I said it ata bwanake alikuwa kwa cult and he is the one who introduced it to this guy i will advise this lady to stay away from them else ata huyo mtoto ataenda tu demonic alters...May God help us
When you are helping a stranger or needy, help them from a distance. Don't bring them to your house otherwise you'll regret. This woman is not serious too
Ooh my GODDESS l can't hold my 😭😭😭😭😭😭😭 Dio manake unaona mtu kwa mda usio mrefu amenunu gari kube nikutoa wtu kafala, DCI god uko wpi usaidike huyu dada😢😢😢😢😢😢
Huyu kijana nimuongo, inakuaje bwanake huyu mama ndie alimuitroduce kwa illuminat na alitolewa kafara na pastor, na kwa msg tuliona akisema alipomtoa kafara huyo bwanake huyu mama alidhani atapata pesa na hakupata pesa, akaambiwa hangepata pesa mob coz ndio ilikuwa first sercrifice yake kutoa, but akitoa huyu mtoto aliyetumboni atapata pesa mob
I thought so, he was pretending to take children off the streets but he was sacrificing them 😢. Now that he's gone, replacement is the unborn child but God is faithful, he's saved.
Wuehwueh😂😂😂Sama ni kimoda ... Shetani ashindwe hatuogopi shetani sisi... You are covered by the blood of Jesus... Aaai hii Dunia ni vipi Mungu wangu. 😢😢
I said it, that husband was a devil n he used to sacrifice the young Pipo he used to pretend he was assisting.. This boy was part of his spanner boys. This is a serious case n needs a pastor to assist.
Nilihisi huyo mzee amelipa kile alipanda, maana hata hao watoto alijifanya anasaidia kumbe nia yake ilikuwa kuwatoa kafara na huyu kijana ni huyo mzee alimpandikiza hiyo mbegu ya ushetani na kwa vile alikuwa hana uwezo wakuzalisha akamtumia huyo kijana ili mtoto akipatikana wamtoe kafara period 🤷♀️😔
Huyu ata sio mtu ako Kwa cult Huyu ni satanist. I'm even wondering how people think that police can help. Ok he can be arrested but the lady must go for deliverance n redemption. Only Jesus can redeem this lady
Si walisema walikutana kwa hoteli yawa😅This guy should be in jail at kamiti,shenzi sana.And this lady should find a good church for deliverance na ahame hio boma kabla auawe na hawa mashetani
Deuteronomy 18:10. Let no one be found among you who sacrifices their son or daughter in the fire, who practices divination or sorcery, interprets omens, engages in witchcraft, 11. or casts spells, or who is a medium or spiritist or who consults the dead.
I said it ata bwanake alikuwa kwa cult and he is the one who introduced it to this guy i will advise this lady to stay away from them else ata huyo mtoto ataenda tu demonic alters...May God help us
True or that Queen Queen shamba girl
That's y huyu dem anasafer cox hajui yenye bwanake yenye alikua anafanya
Another Illuminati guy on set, may you be exposed all of you 🤑🤑🤑🤑 this year in Jesus Mighty name 🙏
Hata hiyo mali aliwachiwa itachukuliwa tu.
Anadanganya kwa message ilisema ni kijana na yule pastor mwanamke walimpangia bwana ya huyo mwana mke
This is a spiritual fight. This lady has to seek spiritual guidance
All churches in Kenya should be shut down
Truth had been revealed, "sina haja na wewe, nataka pesa".
Sama kumbe unakuwa mkali hivi umeangusha shetani😅
That boy needs to be booked together with the lady pastor.
Huyu jamaa hakai mkenya hiyo kiswahili yake sio ya Kenya,,inakaa ya Congo
I noticed that too
Lakini si aliongea kikisii
Jamaa ni mkenya na typically Kisii,even Mogere is a Kisii name.😊
This man is casually admitting to murders in front of cameras.
Wallahi
hata mimi nashangaa!
When you are helping a stranger or needy, help them from a distance. Don't bring them to your house otherwise you'll regret. This woman is not serious too
Na mimi naona kati ya bwana na kijana..mmoja wao ali*introduce each other kwa cult....so the woman is not safe in the hands of this young man
This is the first time samaritan meeting with illuminate. .waaa
Imagine haki hajawai
Tumexoea kwa dave hizi mambo
Deliverance needed here Samaritan do something to help this woman
Kwa hivo huyu kijana ni product ya illuminati not adopted son omg😢😢😢
Shivala shyatinya
I am worried,what if the baby this woman is carrying is from the dark world?? Katamsumbua tu pia
Lakini mbona samaa anasumbua kuulizia jina ya church,aulize huyu bibi wakati bwana alikuja kuzikwa kwani alizikwa na akina nani?
@@LumonyiBrian Aki maombi tu
@@annettenekesa6375 ni sindula sio mtoto
Ooh my GODDESS l can't hold my 😭😭😭😭😭😭😭 Dio manake unaona mtu kwa mda usio mrefu amenunu gari kube nikutoa wtu kafala, DCI god uko wpi usaidike huyu dada😢😢😢😢😢😢
Pia huyu dada ako na makosa, atalala aje na mtoto kama huyu ??😂😂😂😂 Uweeeuuh, Jesus Christ !!!!!
