MDAHALO MZITO KATI YA HAMZA ISSA NABII FEKI NA JOPO LA MASHEKH....ASHINDWA KUTHIBITISHA UNABII WAKE.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 737

  • @imranihussen5764
    @imranihussen5764 2 роки тому +1

    Sheikh issa mm na kuelewa sana hawa masheikh wa dar hapana kwakweli jamaa hajui luga ha kiarabj vizuri lakini anahoja nzito sana big up Issa👏👏

  • @abdalahmsigiti5308
    @abdalahmsigiti5308 2 роки тому

    Asante sheikh mziwanda pia mungu amjalie mufti zeberi kaka yangu ambae ni kilemba cha almarhumu sheikh daud msenga kwa hekima mungu mjaalie sheikh musa saalim kwa hekima busara na uvumilivu kama ni mimi nisinge weza kumvumilia ila nimepa maana ya uvumilivu toka kwa masheikh wetu hawa

  • @humphreymabunda3068
    @humphreymabunda3068 4 роки тому +3

    Mimi ni mkristo lakini nimemwelewa vizuri sana huyu shehe utawezaje kuongoza hujui vizuri lugha unapokuwa nabii Mungu siatakupa vyote Mi naona wee nabii Isa karibu tuu ukristo tunamanabii hata wasiosoma

  • @djumamariam1810
    @djumamariam1810 4 роки тому +1

    Maaashallah tume nufaika kupitia mashekhe wetu tumeyajua mengi kupitia mtume wetu Muhammad s.a.w. Ma sheikh wetu ALLAHU akulipeni kheri

  • @omaryhaytham6567
    @omaryhaytham6567 7 років тому +5

    basi sheikh muharam mziwanda kamaliza.... mashallha

  • @babyhussein6758
    @babyhussein6758 4 роки тому

    Hakika Uislam in DINI ambayo hutaichezea ukaangaliwa tu...lazima utanyooshwa tu ili use sawa..uyu angejiita nabii kwenye ukristo angepata waumini weeeeengi naangesujudiwa...nakila sifa angepewa nahata MUNGU asingekuwa nanafasi...tofauti na UISLAMU...ALLAH AWAHIFADHI MASHEHE MNAO IPIGANIA NAKUITETEA IMANI YA DINI..Inshaa Allah...

  • @omarymasoudykisondo389
    @omarymasoudykisondo389 7 років тому +4

    Asante sheikh mziwanda kwa elimu iyo Allah akuongoze inshallah

  • @albertjames6845
    @albertjames6845 7 років тому +3

    Doh! Kweli mwisho wa Dunia umekaribia. Hawa manabii wa siku hizi ni shida! Huyo Sheikh Muharam anafafanuwa vizuri sana kama hujamwelewa ipo shida. Nawapongeza masheikh kwa kumpa nafasi na kumsikiliza bila kumdhuru wala kumghasi kisha kumfafanulia mambo kisawasawa, Sasa kama ataendelea kupotosha mambo kitakachomkuta ni juu yake.

  • @SunguraShabani
    @SunguraShabani Рік тому

    1 WAKORINTHO 1
    18 Kwa sababu neno la msalaba kwao wanaopotea ni upuzi, bali kwetu sisi tunaookolewa ni nguvu ya Mungu.
    19 Kwa kuwa imeandikwa,
    Nitaiharibu hekima yao wenye hekima
    Na akili zao wenye akili nitazikataa.
    Amen ❤❤❤

  • @btylove1870
    @btylove1870 4 роки тому +12

    Yah Allah tusamehe waja wako!! Ma'Sheikh wenyewe wa siku hizi mmekuwa macomedian, watu watakosaje kuchezea dini! In shaallah Mungu tupe mwisho mwema 🙏

    • @bobnaahtv730
      @bobnaahtv730 4 роки тому +1

      Watu kama hawa wanasomeshwa na makafir badae wanakuja kuuharibu uislam lkn atashindwa kwasabb Allah sw kaahidi atailinda dini yake

    • @ramososcar3505
      @ramososcar3505 4 роки тому

      @Msafiri Afraha kishki

    • @christinakayela1161
      @christinakayela1161 3 роки тому

      @@bobnaahtv730 wewe umejuaje dini yako niyaMungu na imeandikwa wapi uisilam ni dini yakweli amini unacho kiamini usiamini usicho kijua maana hizi dini tumezikuta2 msitoe matusi ya Bure juu ya huyu mtu Kama anamakosa Mungu ndo Anae mjua kiundani zaidi imeandikwa msihukum ili msije mkahukumiwa

