ONE ON ONE PART 3 TUNU AWEKA WAZI MAHUSIANO YAKE NA KITENGE/CHANZO CHA KATANGA KUONDOKA EFM.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 28 сер 2024

КОМЕНТАРІ • 36

  • @oyay2821
    @oyay2821 Рік тому +2

    Tunu uko sawa kama mwanadada. Much love from 254.

  • @Abdul-oc1ul
    @Abdul-oc1ul 9 днів тому

    We malaya tu

  • @edinamgulila8827
    @edinamgulila8827 Рік тому +2

    Kipindi hiki kizuri mno ....Juma Ayo fanya mchakato siku moja utuletee Shaffih Dauda hapo Digala ......tulijua mengi sana had ya chini ya kapeti mfano ali kamwe , tunu , jemedari ....halafu taratibuu uje uanze kuleta wachezaji hasa mastaa mfano , chama , mayele nk

  • @user-ei3ps8dw8h
    @user-ei3ps8dw8h 5 місяців тому

    Asalaam alykum waramatulahi aniatu Nikka rabana takabal dua amin

  • @katushabedotto2883
    @katushabedotto2883 Рік тому +1

    Tinu nakupenda sanaaaaa

  • @majaliwamussa9268
    @majaliwamussa9268 Рік тому +4

    Huyu Tunu jamani hajaolewa akisoma comment mimi nipo tayari kama hakuna aliye nitangulia

    • @mdalamgir-gu9hu
      @mdalamgir-gu9hu Рік тому +1

      Kama watafuta mke kwa.mitandao hautapata tafuta wenzio wa mitandao

  • @flavianchuwa4370
    @flavianchuwa4370 Рік тому

    Kweli Jamani mkumba,na mhando dahhh

  • @iddybakar1946
    @iddybakar1946 Рік тому +1

    Tunu namlav sana anajua nilifikiria maulid atahama na uyuu dadaa kwenda wasafi ila mwanaid pia sio mbaya

  • @dishonlinus6514
    @dishonlinus6514 Рік тому +1

    sema juma apo kwenye nipe tano 😁😁umenikosha

  • @amirisaid6341
    @amirisaid6341 Рік тому

    Keep up bro unajua kufanya interview 🙌

  • @abuumitema548
    @abuumitema548 Рік тому +1

    Umepatia J ni ukweli sana uo.

  • @angellomarcel5677
    @angellomarcel5677 Рік тому

    Duh..! Umenikumbusha Mkumba na Mhando asee

  • @abuyunusmohamed6961
    @abuyunusmohamed6961 Рік тому

    Yote tisa kumi vipi mahusiano yako ya kimapenzi na kitenge tuweke wazi😄

  • @lungusii
    @lungusii Рік тому

    Mimi huja nipa namba

  • @hijazhija316
    @hijazhija316 Рік тому

    0:08

  • @samsonphilemonmgina7286
    @samsonphilemonmgina7286 Рік тому

    Fransis mhando na mkumba wako wapi cku hiz

    • @christophergeorge5490
      @christophergeorge5490 Рік тому

      Mhando yupo E sports ile ya j mos na j pili saa mojaila mkumba ndo hayupo

  • @edinamgulila8827
    @edinamgulila8827 Рік тому +1

    Huyo fatuma chikawe ni nan na anafanya kaz wap ?

    • @abbyadams8691
      @abbyadams8691 Рік тому

      Azam

    • @motamohele3015
      @motamohele3015 Рік тому

      EFM

    • @angellomarcel5677
      @angellomarcel5677 Рік тому

      Alikuwa Azam nadhani sasa hivi ni mteule ni DC

    • @gaudinamosnchobe4909
      @gaudinamosnchobe4909 Рік тому +2

      @@angellomarcel5677 usichanganye Fatuma Chikawe alikuwa anasoma habari za michezo aliteuliwa na rais ambaye ni mkuu wa miraya ya kigamboni ni Fatuma Almas Nyangasa uyo alianziaga ITV akaja Azam uyo alikuwa anausika na habari na akina Ivon Kamuntu

    • @murjijamal7994
      @murjijamal7994 Рік тому +1

      Mchambuz wa michezo @Azam Media

  • @selemankaduma1186
    @selemankaduma1186 Рік тому

    Samahani Niulizie Jimbo Liko Wazi

  • @ismailmasoud6001
    @ismailmasoud6001 Рік тому +4

    Hii ndio tabu ya sehemu za kazi , Asilimia kubwa sehemu za kazi wana wapenzi, Tena wengine wana wake zao na wana waume zao lkn wana mahusiano makazini...!
    Mimi kama mwanaume nawaambia wanaume wenzangu, Kama una mke anafanya kazi ujue hayuko Mikono salama JIPANGE...!

    • @TradersEasyWay
      @TradersEasyWay Рік тому +1

      hahaa! huko sahii kabisa tena kama anafanya kazi zile ambazo anakua na vikao vingi mpaka usiku na kusafiri safiri sana!

    • @haidhabushiri9558
      @haidhabushiri9558 Рік тому +1

      Kazi za shift ndo balaa nursing, police, jeshi ,uandishi

    • @ismailmasoud6001
      @ismailmasoud6001 Рік тому

      @@haidhabushiri9558 ...Yaani kiufupi hivi viumbe viwili vikichangamana ni Mtihani sana....angalia mashirika ya uma , Maji, Umeme,posta, sehemu mbalimbali ni hatari, ukiwa hujafanya kazi za kuajiriwa huwezi kujua, lkn ni AIBU...!

    • @kilapilo.kilapilo5292
      @kilapilo.kilapilo5292 Рік тому +2

      Ndugu yangu Ismail Masoud, siyo kweli ya kwamba kila mwanamke ambaye ana mume wake na anafanya kazi/shughuli mahali fl'ani, basi atakuwa na mahusiano huko kazini/ofisini.{Wapo wanawake ambao ni waaminifu sana kwenye ndoa zao/ mahusiano na wenza wao & wapo wengine ambao pia siyo waaminifu kwenye mahusiano yao}.
      👉Kikubwa ni kuzidi kuwajengea wanawake hao uwezo wa kujiamini & kuwapa nafasi pale inapostahili.

    • @ismailmasoud6001
      @ismailmasoud6001 Рік тому

      @@kilapilo.kilapilo5292 ....ungesoma usingejibu hivyo, ni asilimia kubwa sio wote, na usiwaweke wanawake tu' ni wote na wanaume...!...ukweli uko hivyo