huyu mtoto ni 5-6 months,...i like the way Peter took the baby from the mother,carrying the umbrella and the baby mama's handbag😂😂 The baby is very beautiful ❤
Peter ni kunguni. Shame on you two, Peter and Jackie 😢😢😢😢. John pole, it's good you've known early enough before unyonywe damu yote. You're still young and energetic. Go back to America, fanya kazi kwa bidii the in God's time atakupa bibi mwenye anakufaa
The Baby is beautiful and innocent, waende wale wawache John aoe bibi mwingine. Lakini hata John hangepiga hesabu aone like he was 3yrs away then to find a baby less than one year aiii😊
Hahaha 😂😂😂😂mchezo wa paka na panya wife wa Peter is loading all ways l want problems shame on mwanamke wewe mjinga sana 😂😂😂😂😂no ndoa hapa JOHN HANA BIBI HANA MTOTO 😢😢😢
@2:20 min into this, I LIKE THE WAY JOSHUU AMELETEA PETER MIZIGO YAKE. NAYE STANO IS LIKE, PETER MBEBA MIZIGO YAKO. AND PETER HAKATAI, HE'S NOT EVEN ARGUING NOW. NDIO STORY IMESHIKA KWA AKILI ZAKE.😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
The best laughter of the year. Can you see the dad with his daughter and carrying the baby's bad 😂😂😂😂😂😂😂
Away for 3 years and he sired with the wife who he has not had intimacy for 3 years.Knowledge and wisdom needed here
Stano leta bibi ya Peter akuje aone kazi ya mwanake😂😂😂😂
Kazi ya bwana ake.. we nawe.. vipi
@@gachabeachgirl1255😅😅😅😅
@@gachabeachgirl1255Yes, we want problems 🥺🥺🥺
Ad peter has the guts to carry her mpangos handbag, umbrella and baby all in one😅😅😅😅😅😅
Kimeumana second wife for free 😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂
Peter have Second wife for free 😂😂😂😂😂
Kwani bibi ni sort wire 😂😂😂😂😂😂😂
Anakaa😂😂
😂😂😂uyu ni wazimu mkuuu😂ety pregnancy yake ilikiwa ya mwaka mzima kama ya elephant 😂😂
Wondering too 😂😂😂😂😂😂😂sasa anacheka nn
@@irenesteve9765😅😅😅
Adi anaongea na mikono
No one is talking about Joshua's smile towards the end 😂
Very Good . John you are Gentleman.
This woman is mad
Very mad
Stano tunataka mke wa petaer on set plz kiumane huyo jack kimrambe kabisa 😂😂😂😂😂😂
We need Peter's wife on set please Stano
Wanawake mnataka nn ,umepata MTU anakupenda bt still you go cheat on him, dear God hata mm nakuomba unibariki Na a loving and caring man🙏🙏🙏
Ungeuluza hata wanaume wanatakanga nini coz they also leave good wives to prostitutes.Don't be bias.
Hadi Ako USA
This John has been out for three years, the kid is 1 yr old, the pregnancy takes 9 months, nani mojinga hapa?😂😂
John diye mjinga
Huyu mtoto ata hajafikiza mwaka ni kama 6 to 8 months
huyu mtoto ni 5-6 months,...i like the way Peter took the baby from the mother,carrying the umbrella and the baby mama's handbag😂😂
The baby is very beautiful ❤
Exactly 💯 @@vionahandrew1428
John ni kondoo mkubwa
Peter and his daughter ,second wife hand bag and umbrella 😀😀
Kunaitwa kubeba msalaba
@@Josephkaunda2 kabisa weeeh
Kila mtu abebe mzigo wake😂😂😂
Harusi tunayo ama hatuna,pastor naona leo umeunganisha wapendanao😂😂😂😂
@@winfredngomo
Hallelujah 🎉🎉🎊😂😂😂😂
Rafiki Yako ndiye adui wako😂😂
Peter ni kunguni. Shame on you two, Peter and Jackie 😢😢😢😢. John pole, it's good you've known early enough before unyonywe damu yote. You're still young and energetic. Go back to America, fanya kazi kwa bidii the in God's time atakupa bibi mwenye anakufaa
Eti stranger ako na nafasi waeza enda😂😂😂😂😂si mlikuwa mwa enjoy pamoja stano ww❤😅😅😅😅
This people has made my day
Peter has a new family.