  • @tinivanny7562
    @tinivanny7562 7 років тому +5

    YANI Masheikh wangelikuwa wanalusanyika hivi na kuimarisha Dini ya Allah kwa ajili ya TWAA Mbona ingekuwa vizuri sana

  • @djumamariam1810
    @djumamariam1810 4 роки тому +1

    Huyo nnavyo mtazama mimi sio bure katumwa . Ata aya'a za qur'an zamtatiza. Uyo alikua anastaili kuchapwa mijeredi mingi sanaaaaaaa atasiku nyingine asijerudia. Subhannallah ALLAHU atuongoze sote asije tupa mitihani kama hiyo

    • @Awatee
      @Awatee 3 роки тому

      Amiin yaraby

  • @bahatijohn1958
    @bahatijohn1958 2 роки тому

    Ubarikiwe sana

  • @abelkipege4034
    @abelkipege4034 6 років тому +3

    mungu hutumia vinyonge .............................,.....?

  • @nazonahdi9993
    @nazonahdi9993 5 років тому

    Shekh mziwanda sadaqta umempa ukweli umenifuraisha sanaaaa👌👌👌 ww unayejiwa kiarabu na Quran na hujakufuru co shetani rajim hamza anayejifanya nabii asahau km tutakubali tuloyesoma quran

  • @nuhmziwanda1031
    @nuhmziwanda1031 4 роки тому +1

    Mungu msamehe huyo nabii feck

  • @hebronmalatila6186
    @hebronmalatila6186 4 роки тому +1

    Binadamu ! Ana Roho anayopewa na Mungu aliyoumbiwa binadamu aruzukiwe na Uzima wake Mungu. Binadamu ameumbiwa moyo kuwa kiungo muhimu na lazima kwa binadamu , kusudi apate Uhai wa mwili wake upate kuishi kwa kipindi na muda ktk dunia hii ! Then mwili wa binadamu utakapopoteza uwezo wa kupata Neno la Mungu kutoka ktk nafsi ya binadamu iliyouwishwa na Roho ya Mungu , basi vyote moyo na mwili hubaki kuwa vyakula cha mauti ! Na hutoweshwa kutoka ktk Uso wa dunia hii. Na Roho iliyokuwa ktk binadamu kutoka ktk mtu huyo , na humrudia Mungu. Maana Roho wa Mungu anapokuwa ndani yetu binadamu ! Ndo Mungu kuwa ndani ya mili yetu siye tumpendezaye Mungu wetu.

  • @moshantoj
    @moshantoj 4 роки тому +1

    Kama unaamini Allah ni shetani, gonga like.

  • @sahalanali5287
    @sahalanali5287 4 роки тому +3

    Subhannallah mola amuongoze amepotea astaghfirullah

  • @ochu6158
    @ochu6158 5 років тому +7

    Wewe hamza mungu anakuona weee

  • @osmansalim172
    @osmansalim172 Рік тому

    Mungu msaidie tu huyu mja wako na umsamehe tu, anapotea vibaya sana anajiita nabii halafu tana unakosoa quraan, fala kweli na hao wafuasi wake

  • @eddieeddie2755
    @eddieeddie2755 4 роки тому +8

    Hamza anataka msaada , anaonekana dishi limeyumba, musimlaani muombeeni dua.

  • @idrissajumakona5871
    @idrissajumakona5871 5 років тому +1

    شیخ مزوندا ۔۔۔۔ماشاءاللہ.....

  • @katundakiliza5894
    @katundakiliza5894 6 років тому +3

    Allahu Akbar subhanallah daah zama za mwisho hizi turudin kwa mungu

  • @speedy_animZ
    @speedy_animZ 6 років тому +1

    Mbona mnapata shida sana waislam, batizweni mumfuate Yesu muepukane na moto wa jehanam

    • @kigomanocpro5553
      @kigomanocpro5553 5 років тому

      We unakiri yesu ndo mungu wako aliekuumba????

