Це відео не доступне.
Перепрошуємо.

SHIRIKA LA BANDARI ZANZIBAR LIMESHIRIKI KIKAMILIFU MAONESHO YA 48 YA BIASHARA SABA SABA.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 лип 2024
  • Shirika la Bandari Zanzibar (ZPC) limeshiriki kikamilifu maonesho ya 48 ya Biashara Saba Saba yanayoendelea huko jijini Dar-es-Salaam. Shirika limepata nafasi kutoa elimu kwa wananchi, wafanyabiashara, wawekezaji na watu wote kwa ujumla juu ya fursa zinazopatikana katika sekta hii ya Bandari Zanzibar. Shirika linawakaribisha wananchi kuendelea kujitokeza kwa wingi kwa kutembelea Banda la ZPC katika maonesho hayo ya Saba saba.

КОМЕНТАРІ •