PART70:TAJIRI ALIEPEWA SHARTI LA KUTOJISAIDIA KWENYE CHOO CHA NYUMBA ALIYOJENGA YEYE KWA PESA YAKE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 25 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 43

  • @yvettekyalika907
    @yvettekyalika907 Рік тому

    Aksanti sana Mutumishi Davista kwa kazi mugumu ! Mushuudizadji Aksanti sana nakutufundisha ! Mungu abariki vizazi vyenu ! Bwana Yesu apewe Sifa ! May God blessed this channel ! Merci beaucoup Davista ❤

  • @maryfranknamkumba9182
    @maryfranknamkumba9182 Рік тому +1

    Kaka Ahsante kwa simulizi nzuri ndefu inayoogopesha kujua kuwa ni jinsi gani mwanadamu wa kawaida tunayeishinaye anavyoweza kutumika vibaya na hao viumbe wa kuzimu kuharibu maisha ya binadamu wenzao na hata yao wenyewe. Wewe mwenyewe unajua madhara uliyoyapata kutokana na kazi ulizojiingiza kuzifanya. Nadhani pamoja na kuwa mpaka sasa sijui ulipataje wokovu wako, naona kabisa wakati unayafanya hayo yote ulidhani ulikuwa na nguvu za kumshinda Mwenyezi Mungu Baba wa Mbinguni. Nashukuru sasa unaujua ukweli. Sasa Naomba nifahamishe hao madactari wanaofanya kazi za kuzimuni kama ulivyokuwa wewe sisi tunaweza kuwajua vipi. Na hivyo viungo ulivyokuwa unachukua kwake kukabidhi kwa hao watu wenu alikuwa anavitoa kwa watu wazima au waliokufa au waliokuwa wanakaribia kufa. Pia na yule mchungaji jamani Naomba niambie tunawezaje kuwatambua aina hii ya wachungaji ili tupate kuwaepuka. Tena niambiwe sisi binadamu watoto wa Mungu tunachansi yeyote ya kuingia peponi kama mambo yenyewe ndiyo haya honestly.
    Sasa angalia ni binadamu wangapi umewaangamiza wewe kaka jamani pamoja na familia yako yote. Mke wako yukowapi siku hizi na yule dada yako mchawi?
    Halafu mwisho kabisa sielewi kwa nini hukumuoa yule mwanamke mchawi aliyekuja kuomba mtoto kwako, ilikuwaje au wewe shughuli za kuoa ulizisahau. Natumaini hii simulizi itaishia kuzuri, AHSANTE

    • @piusnkwale
      @piusnkwale Рік тому

      Changamoto maswali ya msingi Kama hayo hayajibiwi.mimi nimeuliza hadi nimechoka

  • @annkim2690
    @annkim2690 Рік тому +2

    Miaka 15 ilioisha niliona movie ya naijeria ya hio kinyago watu walikua wanaombea mtu kanisani pepo lilitoka likaingia Kwa kichago tokea sikuhio nikiona vinyago vikiuzwa sina haja navyo

  • @Kalssambabo-gv6uh
    @Kalssambabo-gv6uh Рік тому +1

    Nihatr sana haya mambo yakiza yanavitu vyaajabu ajabu

  • @onesmokapugi5875
    @onesmokapugi5875 Рік тому +1

    Asante sana kumbe " kila mganga ni mchawi"

  • @JaneDoe-hf3zy
    @JaneDoe-hf3zy Рік тому

    Hapo kwenye mihuri kaka davistar naomba atufafanulie vizuri mihuri ni kule kuchangwa ana ni nn

  • @Kalssambabo-gv6uh
    @Kalssambabo-gv6uh Рік тому +2

    Shokraan kwasomo lako tumejifunza kuhusu hawa waganga

  • @athumanmakale8221
    @athumanmakale8221 Рік тому +2

    Davista mfundishe mdogo wako Alawi ana maswali mengi. Hii story ingekuwa ni yy isingemalizika mwaka huu kwa maswali mengi..

  • @AnthonyVitalis-mq5uu
    @AnthonyVitalis-mq5uu Рік тому +2

    Du mpaka mwili wetu mnachuma dawa,hatari Sasa

  • @jessicamwasandube944
    @jessicamwasandube944 Рік тому

    Daah haya mambo,Mungu atusaidie

  • @twaibumikidadi7377
    @twaibumikidadi7377 Рік тому

    Nahi wavhungaji wachawi na 😮😮waganga wanakasirika sanaa

  • @piusnkwale
    @piusnkwale Рік тому

    Kusema kweli ni kazi sana ku predict huyu jamaa alipona vipi.

