HOTUBA YA RAIS DKT JOHN POMBE MAGUFULI BAADA YA KUPOKEA RIPOTI YA CAG,MARCH 27, 2018

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 25 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 65

  • @khalidballeth5957
    @khalidballeth5957 5 років тому +3

    Heko Mh Rais Jpm kwa kumkubali CAG🙏🏻👏🏼👏🏼
    Mwenye kumkubali Rais wetu Mh Jpm
    👇🏽agonge
    👇🏽Like
    👇🏽hapo👇🏽

  • @victorcephas3618
    @victorcephas3618 5 років тому +4

    Congrats mh Rais kwa kumwamin CAG kwa utendaji Kazi wake, naamini na Bunge litamkubali tu,ili tulijenge Taifa.
    #Assad mtu wa Mungu hawez kusema uongo.
    Wapi likes za CAG

  • @angelanather9640
    @angelanather9640 6 років тому +11

    Mh. Rais unafanya kazi nzuri pamoja na watendaji wako. Mungu awatangulie na vita vyote mliyo nayo!

  • @noonelike6382
    @noonelike6382 5 років тому +1

    Tanzania safi👍
    Serikali safi👍
    Rais safi👍
    C A G safi 👍
    Report safi👍
    Wakuu wa mikoa hasa Dsm 👍
    Watanzania safi👍
    Kila kitu safi 👍
    👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍

  • @neemakilomoni4258
    @neemakilomoni4258 6 років тому +4

    👏🏾👏🏾👏🏾 Tanzania 🇹🇿 Yes we can 💪🏾 Mungu akulinde Rais we na serikari yako

  • @luhigoemmanuel8720
    @luhigoemmanuel8720 5 років тому +1

    Hongera Sana Mh Rais kwa utendaji Kaz mzur pamoja na kumuamin CAG Prof Assad
    CCM oyeeee

  • @kabaruajaneth5176
    @kabaruajaneth5176 5 років тому +2

    Nakupongeza sana mh. Rais. Hapa kazi tuu. Vinyongo Pembeni. Ndugai hoyeeeeeee

    • @peterchibaya7892
      @peterchibaya7892 5 років тому

      HUYU NDIE RAIS WA KWELI MIMI NIMEMPENDA KWA SABABU NI MUWAZI YUKO VIZURI

  • @anko_luufocus7454
    @anko_luufocus7454 5 років тому +2

    Muheshimiwa akivyosema uchumi wetu upo vizuri CAG ametabasamu... Chapa kazi Raisi wetu na Mungu akuongoze

  • @juceydaudy2780
    @juceydaudy2780 5 років тому +3

    Baba yetu unaweza nakukubal sana utaifa nimeushuhudia ndan yako Man of action Mungu akutangulie kwa kila hatua ya wazo lako zuri Our strongest Rais

  • @mwinukafundibombanjombe
    @mwinukafundibombanjombe 5 років тому +1

    Shikamoo TANZANIA Shikamoo KIONGOZI Shikamoo WATANZANIA
    This is TANZANIA sasa
    YES WE CAN🙌

  • @hassanbushahu5279
    @hassanbushahu5279 6 років тому +5

    Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki ujiji yetu.

  • @chemustodeosabila7645
    @chemustodeosabila7645 2 роки тому

    He is gone surely, but he was a very genuine person, Tz & the world at large will not get of such a person easily

  • @mosesallanadam1955
    @mosesallanadam1955 6 років тому +7

    Huyu ndiye Rais wetu na Rais bora Afrika, Mungu atupe gunia la chawa ndio tumshukuru! Tumuunge mkono kwa asilimia zote!

    • @mdachiog5211
      @mdachiog5211 5 років тому

      Huyu ndiye mkombozi wawanyonge

  • @shedlucklukinda6952
    @shedlucklukinda6952 5 років тому +1

    Thanks Mr . President, you did what we call reality. Acha ukweli usimame na nuru yake inaonekana

  • @SuperKibwana
    @SuperKibwana 6 років тому +2

    Kazi nzuri sana. Mh Rais, hapa kazi tu.