    • @mitemplasikatimbwa6802
      @mitemplasikatimbwa6802 5 років тому

      Aya mambo tumezoea kuyasikia kwa misalaba

    • @sammarley1413
      @sammarley1413 5 років тому

      Huyo yesu mwenyewe anavidonda vyamisumari yamsalaban anahitaj msaada wako kisha waleta masihara !!!!

    • @ameirzapy1318
      @ameirzapy1318 5 років тому

      Sisi sio wana wa Israel mkristo wewe, sisi ni Ummat Muhammad rasulullah

  • @prophatislael9237
    @prophatislael9237 2 роки тому +1

    Kila ninapo ona mihazala yamashehe sioni wakifundisha watu waache zambi wamfuate Mungu zaidi ya mabishano nakukosoa dini nyingine waislam wanachokijua wengi Ni mabishano unakuta anavuta sigala IPO kwenye kanzu huku anatetea uislam hiliz chale mwl mzma halafu kwenye mabishano yakutetea dini yupo kwasababu hafundishw ajitenge nazambi anafundishwa mabishano
    Tito 3-9

    • @ambarnelly6304
      @ambarnelly6304 2 роки тому

      Hakuna icho kitu kwenye uislamu tafadha ndugu,unapo kwenda kinyume na din ya kiislam bs tutakueka tu sawa wala si mabishano kama unavyo zani

  • @faridabakari8511
    @faridabakari8511 6 років тому +6

    Inalilah wainah ileih rajhun.... astaghafirullah astaghafirullah astaghafirullah 1000x kwa hamza na kwaalio wapotosha InshaAllah tuwe miongoni mwawena na sahihi

  • @halimahalim3816
    @halimahalim3816 7 років тому +2

    Innalillah wainna ilayh rajiuu waislamu tuwe makin sana nahawa wanaojiita nabii wa mungu

  • @othmanmahmoud4353
    @othmanmahmoud4353 2 роки тому

    Allah atuhifadhi sote nae

  • @lawmarcusmwakagenda355
    @lawmarcusmwakagenda355 6 років тому +4

    Alisema Yesu sharti Injili ya Ufalme ihubiriwe Ulimwenguni kote ili iwe ushuhuda kwa mataifa yote ndipo ule mwisho uje.

    • @francinensavyimana5601
      @francinensavyimana5601 5 років тому +1

      Someni vizuri vitabo makafiri kazizenu kuendeshwa tu naviongozi bila kandi zakweli wamewategeni bibiliya ina vipande viwilli cashetwani nacakusema kweli israeli yemwenyewe ameiiaga kuwa imecezeya chance itahamishwa

    • @alialamoudi9729
      @alialamoudi9729 4 роки тому

      Huyo mwembieni wewe mwanda wazimu tu hi ni alama ya akher alzaman mungu anajaribu imani zetu msimwamini huyo mwenye kilemba mwongo hundred per sent mimi kutoka makaa NA mfti hapa anakataa kabisa baada ya kumfahamisha akacheka basi amesema tanzania wanafamu dini ya kiislaam mara nyigi amekutana nao NA asel mia hamsini waaslaam usio NA hofu. Nao watamlkeza dini ya mohamed from saudi arabia maka

  • @bahatijohn1958
    @bahatijohn1958 2 роки тому

    Hamza umenifurahisha sana

  • @lileoh3893
    @lileoh3893 3 роки тому

    Majalibu hayo waislam mungu hawezi kua muongo kutwambia ntume muhadi niwamwisho

  • @faysalmussa5593
    @faysalmussa5593 4 роки тому

    Mashaallah sheikh muharamu umeongea maneno mazito sana n yote ni ukweli mtupu. huyo mpuuuzi elias katumwa kuharib dini ya Allah na allla hatomuacha in shaa allah

  • @sashashaibu6821
    @sashashaibu6821 2 роки тому

    Mungu amlani kwa kutaka kupoteza uwisramu

  • @zulficarbacarsuale6877
    @zulficarbacarsuale6877 5 років тому +1

    HAMZA MJOMBA NJA UKIPELELEZA ITAKUEKA SEHEMU MBAYA, KURHANI AIJACHA KITU, KUAMANA IPO SAFI KABISA. KURAHANI IMISEMA MUHAMAD S.A.W. NI WAMUISHO, SASA WEWE. IO NJA ITAKUEKA SEMU MBAYA, RUDI KUA MOLA WAKO YEYE NIMPOLE SANA.