  • @ochuMay05
    @ochuMay05 Рік тому +1

    I am the No. 1

  • @juniordamas2957
    @juniordamas2957 Рік тому

    Davista auna mbamba broo🎉🎉

  • @edithaeugeni9695
    @edithaeugeni9695 Рік тому +1

    Tupo ndani kujifunza zaidi siku mtaniona kwa mganga mniuwe sijawai na stokaa nikanyage

  • @AronyWazaely
    @AronyWazaely Рік тому +1

    Tuko pamoja

  • @georgedaud3411
    @georgedaud3411 Рік тому

    Kama kawaaa

  • @NM-yl2uw
    @NM-yl2uw Рік тому

    davista kama umemu autopilot mwamba anajisumulia mwenyewe tu apo maana hatukuoni

  • @RehemaKhamis-k8s
    @RehemaKhamis-k8s Рік тому

    Mpaka mia kieleweke

  • @RehemaKhamis-k8s
    @RehemaKhamis-k8s Рік тому

    Dawa yeusi ogopasana

  • @JaneDoe-hf3zy
    @JaneDoe-hf3zy Рік тому

    Alafu huyo mama ni yupi ni huyo wa kuomba mtoto kwenye mzimu ama ni yupi

  • @ahmedmattar4661
    @ahmedmattar4661 Рік тому

    Kama una dawa zote kanini kuna spitali si uende muhimbili ukatibu wagonjwa ili upewe bajeti yote ya matibabu wew

  • @RehemaKhamis-k8s
    @RehemaKhamis-k8s Рік тому

    Leo kaka yetu kachana nywele

  • @ahmedmattar4661
    @ahmedmattar4661 Рік тому

    Loo kinyago kinapewa amri kinafata hii kubwa

  • @ahmedmattar4661
    @ahmedmattar4661 Рік тому

    Kuna umuhimu tena wa kujenga spitali huyu jamaa ana dawa zote tena anatibu kwa dk tu sio spitali utibiwe kwa miezi nashauri spitali zote zivunjwe wagonjwa wote waende kwa huyu jamaa

  • @hancymachibbula4355
    @hancymachibbula4355 Рік тому

    Wa 3 leo😂

  • @freemonhenry3448
    @freemonhenry3448 Рік тому

    😍😍

  • @ahmedmattar4661
    @ahmedmattar4661 Рік тому

    Loo.maiti kasha zikwa halafu ànaongea kweli hii stori uwongo umezidi

    • @nassibu-hy5ny
      @nassibu-hy5ny Рік тому

      Inawezekan ndug yng mamb ya Giza yananguvu sana

    • @chidybwax8080
      @chidybwax8080 Рік тому +1

      Shida mnadakia story faatilien kwa makin utaelew tu mambo ya giza yanatisha sana

  • @dianangethe7839
    @dianangethe7839 Рік тому

    Bado huyu jamaa yetu ni mganga hadi saa hizi?

  • @juniordamas2957
    @juniordamas2957 Рік тому +1

    Inawekanaje mtu aliekufa akawa na kumbukumbu za kipindi akiwa hai?? Naomba atujibie ilo swali kaka

    • @mazikub5272
      @mazikub5272 Рік тому

      Humu duniani kila mtu kuna pepo linalokufuatilia, lina uwezo wa kuvaa mwili wako, kuwa na sauti yako nk.
      Ukifa linabaki lenyewe na ndio hujulikana kama msimu, ila wewe kama wewe haupo

    • @mazikub5272
      @mazikub5272 Рік тому

      Namaanisha mzimu

    • @juniordamas2957
      @juniordamas2957 Рік тому

      @@mazikub5272 ahaaaa

  • @yvettekyalika907
    @yvettekyalika907 Рік тому

    😮 Ô "kinyago" is "statuette in french"..

  • @yvettekyalika907
    @yvettekyalika907 Рік тому

    🤔 samaani what's " kinyago "??

    • @NM-yl2uw
      @NM-yl2uw Рік тому

      ni mask za usoni zile ila waswahili ata zile staue za mbao hiwa tunareffer as kinyago

    • @yvettekyalika907
      @yvettekyalika907 Рік тому

      ​@@NM-yl2uw❤aksanti sana