MAIMARTHA KAJALA MJAMZITO HARMONIZE ASIKIMBILIE WAZUNGU/DIAMOND KUMSAINI ASLAY ASINGEWEZA WALIKUWA..

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 24 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 67

  • @nuruosward8161
    @nuruosward8161 2 роки тому +2

    Nampenda sanaaaa maimathaa lov you sis

  • @ucjvvjcjjvih9934
    @ucjvvjcjjvih9934 2 роки тому +4

    Am Tz 🇹🇿💋❤💯MAI MARTHA MBEZA SANA PIGA BI UP KAONGEA POINT ANOUFAHAMU KIMEELEWEKA ICU WAPIIII SALAM ZAO WAMBEA WOTE

  • @freadyjackson315
    @freadyjackson315 Рік тому +1

    Kweli rayvanny CHUI🐯🐯

  • @nicolenabintu2509
    @nicolenabintu2509 2 роки тому +4

    Uyu dada ana Akili sana 🧠 🥰

  • @monicakayombo4770
    @monicakayombo4770 2 роки тому +3

    Napenda maimartha huwa anamuongelea vizuri Rayvanny

  • @johnsy_onetz4201
    @johnsy_onetz4201 2 роки тому +1

    Maimatha hamjui Don jazzy...Ulizeni alichofanyiwa na COREDE BELLO fuatilia

  • @misojibahati6110
    @misojibahati6110 2 роки тому +5

    Hongera konde boyyyy

  • @suleimansaid2633
    @suleimansaid2633 2 роки тому +5

    Wewe sawa sawa na Pimbi

  • @nishaabdula5015
    @nishaabdula5015 2 роки тому +2

    Uyu Dada Kichaa nn yn asley ashindane na mondi kaa 😂😂ebu kwanza ncheke jmm

  • @halimamohamed4061
    @halimamohamed4061 2 роки тому +4

    Aslay na mond hata kidogo aslay level za mbosso

  • @lelarubea6405
    @lelarubea6405 2 роки тому +10

    Maimatha hapo umedanganya ,Hamo amempata mjerumani alikuwa ashatoka

  • @mrsb.j283
    @mrsb.j283 2 роки тому +2

    Daa mai, si kwa mapozi hayo... nimependaa

  • @maryamtanzania9743
    @maryamtanzania9743 2 роки тому +2

    Kumbe huyu mama ni mjinga kabisa

  • @michelinemapendo6652
    @michelinemapendo6652 2 роки тому

    uyu dada bendabureeee😍😍😍

  • @helenkambi3918
    @helenkambi3918 2 роки тому +13

    Wacha uongo wewe mama eti diamond ndio alimpa Mjeremani Hamonize

    • @jaymandy8136
      @jaymandy8136 2 роки тому +1

      Kwani ilikuaj? Tuambie ww ukweli wako!

  • @nishaabdula5015
    @nishaabdula5015 2 роки тому +1

    Aitolee wp iyo hekima anajifanya kuleta zarau ss ivi

  • @husseinkakanga2699
    @husseinkakanga2699 2 роки тому +2

    Unadanganya vijana unawaaminisha wako juu kumbe unawaua njaa vijana wa watu

  • @nishaabdula5015
    @nishaabdula5015 2 роки тому +2

    Barba ni mkubwa kwa kuanza mziki lkn kujuwa masoko na kuwa juu kimziki si mkubww hamoati kbs mondi

  • @emanueljohn5643
    @emanueljohn5643 2 роки тому +2

    Auna mpya

  • @robathcarlos8068
    @robathcarlos8068 2 роки тому +1

    Uyu Bibi si Maandazi tu

  • @siamahhussein9985
    @siamahhussein9985 2 роки тому +1

    Uhasidi tu jimama zima

  • @isaacelijah6516
    @isaacelijah6516 2 роки тому +3

    U guys Tz people without Diamond platnumz u cant get bread 😁😁😁😁. Everyone talking bad about Diamond platnumz. U r so envy 😭 😭 😭. U need Jesus Maimatha pray 4 u 🙏🙏

  • @nahyialetomia9284
    @nahyialetomia9284 2 роки тому

    Namuona Mjerumani yuko America 🇺🇸

  • @finegirl2
    @finegirl2 2 роки тому

    🔥🔥

  • @dreadstyle8406
    @dreadstyle8406 2 роки тому +1

    Una chakuongea we. Dada

  • @Dnt4kwtm
    @Dnt4kwtm 2 роки тому +4

    Eti don jazzy is Diamond wa kitanzania🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 what an insult to Don Jazzy!!!! Interviewer stop being silly.