  • @sammabula7359
    @sammabula7359 7 років тому +3

    Ufunuo 1:17-18 17 Nami nilipomwona, nikaanguka kana kwamba nimekufa miguuni pake.
    Naye akaweka mkono wake wa kuume juu yangu na kusema: “Usiogope. Mimi ndiye wa Kwanza na wa Mwisho,18 na aliye hai; nami nilikufa, lakini, tazama! ninaishi milele na milele,nami nina funguo za kifo na za Kaburi. 19 . Hii verse ya bible itawasaidia kwenye mjadala wenu.

  • @reinampona69
    @reinampona69 4 роки тому +2

    Mmmh!mimi naona kaja kuwachosha tu viongozi wangu wa dini.kweli uyo ni muhongo.

  • @othmansaguda536
    @othmansaguda536 4 роки тому +7

    Laana2llah alayka

    • @dulleyjuma842
      @dulleyjuma842 3 роки тому

      Muombee dua huna mamlaka ya kumlaan mtu bro🤲🤲Allah mjuz wa yote

  • @prophatislael9237
    @prophatislael9237 2 роки тому

    Wafilpi 2 -14 yatenden Mambo yote pasipo manung'uniko Wala mashindano
    Tambueni Mungu nimmoja tu hembi fundishen watu waache zambi hakuna kitabu chadini kilichoandikwa dini itamfikisha MTU mbinguni nyny mnaita pepeni Zaid ya matendo yako ww naMungu wako

  • @barackamosi4116
    @barackamosi4116 2 роки тому

    Kwakweli waisilamu mpokeeni huyu YESU mpate kupona acheni kufuga majini mtaungua sana badae siwahukumu lakini Nina wahurumia sana mwenzenu kasha mwamini Sana yesu ameokoka nae pia anawambiy pasipo kupokea yesu nisawa na mtu Alie kufa mashehe Nina wahurumia sana

  • @ShafShamat
    @ShafShamat 4 роки тому

    Mungu akusamehe mana hujui usemacho bwana Hamza

  • @lawmarcusmwakagenda355
    @lawmarcusmwakagenda355 6 років тому +2

    Anasema Yesu anipendae atazishika Amri zangu full stop hutaki Atakwambia kama yale Yesu aliwambia wayahudi ninyi ni wa baba yenu Ibilisi.

    • @subilimmopa5225
      @subilimmopa5225 6 років тому

      Shehe uko sahihi sema ukweli Mung u yuko na wewe

  • @rahmashaban8693
    @rahmashaban8693 7 років тому +4

    Subhannallah kumbe ana maswahaba mmmmmmmmmmmmmmmh Innah lillahi waina illaihi rajiuun

  • @abdullihmaulid7859
    @abdullihmaulid7859 4 роки тому

    Sheikh wa dar es salaam wewe ni mwanawazuoni toka lini, acheni kupotosha watu,mwenye elim hajitakasi wala hajisemi mm mwanawachuoni,watu wenyewe ndo huona huyu ni mwanawachuoni kwa muongozo wa Allaah ,Allaah atuhifadh

  • @aminaabdallah7702
    @aminaabdallah7702 3 роки тому

    Subhana hâta sura Yako sitaki kuiona

  • @ccmmbweawajangwani3505
    @ccmmbweawajangwani3505 4 роки тому

    Hapo mmefeli kwaiyo mungu wenu ni muarabu na ww nikabilagani huwo ni ujinga wakiimani mungu sio muarabu meku

  • @govinsonlugano9226
    @govinsonlugano9226 6 років тому

    Kwani hamjui kama Mungu ni Roho.Mungu hadili na mwili.anadili sana na Roho na nafsi.na Roho ni nguvu za Mungu.Mungu ni yote ndani yayote.anauwezo yakumtumia mtu wala kitu chochote sababu anauwezo wakufanya chochote.Mungu anauwezo wakutumia hata mawe wala miti.sasa mtu asie soma atashindwaje kumtumia jameni?mko kimwili sana mbona.Acheni Nabii afanye mapenzi ya Mwenyezi Mungu.ivyoivyo ndivyo Mafarisayo walifuatilia Yesu na Mitume wakifikiri wanapigana na watu,kumbe wanafanya vita na Mungu. Ndiomana hata Mafarisayo pia hawakumwelewa Issa Bin Mariamu.Mbona mnamtishia kifo?mkimuuwa uyo anaenda Mbinguni.wakati wa Neema hu. Amepewa Unabii wa nyakati za Mwisho ndugu Hamza.

