UNO LA FEISAL LAIKERA YANGA SC, ALLY KAMWE AFUNGUKA “YAANI UNAKATA VIUNO”

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 54

  • @francepaul7711
    @francepaul7711 2 місяці тому +6

    Mwenyekiti Wawa Semajii💚💛🙌🙌

  • @taufikiNgwere
    @taufikiNgwere 2 місяці тому +2

    Ahamedi Ally anatofauti na Mr bin wachekeshaji watupu

  • @hanifamziray277
    @hanifamziray277 2 місяці тому +1

    Yanga bigwaaaaa maisha

  • @methewbuzuruga-eg8oz
    @methewbuzuruga-eg8oz 2 місяці тому +2

    Shida siyo ushindi wa yanga fei toto uwa anataka heshima hata usajli vipi lzima akutoboe tu ndiyo maana kipa alisara sana

  • @Tee-King
    @Tee-King 2 місяці тому +5

    Kila fei akifunga nakushangilia zinarudi na nyingeza

  • @idrisaabdala6522
    @idrisaabdala6522 2 місяці тому +2

    Faisal no mtoto dogo mbona Dube ajafanya ivyo

  • @ElizabethWamcha
    @ElizabethWamcha 2 місяці тому +3

    Yule mtt ana laana kila akileta kebehi mwisho uwa anatiwa goli za kutosha hii ni mala ya pili anautqka tunampa😅mtoto kautqka mtoto kautaaaa

  • @hajially4527
    @hajially4527 2 місяці тому +1

    😂😂fei toto kakata uno watu wakatia kati😂😂

  • @IgnasiaAmati
    @IgnasiaAmati 2 місяці тому

    💚💛💛💚💛💛

  • @RoseGeofrey
    @RoseGeofrey 2 місяці тому

    Semaji nakupenda sana sio siri leo nimekuota

  • @kibasamohamedi8029
    @kibasamohamedi8029 2 місяці тому

    Duh! Yanga ni hatari sana! Siyo ya mchezo ni hatari

  • @MagnusRaphael
    @MagnusRaphael 2 місяці тому

    Ally kamwe anajua

  • @PachaPanga
    @PachaPanga 2 місяці тому +2

    Feitoto young tumekulea kuwaga mpolee

  • @avitusmichael5
    @avitusmichael5 2 місяці тому +2

    Walidhani yanga ina kibamia walichokutana nacho sasa

  • @daudimichael7338
    @daudimichael7338 2 місяці тому

    Eti mpira wa umitashumta😂😂😂😂

  • @LeganNtambi
    @LeganNtambi 2 місяці тому

    Harafu we kuma acha usenge utafirwa acha ukuma msenge we

  • @prospermbilinyi4639
    @prospermbilinyi4639 2 місяці тому

    ❤❤❤❤❤❤

  • @abdilahjuma2493
    @abdilahjuma2493 2 місяці тому +1

    Ila Feitoto hana adabu unakata kiuno unamaanisha matusi au goli moja tu mauno

  • @SalimaBuneku
    @SalimaBuneku 2 місяці тому

    💚💚💚💚💚👍👍👍

  • @RoseGeofrey
    @RoseGeofrey 2 місяці тому

    Halafu nilichogundua fei toto ana kibamia wakati anakata mauno nilikiona hakijifichi kile😂😂😂

  • @checkchannel3876
    @checkchannel3876 2 місяці тому

    Dogo anashangilia ka poyoyo mmoja... pole yake! Alishangilia ka mpira umeisha, maskini hakujua...! Yaani mpaka dakika za mwisho uso ulikuwa umemshuka, mpaka akawa anatia huruma! HII NDO YANGA!!!

  • @BakariShabani-nf4rz
    @BakariShabani-nf4rz 2 місяці тому

    Mwambieni fei asikatikie wanaume umeona sasa kawekwa asirudie tena asje akapata mimba

  • @yuzomaneno
    @yuzomaneno 2 місяці тому +2

    Mwenye kiti wawasemaji akiwa anaogea kuweni wapole

  • @DanielDulla
    @DanielDulla 2 місяці тому

    Fei toto hana adabu kabisa

  • @selemanibilali8405
    @selemanibilali8405 2 місяці тому

    Umeiifunga Azam au ni feii totoo we mjinga kweli

  • @LindaMbilinyi-n3n
    @LindaMbilinyi-n3n 2 місяці тому

    😂😂😂😂😂

  • @francepaul7711
    @francepaul7711 2 місяці тому

    😂😂😂

  • @halimamasai2234
    @halimamasai2234 2 місяці тому +3

    We mtoto Mdogo shika adabu Ahmed Ally ni mtu na nusu We kakojoe ukalale

    • @faidha23
      @faidha23 2 місяці тому

      Nafikiri wewe ndio ukalale

    • @reynahnassoor2678
      @reynahnassoor2678 2 місяці тому

      😂😂😂😂 slogan si ni ilele tu ubaya ubwela, kaaaa tuliaaa dawa ikuingie tiba ikamilike #maliza dozi

    • @francepaul7711
      @francepaul7711 2 місяці тому +1

      Tulia koloo wew😂😂😂

    • @EmmanuelLundindi
      @EmmanuelLundindi 2 місяці тому +1

      Kolo ww shilikisho so stay quiet

    • @jairatu688
      @jairatu688 2 місяці тому

      ​@@reynahnassoor2678😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @JaphethMbasaRobert
    @JaphethMbasaRobert 2 місяці тому

    Yule mtoto anaona wivu.
    Katoka kwenye football kaenda kucheza kandanda.
    " Huwezi mfundisha babaako mzazi ku****!!!!!!