Mungu awape hekima wote mulioimba na kuinjilisha kama sio kututafakarisha kwa 'nyimbo zuri za kwaresma sisi tulio mbali na tz mnatufanya tujisikie tupo 'nyumbani ,
asante ee yesu kwa mema yote unayozidi kututendea tunazidi kujiweka chini ya ulinzzi wako pia utupe moyo waakufuatana na wewe katika kipindi hiki cha mateso ya kifo na ufufuko!!! Amen🙏🙏🙏🙏🙏
Asanteni sana kwa nyimbo hizi, hasa kwenye kipindi hiki cha Kwalezima, Mwenyezi Mungu awaongezee Sauti nzuri na Nyororo hili mpate kumuimbia Mwenyezi Mungu vizuri na kuzidi kueneza Injiri kwa Watu wake.
english:god thank you for what you done for us have mercy upon us god bless all of you out there:swahili mungu asante kwa yale uliyotutendea utuhurumie mungu awabariki nyote huko nje
@@KarugabaWilson English Father in Heaven bless you all and stay safe and pls pray every day.Swahili Baba wa Mbinguni awabariki nyote na kaeni salama na pls ombeni kila siku.
Thanks alot capuchin l have been thinking on how l will be connected in this lent season, I'm in Saudi Arabia no church only Muslims ,but songs in your channel brings me close to church and God.
Mbona jamani kwaya nyingi mmeacha kutumia zana zetu Za kiafrika/ kitamaduni. Naona ni kinanda tu. Tujivunie na kukuza kilichochetu. Itapendeza zaidi tukijumuisha vyote. Asante
Asante sana kwa nyimbo nzur za kwaresima mungu awabarik
Mungu awabariki sana kwa nyimbo tamu ya kwadrajezima
NAWASHUKURU KWA KUNIHUBIRIA KUPITIA NYIMBO HIZI. MUNGU AWABARIKI
Asante sana 🙏🙏❤️ 48:28
ASANTENI SANA KWA WIMBO MZURI MWENYENZI MUNGU AENDELEE KUWABARIKI SAAANA
Mungu awape hekima wote mulioimba na kuinjilisha kama sio kututafakarisha kwa 'nyimbo zuri za kwaresma sisi tulio mbali na tz mnatufanya tujisikie tupo 'nyumbani ,
Unirehemu bwana mimi ni mtenda dhambi
❤❤❤❤❤
Asante saana kwa wimbo huu.
Tunakushukuru bwana kwa yote na uzidi kutulinda na kutubariki katika jina lako Mungu
Ee mungu kama wewe uningesahahu mawove yetu nani angesimama asante sana mungu awabariki 🙏🙏🙏
Naipenda dini yangu pendwa katoliki ❤
Hizi nyimbo zinanifariji sana kwa umbali huu wanakwaya wenzangu mbarikiwe sana
a very good song
Thanks for the beautiful songs I really appreciate.God bless you.
Asante kwa nyjmbo nzuri
Well done be blessed with this
Asanteni sana nyimbo zinatafakarisha.Tukumbuke daima anayeimba anasali mara mbili pia anawasaidia wengine kusali vizuri
Proud to ba a Catholic
I pray for you
Asante Kwa nyimbo mzuri ubarikiwe
asante ee yesu kwa mema yote unayozidi kututendea tunazidi kujiweka chini ya ulinzzi wako pia utupe moyo waakufuatana na wewe katika kipindi hiki cha mateso ya kifo na ufufuko!!! Amen🙏🙏🙏🙏🙏
Asanteni sana,mungu awatunze
can't get enough of 'nafsi yangu yamgoja Mungu Pekee Yake'
Mbarikuwe sana watu wa mungu
Asante kwa nyimbo za Kwaresma
very nice songs
AMEN it's powerful
Hataniacha Bwana Yesu,atanipigania! ni mwingi wa Rehema.
Hizi nyimbo zinanifariji sana
Asanteni sana kwa nyimbo hizi, hasa kwenye kipindi hiki cha Kwalezima, Mwenyezi Mungu awaongezee Sauti nzuri na Nyororo hili mpate kumuimbia Mwenyezi Mungu vizuri na kuzidi kueneza Injiri kwa Watu wake.