    • @nasserm.nasser5087
      @nasserm.nasser5087 5 років тому

      Huwa anakuja makanisani kuongea upuuzi wake. Uislamu hauna manabii elfu moja duniani kama ukristo. Kitakachotokea baada ya Hamza kufa utaona ni kundi kubwa limejietanga na Uislamu na kujiita nao ni waislamu na mtume wao ni Askofu Hamza.
      Anatumia kila aina ya falsafa kudai utume. Na miezi mitatu ambayo alituwekea ilishapita. Misikitini mtu haji na falsafa na porojo. Kila kitu asemacho lazima atope dalili. Siyo kama Ukristo, mapadri wataongea wee na kujiita manabii na kuwaibia waumini wao michango na porojo zao na miujiza yao ya urongo.

  • @semedofoz3853
    @semedofoz3853 2 роки тому

    Njaaaaaa jamani Hao manabii hawajuii Wana Nuru kutoka Kwa Allah yeye Hana hata harufu ya unabii innalillahi wa inna ilayhi rajeuuun akifa nikuchoma kama wabaniani

  • @rahmashaban8693
    @rahmashaban8693 7 років тому

    Yaani mie natamani Allah Subhannah wataala aseme kwa sauti kila mtu aombe duaa kuhusu huyu Mtu. Mimi ningemwambia Allah Subhannah Wataala amlete Sayyidina Ummar, na Sayyidina Ally na Sayyidina Hamza radhi za Allah ziwe juu yao waje kumshughulikia huyu ndg maana haelewi anachokifanya. Anakera, anaboa, anachefua kweli yaan

  • @sharpspear81
    @sharpspear81 7 років тому +2

    Hajui Lugha
    Kabisa na anakiri mwenyewe ndio maana anashindwa kutofautisha.
    *( وَتَرَكْنَا عَلَيْهِ فِي الْآخِرِينَ )*
    الصافات (129) As-Saaffaat
    Na
    *(وَتَرَكْنَهُ فِي الْآخِرِينَ )*
    Zaidi ya hapo
    *« وتركنا عليه في الآخرين »* ```أي ثناء جميلا```
    *(ألتفسير إبن كثير)*

    • @trophainamagogwa7966
      @trophainamagogwa7966 4 роки тому

      Lugha haimpeleki mbinguni

    • @Awatee
      @Awatee 3 роки тому

      @@trophainamagogwa7966 Alokwambia watu wanaenda mbinguni nani lete andiko linalo sema mutakwenda mbingun

  • @zuusaidibushiri5556
    @zuusaidibushiri5556 4 роки тому +1

    Waislam nawaaminia hataki mchezo kwenye dini yao mashallah

  • @imamumponda276
    @imamumponda276 7 років тому +2

    sub'haana llah muendelezo tafadhali nimestafiid sanna kutoka kwa shaikh wa mkoa shaikh muharram na kadhi wa mkoa wa pwani jazaakumu llahu khayra kitaalamu mshavunja vihoja vyake mchwara vinavyotokana na mashetani ya kijinni yaliyomvaa ebu tuwekeeni mundelezo tafadhali

  • @likwegasalum1678
    @likwegasalum1678 4 роки тому +2

    SHEKH mziwanda nimemuelewa sana

  • @sallyhamson4003
    @sallyhamson4003 5 років тому +2

    Duh hamza jina zuri la swahaba wa mtume ila wewe unamkufuru mungu kwa kiasi kikubwa

  • @MariaMaria-gq4kd
    @MariaMaria-gq4kd 4 роки тому +1

    J😁😁😁😁😁😁😁😁waisilam wamekua kichaa hata wengine hawa jui kiarabu vizuri jamani mheshimuni mungu

  • @ismailyussuf1805
    @ismailyussuf1805 4 роки тому +1

    Mashekhe wangu. Ingawa sina contact zenu.Ningaliwaomba mwambieni HAMZE ISSA,ajehuku SOMALILAND aropoke kama yye ni mtume.