  • @kaundasutikaunda7769
    @kaundasutikaunda7769 6 років тому +1

    piga kazi Mh Rais we are all supporting you.

  • @ramafrica9016
    @ramafrica9016 5 років тому +1

    Hongera raisi wetu kwa maamuzi mazuri

  • @makungudaudmponeja1414
    @makungudaudmponeja1414 6 років тому +6

    urais ni kazi ngumu na nzito sana aisiyejua basi tu fikiria hayo makabrasha yote anatakiwa kuyasoma au kuyaelewa MTU pekee pole sana mh rais kwa kazi ngumu lkn pia ukubali ushauri

    • @jacobnghwali4531
      @jacobnghwali4531 5 років тому

      Wakati anaomba urais hakujua kwamba ni kazi nguvu atupishe kama hawezi

  • @rashidalshaidhani765
    @rashidalshaidhani765 5 років тому

    Big up mzee Magu. Allah akukinge na hasad zozote

  • @victorcephas3618
    @victorcephas3618 5 років тому

    Hongera mh Rais na watendaji wote, kwa Kazi nzuri ya ujenzi wa taifa.

    • @amosdaniel5907
      @amosdaniel5907 5 років тому

      Hongera sana mh Rais JPM kwa kazi nzuri,, Hongera sana pia CAG kwa kuwa mkweli na muwazi)) Good Job.

  • @lucaskabondo990
    @lucaskabondo990 6 років тому +3

    uko vizuri mheshimiwa

  • @fbr5113
    @fbr5113 6 років тому +4

    USHASHINDA VITA YA WAPINGA MAENDELEO YA TAANZANIA BABA. UMEONESHA KAMA TANZANIA TUNAWEZA SISI KAMA SISI BILA MATAPELI WA RASILIMALI. HONGERA SANA RAIS WETU, MUNGU AKUPE UHAI NA NGUVU YA KUPIGA KAZI KUJENGA NCHI YETU

  • @allykivike7228
    @allykivike7228 5 років тому

    Wewe keli ni chaguo la mungu nakupenda sana unanifanya nione raha ya Tanzania.

  • @agneserasto9806
    @agneserasto9806 5 років тому

    Huko sawa kabisa rais jpm fanya kazi asnte sana rabuda kerere zitakwisha ,

  • @antonynicolaus5051
    @antonynicolaus5051 5 років тому +1

    Rais wetu magufu chapa kaz wewe ni chaguo ra mungu

  • @issaibony6386
    @issaibony6386 5 років тому

    Mzee Baba bgp sana ikiwezekana fukuza majizi wa kodi zetu n ikibainika yatumikie jela n kazi gumu pia filisi mali zao huo utkuwa hujum uchumi.

  • @barakamwamkinga4624
    @barakamwamkinga4624 5 років тому +1

    CAG OYEEEEEEEE

  • @erodeshayo8783
    @erodeshayo8783 5 років тому +1

    Tunataka matokeo kweli kiongozi wetu Raisi wetu

  • @hawaabdallah2039
    @hawaabdallah2039 6 років тому +8

    Akuna kiongozi kama wewe na atatokea kama wewe.nakuelewa na rais wangu.kaza ivyoivyo mpaka mwisho

  • @oyay2821
    @oyay2821 5 років тому

    Nimeanza kumpenda huyu raisi Wa Tanzania. Ni muelewa wa majukumu ya CAG.

  • @jsmfarms71263
    @jsmfarms71263 5 років тому

    Huyu jamaaa ana uezo mkubwa sana wa kufikiri na kupiga kazi Rais good morning

  • @ricksonmrema1693
    @ricksonmrema1693 5 років тому +2

    Hapo baba nakukubali Rais ukifanya mema tutakusifu kwa mema na ukiboronga tuna kukosoa ss ndio maabosi wako tuliokuweka madarakani

  • @mubarakamajubwa8064
    @mubarakamajubwa8064 5 років тому

    mzee leo nimekukubal sana umeongea ukwel

  • @Almisbahy9551
    @Almisbahy9551 5 років тому

    Nngekuw Na Uwezo Ningeiba Katiba Nikabadil Sheria Ya Rais Kukaa Miaka Mitano Niweke Akae Miaka Mia Nampenda Sana Rais Maguful Nataman Hata Aendelee Kuwaga Rais Tu Hvyo Hvyo.