The husband pia alikua kwa hiyo cult and the said "helping" the needy ilikua kuwatoa kafara ndio wakue na hiyo mali wanaongelea
Woooiiii Jesus Christ 😢
Our own DCI Goddy where are you
Come over tujue hii church for Christ sake😢😢😢😢
Hii police hawezani inataka powerfully pastor hii ni maombi
@@busenasalome9857 it's spiritual not physical
@pamelamudogo5551 kabisa
Vile Tu nilisema pia hao watoto si kuwasaidia alikuwa anawatoa.kafara
I think so , which means he was played at his game !!!!!!!
This is not a police case! The police can’t solve stories za mashaito😅
Samaritan kindly make sure u ask questions, about how they do their sacrifices,the people they kills all those things
This could explain why the wife of the dead was not getting kids😢😢😢😢😢 wueeeh, sio kuzuri haki
Huo kijana ametoa watoto wengi sana Samaritan chukua Godfrey na pasta wawili
Waaah, Sama, uko na job tough....This guy should be locked kabisa, coz I suspect he might kill the lady too
They picked him from the streets but only to reward them back by destroying the whole family through sacrifices for his own shellfishness 😢😢😢😢😢
Huyu kijana nimuongo, inakuaje bwanake huyu mama ndie alimuitroduce kwa illuminat na alitolewa kafara na pastor, na kwa msg tuliona akisema alipomtoa kafara huyo bwanake huyu mama alidhani atapata pesa na hakupata pesa, akaambiwa hangepata pesa mob coz ndio ilikuwa first sercrifice yake kutoa, but akitoa huyu mtoto aliyetumboni atapata pesa mob
So huyu kijana anadate hadi pastor....huyu mtoto atauliwa but anadanganywa weh kanisa gani hii may God ajionyeshe aki..
😮😮😮😮😮life ya sahi ni God tu huezi jua unapatana na nani akh,,God atupe macho ya roho😢😢
I thought so, he was pretending to take children off the streets but he was sacrificing them 😢. Now that he's gone, replacement is the unborn child but God is faithful, he's saved.
uyu mtu auwawe finish kumalo, ndio asimalise uyu mama, bure atamalisa aky uyu mama 😢
Samaritan hapa ni dci Godfrey sasa😭😭
Huyu kijana naona kaa anadinywa hagaaa na pastor 😢
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂haaya maziwa yangu imemwagika😂😂
Pastor ni mumama😅😅
Kijana muongo,yeye ndio amesema vizuri kwa message hiyo damu ya kwanza nilileta haiktosha anadanganya
Sama leo ameptana na kijana mdogo wa ku arase 😂
Haya maisha hayana mizani 😔😔😔🤔🤔🤔 kweli tumuombe Mungu aturehemu hakika nimechanganyikiwa 🤔
Huyo madam achungane na huyo kijana, she should in fact shift from her current residence. Mwambie anishtue nimsaidie
Maybe son and dad were in that business
NANI WANATAKA HUYU KIJANA AFISAA GODFREY THEN WAZIME CAMERA TU FIVE MINUTES
Mmi
Waoshe mtoi na damu ili akuwe initiated kwa kanisa yao🙆🙆🙆
Kwani Sama mko creative aje, Hii story mpeleke citizen.
Hii Ni script wallahi😂
@@hellenkathambi8694kabsa.
Weeeueeh!!unaishi na mtu cult bila kujua walahi,how now will you know the real partner
Wuehwueh😂😂😂Sama ni kimoda ... Shetani ashindwe hatuogopi shetani sisi... You are covered by the blood of Jesus... Aaai hii Dunia ni vipi Mungu wangu. 😢😢
Aki samaritan you really saved yhi woman life na mtoto wake
Kwa hivyo ata hiyo mali huyu mwanamke anasema bwana aliacha is questionable 😢
Sasa itavanish
Ogopa wanaume wako na pesa😢😢
Good Samaritan...leo hujakimbia..
Kimwanaume chenyewe hakii😮
Godfrey our true & only trusted person come here please
Her husband was a cult, but he was sidelined
Na mbona anaisema tu hivo freely 😊😊kwani hakuna kitu mbaya itamfanyikia kwa kufichua siri ..... Nway ya Mungu ni mengi na ya kuku ni mayai jameni😢😢😢
May huyu mrembo amebeba sindula🐍🐍🐍
Huyu kijana aulize junior na kevo truk wameona nini gadi wakajitoa
I said it, that husband was a devil n he used to sacrifice the young Pipo he used to pretend he was assisting.. This boy was part of his spanner boys. This is a serious case n needs a pastor to assist.