    • @pwanibiz
      @pwanibiz 4 роки тому

      Haha wataka afe 😄

  • @abdillahisalum135
    @abdillahisalum135 5 років тому +6

    Allah ajaalie ue mwenye kutubu kwake ila kama umetumwa kuusambaratisha uisilam allah akudhalilishe

  • @barackamosi4116
    @barackamosi4116 2 роки тому

    Mtasema Sana lakini MUNGU hawezi kumlaani huyo kwasababu hajatukana mtu nakwakuwa anawapenda Sana mwenzenu ndo Mana anawambiy muache majini kuyafuga namumpokee huyu YESU

  • @abuhhumayya2995
    @abuhhumayya2995 7 років тому +1

    Asalaamu alaykumu ndugu zangu waislaamu uyu anaejiita nabii uyu anatatizo la masi yaan amepatwa na jinni asomewe ruqya shaitwani anamsumbua uyu.

    • @ibrahimabdul8257
      @ibrahimabdul8257 7 років тому

      abuh humayya kweli kabsa akhii...ilham anayosema ni shaytwan kamchezea

  • @taitusbangu8909
    @taitusbangu8909 4 роки тому

    Ujuzi huu....Mungu anajua

  • @dastaniguni5599
    @dastaniguni5599 4 роки тому

    Jamani Wakristo jifunzeni kitu hapo sio mtu inafikia anajiita Mtume Nabii wengine wanajivika Uungu mnamuacha tu

  • @mshambawamjini2671
    @mshambawamjini2671 6 років тому

    ALLAH AKIPENDA SHEKH MKIWA NA MKUTANO MWENGINE NA HUYO KAFIRI NAOMBA MNITAFUTE NIKATE HIYO SHINGO YAKE ILI NIENDE PEPONI HARAKA KWA KULIUWA HILO LIKAFIRI

  • @madrasatulmujtabahschool7621
    @madrasatulmujtabahschool7621 4 роки тому

    Kulia sio sababu ya kua mkweli hata matapeli hulia wanaotaka kutapeli mungu akuongoze katika njia iliyonyooka

  • @latifaomari5592
    @latifaomari5592 2 роки тому

    Hii kweli dalili ya kiama maana ata vitabu vinaxema dalili moja wapo n kutokea kwa manabii wa uongo dunian

  • @shahirujuma1977
    @shahirujuma1977 3 роки тому

    Huyo katumwa na manaswara huy nimpumbavu si muislam ni mhubiri ametumwa inalilah wainaillah rajiun

  • @salummzee9739
    @salummzee9739 2 роки тому

    Mtume Muhammad s a w ndie kiongoz wetu na yy ndie aliye tabiri kabla ya kuja Masihi Dajjal atakuwa jeshi lake ndie huyu hapa Tuombe atuepushe fitina zake Masih Dajjal

  • @MinaniNicolaus
    @MinaniNicolaus 6 місяців тому

    Kidgo kidogo tu mtaelewa yesu ni nana inshallah

  • @frankfrancisondari5113
    @frankfrancisondari5113 4 роки тому

    Ya mungu hutokea Wa nyonge

  • @julesngama2508
    @julesngama2508 4 роки тому +1

    Galatia 2:20 someni vitabu muwache kumu lahumu jama uyo jama ni Nabii . Yesu njo jiya na uzima wa milele tena ayo Maneno yako ndani ya Quran.

    • @seifrajabu9511
      @seifrajabu9511 4 роки тому

      Acha uongo bana Qur'an 5:75 inasema isa bin mariam si chochoote ila ni mtume tu sasa usitudanganye kuwa ni mkombozi

    • @muhalakibwana4026
      @muhalakibwana4026 2 роки тому

      Tupo katika Qur'an Aya gani sio kubweka tu ndugu

  • @mohammedrajabumwamba1322
    @mohammedrajabumwamba1322 4 роки тому +5

    MaashaaAllah mashekhe mmemkomeshe uyo kafiri anaejiita nabii

  • @nazonahdi9993
    @nazonahdi9993 5 років тому

    Stakhfirulaah mungu atakushinda inshallah mtume alikuwa wa mwisho Mhamad s.aw ila alishasema watakuja waongo kibao watakaye jiita mtume dalili za kiama naona ndio karne hii

    • @BigZhumbe
      @BigZhumbe 4 роки тому

      Mtume alikua wa mwisho na Nabii Issa atarudi.