Peter, just tell the truth and stop insulting people's intelligence, you look so guilty
Huyu Peter ni maraya sana anafaa kofi moja kubwa
I can't argue with such aman,like Peter.
Peter anaulza jameni kanyumba n single room as if hakua anajua akifanya mapenzi na Jackie,, ",tutaenda wapi jameni",wooiii our poor peter😂😂
Huyu mke walai ni shot wire walai😂😂😂😂😂😂 John jitowe acha peter abembe mizigo juu akitaka pumbavu zao😂😂
Even the way she talks shows that she is guilty
Guilty and stupid. (Mjinga) alindanganywa na Peter, and he is married. 😅😅
She is guilty as charged
Alafu anakaa mwenda wazimu. Is she normal?
This man is a a gentleman
Look at this woman wy laughing jezebel woman 😢😢😢😢😢😢😢😢😢nkt!!!!!
Body language can’t lie
That kid is not even an year.... Hajafikisha mwaka
Nilibleed,wangu nilibeba 12 months,lakini wa huyu mama alibebwa 2yrs😂😂😂😂
Mwanamke njinga type. Anacheka nini sasa when John anaumia😢
Sijewai cheka ivi😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Peter, welcome to the group of polygamist 😩😩😩😩😩😩😩😩
Waoo Peter anao ngata kama mr chief wakijiji husband to vivian ❤❤❤ last year story hapa kwa pasta show
Sanitise this man
Sanitize peter
Siku hizi watoto walianza kuzekea ndani....weuh nimecheka yangu yote
Napenda venye joshua ana hand over bag na umbrella 😂😂😂😂😂
Sanitizer Peter
Woman upstairs hayuko sawa 😄 🤣 😂 😆 😄
Unae mpenda akupendi anae amupendae yule amupendae nae ana wake😂😂😂😂
Imagine navile Mimi hitamani kuolewa na kama huyu
@@NyambuNyambu-zn9bh jitaidi utapata kama yeye😊
😅😅😅😅😅
Damu enaeza mwangika kidogo alafu mtoto anapungua😂😂😂😂😂wueh
Mayoooo hata nimeshangaa😂😂😂😂
@adhiambolaureen1898 wanawake tunabomoa nyumba zetu wenyewe anaeza aje zalia mwanaume ameoa
Kwani mtoto ni ballon??
John very gentle and humble
😂😂😂😂😂😂😂😂😂 but the kid is beautiful. So huyu alikuwa wa kuzaa na WA UA wa kulea life has no balance 😂😂😂😂😂😂
The woman upstairs not okey 😂 kanyumba ni single na wanataka kupata mwingine second born😂😂
math is not mathing mimba ni 9 months,john amekuwa outside the country for 3 yrs mtoto ako na 1yr so huyu mama alibeba mimba 2yrs weeeuh
Peter ni kigogi. Alikuwa anasaidia mwenzake Kwa sababu alikuwa Mbali.😂😂
Sasa wewe mzee wa USA mtoto n wa 8 to 9 months umekaa US miaka 3 sasa mtoto atatoka wapi😅😅😅😅😅😅 wanaume sometimes ata kama n kutaka familia hiii hapana
We husikii kuna watoto huzeekea kwa tumbo😂😂😂😂 . Jamani
@@ThaddesusNyaenya😂😂😂
@@christine4072 hahaha 🤣😂🤣😂
Let’s bibi wa Peter aone mke Mwenza. Kitaumana vibaya.
Kwqni hyu bibi akili yke haiko xwa.😂😂😂😂
Stano free wife and a child.
