mashaAllah i love this sheikh so much. kwa vile hatuwezi onana naomba Allah atukutanishe janatul firdhous I.A u r ma favorite Allah akuzidishie khery zote I.A
sheikh yusuf abdi dua yako katika mwezi wa ramadani listen 2 this search it and Sheikh yusuf abdi-MWEZI WA RAMADAN you would cry wewe utal liya isikilize mashallah
Katika Hadithi Al-Qudsy iliyopokewa na swahaba Abu Hurayrah, Radhi za Allah ziwe juu yake Anasema: Amesema Mtume wa Mwenyezi Mungu ﷺ: كُلُّ عَمَلِ ابْنِ آدَمَ يُضَاعَفُ الْحَسَنَةُ عَشْرُ أَمْثَالِهَا إِلَى سَبْعمِائَة ضِعْفٍ ، قَالَ اللَّهُ عَزَّ وَجَلَّ : إِلا الصَّوْمَ فَإِنَّهُ لِي وَأَنَا أَجْزِي بِهِ] رواه البخاري ومسلم] [Kila tendo la mwanadamu huongezwa malipo ya wema wake mara kumi ya mfano wa jema hilo alilolitenda mpaka hufikia kuongezwa hadi nyogeza mara sabiini. Anasema Mwenyezi Mungu Mtukufu: Isipokuwa saumu, kwani hiyo saumu ni yangu mimi, na mimi ndiye mwenye kutoa malipo yake; (mja wangu) anaacha matamanio yake na chakula chake kwa ajili yangu. Katika kufunga saumu kuna furaha mbili: furaha (ya kwanza) ni pale anapofungua saumu aliyefunga, na furaha (ya pili) ni wakati (aliyefunga) atakapokutana na Mola wake. Na harufu inayotoka kwenye kinywa cha aliyefunga ni nzuri sana mbele ya Mwenyezi Mungu kushinda harufu ya miski] [Imepokewa na Bukhari na Muslim.]
Abu Huraira related that the Prophet (peace and blessings be upon him) said: “Whoever fasts during Ramadan with faith and seeking his reward from Allah will have his past sins forgiven. Whoever prays during the nights in Ramadan with faith and seeking his reward from Allah will have his past sins forgiven. And he who passes Lailat Al-Qadr in prayer with faith and seeking his reward from Allah will have his past sins forgiven.” (Bukhari, Muslim) Abu Huraira related that the Prophet (peace be upon him) said: “If anyone omits his fast even for one day in Ramadan without a concession or without being ill, then if he were to fast for the rest of his life he could not make up for it.” (Bukhari) Abu Huraira related that the Prophet (peace be upon him) said: Allah the Majestic and Exalted said: “Every deed of man will receive ten to 700 times reward, except Siyam (fasting), for it is for Me and I shall reward it (as I like). There are two occasions of joy for one who fasts: one when he breaks the fast and the other when he will meet his Lord” (Muslim). Abu Huraira related that the Prophet (peace be upom him) said: Many people who fast get nothing from their fast except hunger and thirst, and many people who pray at night get nothing from it except wakefulness (Darimi). When to start fasting Ibn Umar related that the Prophet said: “Do not start fasting unless you see the new moon, and do not end fasting until you see it. If the weather is cloudy then calculate when it should appear.” (Bukhari, Muslim)
Alex immala...ikiwa maji hayo yatakutoka bila yakuyalazimisha basi saum yako utaendelea nayo mpaka utakapo fturu lkn ikiwa utaleta hisia au kujishika sehemu za siri mpaka ukatokwa na maji bc utakua ushafungua Allahu aalam
Mashaalah unasismka ukimsikiliza Allah akupe uhai mrefu ....Ombi langu endeleen ku-upload nyingi muwezavyo ili sie tulio mbali tuweze kufaidika amin thuma amin Allykhana from Danmark
Ahmed sauda Abdulhamid...Assalam aleykum warahmatullah wabarakatuh..mm ni ndugi yk ktk islam nimelisoma swali lk vizuri ingawaje cna elimu ya hivyo lkn nimesoma madrassa pia nimesikia mashekh wengi wakilipinga swali hilo hata juzi nimemsikia sheikh othman maalim akipingika swali hilo so ndugi yng ktk islam huruhusiwi kmpikia mzazi mwenzako ftar mpaka mutakapo halalisha...Allahu aalam shukran
napenda kusikiza kishki napendasaaa na hatasiwezikulala mpakanisikuza kishki kishki jazakalaakher ailha azidikukuweka akuongezee kher
mashaAllah i love this sheikh so much. kwa vile hatuwezi onana naomba Allah atukutanishe janatul firdhous I.A u r ma favorite Allah akuzidishie khery zote I.A
Mashaallah mazungumzo mazuri sana kwakweli mawaiza ALLAH akuzidishie Shekhe wetu
kishki mashaallha sauti yako namazungumzoyako mashaallh
Mashallah sheikh kishik Allah akuzidie siku za kuish ili uedelee kutuelimisha kuhusu dini ya mungu
Masha Allah mungu akupe Lila LA kheri👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍
Mashaalah sheik Allah akuhifadhi
Mashaalah fi din jazakallahukhair
JazzakAllah kheir sheikh wetu♥️♥️
MashaAllah MashaAllah MashaAllah.