  • @catherinealoyce6855
    @catherinealoyce6855 5 років тому

    Aalykm warhmatllh wabarqat .. Si Mara ya kwanza Kwa Mtu kudai utume alidai Mussailam l Qadhab Na Zama za karibu Ahmed Mirza mimi kama muumin kabla ya yeye kutuma barua ilibidi baada ya kujitangaza ilifaa aitwe Na barua Na aonywe vikali Na ilibidi aulizwe alisomeshwa Na Shaigh Nan? Wa wap? Aitwe Na yeye ajibu madai hayo.

  • @domykimata5768
    @domykimata5768 4 роки тому

    Aisee

  • @mohammedhussein4926
    @mohammedhussein4926 5 років тому +2

    Shekh muharami mziwanda nashukuru kunitoa kizani

  • @anuaryally6204
    @anuaryally6204 4 роки тому +2

    Innalilah wainna ilayh rajiuun huyu ni empty kuliko cd Allah amuongoze

  • @ibrahimaziz7158
    @ibrahimaziz7158 5 років тому +1

    Mnamwitaje ustadhi mpumbavu uyo c bora mm nastahili kuitwa ustadh

  • @NeroForte_
    @NeroForte_ 2 роки тому

    mbona umeikata hiiclip haijaisha

  • @jumamisimbo8891
    @jumamisimbo8891 7 років тому +10

    We hamza muogope mungu acha utani kwenye dini ujue ipo siku utakwenda kwa Allah nn utajibu hebu tubu kabla mauti hayajakufikia maana hili ulilozua ni kubwa sana

    • @afredyohana356
      @afredyohana356 4 роки тому

      Hamza yuko vzr sana

    • @nurdinimndeme2912
      @nurdinimndeme2912 4 роки тому +1

      @@afredyohana356 elimu finyu kupindukia ..mjinga wa kile anachokizungumza sasa ataweza vipi kushawishi wengine ~ sisi ni watu wa fact - tena sio tu fact bali ukweli ulioko katika facts ..akasome sasa maana ni kama alikua akicheza huko alipokua akibeba hiki alichokua akikisema hapa . in short ujinga wake ni ujinga mkuu yaani hauna hata mfano coz hana hata ufahamu wa kile kinachotoka katika Akili yake Yaani ni mjinga asiejitambua kua yeye ni mjinga Ndo maana unamuona mbele ya Scholars wa kiislam hivyo hivyo anajaribu kufanya propaganda

    • @Awatee
      @Awatee 3 роки тому

      @@afredyohana356 🙄🙄🙄

  • @ruthpaulo8308
    @ruthpaulo8308 4 роки тому +5

    Audhubillahi minashaitwani rajiim! Katokea wapi mtu huyu? Astaghfirullahi!

  • @bahatijohn1958
    @bahatijohn1958 2 роки тому

    Kumbe nabii uko sawa

  • @tonyspencer1928
    @tonyspencer1928 5 років тому +2

    SubhannaAllah!

  • @joelmoron5896
    @joelmoron5896 4 роки тому +4

    Mawazo ya MUNGU si kama ya mwanadamu sikien aliyosema ndugu hamza au nabii iliyasaa

  • @faza4023
    @faza4023 4 роки тому

    Ukweli unafichwa sana,,makanisa ya uwongo mengi sana tokea zamani,,maelfu ya watu duniani wanajua ukristo na Yesu kristo sio njia sahihi,lakini nakwambia amini usiamini ( amini usiamini) anayemuamini YESU bila longo longo yoyote, ana Mungu na Nguvu kubwa kuliko yeyote Popote pale.