The Baby is beautiful and innocent, waende wale wawache John aoe bibi mwingine. Lakini hata John hangepiga hesabu aone like he was 3yrs away then to find a baby less than one year aiii😊
Sanitise peter
😢😢😢😢😢subhannallah kishamramba weeeeeeeh ogapa
Eti ball 1year Mrs elephant 🐘 😅😅😮😂😅
Simon peter , you are the generation of peter 😢 mwenye alimkana yesu 😅
😅😅😅😅😅😅
😂😂😂
Huyu maraya ata hakai kuolewa na John
Hata ukiwa wazimu hakuna mtoto huzaliwa na miaka 3 .hii umbwa imenisinya
😂😂😂😂😂😂😂eti mtoto huwa anafanya nini??anakaa more than 9months tumboni😂😂😂😂labda huyu mama alilala na ngamia 😅
Kids John and Peter DNA please
Best friend 😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂
😅😅😅😅😂😂😂😂 women before you do shit think thrice 😅😅😅
Stano good job
I like the ending😂😂😂😂😂
Walai walai i agree n uyo bwana peter aamue kuoa bibi wawili
Sijawahi Cheka kwa pasta show. Leo machozi yameisha. We Peter beba mizigo yako
what huyu mtoto hata hajefikisha 1yr ati amezeekea dani watu sio wajinga kumbafuu zenu😂😂😂😂
Royal people can't find royal partner's why now God 😢😢
Stano unachoma mtoto anakufanana hahaha 😮😮😮😮😮hahaha 😅😅😅😅😅
Peter and his mpango wa kando are playing cat and rat game,eti mtoto alizeeka kwa tumbo,mara mimba ilikuwa inamwaika ikapungua😂😂😂😂😂😂😂
3rys kwani ni ndovu we unatuona Kama matako yako sindio 😊
Katoto ni kacute wahai🥰🥰
Waa haya mageni .
Stano leta peter wife kiwake 😂we dont want peace always trouble 😅
Huyu mwanamke n malaya wacha waendelee na huyo peter
Mshipa WA kujitakia hauna pole😅😅😅
Ati mtoto amezeekea ndani yooh😅😅
John, leave the alone. They look alike
Haki huyo jamaa ako smart na akaoa mwanamke mjinga 😂. kwani alikosa wanawake
Ukistaajabu ya Musa utaona Yafraun mume yupo nje miaka 3 mtt ana mwaka 1 lambda kaituma kama pesa 😂😂😂
Uyu mama akili yake aiko sawa aende apimwe akili 😂 ata uyo mtoi c mwaka moja mtoi ni miezi nane apo
Kusema tu ukweli, huyu jack ni wazimu 😢, yaani ata anaambia John aende DNA na mtoto ata si wa mwaka na nusu na mwanaume amekaa 3years😢😢😢
Huyu mama ni chizi freshiiiii😅100%sure
Huyu mama ako na wazimu eti mtoto hupunguwa damu ikimwagika😂😂😂😂😂 alikiwa dovu alibeba mwaka moja
Hahaha 😂😂😂😂mchezo wa paka na panya wife wa Peter is loading all ways l want problems shame on mwanamke wewe mjinga sana 😂😂😂😂😂no ndoa hapa JOHN HANA BIBI HANA MTOTO 😢😢😢
😂😂😂😂😂😂😂 Kanyumba hakohako kadogo hapo hapo muende
Kikulacho kinguoni mwako😅
Is John blind,?this kid is less than 1yr old
Huyu mwanamke amepomoa nyumba yake na mikono yake mbili😮😮😮
Nahurumia mtoi sana😢😢
Huyu mtoto hata hakai peter mybe kuna plan 3😅😅😅
Nilisema episode ya kwanza hawafanani wooote
John nitafute tuunde ndoa, pia mm nimefanyiwa hivo na mme wangu 😢,,niko singo 😊
😂😂😂😂😂😂aty mtoto anapingua aty delay 😂😂😂
DNA test pap 😂
Huyo mtoto ajafika ata mwaka hawa watu wawache kutubeba kama matakole yao we want the wife ya huyu ngaidi
DNA DIRECT BEFORE ANYTHING ELSE
For what.he has been away for 3yrs
@@Josephkaunda2true and how did he not know ama alidanganywa mtoi ni mgonjwa hawezi kugrow Jesus ladies can lie 😂😂😂😂
No need. It's common sense 👌
No need for DNA the text msgs tell it all😢
@2:20 min into this, I LIKE THE WAY JOSHUU AMELETEA PETER MIZIGO YAKE. NAYE STANO IS LIKE, PETER MBEBA MIZIGO YAKO. AND PETER HAKATAI, HE'S NOT EVEN ARGUING NOW. NDIO STORY IMESHIKA KWA AKILI ZAKE.😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Huyu mama kweli ni chizi,,anache ka nini sasa?
Hapo sasa John, mtt ni mdogo sana run 🏃♂️ for ur safety