MENEJA DING'ANO WA KONDEGENG AMVAA H BABA KUMTUKANA HARMONIZE,,,UNATUMWA NA DIAMOND,,,TAZAMA HAPA..

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 29 вер 2024
  • #harmonize #diamondplatnumz #kajalamasanja

КОМЕНТАРІ • 49

  • @miguelnsungu3083
    @miguelnsungu3083 Рік тому +7

    Love 🔥 from 🇨🇩❤️ harmonize tz

  • @happysanga6846
    @happysanga6846 Рік тому +5

    Hata machawa wawe mia jeshiii ndo fimbo Yao anawachapa tuuu🙏🙏🙏

  • @cosmaskabila3058
    @cosmaskabila3058 Рік тому +2

    Jeshiiiiii on 🔥🔥🔥

  • @lindambilinyi6253
    @lindambilinyi6253 Рік тому +5

    Ila kiukwel mm Co shabiki wa popote lkn h baba ananikela sanaa alafu story zke uongo mwing,,,,,post yke ya juz ndo nimemdharau sanaa,,,,anajipendekeza kwa nguvu kwa kajala kujifanya km wameongea kaongo kambwa hyu,,,kwa kwel me machawa woye nawaelewa lkn Co hyu bwege

  • @iranziyvet3503
    @iranziyvet3503 Рік тому +3

    From Rwanda 🇷🇼

  • @sifamushi1747
    @sifamushi1747 Рік тому +6

    Mwanzo sikua namwelewa Dingano. Lakin saivi NAMWELEWA SANA MDOG WANGU!!!!👏👏👏

  • @john-ke5838
    @john-ke5838 Рік тому +1

    Nyadundo ni jina la ki'LUO hapa kenya;inamaana..."mtu mfupi"🤣🤣🤣🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @zuwenaalamin8985
    @zuwenaalamin8985 Рік тому +3

    Hivi huyu mpumbavu anaakili kwel toka lini samaki wakalimwa🤣🤣🤣🤣senge kweli

    • @mosseskanini255
      @mosseskanini255 Рік тому +1

      Sa mwanza c ndo wanalima samak

    • @ismailsenga7752
      @ismailsenga7752 Рік тому +2

      kajifunze co unatukana

    • @mkomboraahmedchome
      @mkomboraahmedchome Рік тому +1

      Samaki wanalimwa ni kilimo kama unavyoona mkulima wa mahindi pamoja na ufugaji yote kilimo usikalili rudi shule najuwa ulitoroka

    • @dmox8723
      @dmox8723 Рік тому

      Ndio maana tulisema msikilize mwalim ww ukachora dawati

  • @dayadaniel4968
    @dayadaniel4968 Рік тому +4

    Hamonize habari ya mujini unaongea kweli kabisa

  • @crispusmasindo5953
    @crispusmasindo5953 Рік тому +8

    Harmo,namkubali 100/100

  • @momadesuales
    @momadesuales Рік тому +9

    Harmonize ndio habari ya mjini

  • @rithakuyala9951
    @rithakuyala9951 Рік тому +6

    Jeshiiiiiiiii 💥🐘anawatesa machawa

  • @anacletrobertniyonkuru8542
    @anacletrobertniyonkuru8542 Рік тому +4

    H baba satulie aachane na mambo ya uchawa,jitu lizima linaongea utumbo tuu.pumbavuu H mama.

  • @limbomambo9728
    @limbomambo9728 Рік тому +2

    Jeshiiiiii tembo mnyama teacher fire fire 🔥🔥🔥🔥

  • @deborasunga6486
    @deborasunga6486 Рік тому +4

    Have always maintained that harmonize is the epitome of success n he is proving it. Love from nakuru Kenya. Sportent tv is watching

  • @fatumabaruti4817
    @fatumabaruti4817 Рік тому +1

    Wee unaweza uchawa.safi sana uongezwe mshahara jamani😂😂😂😂

  • @suleyhaji5313
    @suleyhaji5313 Рік тому +2

    Waambie tu maana akina baba levo akina mwijaku machawa bora wametulia sembuse huyu mama dingano wape facts kiukweli tukubali tukatae hamonize yupo juu

  • @doreenkissia1087
    @doreenkissia1087 Рік тому +3

    .mtu mmoja anawagalagaza machawa 100.