    • @jamalnaba1535
      @jamalnaba1535 3 роки тому

      Mbona maswali aliyowauliza masheikh hatuoni hawa akina Mziwanda kwenye hili kongamano walikaa

  • @abasayoo5934
    @abasayoo5934 4 роки тому +1

    Mtume Muhammad swalallahu wa aleihi wa sallam.huyu nabii ametokawapi tena

  • @ibrahimabdul8257
    @ibrahimabdul8257 5 місяців тому

    Jikristu hili lina jarbu jarbu kuupiga vita uislamu kwa ndani…

  • @hawraymuncw9893
    @hawraymuncw9893 4 роки тому

    Ingependeza sana

  • @sarahabdulatif7391
    @sarahabdulatif7391 5 років тому

    Yesu alisema hakuna lililofichwa ila .litajulikana nawakati wakujulikana nisasa waisilamu mungu munae muabudu nikafiri nawala hayup juu juu kuna yesu nawala msiwe miongon mwawenye kupinga someni vizur maandiko msidanganyike kuruani kuwakataz mabaya kuna mengi yalijificha nyuma yapazia ikiwa mnakubali shetani alivaa mwili wanyoka naakamdanganya mama hawa naikawa sababu ya hawa naadamu kumkosea mungu kwanini hamuamini mungu alivaa mwili naakaishi dunia kwaajili yakuukombowa ulimwengu mkikataa mungu uwezo aliofanya namkakubali shetani nyinyi ndio mtakuwa makafir mana kila anamkataa mungu wakweli nikafir mashehe itafuteni kweli ili muwanusur waliobaki ulimwenguni naziwa lamoto ambalo mtaingia nyinyi pamoja nasubuhana watala

  • @nacyluizer3734
    @nacyluizer3734 6 років тому +2

    Jamni wakristu wenzangu kweny mambo ya dini tofauti nawaomba tukae kimya maan kuna mamb yanaweza kukufany utukane ila tujifunze kunyamaz maan tunajua dunian tunapita makao yetu yapo juu

  • @balkisjrashid1508
    @balkisjrashid1508 5 років тому +1

    Duuh! Pole yako nabii feki Allah akuepushe

  • @wardalward3693
    @wardalward3693 7 років тому +2

    Jemeni NABI ANATEREMKA duniyani

  • @BONGOINMOTION
    @BONGOINMOTION 2 роки тому

    Falao walikuwa wengi je Ni Falao yupi mnamwita filauni?

  • @alsaarh239
    @alsaarh239 6 років тому +3

    Hamza tul kadhab usione waisilam wamelala wako imara na wewe ulipoteza hao makondoo wenzako lakini si kwa waislamu wote nyooo wewe ni pweza wajisongeshea makaa ya moto mwenyewe

  • @saramgonja3484
    @saramgonja3484 5 років тому +1

    Yaani waislamu Mungu awarehemu na awafungue muijue kweli.

  • @zuwenshemedy7382
    @zuwenshemedy7382 3 роки тому

    Huyo mkapime akili mashekhe wangu atawachosha tu kwanza nimeona aliomba msamaha ss tn karundi na unabi feki

  • @massawejacob
    @massawejacob 4 роки тому +2

    Pazuri hapa manaa wote mwayajua ....mim nawasikilizaaa tuuuu !

  • @ramadhanideu5349
    @ramadhanideu5349 7 років тому

    Naam mdahalo mzuri sana muedelezo ndg zangu ili tuzidi kufaidi

  • @jeneferedayac3458
    @jeneferedayac3458 4 роки тому +1

    Nabii ilyasa yukosawa bila kupingwa neno la mungu halipingwi yesu yuwaja beblest

  • @anisamresh9168
    @anisamresh9168 7 років тому +2

    Huyu mbaba kavurugwa sana tuu.... Katoa njaa tumboni kaipeleka kichwani

    • @machoyote3991
      @machoyote3991 7 років тому

      Anisa Mresh kauzu huyo

    • @hamisipande7253
      @hamisipande7253 4 роки тому

      Umepatia tena njaa imetoka kichwan inakimbilia macho

  • @thomasnachenga795
    @thomasnachenga795 6 років тому +8

    MUNGU KATIKA MAFUNDISHO YAKE WOTE ANATUFUNDISHA upendo... SOMA COMMENT UTAWAJUA watu wa mungu. MUNGU NI PENDO apenda watu...unasemaje unampenda mungu na haupend wengine na kuwaombea laana? unadhan mungu atakuacha ivi ivi? cheka sasa lia baadae..usiseme HABARI hizi hukuambiwa.

  • @alhamdulillah5796
    @alhamdulillah5796 6 років тому

    Hyo ramadhani unakaa na njaa tu. Shahada huijui, Nabii Isa unaamini kua ni Mungu au mtoto wa Mungu mana unaingia kanisani na unasema unaamini km kasulubiwa. Bora ule tu km hao wenzio