Ndovu rhymed from 10 to 3 , 10/10 , ni mijikenda (9 tribes), figure 8 utapenda, chora 7,,, 6 sitaenda.. nitakupenda mara ka 5 udhani ni tenda, 4 you Niliacha makwela, vitu ni 3 . Creative verse so far in 254
@@Vanisikaka Nusra nikubaliane nawe ndugu ulivyokua unamrekebisha huyu fala, lakini mbona uwaweke wakenya wote kwenye kikapu la watu wakabila? Shenzi wewe.
Noma sana...
I think you should react to kudonjo kudunda by zerro ssufuri, trending now
Top 10 to comment I like your support to 🇰🇪 music ,kinyamwezi.
Kuthigitha ni kutomasatomasa ,makwela ni mademu.
Ndovu rhymed from 10 to 3 ,
10/10 , ni mijikenda (9 tribes), figure 8 utapenda, chora 7,,, 6 sitaenda.. nitakupenda mara ka 5 udhani ni tenda, 4 you Niliacha makwela, vitu ni 3 .
Creative verse so far in 254
Yoh😮
I think 10 to 1....juu hpo mwisho anadai kuna ndovu n matope(those are 2)....then outcome n natela(that's 1)
ungejua tu vile chorus inamaanisha
Unyamwezi mwingi Vani. Nice reaction and your editing skills ziko juu. ❤️❤️❤️🇰🇪🇰🇪🇰🇪🌷🌷😊
React to 'Kwa bar' by odi wa murang'a
💯
You are the real og😂😂😂🚨✋
🔥🔥👌alf kwani uliwacha kupenda mbogi genje😂😅😢
❤❤❤ reaction tamu Kwa wimbo tamu
Unyama Kama wote 🔥🔥🔥
wakadinali ft khaligraph - tourist
Skiza after kujua translation ya corus 😂😂
You know whaaaaaaaaat 🔥🔥🔥
Kuthigiga ni kuchanganya changanya like mixing
Kazi safi mzee. React to Gyalis by unco jingjong
Tufanyie pia ya Ekodydda bro ni mkaleee
Oyh Bro tufanyia moja ya vichamaji family
Original Nairobi talent 🔥🔥 ukipata nafasi tufanyie moja ya Kudonjo Kudunda
I like your vibe and energy
A ufanye video tueze ku download bana , Van Isikaka
Buda kicheko chako huwa contagious sana😂😂😂
Surrender the cover(toa nguo)angusha mabidhaa
Umetisha sana kaka
Hio ngoma ni ngwati tupu😅😅😅😂ndo sisi hao,bora inatubeba
1) kuthigithaa ni kukoronga au kukorongwa eg acha kunithigithaa meaning acha kunikoronga
2) Makwela ni mashowry
madem, ukisema mashowry itakuwa ngumu bado😅
Treding sound worldwide🎉
Mwanangu mambo ni kwere kheshe😊
Walai aki ungejua maana halisi ya hii song 😂😂 heeheee 😂😂🙌🙌
Guthigitha ni kumchanganya mtu yani kama vile unampoteza 😂😂😂😂 nikikuyu actually
🔥🚒🔥🔥 Kali kuruka
Fanya reaction ya ngoma mbili za Master Kimbo
Kenya nasisi mistari tunakuwaga tu wanyama 😅😅
Leta reaction ya Parapanda ya Wakadinali,Fathermo na Savara Vani boy🔥🔥
React to digii by mr tee and tenorboy
Also react to anguka nayo
Kenya to the world 🌎
Noma💥💥
Though ni msanii Yuko chini lkn naomba ufanye reaction ya @Hubby music special
Kudhigitha ni kutombana
ina maanisha ku hustle pia. but in this context umegonga ndipo
Mavella means bangi
Makwela ni mashowry😂
This is the game changer song ...kama hajareact bado ni kijinyimbo tu
Lele by Inès Raguel ft Mb Data.❤️❤️❤️🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Nahitaji video reaction please.
Kudade is mjulus
Nganamwa is kumwaga
mbanala is licking
Double trouble #hustle figure
Ngoja kwanza na English gold by za Master Kimbo
Ndovu kuu
10/10 -10
Mijikenda -9
Figure ni nane - 8
Chora saba -7
sita sita sitaenda - 6
mara ka tano - 5
for(four) you.. -4
vitu ni tatu - 3
Van bwoy wats poping is vipi u know wat Kuna Moja ya trio MiO ngoma mpya inaitwa zinaclap
niaje bro
Fanya moja ya mandy...lele
Oyaa Van react to Breeder Lw Gotha tena 😎Utapenda
Good work
Kabisa vani boy budaa 👊
Ssaru ft fathermoh new song 🔥🔥🔥
Kudadeki😂😂
254 noma
😂kuthigitha ni kuthobotha
Reaction ya breedah deadly deadly
makwela ni madem
Mi naganamwa anambanala meaning bana🎉😂
Can you react to Deploh perl treasures from Kenya
Wangan
React to inakubalika by matata
Please react to masterpiece ft wakadinali
Kama vanny kaka 🎉
❤
Kuthigitha ni kuzagamua
Kichwa mbata by WAKADINALI
🔥🔥
Do STARSHINE BY BURUKLYN BOYZ
Video reaction ya ssaru na father moh(tumerudiana)
Sikujuwa ni kichwa mbaya bado hujafanya
I think u more of kenyan than tanzanian
Makwela ni madem/wasichana
Mbayaa
Hii original version beat yake haiko poa kuliko refix yake
hujui mziki
Mavela ni 🤏😊
Makwela ni Madem 😂
I WAS THE FIRST TO COMMENT🤣🤣🤣🤣
🇰🇪🔥🔥🔥
Dedi dedilee ya breeder icome through
Makwela ni madem,,
Kudade minadudida minaganamwa( mi namwaga) anambanala ( analamba) nasty
🔥🔥🤜🤛
Wewe najua sio kupenda ni hate
what are you talking about
Kudade 🥶🔥🔥
Jonny joh
Nina ganamwa- Nina Namwaga
Nambanala- Lambana
Kudadeki
Were nikazi umekosa tafuta content iko na akili
na unafanya nini hapa
You reacted to the wrong hii song ina trend sasa kila mtu amepost kwa channel yake
Kuna huyu msanii anaitwa Keemlyf, skiza ngomma yake na Bien - Freeze Time remix ua-cam.com/video/qMObDYMJW30/v-deo.htmlsi=OUGKh_9XUZrFpeaB
This guy is a joke. Song za Kenya anareact in the shortest time possible but TZ songs anatumia longer time even though the song is a flop.
Ulikuwa unataka ziwe how long??🤔
Nitoleteee ukabila hapa , umeshaanza kuleta ukenya utanzaniaa, kwani unalipia au umeitwa kama umaindi jikate tu🙌🏾 fungua channel yako nenda kafanye video kwa style yako.....💥
@@Vanisikaka Nusra nikubaliane nawe ndugu ulivyokua unamrekebisha huyu fala, lakini mbona uwaweke wakenya wote kwenye kikapu la watu wakabila? Shenzi wewe.
you are sick in the head