HISTORIA YA KANISA KATOLIKI BUKOBA - KAGERA
Вставка
- Опубліковано 28 лис 2024
- Karibu katika muendelezo wa Makala hii ya Historia ya Kanisa Bukoba - Kagera ambapo Askofu Method Kilaini mtaalamu wa Historia ya Kanisa, anaeleza namna ambavyo Wamisionari wa Afrika Walivyofika Kagera na kuanza safari yao ya Utume ambayo imekuwa na matunda mengi hii leo , Usikose kufuatilia makala hii hadi mwisho.
www.radiombiu.co.tz
#RmSautiYaFaraja
#HistoriaYaKanisa
Mtangazaji uko vzuri pamoja na baba askofu kilain nimependa historia ya kanisa
We have an entire library of History of the Church of Tanzania in the person of Rt Rev Bishop Methodius Kilaini. Bishop thank you very much for such a great legacy
🙏🙏🙏
Tungependa kufahamu kanisa la kashozi historia ake
Niliwahi kusikiliza mababu zetu wakisimuliana ujio wa wamisionari wa kwanza kwamba msafara wao wakitokea Mwanza walifikia kijiji cha Ibosa kitongoji cha Kashangati na walipopiga kambi hadi leo panaitwa bufaransa (pengine walikuwa wafaransa) kabla ya. kwenda kuweka makao makuu Yao Kashozi. Je, kuna ukweli wa simulizi hizi? Naomba kufahamu kiundani.