MBOWE ATAJA SABABU ZA POLISI KUKAMKAMATW BONI YAI TUPO KWENYE MAOMBOLEZO YA MSIBA WA KIBAO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 вер 2024
  • #mbowe #chadema

КОМЕНТАРІ • 32

  • @deniccgabriel6153
    @deniccgabriel6153 8 годин тому +2

    Uyu Mmama hawezi kutuongoza Bali kutuongoza ktk vilio vya watu kuhuawa na kubakwa,kubambiliziwa kesi n.k katika nchii

  • @winniefridamutakyawa5943
    @winniefridamutakyawa5943 10 годин тому +2

    Oppressed people cannot remain oppressed forever.( Martin Luther King Jr.

  • @salumunsabimana6502
    @salumunsabimana6502 10 годин тому +1

    Damu inanukiya Tz .wallaah msibishe funguweno akili msiendekeze zina na stareh .hali inaenda vibaya kunawatu ambao wanastahiki kuishi nawengine hawastahiki .zamanihiyo ilikuwahakuna Tz sasa kila mtu hanahaki .damu itamwgika .

  • @hoseamwambambale3503
    @hoseamwambambale3503 11 годин тому +1

    Afu kama wana taka vyama visiwepo bas vifutwe tu ila wasiue watu

  • @gowekogoweko5803
    @gowekogoweko5803 5 годин тому

    WELL SAID

  • @salumunsabimana6502
    @salumunsabimana6502 9 годин тому

    Damu yamtu asiye na hatiya haiendi bure malipo yatafika Mungu halali.

  • @HdhdhdhdhJdhdhd-o6c
    @HdhdhdhdhJdhdhd-o6c 2 години тому

    mungu ampe moyo wa subla

  • @abdalahgunda1319
    @abdalahgunda1319 11 годин тому +1

    That was the freeman mbowe address tsd organization consern tanzania democracy challenge facing ccm rooling and chadema political party history from 1995 up to now crush between ccm and chadema wich attend by representative from different national and. Local tanzania janelist and team organization from within tanzania

  • @chikizamifupa5786
    @chikizamifupa5786 10 годин тому +3

    Unaonaje na wewe ujiuzuru wadhifa wako?.

    • @philemonsnyanda9450
      @philemonsnyanda9450 10 годин тому

      Mtasubili sana hiyo mipango yenu ovu juu ya chadema

    • @StevenGendo-vx9jo
      @StevenGendo-vx9jo 9 годин тому

      Mwambie baba ako hayo maneno ajiuzuru kwa mama ako

    • @chikizamifupa5786
      @chikizamifupa5786 9 годин тому

      Jinga sana wewe

    • @wahurumasibale6155
      @wahurumasibale6155 3 години тому

      Kuna mapungufu gani ya yeye kuendelea? Wanachama na katiba yao wanaona anafaa basi tuache aendelee kuongoza. Muda ukifika ataingia mwingine.

  • @adamlubawa1281
    @adamlubawa1281 7 годин тому

    MBOWE KUWA MUWAZI TU
    ANAEKUWA TOFAUTI NA WEWE LAZIMA UMUUE NA IWAPO NI UONGO JIONDOE KWENYE UENYEKITI UONE KAMA WATU WATAKUFA
    ILA KWA SASA MBOWE HUNA DEMOCRACY NDANI YA CHAMA CHAKO
    HIVYO ONYESHA DEMOCRACY NDANI YA CHAMA CHAKO KWA KUUWACHIA UENYEKITI

  • @HASSANWAZIRIGAO
    @HASSANWAZIRIGAO 10 годин тому +1

    WEWE UNADAI KATIBA ILIOBORA KWENYE CHADEMA KATIBA YENU NIBORA?WEWE KATIBA YENU KUNA KUBADIRISHA GIA ANGANI IMO HIYO KWENYE KATBA ?

  • @salumunsabimana6502
    @salumunsabimana6502 10 годин тому +1

    Msiseme Tz inchi ya amani ilikuwa zamani sisasa .hali inatisha .kwa wageni na wenyeji.hiyo siyo amani .

  • @thomaspascal9641
    @thomaspascal9641 6 годин тому

    Maandamano bado yapo au mpaka muue mwingine tena mpate kiki?

  • @ABDULRAHMANIDAS
    @ABDULRAHMANIDAS 10 годин тому

    Mmepewa uhuru mkaanza kuutumia vibaya, mkaanza kumtukana rais na kumkashifu hadharani, sasa mnaanza kulalamika nini

    • @taaonlinetv1820
      @taaonlinetv1820 9 годин тому

      hakuna muslim mwenye akili sawa sawa lazima sehemu moja tu ayumbe😢

    • @StevenGendo-vx9jo
      @StevenGendo-vx9jo 9 годин тому

      Uhuru wa nyoko

    • @NuruLutembeja-h1r
      @NuruLutembeja-h1r 8 годин тому

      Mama kama ametukanwa kafungue kesi dhidi ya walio mtukana.Tofautisha hoja na vioja.

  • @adamlubawa1281
    @adamlubawa1281 7 годин тому

    ELEZEA DEMOCRACY NDANI YA CHAMA CHAKO NA NJE YA CHAMA
    UNASEMA CCM HAINA DEMOCRACY
    WAKATI NDANI YA CHAMA CHAKO HAKUNA DEMOCRACY
    TOKA UWE MWENYEKITI HADI LEO HIII WEWE BADO NI MWENYEKITI
    HIVI HAKUNA MTU MWENGINE AMBAE ANAEWEZA KUWA MWENYEKITI WA CHADEMA

    • @Bonifaskagoma
      @Bonifaskagoma 6 годин тому

      Chawa

    • @Bonifaskagoma
      @Bonifaskagoma 5 годин тому

      Chawa

    • @wahurumasibale6155
      @wahurumasibale6155 3 години тому

      Kuna mapungufu gani ya yeye kuendelea iwapo Wanachama na katiba yao wanaona anafaa? Basi tuache aendelee kuongoza. Muda ukifika ataingia mwingine. Hata ccm pia huwa wanadai kuwa ni utamaduni wao kumpatia rais wao aliyetoka kuchaguliwa kuwa mwenyekiti wao. Utamaduni huo pia kwa namna fulani unaweza kuwa mzuri au mbaya kulingana na namna mtu anaweza kuuchambua.

  • @HASSANWAZIRIGAO
    @HASSANWAZIRIGAO 10 годин тому

    ACHA KUDANGAYA WATU TUKIO LA ALLI KIBAO WEWE NDIO UMEPANGA NAHAO WEZENU UMEWAFICHA ILI MPATE KIKI

    • @jamessiame5169
      @jamessiame5169 10 годин тому

      Atekwe baba yako utasemaje

    • @bhaijanali5092
      @bhaijanali5092 10 годин тому

      Mboye apange utekaji Serikali imuangalie utakua msukule wew sio bule

    • @PauloMussa-l5i
      @PauloMussa-l5i 10 годин тому

      We huna akili kweli

    • @NuruLutembeja-h1r
      @NuruLutembeja-h1r 8 годин тому

      Inapendeza sana,isaidie polisi ili Mbowe akamatwe na haki ya Kibao ipatikane.Usiishie kukomenti humu pekee,nautapewa tuzo ya kuwa mzalendo wakweli.

    • @adamlubawa1281
      @adamlubawa1281 7 годин тому

      Upo SAHIHI KABISA MBOWE ANAWADANGANYA WANACHADEMA
      AAACHIE UENYEKITI
      HAPO NDIYO ITAKUWA DEMOCRACY