MTANGA NA BAMBO ,MADEREVA BAJABJI KWA BOSS ,UTACHEKA UFE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 21 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 56

  • @salimhamad2701
    @salimhamad2701 Рік тому +2

    Kazi mzuri tatizo pengo la zimwiii linonekana kabisa mleteni zimwii

  • @isaacjohn9785
    @isaacjohn9785 7 місяців тому +1

    Ki Njiti chenyeweeee😋

  • @MusaMasika-yx6ho
    @MusaMasika-yx6ho Рік тому

    Nawakubali saana kaka

  • @onesphoredushime7300
    @onesphoredushime7300 Рік тому

    We mtanga mzeeee wangu Vipi nyie mbona nasiku nyingi simuoni sikitu!! Nawapenda sana from Burundi ❤️🇧🇮

  • @rodgersmuyechi5102
    @rodgersmuyechi5102 Рік тому +1

    Good Job

  • @yohanalukindo3737
    @yohanalukindo3737 Рік тому +2

    Kwangu kwako kwangu kwako😃😃😃

  • @BigKidCrib93
    @BigKidCrib93 Рік тому +3

    Mtanga Unaboa Sana. Zimwi mnamtenga Sana. Kazi Nzuri

    • @mtangacomedy
      @mtangacomedy  Рік тому +4

      Zimwi hayupo sawa kiafya punguzeni lawama ,

    • @BigKidCrib93
      @BigKidCrib93 Рік тому

      @@mtangacomedy Ni upendo Boss. I wish him a quick recovery 🙏

    • @mtangacomedy
      @mtangacomedy  Рік тому +5

      @@BigKidCrib93 atarud anasumbuliwa tunafanya kumfosi tu kwa sababu mnamuhitaji ,ila anaumwa ,we angalia video za karibun kucheza utagundua kitu ,ameanza matitabu atarud soon

    • @BigKidCrib93
      @BigKidCrib93 Рік тому

      @@mtangacomedy Asante Sana Boss kwa taharifa Namtakia Afya Njema na apone kwa Haraka.

    • @suleimanhatibu9201
      @suleimanhatibu9201 Рік тому

      Nikweli video za karibuni zimwi anaonekana mnyonge sana hayupo sawa

  • @noelkipera6581
    @noelkipera6581 Рік тому

    Hahahaaaaaaa aanyie nomaaa

  • @alwatanzeyma4360
    @alwatanzeyma4360 Рік тому +2

    🤣🤣😅mtanga n bamboo komesha legends

  • @azziziki8307
    @azziziki8307 Рік тому

    NyiE WAZEE BWANA

  • @Rodmovies
    @Rodmovies Рік тому +1

    Legends bambo vs mtanga

  • @EliyaAmos-tn3hy
    @EliyaAmos-tn3hy Рік тому

    This is danger

  • @emanuelipatrick5297
    @emanuelipatrick5297 Рік тому +1

    Ahahaha Bambo kakamatwa

  • @mnyongeiddi2454
    @mnyongeiddi2454 Рік тому +1

    Weka kudevela na zimwi unatokosesha raha mashabiki zako mtanga

  • @zkbeto2486
    @zkbeto2486 Рік тому

    Tuchanganyie Kudevela zimwi bambo niva

  • @alizuluman4739
    @alizuluman4739 Рік тому

    Daah 😄 😂

  • @asrymohd6690
    @asrymohd6690 Рік тому

    Mmmmh nimecheka kma chizi

  • @noelkipera6581
    @noelkipera6581 Рік тому +1

    Hapo kimeumana kweli,jamaaa wabunifu saaana,sasa mtango mwenyew unajiita mwanariadha,,kumbe baba nae mkimbiaji,,,kesi hapo hakimu haiwez kumbe baba Naye unafilimba wenzio na kuwakimbiaaaa

  • @mwanajumamohammed6327
    @mwanajumamohammed6327 Рік тому +1

    😅😅😅😅nime cheka pekeangu kama mjinga

  • @zkbeto2486
    @zkbeto2486 Рік тому

    Mtanga tuletee kudevela 😂

  • @davidamachi353
    @davidamachi353 Рік тому +1

    mpe kahela kake

  • @mwanajumamohammed6327
    @mwanajumamohammed6327 Рік тому +1

    Na wafatilia kutoka K S A..

  • @zulachama1067
    @zulachama1067 10 місяців тому

    Bambo mwambie hakupe risiti kama biashara gani hiyo haina risiti 😂😂.

  • @khamismgunya4519
    @khamismgunya4519 Рік тому

    Bambo kumbe unakujuwa konkodi mtaa wa skukuu na agrey

  • @kondosaid216
    @kondosaid216 Рік тому +1

    😆😆😆mtama tap tap 🤣🤣🤣

  • @nimrodmareges3131
    @nimrodmareges3131 Рік тому +1

    😂😂😂😂

  • @mwanajumamohammed6327
    @mwanajumamohammed6327 Рік тому

    Watto wa sikuizi digital awaogopi wazazi mtto adai ela mbele ya babake 😅

  • @suleimanhatibu9201
    @suleimanhatibu9201 Рік тому +4

    Zimwi zimwi kwani ilipo anza hii channel ilianza na zimwi mbona watu tukitazama!! Muna ambiwa anaumwa au mnataka aletwe na kitanda chake?

  • @vaghoghontweki9827
    @vaghoghontweki9827 Рік тому +1

    Story nyingi matendo vile,,,,,ongezeni vitendo bx bhn

  • @patrickmgoba1570
    @patrickmgoba1570 Рік тому +1

    bila zimwi humu kuna kitu tunakosa

  • @mtulivuboy
    @mtulivuboy Рік тому

    Hahahaha 😂🤣😂😂🤣😅😂😂

  • @Rodmovies
    @Rodmovies Рік тому +1

    😂😂😂😂😂

  • @bekaali8930
    @bekaali8930 Рік тому +1

    Na mm nimewahi leo

  • @Hancejuma255
    @Hancejuma255 Рік тому +2

    HAPO ANGETOKEA MTOTO WA BAMBO NAE ASEME ULIMKIMBI INGEKUWA HATARI SANA 😃 😃 😊 😀 😄 😁

  • @BarakaMichael-dm2nx
    @BarakaMichael-dm2nx 6 місяців тому

    😂😂

  • @stephenkingu4670
    @stephenkingu4670 Рік тому +1

    Wazee badiliken, halafu zmwi ndo anawabeba

    • @reinatave780
      @reinatave780 Рік тому

      Wabadilike Kipv na zimwi anawabeba kivip...?

  • @edwinismail9401
    @edwinismail9401 Рік тому +1

    ila aise mtanga komedy unajua leta vyuma

  • @ImouAhmad
    @ImouAhmad 2 місяці тому

    😂😂😂😂