Shukraan Sana sheikh wangu kwa mawaidha mazjr
Allah akuzidishie kher
MashaAllah mashaAllah kazi nzuri
MASHAALLH jina lako mwenyewe hilo kishk ama tungo tu
Sheikh wangu mi nakuombeya kwa Allah
MashaAllah tabarakallah wajazzakallah kheir
mashalah allah akuzidishie Rehma kwa kazi nzuri unayo fanya love soo much sheikh kishki
Mashaallah mungu akuzidishie elimu shekhe nurdin
we hataukifa pepon moja kwa moja tunakuombea dua
SHUKRAN SANA SHEKH
Mola akupe maisha marefu sheikh
Merci beaucoup
God bless you sheikh...wlhi nakupenda sana
sheikh yusuf abdi dua yako katika mwezi wa ramadani listen 2 this search it and Sheikh yusuf abdi-MWEZI WA RAMADAN
you would cry wewe utal liya isikilize mashallah
Mashallah 2020
mungu akuzidishie shekhe wetu
mashaallah
mungu
aku
zidishie
laheri
inshaallah
mashaAllah sheikh..
Masha Allah
my favourite shekh i love u so much inshallah tuwe ni wenye kuskia na kufuata mafundisho
Ameen
Siyad abdikadir
Abdirahman Mohamed
Maashaallah
Mama fatma allah akulipe shekhe
Ishalwa alwa atakulipa zaidi ya hayo uyafanyayo,endelea kutukumbusha.
Mamy. shukran jazakaallah uheiri.
Baraka Allah feik
Kishki
Mashaallah
shiekh kishki مشعل
mashallah
masha Allah god bless you
masha ALLAH
Katika Hadithi Al-Qudsy iliyopokewa na swahaba Abu Hurayrah, Radhi za Allah ziwe juu yake Anasema: Amesema Mtume wa Mwenyezi Mungu ﷺ:
كُلُّ عَمَلِ ابْنِ آدَمَ يُضَاعَفُ الْحَسَنَةُ عَشْرُ أَمْثَالِهَا إِلَى سَبْعمِائَة ضِعْفٍ ، قَالَ اللَّهُ عَزَّ وَجَلَّ : إِلا الصَّوْمَ فَإِنَّهُ لِي وَأَنَا أَجْزِي بِهِ] رواه البخاري ومسلم]
[Kila tendo la mwanadamu huongezwa malipo ya wema wake mara kumi ya mfano wa jema hilo alilolitenda mpaka hufikia kuongezwa hadi nyogeza mara sabiini. Anasema Mwenyezi Mungu Mtukufu: Isipokuwa saumu, kwani hiyo saumu ni yangu mimi, na mimi ndiye mwenye kutoa malipo yake; (mja wangu) anaacha matamanio yake na chakula chake kwa ajili yangu. Katika kufunga saumu kuna furaha mbili: furaha (ya kwanza) ni pale anapofungua saumu aliyefunga, na furaha (ya pili) ni wakati (aliyefunga) atakapokutana na Mola wake. Na harufu inayotoka kwenye kinywa cha aliyefunga ni nzuri sana mbele ya Mwenyezi Mungu kushinda harufu ya miski] [Imepokewa na Bukhari na Muslim.]
