
.
.
.
.
#semayoteshow #saudiarabia #andrewkibe #theeplutoshow #2mbilitv #misstrudy #felicityshiru #bobshakwilashow #TalesofWanjiku #sharedmomentswithjustus #saudiarabiastories #plugtvkenya #tayoaina #nicholaskioko #presenterali #semayoteshow #storytime #viral #talesofwanjiku #saudiarabiastories #tukonews #evemungai #trudykitui #tukotalkskenya #lynnngugi #saudiarabianews #themurayas #krgthedon #gulf #kenyansinsaudiarabia #kenyansinqatar #sharedmomentswithjustus #andrewkibe #2mbilitv
@LynnNgugi #lynnngugi#sharedmomentswithjustus #obinatv #obina #demwafacebook #fyp #fypシ゚viral #fypage #saudiarabia #devil #devilworld #krgthedon #theeplutoshow #arianedashian #dianabahati #theeplutoshow #arianedashian#dianabahati #felicityshiru#drenenche#themurayas #misstrudy #dianabahati#bahatikenya#2mbilitv #obinatv #shaniqwakarishizo #felicityshiru#diamondplatnumz#trudykitui #goddyhunch#arianedashian #mungaieve #commentator254 #nicholaskioko #andrewkibe #comradestriplets #comradesflavor #dianabahati# #stevosimpleboy #bahatikenya #wajesusfamily#guardianangel #misstrudy#arianedashian#trudykitui#mashmwana#ringtoneapoko #njambitrhk#harryrichie #leemakwiny #hermanmanyora #dianabahati #arianedashian #bahatikenya
Hey you,
Remember to hit subscribe.
Life is spiritual you might see as if its prayers was the cause but prayers moves mountains ....but in other words its rejection spirit it operates in many ways but we thank God you are alive......part2 pld
Mamy mungu alikupea nguvu ajabu,Kitu ya kwanza ujuwe huyo shosho alikuwa jini,Na wewe uko annoited by the blood of God, Ulikuwa na nguvu mingi hadi unawachoma.Tumikia mungu.Hallelujah🎉🎉🎉🎉❤❤❤
Amen..God bless
Thank you for standing for God in the lions den..you are meant foe greatness.
Never leave Gos..thata was shadow of rhe valley of death
My sister GOD remembered and received your prayer's
Some of these Saudi people have no regards to lfe
Thank you Jesus for your grace and mercies upon this young lady in Jesus Christ name Amen 🙏🏿 🙌🏿 ✨️
Wacha kusema ni za jaba warabu si wote wazuri kuna wenye majini na miungu tofauti,ikiwa wewe ulipata kuzuri shukuru mungu
I WILL LEAVE THIS MESSAGE HERE, EVERYONE SAYING HIZI NI STORY ZA JABA NA UKO GULF JICHUNGUZE SANA,USIWE UMECHIMBA KABURI NA KUZIKA KWA KUTOJUA WEWE NDIO SABABU,WAARABU WENGI WANAFUGA MAJINI WANAAMINI NA KUTOA KAFARA.HENCE THE MAAFA ZINAONEKANA NYUMBANI
YOU GUYS NEED TO BE PRAYERFUL SANA SANA,MAOMBI HUZUIA MENGI SANA
NA KUTOA FUNGU LA KUMI.
HIYO PETE HAD A MEANING SPIRITUALLY,KITU KINGINE UKIPEWA ZAWADI OMBEA KWANZA JUU HAUJUI IMEWEKWA MIUNGU GANI
I FACED THE SAME NA HUYU MAMA ANAJUA KILE ANASEMA C JABA
Watching from saudi...😢 its not a joke life here is very hard i thank God im about to finish my 2years
Wueh nakuambia three months to go God is great
May God protect you and may you finish in Jesus Name
Hii n story za jaba hauko straight kabisa..
