For my LOVE of this Song, here are the lyrics: VERSE 1 Iko siku (Iko siku) tutaiaga (tutaiaga) Duniani hii (dunia hii), Ya dhambi (Ya dhambi) Tutakwenda (Tutakwenda) naye Mwokozi (naye Mwokozi) Mbinguni juu (Oh) tupumzike CHORUS Tukishinda Dhambi zote (dhambi zote) Tutapaa mawinguni Tutakwenda na Mwokozi Tutakaa naye Yesu Siku zote tukimsifu VERSE 2 Siku hiyo (siku hiyo) yote ni mapya (yote ni mapya) Tutakaa (Tutakaa) na Yesu (na Yesu) Kisa chake (Kisa chake) cha Ukombozi (cha Ukombozi) Atasema (ah) Habari zake VERSE 3 Jitahidi, (Jitahidi) Ewe Mwenzangu (Ewe Mwenzangu) Uishinde (uishinde) Dunia hii (ya dhambi) Ni kwa damu (Ni kwa damu) Yake Mwokozi (Yake Mwokozi) Tutashinda (ah) mabaya yote
For my LOVE of this Song, here are the lyrics:
VERSE 1
Iko siku (Iko siku) tutaiaga (tutaiaga)
Duniani hii (dunia hii), Ya dhambi (Ya dhambi)
Tutakwenda (Tutakwenda) naye Mwokozi (naye Mwokozi)
Mbinguni juu (Oh) tupumzike
CHORUS
Tukishinda
Dhambi zote (dhambi zote)
Tutapaa mawinguni
Tutakwenda na Mwokozi
Tutakaa naye Yesu
Siku zote tukimsifu
VERSE 2
Siku hiyo (siku hiyo) yote ni mapya (yote ni mapya)
Tutakaa (Tutakaa) na Yesu (na Yesu)
Kisa chake (Kisa chake) cha Ukombozi (cha Ukombozi)
Atasema (ah) Habari zake
VERSE 3
Jitahidi, (Jitahidi) Ewe Mwenzangu (Ewe Mwenzangu)
Uishinde (uishinde) Dunia hii (ya dhambi)
Ni kwa damu (Ni kwa damu) Yake Mwokozi (Yake Mwokozi)
Tutashinda (ah) mabaya yote
Ipo siku! Till we meet again Mwalimu Zadock
What a blessing to my soul
Kwa kweli "ipo siku"
milele na milele na Yesu Amen
Bravo
nyimbo nzuri sana za burka ila nimesikitika kukosa nyimbo moja niipendayo kutoka burka (rojo rojo) plz find for me brother
Ni kweli kabsa IPO sku tutaiaga Dunia hii
I really wait for that day
My favorite song
Mwalimu Zadok you've finished the race till that bright Morning 🙏🙏🙏🙏🎶🎶🎶
So Saad ..But God knows
Thanks for uploading this. God bless you so much
Indeed..
Kati ya kazi nilizowahi kizipenda kwa mpangilio