Mashallah sheikh
Masshaallah may have. A long life Ameen
try sh othman maalim from e .africa
HE IS MY BEST ONE I LOVE HIM ,FROM U,S,A KEEP POST FOR US MORE AND MORE PLZ!!
Alhamdulilah sheikh kwa kutuelimisha inshaalah mola atuongpze .Tufate Qur'an na suna kikamilifu.
MashAllah
May God bless you
Shiki nudin
Xaf xana
Abu Huraira related that the Prophet (peace and blessings be upon him) said: “Whoever fasts during Ramadan with faith and seeking his reward from Allah will have his past sins forgiven. Whoever prays during the nights in Ramadan with faith and seeking his reward from Allah will have his past sins forgiven. And he who passes Lailat Al-Qadr in prayer with faith and seeking his reward from Allah will have his past sins forgiven.” (Bukhari, Muslim)
Abu Huraira related that the Prophet (peace be upon him) said: “If anyone omits his fast even for one day in Ramadan without a concession or without being ill, then if he were to fast for the rest of his life he could not make up for it.” (Bukhari)
Abu Huraira related that the Prophet (peace be upon him) said: Allah the Majestic and Exalted said: “Every deed of man will receive ten to 700 times reward, except Siyam (fasting), for it is for Me and I shall reward it (as I like). There are two occasions of joy for one who fasts: one when he breaks the fast and the other when he will meet his Lord” (Muslim).
Abu Huraira related that the Prophet (peace be upom him) said: Many people who fast get nothing from their fast except hunger and thirst, and many people who pray at night get nothing from it except wakefulness (Darimi).
When to start fasting
Ibn Umar related that the Prophet said: “Do not start fasting unless you see the new moon, and do not end fasting until you see it. If the weather is cloudy then calculate when it should appear.” (Bukhari, Muslim)
@SickSwaqq HE IS MY BEST ONE I LOVE HIM A LOT KEEP POST MORE AND MORE FROM U,S,A, PLZZ!!!!
Alex immala...ikiwa maji hayo yatakutoka bila yakuyalazimisha basi saum yako utaendelea nayo mpaka utakapo fturu lkn ikiwa utaleta hisia au kujishika sehemu za siri mpaka ukatokwa na maji bc utakua ushafungua Allahu aalam
Mashaalah unasismka ukimsikiliza Allah akupe uhai mrefu ....Ombi langu endeleen ku-upload nyingi muwezavyo ili sie tulio mbali tuweze kufaidika amin thuma amin Allykhana from Danmark
Mashallah
mashalah shekh wetu uko vzr Allah akulipe kila la kheri
Asante
Mashaalah allah akulipe kila la kher kwa mawaitha
niaje bwana nina swali je nikitokwa na maji ambayo sio mazito inaharibu saum
سلام عليكم
Sumaya Hassan ishaall
S
jamani mimi na mazazi mwenzangu hatujaoana ila tumezaa huku italy Je mimi naruhusiwa kumpikia Baba ya mtoto wangu iftar iwape yeye akifunga ramadhani
Ahmed sauda Abdulhamid...Assalam aleykum warahmatullah wabarakatuh..mm ni ndugi yk ktk islam nimelisoma swali lk vizuri ingawaje cna elimu ya hivyo lkn nimesoma madrassa pia nimesikia mashekh wengi wakilipinga swali hilo hata juzi nimemsikia sheikh othman maalim akipingika swali hilo so ndugi yng ktk islam huruhusiwi kmpikia mzazi mwenzako ftar mpaka mutakapo halalisha...Allahu aalam shukran
Ahmed Sauda Abdulhamid fgh990
Kishki.... Will u marry me? I am too much in luv in yr hotubas and dawaa. From canada.
Asalam alaikum
@@ahmedmaalimyussuf1536 maashaallah sheikh kishiki
Manshallah
Mashaallah
Masha Allah
mashallah
mashaAllah sheikh..
Europe. Ibra. mashaa Allah sheykh wetunurdini kishiki Allah akulipekilalakherii kwakazii yako hii
Mawaidha mobashara she kishki
Mashaallah