Hii ni mixture ya coccaine na menthyl orange😂😂😂
Kuna Mungu wa kweli anayestahili kuabudiwa. Thanks for sharing your story.
God is great
Infact the good country ni saudi arabia ukipatana na boss mzuri mwenye anaogopa mungu shida niupatane nawenye hawaogopi mungu ama wenye akonaroho chafu adi unaweza kufa juya stress
Sure mimi in 8 months, depression karibu inimalize
Mimi one year but they are very good
Life is spiritual darling,kuna ring nlipewa pia,Pete ya kimajini weuh weuh😢
Amen Amen
Praise the LORD for He spared your life in Jesus Christ name Amen 🙏🏿 🙌🏿 ✨️
Iyo ya kuamka madam Ako nyuma yake ni ukweli,,Mimi nilishtuka nikakuta shosh ameamka amekaa kando yangu na ananiangalia....nilitetemeka . akajikokota akarudi Kwa bed...usitamankufanya kazi ya care giver na awe ni shosh...
Hii inaweza kua ni spiritual fight kilicho ndani yake ndio ilikua inafanya unakataliwa life is spiritual
Waarabu wana utajiri wa majini. Ukiwa na YESU unayatibua
yesu hakuwa mkiristo kwa taarifa yako...yesu muislam...waislam wanamjuwa yesu zaidi kushinda ninyi...kwa Quran...kuna suratul...marriam...mamake yesu....imeandikwa vile alizaliwa,,,kwa miujiza,,,vile amekuwa,,,babake marriam...hata mukiuliza anaitwaje hamjui.bt waislam tunamjuwa..
Ata vile unaongea tu wewe ni chiriku,well organised stories
Hawa watu na majini kwanza ni manyumba zota nakufunga mapusi nakuna wachawi hukimbia usiku story zahuku nitaongea after 10 yrs😢😢😢😢
God atuguide tu juu it's not easy here😢
Ongea haraka to the point....we have anger issues
Ata si watch juu ya hii comment
😂
🎉si tuhusle hapa lkwetu Kenya hata kama ni kidogo
Look alike ya Awinja. Thank God she is fine.
Ni ukweli
Mpaka kuongea kwake
Awinja tupu
Mungu tulinde mwendo umalizike salama
Kiherehere yake iko top_notch
Nonzenze,who is forcing you to listen to her? Hama!
Ongea ukiendelea mbela si kurudi nyuma,hv story Iko poa,lkn unafanya inaboo
Ata mimi nlikatazwa maombi sababu hiyo nyumba ilikua na majini😢it's sad
Sijui kama ni story sishikanishi ama ninini, but sijaboeka hivi!!!! Woi my banddles😢. Someone help me understand; horror iko wapi hapa? Very boring 😔
Wee dam ako na stor
story mob
Kuna part 2...tia bidii usiwe unakopa data
Pole sana mungu anateteanga mtu
Ukweli
Akona watoi watatu
Eee huyu nimuongo
Unabo kutupea story ukirudi nyuma ,haiflow buana😢😢
Ukitumia JINA LA YESU kuomba majini hayapendi. Kama haupo kwa Yesu mambo yanaweza yasisumbue ila unaweza kutolewa kafara muda wowote.
Sister mungu akusameh,uongo mtupu Wacha kuaribia hao watu jina 11yrs now saudi have never seen or hear any where hata upate nyumba mbaya aje hayo unayoyasema SI ya ukweli kamwe fikiria tena????☝️☝️☝️
wewe unaomba kweli
Pole
❤❤❤ukiwa gulf..maombi mbele
She’s stealing your nyota!! They’re trying but whatever it is not going through. Your Aura is protected!!
Nimeshea story ili nsaidie wenye wamegive up na furaha kwa yale mungu amenitendea.nlienda 2019june nkarudi 2019october mwanzo.
