Yaa Rabbi mjaalie kaka yangu huyu aaachane na mziki na umuongoze katika kheri na batilisha kila shari katika nafsi yake na umsimamie kwenye kheri Hadi mwisho wa maisha yake na umjaalie mwisho mwema
Allaah Atakuwezeshaaa wewe naar wenzakoo kuwashukhulikiyaaa mayatimaa kwa uwezo wa mwenyezimngu Na Allaah Allaah Atakuwahefadhiya na wanaa wenu kwa jamiaaan.Allaah Atawapeni pepoo zenu hapa duniani na Akherah in sha Allaah
Katika wasanii ambao wanajifaham na wanao hofu ya allah ali kiba ni mmoja ila mambo mengine ndio hivyo anachohofia kuzalilika kwa kuomba kwa watu ila allah amuongoze awe miongoni mwa waja wema katika dunia na akhera
Kama alivyofanya kheri kwa watoto hao basi nakuomba Allah kwa utukufu umpe Imani ya kiendelea kufanya kheri hizo na nyengine na umtilie barka katika kipato chake na umtakasie mali alionayo iwe mali ni miongoni mwa risk za halali
lakini pia katika maongezi yake ameonekana ni mwnye huzuni sana na ameongea maneno ya busara na ya kuhuzunisha, Allah azidi kumuongoza ijapokuwa dunia dini twaipenda na dunia imetutawala lakini twazidi kumuomba Allah atuongoze zaidi katika kuitumikia dini yake inshaallah.
Ndugu zangu wadogo zangu na wakubwa,Kilio cha LEO!!! mpo busy na kujisahau ! Mkumbuke toba haraka mrudui kwa MUNGU wa ardh na Mbingu..acheni DUNIA ITAWAACHA...NYIMBO HARAMU HAMJUI 😂😂😂
Imani ipo Mfalme. Allah akujaliye kheir👑👑
subhanallah hio dua imemaliza kila kitu😭😭😭 mashallah, Ameen yaa Rab, Aly kiba Allah akutoe kwenye mzik insha-Allah ww hufanan nakaz zakiswaitwan .
Naww mwijaku allah akubarik ameen
Mashallah Allah atuongoze Watoto wetu Wawe wema na wenye maadil mema na tuwaangalie Watoto yatima
Yaa Rabbi mjaalie kaka yangu huyu aaachane na mziki na umuongoze katika kheri na batilisha kila shari katika nafsi yake na umsimamie kwenye kheri Hadi mwisho wa maisha yake na umjaalie mwisho mwema
Ata acha tu allah atamtowa huko amuogoze njia ilo nyoka ameen
Ma Shaa Allah! Naomba kujuwa hiki kituo kiko Wapi ama ningepata number za simu
M/Mungu akuongoze katika njia za kheri my akhuy Ally Kiba na uzidi kuyaendea mambo ya kheri usichoke kutoa na Allah akuzidishie pale ulipotoa
Allaah Atakuwezeshaaa wewe naar wenzakoo kuwashukhulikiyaaa mayatimaa kwa uwezo wa mwenyezimngu Na Allaah Allaah Atakuwahefadhiya na wanaa wenu kwa jamiaaan.Allaah Atawapeni pepoo zenu hapa duniani na Akherah in sha Allaah
Mungu akujaalie hiyo dua maqbul
Mashaalih my family
MashaAllah tabarakallah
Mmmm huyu ana hofu ya mungu basi tu mziki uko ndani yake
MashaAllah kwa wapendao kheri wote
Hata mm nimelia
Mashaallah jazakumllah kheir dua nzr san amiin
Mashaallah jazakumllah kheir amiin mola mfanyie weps ndug kiba inshaallah jazakumllah kheir
Mashaallah kulia kwa ajili ya Allah kuliko tunavolia kwenye music na mapenzi tu hakika mwenye kumkumbuka Allah nayeye hukumbukwa
Masha Allah Tabarakallah
Katika wasanii ambao wanajifaham na wanao hofu ya allah ali kiba ni mmoja ila mambo mengine ndio hivyo anachohofia kuzalilika kwa kuomba kwa watu ila allah amuongoze awe miongoni mwa waja wema katika dunia na akhera
Nuia kuacha muziki Mungu atakupa riziki kwa njia nyingine inshaallaah
Mashaa Allah 😢😢😢nimependa usomaji wa watoto
Anaimani ndiomana akalia mtuyeyote anaelia kwenyejambo lakhery anaimani ktk moyowake anachembechembe zaimani
Mungu akujalie hiyo dua maqbul
Kama alivyofanya kheri kwa watoto hao basi nakuomba Allah kwa utukufu umpe Imani ya kiendelea kufanya kheri hizo na nyengine na umtilie barka katika kipato chake na umtakasie mali alionayo iwe mali ni miongoni mwa risk za halali
Amiin yaarabb
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Mashaallah
Safi sana icho ndo kitu muhim tufanye sisi binadam inshallah
Hiyo Dua imemgusa kiba Daaah!!😭😭🙏
lakini sijaona akitokwa na machozi! au wewe umemuona mwenzangu?
lakini pia katika maongezi yake ameonekana ni mwnye huzuni sana na ameongea maneno ya busara na ya kuhuzunisha, Allah azidi kumuongoza ijapokuwa dunia dini twaipenda na dunia imetutawala lakini twazidi kumuomba Allah atuongoze zaidi katika kuitumikia dini yake inshaallah.
Acha mziki kiba 😢😢😢
Amen thuma amen 🤲🤲
Ndugu zangu wadogo zangu na wakubwa,Kilio cha LEO!!! mpo busy na kujisahau ! Mkumbuke toba haraka mrudui kwa MUNGU wa ardh na Mbingu..acheni DUNIA ITAWAACHA...NYIMBO HARAMU HAMJUI 😂😂😂
Kila nikimuwangalia alikiba kilasiku namuona hafanani namziki iposiku ataacha hafanani namiziki muonekano wake nikama mtuwamungu ila iposiku ataacha hiyokazi
Na wewe ubadilike mambo ya kuimba uislam hatakiiii
kituo kipo wapi
Kipo Sinza Madukani, Ukiuliza Kituo Cha Umra Unapelekwa.
Tafadhali Kama Hauja Subscribe Sasa Ili Iwe Jirani Yetu. Asante.
Allah amuongoze katik njia y khairat ndugu mwijku n ndugu alikiba n kwakila muislam aliepotea