Usitufunze ubahili. Kama munajali kwanini muweke limited ya pesa yangu. Kwamba ndani ya saa 24 nimetumia sijatumia inakatwa. Kama munajali toeni hiyo tutumie pesa yetu hadi itakapo kwisha kwa kuitumia
Hapana kwa kwel nyie tigo mmenishinda tabia aki hii line na vunja yani mb zangu zimeniuma kuliko hata kuachwa yan mtu kulala kuamka mb zimeisha kwahyo zilikuwa usiku zinajitumia zenyewe kwahili mmenikosa
Ila nyieee ni wezi yaaniii nimetumia application zangu Kwa data total ya 447.43 lakini naambiwa nimetumia 75% ya MB za 1.4 GB 😢😢😢 jamaniii punguzeni kutapeli 3000 sio pesa ndogoo... Up ni uwiziii na mnatutesa wateja zenu wa kipato Cha chini. Mnakeraaa na mnaudhiii mnooo .
Tunataka kifurushi Cha wiki iwe wiki Cha mwezi iwe mwezi sio kutuibia vifurushi vyetu tumechoka jamani na hali ngumu uku mtaani au mnataka tustumie simu
1999%.wizii tuu!! Hapoo ni MMANYANG'auu kupiita kiasii! Hawaii biasharaa! Wanafikiria wametawalaa Martin! Tumelalaa ! Na hatuwezi kusema wala kulalamikaa! Wanajidai wanaboresha!!! Kumbee kumbee !! Wanatengeza njia za kughushii! Dhulmaa tupuu!! Muumbaa awashindee na awashindilie! Baada ya kuendelea!! Wanabomoa!!
MY ALL THE TIME NETWORK ❤️❤️❤️
Asante sana tigo!🙏🙏
Asante sana 🙏 maana nimekamuliwa pesa za kutosha bila kujua MB zimeenda vp😢
Big up tigo
Huduma mzuri
Asante mtandao wangu
Safi sana hii maana nilikua nakaushwa damu Kila siku, kweli usilolijua sawa na usiku wa giza Asanteni kwa hii
😂😂😂😂
Wanatuibia sana hawa.. dawa yao ni kuwahama tu mitandao mingine si kama wao wezi wakubwa hawa
Wizi ndo mwingi tigo kiukweli inauma sana cjui mamlaka zinazohusika na maasiliano zinafanya kazi gani kwakweli inauma aisee
Live it
Love it
Ahsante sana.
Nyie waizi jana mlinikera sana
Kweli kabisa ni wizi mtupu tu ktk bado
Maneno mengi Sanaa nyinyi mnatumiza wayeja wenu, punguzeni nyinyi kutuibia.
Wizi mtupu mnatuibia sana
Wizi wakubwa Hawa hawana lolote zaidi ya kutuona ss vilaza wanatuibia
Asantee
TIGO (Yas) mnazenguaga sana this time mtapoteza wateja Kila mtu analalamika na mtandao wenu huku mitaani
THANKS WITH CONCERS
Tigo service hapo kwenye kuzima background data nnatumia Android but still hiyo mobile data only apps siipati
Kwaherini kuanzia Leo nawahama
Thanks tigo together we can
Hakuna hawa watu Niwizi wa Kuaminika Data Inaliwa hata ukifanya wanacho sema Nimesha Fanya Hivyo Lakini Hamna kitu
Nyie mmezid yan sijatumia ata nusu ya bando et limeisha achen wiz
Natumia tu mtandao wenu lakini hakuna unafuu wowote ule mb zenu ghali mno
Somo kbw sn hili,weng wanalalamika bando kuisha lkn nivle awajaset bzr sim zao
Mmetukoroga vya kutosha na bado mnatudanganya hamjatufanyia haki bando zinaliwa kama maji wacheni kutuparaganya
Kudadeki zenu, mliwahi niibia bundle ya 35k nayotumia mwezi mzima kwa cku 5, nkawahama Chap mlinikausha damu km Mara mbili