Pole sana dada
Ngai wasichana achangeni kueka story za uongo kwa hadidhi ongea tu ukweli utasaidika mara nyingine mtu anatoka hm na spirit of rejection.. Yes warabu ni wabaya but si wote hizo nyumba 3months
Ati chakula mzuri mzuri, sasa mchele na makuku ndio chakula mzuri na ata hazina taste.
It is her story,. Stop attacking
Hata siikuragi walai mi hununua spinach na ugali
@@BethKiarie-lu8zh heri ww unakubaliwa kupika chenye unataka,.
@@josmula1450 kwani umeskia vibaya ?
Kama ni kitu waarabu huogopa na hawapendi, ni shakhala anaombanga. That's why they like Muslims. Christian akiomba mashetani zao, majini znakosa nguvu.
How big is our God I love this story
uwongo...mbona mimi muislam bt kila hao nikienda madam hapendi kuniona ni kisali?...mwarabu hapendi mtu kufanya ibada...hata uwe muislam mwenzake...sup eti wakiristo.
Story za jaba
Hii story ata😮😮😮
Amen,Mungu wetu ni mwenye nguvu,kweli wewe ni mshuhuda🎉
To be honest wengine ata hurudi before contract wangekurundisha kenya bytheway
Hio ring niyaushetani
Could this be spirit of rejection?
Hii story ni ya rejection wacha kusema ati ni maombi ! Wewe uko na rejection mama
Inawezakua Sio rejection, maybe Hao watu walikua Na miungu Na nguvu ya Mungu iliyo ndani ya huyu mdada ndio ilikua inawaogopesha sababu umesikia akisema kazi yake hakua mbaya but Ni spiritual fight
Ni maombi mamaa,Anza leo uone vile watakudharau
🤔🤔😉😉🤗🤗🙄🙄🙄kwenda huko niko na 6y in saudi Riyadh waja kutanganya apa ni vasirini ndio tunajipaka
Same here am Riyadh,awache maongo mingi
wah 6y kweli akili ni mali
@@jacintakinyua7689
Ju kila mtu anasema ni uwongo kwa comments am not watching🤣🤣
Hii ni uhongo..sifeel hii story kabisa..
Part 2? Cant end like that?
Saudia siyo mbaya vile watu wanasema,wengi wanatoka ma vizirani uko kwao nyumba.Be prayerful cus even where you come from it's not safe.
Story za jabaaa
Unaeza kuwa imefanya kazi 11yrears saudi lakini huenda ulipata boss mzuri, wengine ni wanyama hawana utu
Saudi so kubaya nivile mungu alinipitishia hiyo kwa ushuhuda wasiku yaleo.ata mimi nilidhani ntakufa bt sai mungu amenibariki na familia,watoto na nyimbo za gospel.kuna moja iko u tube.Ann wambui M.song ni Uteithio wakwa..
Ongea ukweli story yko Toka mwanzo Haina maneno tofauti ni hayo yakujirufia
Pat 2 iko na itakua na story ivo
Im here Saudi Arabia for 4yrs nimefanya kazi more than 5 house but to be open hii story nasikia ni uongo 🙄 Arab's pray e same God we pray! Yaani 3 months u understand Arabic 😮mm hii 4 yrs even i don't understand other things! Hizi story ni uongo ni kupea tu watu waogope kukam kutafuta pesa, story za japa
Lies they dont pray the same God...please stop misleading people...
@@AngelaImaliArab pray e same God we pray e difference it's only e way everyone pray kwani Muslim pray Satan if I may ask you we all pray e same God difference it's only how someone pray acha za ovyo Hakuna kitu unajua wewe
Niconnect pia nikuje hapo
@@Becky370The don't pray the same God we pray
Yes they pray God in Heaven
Sii wote wako na majini bali huku ni ww na mungu
Eti landcrusher ni mtu ako na doh😮😮😮
Watu uokota hizi story za jaba wapi😂😂😂😂Yani uko Saudi 3 months na unajua Kila kitu chenye wanasema sisi sio wajinga bana🙄🙄🙄🙄🙄
@@Princess-eq5ei mm nmemaliza contract nasijui kitu , ila majinun , kelba na haiwana , khalas.
