DIAMOND hashikiki! ngoma yake SHU imeipita SINGLE AGIAN ya HARMONIZE streams spotify,ni namba moja..
Вставка
- Опубліковано 7 вер 2024
- Please subscribe now on our UA-cam channel to be the first to hear about latest news and updates on Time.
#middlesimba
#WeAreEverywhere
#diamondplatnumz
Mido ww hujuwi kama baba ni baba tuuuu shu ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Respect 🎉diamond platnumz
Middle simba media respect
Aaasante mindle simba
Chibu @💪🙏
Diamond platinumz🔥🔥🔥🔥
Haujui❤
Simbaa ni 1 tu
Asante middle Simba nakukubali 🎉🎉
Haujui🔥🔥💯
Huyo jama anatakiwa ajengewe sanamu tu
Kama unamkubali SIMBA basi weka like bila hiaya❤❤❤
Allah azidi kumbariki diamond kwakila kitu
Simba la masimba Dangote ,Baba ni baba tu
Tunasubiri keleleee za mzee mmakondee 😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
haujui
Simba la masimba ❤❤❤❤❤😂😂😂
We zombie 🔥🔥🔥
Mambo hayo mimi ndio nataka kumuona simba akiongoza❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Lamasimba dangote 😂😂😂😂yy n vtend2🎉🎉🎉
Mpaka leo bado tu mnamlinganisha harmonize na diamond acheni bhana utoto wenu mondi ni namba 1 ever
Harmonize kujiingiza kwenye uchawi ndio atapotea kabisa kimziki....Laana tupu😅😅😅😅😅😅😅😅
🎉
1. Enjoy86m 2.yatapita52 3.Honey35m 4.single again31m
We na unajua
tuna omba respect safadali,tanzania diamond platnumz ni namba moja ni iyo ndio nafasi yake
Waaaooo?
Baba Ni Baba 🔥🔥🔥
Aya harmonize aseme tena😂
Hakuna Kama Diamond
Babo komasava ❤
Hamo niatal hajaimba na mtu yoyote ila diamond kawashilikishi wasauz 😂 af w big unakubali sana diamond 😂😂😂😂
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉😊
Nilitamani Sana amfunge mdomo na huku sas aseme Tena
Simba@a🙏🙏🙏
Zuwena namba tatu UA-cam single again
hapana honey namba3 honey 35m, zuwena namba5 27m😂
Mzee Popo Harmonize.... laana inaendelea 😭😭😭😭😭
UA-cam hâta Zuwena ina 33M inaipita Single Again
Middle simba what is the name of the Song in your Background pls?
Diamond kolabo zina mpish san 😂😂😂
Ww unampango
namu kubari Simba ❤❤❤❤❤
Lili kuwa ni swala la muda tu😁😁😁😁😁😁
Kwishaaaaa
@middlesimba tengua kauli baada ya yatapita kwenye views inafata ZUWENA ina 33M views youtube
we zombie
Wat of other streaming platform
Talk about boom play😂
Tusubiri gazeti kesho kutoka Chitoholi. 😂😂😂
Shida ww Middle simba ni shabaki wa diamond na kila siku nakwambia....Acha upuuzi kama huo bro.
Naona tu post zako za kumsifu diamond..
Middle Simba una kichaa unalinganisha collabo na solo🙄🙄
Kwa zuwen na Single again ip ngom yeny views nyng youtube middle simba acha kupndxha mamb wew
Don’t compete diamond platinumz with harmonize 😖
Period
Kuna tofauti kati ya single song na collaboration middle simba....so single again ndio top song kma single artist
Na bado namba tano ni simba tu
Wengine wakifanya vizurii unajifanyaga ujaona 😂😂😂
Tushaga mjuwa mondi kazi niku fosi vitu
Tukutane kwenye viwanja vya show 😂
🎉