Mimi bado sijafanikiwa
Nyie ni waezi sanaa aseee yaan mnatuumiza mnooo imagine mtu unaweka GB moja Sa tano Hlf Sa nane limeisha na hapo umeingia tsup tyu🚮😂
Aise inauma San
Usitufunze ubahili. Kama munajali kwanini muweke limited ya pesa yangu. Kwamba ndani ya saa 24 nimetumia sijatumia inakatwa. Kama munajali toeni hiyo tutumie pesa yetu hadi itakapo kwisha kwa kuitumia
Acha makasiriko😂
Bando la wiki linaisha kwa siku moja, tuende wapi jamani
Hawa n wez kwakwel yan hata ukiwashatu data mb znaselelek
Yani uizi umezidi tigo nataka bando langu Yani mb 985 ndani ya lisaa nimetumia asilimia 75
Please naomba msaada wa Tigo configuration
Punguzeni kuiba sawa
Haha kenge nyie
Nimefanikiwa baada ya kuangalia video
Nakubar chama langu ahsantee nimefanikiwa
Hapana kwa kwel nyie tigo mmenishinda tabia aki hii line na vunja yani mb zangu zimeniuma kuliko hata kuachwa yan mtu kulala kuamka mb zimeisha kwahyo zilikuwa usiku zinajitumia zenyewe kwahili mmenikosa
Ninatumia iPhone kwa hivyo sasa fanyajeeeee?
Ila nyieee ni wezi yaaniii nimetumia application zangu Kwa data total ya 447.43 lakini naambiwa nimetumia 75% ya MB za 1.4 GB 😢😢😢 jamaniii punguzeni kutapeli 3000 sio pesa ndogoo... Up ni uwiziii na mnatutesa wateja zenu wa kipato Cha chini. Mnakeraaa na mnaudhiii mnooo .
Mnavyoongea haraka hivyo tena kwa kiingereza unategemea nini
Wezi wa bando nyie hamfai hata kidogo😢
Hakuna lolote😂
Hello
Ila nyny 😂
Tunataka kifurushi Cha wiki iwe wiki Cha mwezi iwe mwezi sio kutuibia vifurushi vyetu tumechoka jamani na hali ngumu uku mtaani au mnataka tustumie simu
Ni kweli kabisa wizi mtupu!!!!!
Waizi wakubwa nyie mnaibia watu mb
Bdo napigwa bando languu…nmehama
Mh hakuna kitu wizi mtupu siku izi kifurushi Cha wiki unatumia kwa siku 😏
Kabisaaa yan
Tuelkezen na watu wa ios tujue mana balaa
Wezi tu amna kitu Tigo sikuwahi kufikiria kuandika hivi ila you’re scum 🤝
Acheni wizi mnakimbiza sana MB nyie. Wizi mtupu mmeshtukiwa mnajifanya na background data usage. Kwendraaa
Wezi sana tunawahama wajinga hawa
1999%.wizii tuu!! Hapoo ni MMANYANG'auu kupiita kiasii! Hawaii biasharaa! Wanafikiria wametawalaa Martin! Tumelalaa ! Na hatuwezi kusema wala kulalamikaa! Wanajidai wanaboresha!!! Kumbee kumbee !! Wanatengeza njia za kughushii! Dhulmaa tupuu!! Muumbaa awashindee na awashindilie! Baada ya kuendelea!! Wanabomoa!!
Washenzi kweli unaamka na mb ukiwasha data zimeishaaa
Wanaiba sana hawa... jana usiku nimeunga 2Gb lkn saa 3 asbh naambiwa sina bundle nimewapigia wananambia niounguze matumizi ya internet. WEZI WEZI WEZI
Nmewapgia wananiamby niende kwenye settings, achen wiziiiii tunahama
Wajinga sana yan naweka mb 1 inaisha kabla hujatunia ndan ya dakika 10,, huo ni wiziiii