@@سينثيا-ه6ت 🤣🤣🤣🤣🤣I love you hata Mimi Niko na 3 yrs nawakiongea siskii kitu not unless waongee Moja Moja 😩aki Kuna watu waongo🤧
Wewe kwenda..mkimbizi
😂😂😂😂😂niko saudi 20yrs acha uongo😅😅
Ti hell with Saudi Arabia. Huko ni kifo.Adadhali kukaa kenya na uuze sukuma ama ukaange mamdazi kuliko kuenda kuteswa na mwarabu kila siku. Mwarabu anakutomba kwa nguvu watoto wake pia wanakutomba,marafiki zake pia hivyo hivyo na.kupigwa na kunyimwa chakula na kufanyishwa kazi masaa 16 kila siku ukinyimwa usingizi.
Huyu dem sio story teller mzuri
Never judge just because it has not happened to you
Very true💯
OK bt hatupendi story za Ruto😅😅😅😅 na we usiseme ni ukweli kama hujadhibithisha
Part 2?
So what happen at last
Saudia gani hii weeuh
Nani kasema sisi tubudu mungu mmoja TU Allah na tunamumba mungu atukinge na majini na mashetan hatuabudu majini koma wewe hata nyie waswahili Kenya muko wazuri na wabaya
Wao ni wanyama, they pretend to be good but animals
Na story yako ni ndefu aiyeleweki gahi 😊😊😊😊😊
Jaribuni museme ukweli sababu munatia wengine uoga .... statement ya huyo dem haiko straight kabisa
Jamani sio kweli ni uongo waarabu sio wabaya kabisa his ni vita ya tube basi
Huyo shosho hakua anakasirika ....wingi ni wa hasira
Mungu ni mkuu
Okay.
Waah marurui wapy
Hapa hakuna ukweli
Hizi ni story za jaba😂
Waarabu wengi Wana miungu mingi ya kishetani,lakini Mungu wetu ni mwaminifu anatupigania bila sisi kujua
Am lost
Watcha story za jaba sister"
😂😂😂😂😂sielewi Kwan watajuaje wakati umeomba
😮😊
It is called maghtabah
If ananjua kiarabu alikua side gani ya saudia cozz naona nikama story za jaba. Cozz hawa watu wakikuongea huwezi sikia kitu
Na unafanana na Awinja🤔
Wewe wacha uongo ulikuwa unaongea na cucu kiarambu gani 😅😅😅😅😅😅😅
Mbone ni stories bira ending !! Uriwapina vipi na ukarudi nyumvani? Ungetuambia pia. Apo ni stories nusu. Arakiini Mungu asifiwe ulipona na uko hayi tushuluru
Continuation inakuja . It was a long story. Remember to subscribe.
yuko kwa ukweli hana uongo
Kwani waraabu wote Wana majini? Jamani
Hello good morning my name is Eva I want want to share my life story with you please
Reach out to us through 0799314693
People can lie
@@rosemarywaitherero3165 ati nyumba yenye watu huenda kuuliwa huko ama kukaa hadi umalize contract 😂😂huyu alipika hii story ikapikika
@@rosemarywaitherero3165 am telling you
😂😂😂😂 tustory ulikua unamuhadhia nakikuyu ama kiswahili 😅 unaongea sana
Uongo story za jaba😅😅😅😅😂😂😂😂
Hii naona ni story ya kutunga
Huyu dem anaongea akienda mbele akirudi nyuma...she is very boring
Tulikuwa tumefika saudi sasa ameturudisha tena kenya
Sina maoni hapa 😂😂😂😂😂😂
Happy Birthday Prince Harry 💥
Eeeeeeeish No!! Kairitu leka maheni .
Spirit of rejection...