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 2 роки тому

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌️👍

  • @zoab2699
    @zoab2699 2 роки тому +2

    Aslay aingie wasafi kisha aki taka kutoka wasafi alipishwe milion 50 kama wengine 😲

  • @hawakiilu6958
    @hawakiilu6958 2 роки тому +2

    Uyu mwanamke ni Mnafik sana

  • @salmadulazi6876
    @salmadulazi6876 2 роки тому

    Aslay aje tu tupo tunamsubiria na Mungu atamsimamia ataendelea kuwepo wala hawezi potea

  • @jumajuma3819
    @jumajuma3819 2 роки тому +4

    Wewe dada unawashwa kapumzike ulee wajukuu

    • @zenadaudzena2849
      @zenadaudzena2849 2 роки тому

      😂😂

    • @lulually5209
      @lulually5209 2 роки тому

      Watu wazima wenzie tumetulia yy anahehuka eti na yy analeta mapozi dokoo mtu mzima kisheti njoo kwa watu wazima wenzio tufanye mipango huku 😂

  • @farajafumbo8437
    @farajafumbo8437 2 роки тому

    In

  • @najuf8021
    @najuf8021 2 роки тому

    May kwa umbea sasa 😄🤣😂

  • @Ndiyooo
    @Ndiyooo 2 роки тому +5

    Uyu mwanamke anajifanya Romatic Hana lolote

  • @uwimanauwimana7692
    @uwimanauwimana7692 2 роки тому +1

    Huyu kajala nimwehu kamili

    • @dicksonsheja251
      @dicksonsheja251 2 роки тому +3

      Wewe Murundi acha wivu wako mavi wwe.

    • @pamelaemmy8180
      @pamelaemmy8180 2 роки тому +3

      Ulitaka ashike mimba ya baba ako

    • @uwimanauwimana7692
      @uwimanauwimana7692 2 роки тому

      @@dicksonsheja251 utanijuaje bilakua na wewe nimrundi

    • @lulually5209
      @lulually5209 2 роки тому

      @@uwimanauwimana7692 kweli maana hata kuandika kaandika kiswahili Cha kirundi 😂 eti wee murundi nimecheka

    • @uwimanauwimana7692
      @uwimanauwimana7692 2 роки тому

      @@lulually5209 umeona Eeeh

  • @agriparose3942
    @agriparose3942 2 роки тому

    Kazeeka mashavu yatazameni mashavu ya nyuma ya kidevu

    • @tabuomary1016
      @tabuomary1016 2 роки тому +1

      Kwani kuzeeka ni kansa. Ukifika umri na ukiwa hai Ni Jambo la kushukuru. Acha makasiriko.

    • @negerotours
      @negerotours 2 роки тому +1

      Nampenda Sana uyu dada

    • @palokuthereza2555
      @palokuthereza2555 2 роки тому +1

      Mamako ni kijana?na wewe after 10yrs si utakuwa MTU mzima F..U

    • @madamedna123
      @madamedna123 2 роки тому

      Mmh?
      Yaani unaalika watu waangalie mashavu na kidevu?
      Kwani kuwa hivyo alivyo dhambi?

  • @savelianmteisi7124
    @savelianmteisi7124 2 роки тому

    🤣🤣🤣🤣🤣

  • @angelalyimo2862
    @angelalyimo2862 2 роки тому

    Acha kujochubua

    • @maryaugustino8716
      @maryaugustino8716 2 роки тому

      Mbona unamsema hivyo maimatha? Ukue nawe ni mwanamke kama yeye, na kama unahitaji kujichubua nawewe jichubue, mai muache afanye yake wivu wa nini?

    • @scholamodestus9386
      @scholamodestus9386 2 роки тому

      @@maryaugustino8716 hata mimi nimeshangaa sasa kujichubuwa ajichubuwe yy kuwashwa awashwe yy heeeee jmn

    • @lulually5209
      @lulually5209 2 роки тому

      Mkorogo unadunda mwisho na yy atakuwa km luiza mbutu 😂😂

  • @lulually5209
    @lulually5209 2 роки тому

    Kubwa zima ongo lione ndio mana mkorogo umedunda yako yanakushinda jibwa koko we nyooo kazi kufatilia ya wenzio eti mondi kampa harmo mjerumani doko fyuuuuu 😏

  • @ayoubmbwambo9604
    @ayoubmbwambo9604 2 роки тому

    Mmmmmh

  • @erickjmgema3923
    @erickjmgema3923 2 роки тому

    Wewe una mume kweli..kama una tafuta mwanaume ..ujenge familia yako..

  • @adijaniyonkuru9731
    @adijaniyonkuru9731 2 роки тому

    Aslayi kishapotea

    • @lulually5209
      @lulually5209 2 роки тому

      Kapigwa misumari yule afanye kazi mpk arudi tena kwenye chati

  • @husseinkakanga2699
    @husseinkakanga2699 2 роки тому +2

    Kumbe dada zero kabisa unashindwa kusema ukweli juu ya diamond kwamba yuko juu kwa stile yote ile mbona unaogopa kusema