  • @mrsinia3064
    @mrsinia3064 Рік тому +1

    Saf sana Ding'ano kwa kumchana ukwer h.baba maana yule snitch sana

  • @ashuramhandoashuramhando6798
    @ashuramhandoashuramhando6798 Рік тому +1

    H Mama Meneja ndo kiboko yako🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @fabylyimo300
    @fabylyimo300 Рік тому +2

    Yani mimi nakusikiliza wewe tu Menej’🇹🇿🇺🇸😅😅😅😅😅eti utalala vipi nampezi wako😂😂😂

  • @nicholauskilosa5336
    @nicholauskilosa5336 Рік тому +4

    Safiii sana meneja 💪💪💪

  • @kotongomunkupahlombe8169
    @kotongomunkupahlombe8169 Рік тому +3

    Thanks brother 🙏

  • @kambulatamwambablaisenews5128
    @kambulatamwambablaisenews5128 Рік тому +2

    Harmo ni muti wamatunda ndo Mana wanamupiga mawe

  • @happysanga6846
    @happysanga6846 Рік тому +1

    H mama hamuwezijeshiii geng

  • @angejeanboscohakizimana2402
    @angejeanboscohakizimana2402 Рік тому +3

    H maman,Hana lolote

  • @pavillioncry5241
    @pavillioncry5241 Рік тому +3

    H mama ni chawa zeeeeeee
    Loshapotea njiaa h mama anajipendekeza wala hatakiwi

  • @cadreussene4753
    @cadreussene4753 Рік тому +1

    👌👌

  • @asmarajabu5786
    @asmarajabu5786 Рік тому +3

    🤣🤣maisha haya noma

  • @shabanlusan6890
    @shabanlusan6890 Рік тому +1

    Natokea mwanza kwel h baba ni dalil wa magari hana k2 unafiki ndo hbri yake kwanza anashinda kwa waganga so poa kumptza harmonize

  • @iranziyvet3503
    @iranziyvet3503 Рік тому +2

    Harmonize

  • @johariabdalla3319
    @johariabdalla3319 Рік тому +1

    Meneja DIN'GANO habari nyengine🤣,endelea kuwanyoosha🤣,naww muuliza mswala unafurahisha sana🤣maana hayo maneno yako na unavyochochea!au kupaliliyaa🤣

  • @victorngole2445
    @victorngole2445 Рік тому +1

    Uyu mxee mgonganishi sanaaaa

  • @aggreyhamisi3552
    @aggreyhamisi3552 Рік тому

    Af huyu ding'ano point yake kwenye interview zote anataka aforce konde kushindana na mondi.......af anajishtukiaaa anasemaa ila mondi ashapitwa na harmo

  • @graceanyungu2774
    @graceanyungu2774 Рік тому +1

    Ndingano mjinga wewe

  • @joleal7941
    @joleal7941 Рік тому +1

    Meneja kaongea fact

  • @pavillioncry5241
    @pavillioncry5241 Рік тому +2

    Pakulala hana hapa mjini chawa zee

  • @abdallahhamic3586
    @abdallahhamic3586 Рік тому +1

    Huyu chawa wa konde amechoka njaa sio nzuri

    • @dianasamson9311
      @dianasamson9311 Рік тому +1

      Humjui Ding'ano wewe... tulia awapakatishe machawa, wapakatwe vizuri ..

  • @iranziyvet3503
    @iranziyvet3503 Рік тому +1

    From Rwanda 🇷🇼