Ukiangaria Watu wanavyo linga katika hii dunia wasijuwe kuwa kuna na kufa Hakika vyote vinapita Ujumbe Huu Unatufundisha Hapa Duniani Siyo Kwetu Jamani 🙆🙆 Nio like zenu
You’re welcome if you do thank you for supporting me. Remember to share this video to another people. I want people to listen this message. Thank you so much. God bless you too.
asante sana kwa kuelewa nyimbo asante kwa kuisikiliza ila ningependa utumie na watu wengine wasikilize waelewe hii dunia tunapita wasijisahau sisi sote tusijisahau bado tupo chini ya jua nashukuru kwa kuelewa nyimbo ambayo inaitwa dunia ina mambo mengi nashukuru sana mkuu wangu
Dunia INAMAMBO MENGI Ubarikiwe Kwa kutukumbusha Deborah Hakika Kupitia wimbo huu Naamini Wengi Wanajisahau Wajuwe Hapa Duniani Suyo Kwetu Dunia dunia Yenye mambo 😢
asante kwa kuwa pamoja nami katika hiki kipindi cha uimbaji wangu natamani muwe pamoja nami siku zote mungu awabariki nyote na wewe pia tuwe na umoja na tuzidi kuombeana asante🙏🙏
Congratulations dada,kazana katika kuitangaza injili.Bali ji hazari usi fuate vya dunia kama jinsi waimbaji wengine hufanya wawapo maarufu. Tumia kipaji chako Kwa bidii na Mungu ata kuinuwa.
amina amina mkubwa wangu nashukuru sana kwa kuniombea mazuri asante kwa kanisapoti iko kuonyesha ushirikiana kuwa pamoja nami nawashukuru sana tena sana🥰🙏
🎊❤️👑
❤Asante
Wow
Ukweli kabisa dada,Mungu akubariki Sana kwa hii huduma.
Wow🥳 Barikiwa wangu 🙌🏾❤️
Asante sana wangu wamoyo ❤
Ukiangaria Watu wanavyo linga katika hii dunia wasijuwe kuwa kuna na kufa Hakika vyote vinapita Ujumbe Huu Unatufundisha Hapa Duniani Siyo Kwetu Jamani 🙆🙆 Nio like zenu
ni kweli duniani sio kwetu na wanaolingia dunia pole sana kwao tujifunze sana kwenye hii dunia kama tunapita😢😢😢😢😢
Congratulations song Duniani Ina Mambo Mengi Epuka na Dunia 😢
ni kweli dunia tunapita kwa hiyo tusijisahau😢
Nice song 🎉❤
Thank you❤❤❤❤
Waoooo Ubarikiwe Sanaaa Deborah Neema hakika Wimbo ni Mzuri Hakika Dunia Ina mambo mengi
eh ndio kwa hiyo tusijisahau dunia tunapita😢
Amen ❤❤❤❤❤ like people where you
people like the world who celebrate with the world is what I 😭
Hakika Umeitendea haki Umeimba vizuri Sanaaa Ubarikiwe
amen amen amen mbarikiwe ninyi nyote ambao mumepata kusikia ujumbe huu🙏🙏🙏🙏🙏
Ubarikiwe sana kwa wimbo huu🎉🎉🎉
Asante sana ❤🎉🎉
Barikiweni nyote ❤❤❤🫱🏿🫲🏽
Ongela sana sister
AMINA
Amina pia
❤❤
Asante sana
Thanks so much for this beautiful message may God bless you ❤
You’re welcome if you do thank you for supporting me. Remember to share this video to another people. I want people to listen this message. Thank you so much. God bless you too.
Kabisa nikweli dada duniya ina mambo mengi. Iyi wimbo inani jenga sana. Ubarikiwe asa na mungu azidishe kipaji yako.
asante sana kwa kuelewa nyimbo asante kwa kuisikiliza ila ningependa utumie na watu wengine wasikilize waelewe hii dunia tunapita wasijisahau sisi sote tusijisahau bado tupo chini ya jua nashukuru kwa kuelewa nyimbo ambayo inaitwa dunia ina mambo mengi nashukuru sana mkuu wangu
Ubarikiwe Sana 😊
eh ndio kwa hiyo tusijisahau dunia tunapita Asante 😢
God bless you for the message
Thank you so much God bless you
Ubarikiwe ubarikiwe ubarikiwe mungu azidishe kipaji chako popote utakuwa naenda ubarikiwe na mwenyezi mungu
Amina
Amen 🙏 ❤
Dunia INAMAMBO MENGI Ubarikiwe Kwa kutukumbusha Deborah Hakika Kupitia wimbo huu Naamini Wengi Wanajisahau Wajuwe Hapa Duniani Suyo Kwetu Dunia dunia Yenye mambo 😢
eh ndio kwa hiyo tusijisahau dunia tunapita 😢😢
Ubarikiwe
Asante papa
Ubarikiwe sana kwa ujumbe muzuri asante❤❤🎉
Barikiwa sana dada
Asante ❤
Nice song good job ❤❤❤❤
Abarikiwe, betinnah uganda 😂😂😂❤❤❤
Asante 🙏
Ubarikiwe sana kwa ujumbe mzuri mungu akubariki na kipaji chako mungu akizidishe tena mara duka
asante kwa kuwa pamoja nami katika hiki kipindi cha uimbaji wangu natamani muwe pamoja nami siku zote mungu awabariki nyote na wewe pia tuwe na umoja na tuzidi kuombeana asante🙏🙏
Ndiyo
asante kwa kuelewa
Nice song mungu akutunzee
amina amina asante sana
God bless you for good message❤❤❤❤❤
Amina amen wimbo mzuli sana
Asante sana
🎉🎉🎉❤❤❤
🎉🎉 Asante
Good songs God bless you
Congratulations dada,kazana katika kuitangaza injili.Bali ji hazari usi fuate vya dunia kama jinsi waimbaji wengine hufanya wawapo maarufu. Tumia kipaji chako Kwa bidii na Mungu ata kuinuwa.
Mungu Akubariki Sana Dadaangu Kwaushari mzuri
Pia Mungu Aendelee kukikuza kipaji chako Vilevile Mungu Akuwezeshe kukiishi milele
🤝
amina amina mkubwa wangu nashukuru sana kwa kuniombea mazuri asante kwa kanisapoti iko kuonyesha ushirikiana kuwa pamoja nami nawashukuru sana tena sana🥰🙏
Amen 🙏🏻 and amen ❤❤
Hongera sana Debareh kiukweli nafurahiya wimbo wako. Kwa sababu inaendana nagisi ulivyo, umevaa nguo zakumpendeza Mungu.
asante tubarikiwe sote katika jina la yesu kristo amen🙏
❤❤❤
❤❤❤❤❤
Amen 🙏
Ubarikiwe sana
yaani we rafiki yangu weka kanguwe niache tu wewe ni hatari tumia na wengine Asante
🎉🎉🎉
Debora
Asante
Nyimbo nzuri sana ❤ rakini ufanye Subscribe pia namimi🙏
Asante sana