  • @muddymohammed9039
    @muddymohammed9039 5 років тому +1

    Uyo CAG ni jembe sana alafu aogop ndo wanatakiwa w2 kama awo nchin apa!

  • @barakamwamkinga4624
    @barakamwamkinga4624 5 років тому

    Baba kukubali mtoto katunisha misuri

  • @wilsonchallange4420
    @wilsonchallange4420 6 років тому +2

    Tumepata Rais anaueweza kazi yake.

    • @gabinusmbele5699
      @gabinusmbele5699 5 років тому

      Mungu ana makusudi na nchi hii tumechezewa sana.

    • @chiefbanda8028
      @chiefbanda8028 5 років тому

      Hongera baba angu magu nkupend sna nkukubali sna mung akuwek htukatai kasoro unazo km binadam lkn mazur ni mengi mno kwetu sie waislam unafanya uadilifu km inavotakiwa mung akuongoz mkuu

  • @hellenalex9541
    @hellenalex9541 5 років тому +1

    Kwa hili nakupongeza Rais...

  • @RamazaniMulongeca
    @RamazaniMulongeca 5 років тому

    @22:56_23:07 kama namuona #KingKiba vile. Atabaki kuwajuuu kileleni iyooooooooo
    #MOFAYA

  • @ambakisyekapesa2974
    @ambakisyekapesa2974 5 років тому

    SASA ANGALAU RAISI WWE NDO KIONGOZI UNAYEJARIBU SANA KUNYOSHA MSTARI.

  • @inkzone1561
    @inkzone1561 5 років тому

    👏🏾👏🏾👏🏾

  • @sdawalokole9489
    @sdawalokole9489 5 років тому

    Inabidi uifanyizie kazi

  • @kiatu
    @kiatu 5 років тому

    Kuna watu wanadhani ni ile report ya karibuni kwa kuangalia comments zao. Mwaka huu haikuwa hivi. One day, one week, ....ago!

  • @mwalukoerick2801
    @mwalukoerick2801 5 років тому

    ivyo vitabu vya secondary au

  • @rashidalshaidhani765
    @rashidalshaidhani765 5 років тому

    Sasa tumwamini asad au ndungai. Wewe umemkubali eti ndungai hamtaki. Mweee

    • @hamisiissa4439
      @hamisiissa4439 5 років тому

      Achana na ngugai anazingua

    • @Almisbahy9551
      @Almisbahy9551 5 років тому

      Rais Kashamkubal Inatoaha Hugo Ndugai Mungu Amsamehe Bure

  • @mubarakamajubwa8064
    @mubarakamajubwa8064 5 років тому

    wabunge wa ccm ni wanafk

  • @kinghasheem2283
    @kinghasheem2283 5 років тому

    Ha haaaaaa haya waliyoyataka ndg zetu bungeni sasa majipu yasiyoiva yashatumbuliwa halmashauri za kigoma ha haaaaaaaa

    • @kiatu
      @kiatu 5 років тому

      It's one year ago.

  • @sigfridshayo4715
    @sigfridshayo4715 5 років тому

    Janjajanja

  • @steventitus2174
    @steventitus2174 5 років тому +1

    Afrika nzima akuna Kama magu tukopamoja magu pigakaz

    • @tzaphin1975
      @tzaphin1975 5 років тому +1

      Steven Titus
      Namkubali Mh. Magu., Lkn je wewe unawajua viongozi wote wa Afrika

    • @steventitus2174
      @steventitus2174 5 років тому +1

      Kwataarifa yako akuna kiongoz waafrika nisie mjua wakwana esiopia 2 magu afrka nzima

    • @hamadkichebe9372
      @hamadkichebe9372 5 років тому

      ILABABAMINASEMA
      WATAKUCHEFUWAPALE
      KWENYEVITAMBULISHO
      VWATAIFABADOSANA
      TUPOWENGI
      TUNAZUNGUSHWASANA

  • @mojakabenga6270
    @mojakabenga6270 5 років тому

    Porofesa asadi anafa kabisa