BMM mafundi mliupiga mwingi sana sitafanya jema kama sitawasifia sauti ya pili. Mwisho tuzidi kumuombea mtunzi wetu apumzike kwa amani. Rest easy Deo Limila
Barikiwa sana Deo kwa Uinjilishaji huu; Aendelee kupumzika kwa amani Kaka Steven Limila,, daima tutamkumbuka kwa tungo zake zilizotukuka na kugusa mioyo yetu kujiweka karibu na Mungu zaidi.
Naomba nota
Wimbo mzuri sana
Asante sana kaka
BMM mafundi mliupiga mwingi sana sitafanya jema kama sitawasifia sauti ya pili.
Mwisho tuzidi kumuombea mtunzi wetu apumzike kwa amani.
Rest easy Deo Limila
Amina kaka
wimbo huu umetungwa vizuri kwa maneno mazuri yenje jumbe nzuri.. tusaidiwe nota
Barikiwa sana Deo kwa Uinjilishaji huu;
Aendelee kupumzika kwa amani Kaka Steven Limila,, daima tutamkumbuka kwa tungo zake zilizotukuka na kugusa mioyo yetu kujiweka karibu na Mungu zaidi.
Naomba namba yako
Naomba nita wa huu wimbo watosha.
Saf sana
Safi
Kaka ubarikiwe Sana nahitaji copy
🙏🙏🙏😇😇😇😇