SITAMANI KWENDA CCM WALA KUACHA ACT WAZALENDO | KAULI YA MAZRUI KWA RAIS DKT HUSSEIN MWINYI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 2 жов 2024
  • Hii ni CROWN MEDIA, 92.1 CROWN FM & CROWN TV
    Follow us on Social Media Platforms
    Instagram:
    Crown FM - / crownfmtz
    Crown TV - / crowntvtz
    Twitter (X):
    CROWN MEDIA SWAHILI: / crownmediatz
    CROWN MEDIA ENGLISH: / crownmediaen
    Facebook:
    CROWN MEDIA: www.facebook.c...
    TIKTOK:
    www.tiktok.com...
    SUBSCRIBE & WATCH OUR SHOWS: / @crownmediatz

КОМЕНТАРІ • 23

  • @ip_header
    @ip_header День тому +2

    Background sounds is annoying😢, please reduce it or remove

  • @Sampovoice8088
    @Sampovoice8088 День тому +1

    Kikeke mtangazaji no 1 in Africa

  • @lusakaone7782
    @lusakaone7782 22 години тому +1

    Ni jambo jema ila kwangu kuna walakini, mzigo unarudi kwa wananchi, nchi ndogo ubadhurifu mkubwa, hatukuhitaji private sectors

  • @radaonlinetv1922
    @radaonlinetv1922 17 годин тому

    Kiswahili nibora zaidi katika kufikisha ujumbe kwa jamii

  • @fatimasaid9469
    @fatimasaid9469 22 години тому

    Kweni kabisa mazur me nakuunga mkono. Siasa ina nafasi yake but kwenye maendeleo. Zuri lipewe haki yke. Mazur unafanya kazi uzur na unaleta umakini ktk kazi kuleta mapinduzi ya sector .

  • @mombasa0076
    @mombasa0076 10 годин тому +1

    PRIVATE SECTOR WANAHITAJI USIMAMIZI WA HALI YA JUU VINGINEVYO UBADHIRIFU UTAKUWEPO.

  • @rashidmohdissa4811
    @rashidmohdissa4811 14 годин тому +1

    Kikike sauti ya background inakera bora usiweke inaharibu

  • @awemaqway1201
    @awemaqway1201 День тому

    Is it live streaming au 😂😂😂

  • @FreddymongaAsendemonga
    @FreddymongaAsendemonga День тому

    👑👑👑👑👑 media

  • @DonaldGerald-sv4gv
    @DonaldGerald-sv4gv День тому

    Hapa ni nyumbani

  • @lusakaone7782
    @lusakaone7782 22 години тому

    Ni jambo jema ila kwangu kuna walakini, mzigo unarudi kwa wananchi, nchi ndogo ubadhurifu mkubwa, hatukuhitaji private sectors

  • @salumabdallah2990
    @salumabdallah2990 22 години тому +1

    Hii media itakuwa kubwa sana kuliko nyingi zilizo tangulia wasafi atapigwa na chini😂

    • @amanijampion3045
      @amanijampion3045 21 годину тому

      Kila media na sera zake. Kwa nini usiseme Azam itakuwa media kubwa

  • @baraghash4964
    @baraghash4964 20 годин тому

    Background music ipo juu sana, kipindi kinakua kama sio official.. inakaa kama ni kipindi cha burudani kumbe ni kipindi cha kimaendeleo

  • @salem9874
    @salem9874 22 години тому

    Safi sana ila siku yengin jaribuni kupunguza kdg saut ya music ili tusikie vzr

    • @baraghash4964
      @baraghash4964 20 годин тому

      Ni kweli background music ipo juu sana

  • @hamadfaki7625
    @hamadfaki7625 16 годин тому

    Izohela ambazo zinatumika kumlipa private sector zingeweza kufanya mambomengine yakiuchumi
    Private sector wawekeze kwaupande wao ili kuwe na ushindan kitaya private na government

  • @willbroadpontion
    @willbroadpontion День тому

    🔥🔥🔥🔥🔥

  • @hamadfaki7625
    @hamadfaki7625 16 годин тому

    Binafsi siridhishwi kuepo kwa private sector ispokua napenda serikali iweke umakin nautayar ktk uendeshaj wa shughuli zao
    Mfano mafunzo yenye ufanisi , usimamili na uwajibikaji

  • @Zanzibar-e4h
    @Zanzibar-e4h 22 години тому +1

    Sekta ngumu sana nandomana ccm huwapa wapunzan

  • @johnabdillah9531
    @johnabdillah9531 16 годин тому

    Lab imeshakufa Zanzibar, hakuna quality mgt yoyote kwa vipimo vinavyofanyika

  • @omarabdallah9576
    @omarabdallah9576 19 годин тому +1

    Wee jamaaa umetumwa uchocheye masuala yako unazunguruka hapo tu mara ukifukuzwa act ndio hajafukuzwa sasa mara ukiwa ccm ndio utanya kazi vizuri nenda wewe acheni uchawa mmekuwa hadi mende sahizi