Ee Mungu sikia kuomba kwetu, fungua mioyo yetu ipate kusikia sauti yako. Tupe mabadiriko ya kweli maishani mwetu, tudumu katika kukutumainia wewe!!! Bwana kama wewe ungehesabu maovu yetu, nani angesimama?.....Ooooh Mungu wangu unirehemu mwanao
Amen
Mungu atutie nguvu
Amen
Eeh mungu utuhurumie
Blessings Padre
A very good selection.
Amina nabarikiwa mno
Be blessed 🙏🙏🙏🙏
Amen😢😢😢
God have mercy, forgive us and give us the grace to serve you with humility.
english:god thank you for what you done for us have mercy upon us god bless all of you out there:swahili mungu asante kwa yale uliyotutendea utuhurumie mungu awabariki nyote huko nje
amen
@@KarugabaWilson English Father in Heaven bless you all and stay safe and pls pray every day.Swahili Baba wa Mbinguni awabariki nyote na kaeni salama na pls ombeni kila siku.
@@KarugabaWilson majina ya nyimbo ni download au link please !! Ubarikiww
Amiin❤
Here again this morning feeling blessed by the songs 🙏🙏🙏🙏
Amen continue to be blessed
@@KarugabaWilson yes I am always following your posts my neighbor
@@wamaemargaret3838 That's great... Am happy ooo
Nyimbo nzuri sana Mungu awabariki
Thank you so much for the best kwaresma songs.plse add more
Amina nimebarikuwa
So touching be blessed
Thanks alot capuchin l have been thinking on how l will be connected in this lent season, I'm in Saudi Arabia no church only Muslims ,but songs in your channel brings me close to church and God.
Mung awabarik
...........Yesu akalia kwa sauti kubwa??????!!!! h
walioimba huo wimbo wameimba vizuri ila hapo kwa SAUTI KUBWA badala ya SAUTI KUU?????!!!!!!!
Moyo wangu wafarijika amina
I love these uplifting songs. God bless you 🙏..
Nice compilation 👌🌹♥️,,, May God bless us all and have mercy on us during this lent period 🙏🙏🙏🙏
Thanks a lot
Peter Ouma Oswaro
God heal our bleeding hearts have mercy on us answer our silent prayers
Amen
Amen
very touching
Kweli atanipigania, asante sana
Rtt ftyyo
Very reflective songs-God bless you as you advance his ministry.
Lord have mercy on us
I love the treatment given to this collection of songs
Beautiful Collection!
Uniponye Yesu
amen
Best songs
Lord have mercy on us. May our prayers be answered this lenten period.
AMEN
🙏🙏🙏
Amen
6
Usiniache yesu nipiganie
Amina
🎉
Amina. Ee Bwana, nafsi yangu yakungoja kwa kimya.
Atuhurumie
safiiii
Safii sana
Merciful lord have mercy on us and answer our prayers
God have mercy on us and heal us and let's believe in you and protect us from any harm,
Mungu tunaomba huruma yako dhidi ya dhambi zetu,tumekukosea Sana. Tunahitaji huruma yako sisi ni wadhambi Sana😔😔
I need MP3...
Wilson.. thanks for music . how can i download mp3 for the same
Sending you the link soon
@@KarugabaWilson am in need of these songs .....naomba link pia
I too need a link😊
B
@@KarugabaWilson send me the link plis
Amen.
Mbona jamani kwaya nyingi mmeacha kutumia zana zetu Za kiafrika/ kitamaduni. Naona ni kinanda tu. Tujivunie na kukuza kilichochetu. Itapendeza zaidi tukijumuisha vyote. Asante
Yeah. This should be the way. Catholic songs are known by African instruments which make them unique
@@olivechitalushikopa2039r😊11😊11à😊
Kweli kabisa.
Aaa
H
Yesu nakushukuru milele kwa kuniponya.Hakika nimeuona mkono wako.Naendeleya kutafakari kifo chako na ufufuko wako.
lord have mercy on us