Huyu bwana wa huyu demu doh alikw master ni venye akufuata mashariti kikamramba
Waah huyu kijana ni mnyama awekwe ndani walai alo na evil in him
This guy is full of himself and am seeing this lady forgiving him
Nowadays watu wa illuminate Hawajifichi kama kitambo,, huyu kitamuramba kama kevoh na junior,, maombi ndo silaha pekee kwa huyu mama na unborn kid
Kijana mdogo ako na kiburi na pesa za mapepo 😢😢😢😢
Huyu mwanamke amerokwa
Mungu saidia hii generation, ata hakai pesa ,shetsni ni maskini hohehahe
Wee madam achana n hyu kijana n uende maombi akh n hyo mtoto akizaliwa aombewe immediately n mfanyiwe deliverance mtenganishwe n hyo madhabahu
Samaritan umefikia saito maombi na imani babaaa Hawa watu ni wengi hii kenya
Nilisema wataua huyu dem abaki na mali weeen anajua aishikwa watstoa too
Sama nimekuhurumia juu sijui imani yako inatoshanaje 😢😢juu hii vita sijui itakuaje ....uliza akina Jay & Dave
Weee ata huoni vitu za jay ni script
@aomealaome4933 kwa maoni yako
This lady akili ndio ana koz she's just calling this man,bebu mjinga sana
Dada jitoe kwa huyo kijan utauliw wallah huo ni ujinga mnamsikiza ujinga huo mbon hamjachukuw
Hii story iko related na true k * linda na kevo😢😢😢 ,God protect our children 🤲🤲🤲
Nilihisi huyo mzee amelipa kile alipanda, maana hata hao watoto alijifanya anasaidia kumbe nia yake ilikuwa kuwatoa kafara na huyu kijana ni huyo mzee alimpandikiza hiyo mbegu ya ushetani na kwa vile alikuwa hana uwezo wakuzalisha akamtumia huyo kijana ili mtoto akipatikana wamtoe kafara period 🤷♀️😔
Huyu kijana aekwe ndani kamiti maximum
The Joe boy looks so young , I blame this woman too , abuse of power by her
Sama hapa tafuta pastor mstrong ambee hii family pliz
Huyu anahitaji tu risasi akufe ama aokoke awache kuua
Huyu kijana ni muongoooo
Huyu ata sio mtu ako Kwa cult
Huyu ni satanist. I'm even wondering how people think that police can help. Ok he can be arrested but the lady must go for deliverance n redemption. Only Jesus can redeem this lady
Samaritan dci godfrey haraka jamaa ame confess vile waliuwa huyo mzee
Samaritan this is not you,,,,, Don't take action ,,,, you don't know if this guy is normal..... Utamguza kidooogo then anapenda mbele ya haki
Kwa hivyo wamekula watoto wengi wa wenyewe 😢
Ooh God hana haja na bibi ako na yeye juu ya kumtoa sacrifice
Chokora ni chokora tu ...you cannot tame a hyena....kichwa ngumu.
So her husband use to sacrifice kids in the name of helping them😢😢 hiyo wealth yote ni ya damu
Huyu kijana anadanganya venye ameskia ety police huo n uongo mtupu n yy alipeana bwana ya huyu msichana
Godfrey ako wapi amsaidie huyu,wako the same cell na pastor
Huyu sio mtoto amebebwa ni nyoka 😂😂😂😢 iko ndani ya tumbo
😂😂😂😂😂
Huyu hata alikuwa aede police
Kwa hivo Hao watoi bwanako alikua atoa kafala
Waaa pole imagine ni mkisii alafu wakishetani
SAMA is very slow to samalize cases kama ni Stano huyu hata hangeenda nyumbani
Si walisema walikutana kwa hoteli yawa😅This guy should be in jail at kamiti,shenzi sana.And this lady should find a good church for deliverance na ahame hio boma kabla auawe na hawa mashetani
Na vyenye huyu dame amembeba
shida ya pesa jamani be careful guys whom you are dealing with. That lady need Prayers and may the blood of Jesus Christ protect her.
sasa huyu ndo mtu anaongelea sacrifice na ni kama ata shilingi hana. ata kuongea ni kama hajui. huyu ni ujinga inamsumbua.
Kijana mwenyewe anakaa tuu shida pesa hata hazimsadii
😅😅😅😅napenda vile unaita.marcus akusaidie
Eee kijana hii ni T fii😂😂
Leo Samaritan amekuwa mnoma sana.
Which World Are We Living in 😳🤔🤷
Ushetani uko ndani ya huyo jamaa. Jaribu mtafute pastor aombee huyo mama please
Wwe mma nawe ilkua lazima uolewe na mtoto umelea...pole kwayo😢😢😢
Hiki kikijana Kiko na ujinga sanaa
Dci Gody akam hapa na Pastor Joshua,
SAMARITAN, THIS 2025 NEEDS ENOUGH GYMNASTICS AND MUSCLE BUILDING. WALAI.
Deuteronomy 18:10. Let no one be found among you who sacrifices their son or daughter in the fire, who practices divination or sorcery, interprets omens, engages in witchcraft,
11. or casts spells, or who is a medium or spiritist or who consults the dead.
uyu jamaa anajiskia ako n nguvu,,Sama makos ako wap 😊
😂😂😂😂😂😂😂