Jamani nimekumbuka mbalia sana, mwalimu owigo paroma secondary alikuwa akitufundisha vitabu yaan hizi story zote kilio chetu ngoswe n.k nimefarijika sana kiukweli , natamani enzi hizo sisi tunasoma O level (2018) ingekuepo hii movie walaaaa hatungetumia vitabu kwa nnavyomjua mwalimu wetu angetukusanya darasa moja akatuekea sinema kila mtu akaona, ubarikiwe sana wewe ulietengeneza hii movie itawasaidia wadogo zetu
Mmenikumbusha mbali saña kwahiyo kazi nzuri ya kuelimisha jamii👌👌👌👍👍👍👍
Daaah nimekumbukaa mwalimu wangu wa kiswahili kikuyu secondary mjn sir Rich ashafarikii jmn mungu amuweke mahali pema jmn
Unyama sanaahhh,nimeielew hii mmetish sanah thanks it's so gud i❤❤❤it
Daaa mambo ya lissu haya kwa kusimiliaa from minyughe sekondari 😂😂😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉🎉🎉 gonga like hapa
❤
Jamani nimekumbuka mbalia sana, mwalimu owigo paroma secondary alikuwa akitufundisha vitabu yaan hizi story zote kilio chetu ngoswe n.k nimefarijika sana kiukweli , natamani enzi hizo sisi tunasoma O level (2018) ingekuepo hii movie walaaaa hatungetumia vitabu kwa nnavyomjua mwalimu wetu angetukusanya darasa moja akatuekea sinema kila mtu akaona, ubarikiwe sana wewe ulietengeneza hii movie itawasaidia wadogo zetu
Asante
Hongereni waandaaji na waigizaji mmenikumbusha mbali sana 2016 ruvuma sec
Thanks my brother
Nice kwa kutoa taalum ii kwa wanafunz
Pamoja sana
Asanteni kwa kuturahisishia ss tusiopenda kusoma vitabu kwani Ni meelewa kirahis zaidi ya kusoma kitabu chote .
Duh namkumbuka teacher ally mwinyimkuu pale mnolela sekondari nmefurah san
KAZI NZURI SANA JAPO VIPENGELE VINAVYOMHUSU ANNA VIMERUKWA. NA HAPO NDO KUNA ELIMU YA JINSIA INAPOTOLEWA.
Dah! Watu tunafanya Kazi nzur sana sema tu bas tu yaan..
Oy asante I Wana ❤❤
Very nice 👍👍
Kazi nzur
Napenda sana hiki kitabu❤
Me pia jamam nmkumbuka sana madam wang kixwahili aitwae anjera at tanga
Mme uwa mpaka wanafunzi waelewe🎉🎉🎉😂
Dhaa mwacheni ngoswe aitwe ngoswe maana mambo yake ni hatari Sana
Yan da hv vitabu vinatufunza sana yan
Safi Sana nimekuelew
Very nice
good
Munafanya kazi nzur kutusaidia sisi wanafunzi
Mwanafunzi kuelewa
Napenda kusoma ndomaan nkfaul kiawahl
Ongela sana
nakmbk 2000 nilipokuwa o level
Nimeipnda, nakumbuka 2007 nko o-level
Pamoja sana
Nakumbuka nipo o-level 2006
Hatuna haja ya kusoma tena kitabu sisi tunaangalia movie tu imeisha tunaenda kujibu mtihani
Nimekumbuka 2016
Pamoja lucy
Mnatusavesana Sisi wanafunzi
Well done🎉🎉🎉
Mmetisha sana wazee
Dua
Nawakubali sanaaa
Kazi nzuri
Thanks
mikiangalia hiistary namkumbuka ticha wangu wakiswahili biasha skuli ya kama
Nc one
Mungu atawalipa kwa kurahisisha kitabu hichi asee...👏
Amina
daa mwalingu wangu MUSSA LISI ukowapi sasa 😭😭😭😭
I like you and you life
Nimekumbuka nikiwa class idoselo secondary school mwalimu wang nesphorx galagala alinipigia vzur san naielewa hiyoooo
Aisee big up sana
Jamn nakumbuk mbali. Xan kwa walio Soma rigicha secondary
hongera
kufunzwa elim muda mwingne ni vizur
Sikupingi
Daah umetisha mazee
Pamoja sana jamaangu
Iko vizuri Sana ❤❤
Kipindi iko O level nakumbuka sana
Ok google
Sijaielewa🙅🏾♀️
Hongera sana
Amina
Daaah mbali san
good job 👍
Jamn utandawazi inatusaidia😊
Tunawashukure Sana kwa kuturahisishia kusoma
zinatusaidia hata sisi wanafunzi
Yalabiiiii nimemkumbula madamkineye wa ihanamilo geita
Mbali xana 2021
ha ha ha namis kiswakili mie
Kwakwel Kama nigepata na hii move basi ningepata Zaid ya A
i want to see novel in this program i like it❤
Nimemkumbuka mwalimu wangu madam Fitina sanga.
Jmn ngoswe tumuachie yee nimekumbuk
Safi sanaàaaaâæ
Vipi kuhusu watoto wa mama ntilie
Nakumbuka hiyo 2015
Safi
Daaaah mepiha 2015 Geita secondary
Wengine ndo tupo tunakomaa
Kizuri sana jamani tumeelewa
Asante sana
Tisha sana kidato Cha tatu
Nakubari
Nimeipend sana wkt nipo kidato cha tat nmekpnda sana tamthlia hii hatrrrr💕💕💕💕💕
@@elizajuius4228 Haaa
Acha wenge mzee
@@nemeschoya3272 eeee
Wangechambua kama ivi na vya A level
P
kutetea ujinga sio nzuri muda mwingine
Kweli
Hii inawafny wanfunz kuelewa zaid
Soo nice
Mbn vipande vengine. Mumeviruka jamani
Sio kweli
Kwanini
wame tulaisishia atali
No noma sana
Atar xan
Pamoja
So gud
Ta
Eliminate ya kinjinsia ni muhimu
Ngoswe penzi kitovu chauzembe
Yani ninavyo peda kamuseleleko hapo poa
teacher unajua
?Elimu ya jumsia ni muhimu
Inapendeza
Ninaomba kujua namna ya kuipakua hii
Naomba nisaidie plz
Aise nakumbuku kidato Cha 3
Hhh kwel kabs
Duuuu majirani ote wamejua we mam
Nzuri
Thanks brother
nzur saana
0:37
😅😅
Apo shule
Amkupata vijana wamakamu
Hao ni vijana wa zamani
🙏🙏🙏
Kpnd hk knankumbusha olevel
Pamoja sana
Takadini
Riwaya
Nzr sana nmeilewa
Asante
Kilio chetu
Urembo wa kipadi
Mzee baba naomba namba. Tufanye kazi moja
065tigo ya tno tt009nn tatu 6
Nip yk kk
Kali
Inakopi mtaalamu
Mwaramiiiiiii
Kheh mahiri